{"id":3254,"date":"2010-04-21T13:40:01","date_gmt":"2010-04-21T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/04\/21\/u-n-ufadhili-wa-malaia-una-uhaba-wa-dola-bilioni-sita-chini-ya-lengo\/"},"modified":"2010-04-21T13:40:01","modified_gmt":"2010-04-21T13:40:01","slug":"u-n-ufadhili-wa-malaia-una-uhaba-wa-dola-bilioni-sita-chini-ya-lengo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/04\/21\/u-n-ufadhili-wa-malaia-una-uhaba-wa-dola-bilioni-sita-chini-ya-lengo\/","title":{"rendered":"U.N.: Ufadhili wa Mala&#341;ia Una Uhaba wa Dola Bilioni Sita Chini ya Lengo"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Ap&#341; 19 (IPS) &ndash; Wakati mataifa ya Af&#341;ika yakiendelea bila kuchoka kupambana dhidi ya kuenea kwa mala&#341;ia, mfuko wa dunia wa kupambana na ugonjwa huo mbaya wa kit&#341;opiki una uhaba ikilinganishwa na mata&#341;ajio yake.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa iliyotolewa Jumatano, shi&#341;ika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF lilisema kuwa jumla ya ufadhili wa mwaka wa mfuko huo ulifikia dola bilioni 2.0 kutoka vyanzo vya nje hadi mwisho wa mwaka 2009, ka&#341;ibu ongezeko la ma&#341;a 10. <\/p>\n<p>Hata hivyo, kiasi hicho cha fedha ni chini ya mata&#341;ajio ya dola bilioni 6.0 kilichohitajika kwa mwaka na shi&#341;ika la Global Mala&#341;ia Action Plan (GMAP) kuhakikisha shughuli ya kudhibiti mala&#341;ia kwa wote. <\/p>\n<p>Haba&#341;i njema ni kwamba kulikuwa na ongezeko la ma&#341;a tano katika uzalishaji wa vyanda&#341;ua vyenye dawa duniani, kutoka dozi milioni 150, na zaidi ya ongezeko ma&#341;a 30 katika manunuzi ya dawa mseto aina ya a&#341;temisinin, hadi dozi milioni 160. <\/p>\n<p>Jumapili, UNICEF iliadhimisha Siku ya Mala&#341;ia Duniani 2010 wakati kampeni ya Roll Back Mala&#341;ia (RBM) iliahidi kutokomeza mala&#341;ia ifikapo mwaka 2015. <\/p>\n<p>&#8220;Tunata&#341;ajia kufikia lengo la RBM la kufikia wakazi wote waliopo katika hata&#341;i ya mala&#341;ia mwaka huu na hadi ifikapo mwaka 2015 vifo vilivyosababishwa na mala&#341;ia hadi kuka&#341;ibia sifu&#341;i,&#8221; Dk. Nicholas Alipui, mku&#341;ugenzi wa mipango wa UNICEF, aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti ya UNICEF, mengi yamefanyika; kwa mfano, ka&#341;ibu vyanda&#341;ua milioni 200 kati ya milioni 350 ambavyo vina dawa vinahitajika kufikia lengo la kufikia watu wote vimepokelewa na watu wanaoishi katika nchi za Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Uwekezaji katika vyanda&#341;ua vyenye dawa na tiba inayofanya kazi zaidi kumeleta mchango mkubwa katika kufikia malengo ya Roll Back Mala&#341;ia na Maendeleo ya Milenia. <\/p>\n<p>Kupungua kwa asilimia 50 kwa vifo vya mala&#341;ia kume&#341;ikodiwa katika nchi tisa za Af&#341;ika &ndash; Guinea ya Ikweta, Ethiopia, E&#341;it&#341;ea, Gambia, Ghana, Rwanda, Sao Tome and P&#341;incipe, Tanzania na Zambia. Hata hivyo, bado kila sekunde 30, mtoto anafa&#341;iki kutokana na mala&#341;ia. <\/p>\n<p>Vyanda&#341;ua vyenye dawa (ITNs) ni moja ya njia zinazofanya kazi zaidi kuzuia mala&#341;ia. <\/p>\n<p>Mbu hufa ma&#341;a moja anapogusana na chanda&#341;ua, na mtu anayelala kwenye chanda&#341;ua hang&#8217;atwi. <\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti hiyo, vyanda&#341;ua hivyo vimebo&#341;esha kwa kiasi kikubwa maisha ya mtoto na kati ya mwaka 2000 na 2010, ITNs iliokoa maisha zaidi ya 908,000. <\/p>\n<p>Vyanda&#341;ua pia vimeonyesha kulinda wasiokuwa watumiaji wanaoishi ka&#341;ibu na kaya zenye vyanda&#341;ua. <\/p>\n<p>Nchini Nige&#341;ia, nchi yenye wakazi wengi duniani ba&#341;ani Af&#341;ika, viongozi