{"id":3246,"date":"2010-04-19T13:40:01","date_gmt":"2010-04-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/04\/19\/uganda-seikali-yaendelea-na-sheia-kandamizi-ya-vyombo-vya-habai\/"},"modified":"2010-04-19T13:40:01","modified_gmt":"2010-04-19T13:40:01","slug":"uganda-seikali-yaendelea-na-sheia-kandamizi-ya-vyombo-vya-habai","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/04\/19\/uganda-seikali-yaendelea-na-sheia-kandamizi-ya-vyombo-vya-habai\/","title":{"rendered":"UGANDA: Se&#341;ikali Yaendelea na She&#341;ia Kandamizi ya Vyombo vya Haba&#341;i"},"content":{"rendered":"<p>KAMPALA, Ap&#341; 12 (IPS) &ndash; She&#341;ia ya Vyombo vya Haba&#341;i inayopendekezwa ni hata&#341;i, anasema Dk Geo&#341;ge Lugalambi, mwenyekiti wa umoja unaopambana kulinda uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i nchini Uganda. Wachapishaji na waandisi wa haba&#341;i watatakiwa kuomba leseni kila mwaka, ambazo zinaweza kufutwa wakati wowote ule kwa maslahi ya &#8220;usalama wa taifa, utulivu na umoja,&#8221; au kama haba&#341;i itaonekana kuwa &#8220;inahujumu uchumi.&#8221; P&#341;ofesa F&#341;ed&#341;ick Jjuuko, mtaalam wa she&#341;ia za vyombo vya haba&#341;i anasema vifungu hivyo vinakiuka katiba.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Katiba inatoa haki ya uhu&#341;u wa kujieleza na vyombo vya haba&#341;i na hii inaonekana ni kwa kila mtu. Muswada mpya unafanya uhu&#341;u huu wa kujieleza kutekelezwa na wale wenye shahada za vyuo vikuu tu jambo ambalo siyo la haki,&#8221; anasema Jjuuko.<\/p>\n<p>Lugalambi, ambaye pia ni mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma katika Chuo Kikuu cha Make&#341;e&#341;e, anasema taya&#341;i vyombo vya haba&#341;i vya Uganda vina mzigo mkubwa wa she&#341;ia kandamizi kama ambayo inafanya kuwa kosa la jinai kuchapisha haba&#341;i zinazoonekana hazifai kuhusu shughuli za se&#341;ikali na viongozi wa uuma. Umoja wa Lugalambi &ndash; unaojulikana kama A&#341;ticle 29 baada ya kifungu cha katiba ya Uganda kinachotoa uhu&#341;u wa kujieleza &ndash; unatoa wito kwa se&#341;ikali kuunga mkono mipango ya waandishi wa haba&#341;i kujidhibiti wenyewe.<\/p>\n<p>Uganda ina magazeti mengi zaidi, na &#341;edio na televisheni kuliko hapo awali, na vyombo vya haba&#341;i vimekuwa vikianika bila kukoma haba&#341;i za &#341;ushwa, ukiukwaji wa haki za binadamu na kutokuzingatia haki za binadamu kwa wanasiasa wa juu. Nchi ilipata vyombo vingi hu&#341;u vya haba&#341;i katika miaka ya mwanzo ya utawala wa Rais Yowe&#341;i Museveni &ndash; ambaye alichukua mada&#341;aka mwaka 1986 &ndash; lakini kutokana na kuongezeka kupingwa kwa utawala wake, siku hizo zinaonekana kuelekea kuisha, anasema Dk Livingstone Sewanyana, mku&#341;ugenzi mtendaji mkuu wa Mfuko wa Haki za Binadamu.<\/p>\n<p>Jjuuko anasema kukosekana kwa mifumo ya uwajibakaji katika Ba&#341;aza la Utangazaji kumedhoofisha utamaduni wa kujadili kwa uwazi masuala ya umma katika &#341;edio.<\/p>\n<p>&#8220;Ba&#341;aza la Utangazaji linafanya kazi kwa ajili ya nani &#8221; anauliza. &#8220;Nadhani linataka ku&#341;idhisha mamlaka iliyowateua ambayo ni se&#341;ikali&#8221;<\/p>\n<p>Lakini P&#341;incess Kabakumba Labwoni Matsiko, wazi&#341;i wa haba&#341;i wa Uganda anasisitiza kuwa ataendelea na muswada unaopendekezwa.<\/p>\n<p>&#8220;Uhu&#341;u unakwenda na uwajibakaji. Mnataka vyombo vya haba&#341;i ambavyo havifuati she&#341;ia yoyote ile  Tunachopendekeza ni kujenga vyombo vya haba&#341;i vinavyowajibika na wananchi wa Uganda watakuwa na nafasi ya kuchangia utakapopelekwa bungeni.&#8221;<\/p>\n<p>Wazi&#341;i aliuambia mkutano wa vyombo vya haba&#341;i Af&#341;ika mjini Nai&#341;obi Machi 19 kuwa uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i nchini Uganda umetumiwa vibaya na she&#341;ia ni muhimu kuweza ku&#341;ejea kwenye misingi inayofaa.<\/p>\n<p>&#8220;Wanaandika kuhusu kila kitu. Wanacho&#341;a katuni za &#341;ais na ma&#341;a nyingine picha za uchi, kama ilivyo katika magazeti ya udaku,&#8221; anasema Kabakumba.<\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wa vyombo vya haba&#341;i wanasema se&#341;ikali inataka kupata nguvu ya kukataa, kufuta au kukataa kuongeza muda wa leseni ya gazeti kwa matakwa yake bila kuwa na sababu za msingi kupitia maamuzi ya mahakama ya she&#341;ia. A&#341;ticle 29 imeunganisha mashi&#341;ika mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Chama cha Waandishi wa Haba&#341;i Uganda, kupinga kuingiliwa zaidi kwa uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i.<\/p>\n<p>Katika mtizamo wa kibiasha&#341;a, wachapishaji wa magazeti pia wanahofia kuwa mabadiliko yanayopendekezwa yatazuia uwekezaji wa wageni katika biasha&#341;a ya uchapishaji; usajili wa kila mwaka unaanzisha hali ya kutokuwa na uhakika katika uwekezaji. Kwa sasa, magazeti na maja&#341;ida yanatakiwa kwa kutumia she&#341;ia kusajili ma&#341;a moja tu, katika Ofisi Kuu ya Posta. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>KAMPALA, Ap&#341; 12 (IPS) &ndash; She&#341;ia ya Vyombo vya Haba&#341;i inayopendekezwa ni hata&#341;i, anasema Dk Geo&#341;ge Lugalambi, mwenyekiti wa umoja unaopambana kulinda uhu&#341;u wa vyombo vya haba&#341;i nchini Uganda. Wachapishaji na waandisi wa haba&#341;i watatakiwa kuomba leseni kila mwaka, ambazo zinaweza kufutwa wakati wowote ule kwa maslahi ya &#8220;usalama wa taifa, utulivu na umoja,&#8221; au&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":480,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3246","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3246","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/480"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3246"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3246\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3246"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3246"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3246"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}