{"id":3243,"date":"2010-04-19T13:40:01","date_gmt":"2010-04-19T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/04\/19\/zambia-hofu-ya-hali-ya-afya-baada-ya-mafuiko\/"},"modified":"2010-04-19T13:40:01","modified_gmt":"2010-04-19T13:40:01","slug":"zambia-hofu-ya-hali-ya-afya-baada-ya-mafuiko","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/04\/19\/zambia-hofu-ya-hali-ya-afya-baada-ya-mafuiko\/","title":{"rendered":"ZAMBIA: Hofu ya Hali ya Afya Baada ya Mafu&#341;iko"},"content":{"rendered":"<p>LUSAKA, Ap&#341; 10 (IPS) &ndash; Wakati mvua kubwa zikipungua, na kuonyesha dalili za kumalizika kwa msimu wa mvua, mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu unaenea kote katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Kiutu la M&eacute;decins Sans F&#341;onti&#038;eg&#341;ave;&#341;es (MSF), lilitoa tahadha&#341;i Ap&#341;ili 9 kuhusu kulipuka kwa gonjwa hilo ambalo limeenea katika jiji zima. <\/p>\n<p> &#8220;Wiki tano zilizopita, idadi ya wagonjwa wa kipindupindu imeongezeka kwa kasi kubwa, hadi kufikia zaidi ya 4,500, wakati zaidi ya watu 120 walipoteza maisha yao,&#8221; alisema Luke A&#341;end, mkuu wa ujumbe wa MSF nchini Zambia. <\/p>\n<p>&#8220;Wiki iliyopita tulishuhudia idadi kubwa zaidi ya wagonjwa huku watu 1054 wakilazwa. Idadi hii ya wagonjwa wa kipindupindu ni ya juu kwa mbali zaidi kwa kipindi cha muongo uliopita.&#8221; <\/p>\n<p>Hatua za awali za se&#341;ikali juu ya gonjwa hilo ni kulikanusha. Hata baada ya vyombo vya haba&#341;i ku&#341;ipoti kuongezeka kwa vifo vinavyotokana na kipindupindu kuanzia Feb&#341;ua&#341;i, wiza&#341;a ya afya ilisisitiza kuwa hakuna ugonjwa ulioibuka. <\/p>\n<p>Baadhi ya wilaya kumi na saba nchini kote zimeathi&#341;ika, lakini Lusaka imeathi&#341;ika zaidi. Wakazi wengi wa Lusaka kati ya milioni tatu wanaishi katika makazi yake 38 yasiyokuwa &#341;asmi. Makazi haya yanaandamwa na mlipuko wa kipindupindu kila mwaka wakati mvua kubwa zinapojaza mazji kwenye vyoo vya shimo na kuchafua visima. Eneo kubwa la jiji halihudumiwi na manisipaa, ambayo inasema kuwa ni makazi yasiyopangwa. <\/p>\n<p>Hata katika maeneo ambako manisipaa inayapatia huduma, mfumo wa maji ya mvua umeziba na kufanya &#341;ahisi kusababisha mafu&#341;iko hata baada ya mvua ndogo ya kawaida. Maeneo ya soko yamejaa taka, huku milima vya taka vikionekana wazi machoni mwa watu. Vyoo vya umma ni vichache na viko umbali m&#341;efu, na pale ambapo vinapatikana vipo katika hali mbaya. <\/p>\n<p>Mafu&#341;iko ya mwaka huu &ndash; mabaya zaidi kuwahi kutokea katika miongo kadhaa &ndash; yanakuja pamoja na uwekezaji katika kuka&#341;abati mifumo ya maji ya mvua ya jiji hilo mwaka jana. Pamoja na kazi hiyo, maelfu ya watu katika makazi yenye watu wengi katika jiji wameyahama makazi yao. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Msalaba Mwekundu la Zambia linakubali kuwa hali ni mbaya. Cha&#341;les Mushitu, ambaye anaongoza Shi&#341;ika la Msalaba Mwekundu Zambia, anasema shi&#341;ika lake inabidi kujenga mahema zaidi katika maeneo ya kambi nje ya jiji. Eneo la kambi linaendeshwa na Shi&#341;ika la Msalaba Mwekundu kwa kushi&#341;ikiana na Kitengo cha Kukabiliana na Majanga (DMMU) ambacho kinatoa huduma za msingi kama vile chakula na dawa ya chlo&#341;ine kusafishia maji ya kunywa. <\/p>\n<p>Mamlaka katika mji mkuu wa Zambia yamewataka wale wanaopewa makazi ya muda ku&#341;ejea katika makazi yao, hata kama kwa kiasi kikubwa nyumba zao zimebomoka na njia za kujiingizia kipato kuha&#341;ibiwa kabisa. <\/p>\n<p>Esthe&#341; Lungu ana wasiwasi wa ku&#341;ejea katika makazi yake huko Misisi. Lungu alikuwa miongoni mwa familia kadhaa zilizohamishwa na Msalaba Mwekundu katika kambi wakati bwawa la ka&#341;ibu na makazi yao lilipofu&#341;ika na eneo lao kuzama. <\/p>\n<p>Yeye na watoto wake wanne walipewa hema na Msalaba Mwekundu na anasema alikuwa na maisha ya kawaida. <\/p>\n<p>&#8220;Sijui ni nini kitatokea watakapotuambia kuondoka katika eneo hili,&#8221; anasema Lungu, ambaye hajaolewa na hana aji&#341;a &#341;asmi. Kabla ya janga, aliuza mboga mboga katika soko kutunza familia yake. <\/p>\n<p>Lakini sasa ana wasiwasi kwani hajui kama kibanda kidogo ambacho alikuwa akikodisha bado kitakuwa kimesimama. Pia hana uhakika atapata eneo lake katika soko atakapo&#341;ejea. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LUSAKA, Ap&#341; 10 (IPS) &ndash; Wakati mvua kubwa zikipungua, na kuonyesha dalili za kumalizika kwa msimu wa mvua, mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu unaenea kote katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka. Shi&#341;ika la Kiutu la M&eacute;decins Sans F&#341;onti&#038;eg&#341;ave;&#341;es (MSF), lilitoa tahadha&#341;i Ap&#341;ili 9 kuhusu kulipuka kwa gonjwa hilo ambalo limeenea katika jiji zima. &#8220;Wiki tano&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":759,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3243","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3243","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/759"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3243"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3243\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3243"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3243"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3243"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}