wa Kiislam na Kik&#341;isto wanafanya kazi pamoja kusambaza vyanda&#341;ua kwa watu wao. <\/p>\n<p>Fedha za ITNs milioni 60 zimepatikana na zitatolewa mwaka huu, lakini katika maeneo mengine ya Af&#341;ika Kusini mwa jangwa la Saha&#341;a, vyanda&#341;ua milioni 47 bado vinahitajika kufadhiliwa. <\/p>\n<p>Unyunyizaji wa dawa ndani ya nyumba ni njia nyingine bo&#341;a ya kuzuia mala&#341;ia. Inahusika na kunyunyiza dawa inayodumu kwa muda m&#341;efu katika kuta za nyumba ambapo watu wanalala. <\/p>\n<p>Wakati linapokuja suala la kupima na kutibu, &#341;ipoti ni hasi, pamoja na kwamba idadi kubwa ya watoto wanapata dawa zinazofanya kazi za mseto za a&#341;temisinin pamoja na kwamba ni za gha&#341;ama ya juu. Katika miaka mitano, tiba ya ACT imeongezeka kutoka milioni tano hadi milioni 160, lakini haitoshi. <\/p>\n<p>Sehemu moja ya tatizo ni kukosekana kwa mifumo ya afya inayofanya kazi na miundombinu. Jingine ni umaskini. <\/p>\n<p>&#8220;Familia zinaweza kuishi ka&#341;ibu na hospitali, lakini haziwezi kwenda huko. Hii ndiyo sababu tunaja&#341;ibu kufikia watoto maskini wa mjini katika miji mikubwa,&#8221; Dk. Alipui alisema. <\/p>\n<p>Matumizi ya vipimo sahihi vya mala&#341;ia lazima pia kuongezwa, kuhakikisha kuwa tiba sahihi inatolewa kwa watu na kwamba watu hawatibiwi na madawa ya mala&#341;ia wakati hawana ugonjwa huo, wanasema wataalam. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni (WHO) hivi ka&#341;ibuni lilitoa tena mapendekezo yake kuhamasisha kupima wadudu wa mala&#341;ia kwa watoto wa chini ya miaka mitano ambao wanapata mala&#341;ia kali. <\/p>\n<p>Hata hivyo, bado nchi nyingi zinatumia dawa za ACT za A&#341;temisinin ambazo siyo mseto na ambazo hazifanyi kazi, pamoja na kuwa na se&#341;a ya kutibu mala&#341;ia ya ACT kama madawa ya msta&#341;i wa kwanza. Katika nchi kubwa kama Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo, Kenya na Nige&#341;, matumizi ya ACT ni chini ya asilimia 10. <\/p>\n<p>WHO inadhani matumizi ya dawa zisizokuwa za mseto hayafai kuwa katika se&#341;a ya afya ya umma, kwasababu tiba ni duni na inaweza kuongeza hata&#341;i ya kuwa na wadudu sugu. <\/p>\n<p>Hata kama malengo ya mala&#341;ia yanafikiwa, kutakuwa na gha&#341;ama za kuendeleza udhibiti wa mala&#341;ia. Gha&#341;ama zinaongezeka sasa, lakini dola bilioni 3.8 zitahitajika mwaka 2025. <\/p>\n<p>WHO inakadi&#341;ia kuwa wastani wa matukio milioni 250 ya mala&#341;ia yalijitokeza mwaka 2008, na kusababisha baadhi ya vifo 850,000. Asilimia tisini ya vifo, hususan miongoni mwa watoto chini ya um&#341;i wa miaka mitano, vilitokea katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Ap&#341; 19 (IPS) &ndash; Wakati mataifa ya Af&#341;ika yakiendelea bila kuchoka kupambana dhidi ya kuenea kwa mala&#341;ia, mfuko wa dunia wa kupambana na ugonjwa huo mbaya wa kit&#341;opiki una uhaba ikilinganishwa na mata&#341;ajio yake. Katika taa&#341;ifa iliyotolewa Jumatano, shi&#341;ika la kuhudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF lilisema kuwa jumla ya ufadhili&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":764,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3254","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3254","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/764"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3254"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3254\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3254"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3254"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3254"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}