{"id":3206,"date":"2010-03-23T13:40:01","date_gmt":"2010-03-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/03\/23\/kombe-la-dunia-lakini-afika-kusini-itashinda\/"},"modified":"2010-03-23T13:40:01","modified_gmt":"2010-03-23T13:40:01","slug":"kombe-la-dunia-lakini-afika-kusini-itashinda","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/03\/23\/kombe-la-dunia-lakini-afika-kusini-itashinda\/","title":{"rendered":"KOMBE LA DUNIA: Lakini Af&#341;ika Kusini Itashinda"},"content":{"rendered":"<p>JERUSALEM, Machi 18 (IPS) &ndash; Zikiwa zimesalia chini ya siku mia moja, dunia inaendelea kusubi&#341;i, ma&#341;a nyingi kwa wasiwasi zaidi kuliko matumaini.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kwa wiki tano kuanzia 11 hadi Julai 11 tishio la vita litakuwa zaidi ya mahasimu wa michezo duniani &ndash; wakati dunia itakaposikiliza na kuangalia vita katika viwanja kumi katika pembe ya kusini mwa Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Kwa ma&#341;a ya kwanza Kombe la Dunia la Soka litafanyika katika a&#341;dhi ya Af&#341;ika. Mabango ya ba&#341;aba&#341;ani nchini kote Af&#341;ika Kusini yanatangaza Kombe la Dunia kama &#8220;Ayoba!&#8221; &ndash; &#8216;Poa&#8217;. Lakini Af&#341;ika Kusini itakuwa taya&#341;i  Hilo ni swali midomoni mwa dunia &ndash; juu ya Kombe la Dunia la kwanza. <\/p>\n<p>Hakuna hata mmoja anaamini kwa uzito mkubwa kuwa katika tukio hilo la michezo, hata lile lenye utukufu mkubwa kama Kombe la Dunia, linaweza kubadili kwa kasi jamii ambayo imeandamwa na kukosekana kwa usawa katika jamii, uhalifu na VVU. <\/p>\n<p>Lakini kupatiwa nafasi na mamlaka inayotawala mpi&#341;a wa miguu duniani, FIFA, kuandaa Kombe kwa nchi iliyoibuka kutoka ubaguzi wa &#341;angi ya Af&#341;ika Kusini kunapatia nchi fu&#341;sa ya kuonyesha su&#341;a chanya. <\/p>\n<p>Kiasi kikubwa cha mtaji &ndash; siasa, shauku na fedha &ndash; kimewekwa katika kombe kwa kiasi kwamba kama litashindwa kufikia malengo itakuwa pigo kubwa kwa saokolojia ya taifa la Af&#341;ika Kusini. <\/p>\n<p>Wengi wanaonekana kuta&#341;ajia hilo kujitokeza. Waaf&#341;ika Kusini weupe wenye hasi&#341;a ambao wanapendelea zama zao za zamani; watu wa Ulaya wamekasi&#341;ishwa baada ya kuona mchezo wao wanaoupenda ukiwa mikononi mwa Nchi ya Dunia ya Tatu; wakoloni mambo leo wa Dunia ya Kwanza ambao wanastawi kwa kuumia kwa &#8216;wengine&#8217; na ambao mashabiki wanawaongoza kusema kuwa hakika Af&#341;ika Kusini haiwezi kujiondoa katika kuandaa moja ya matukio makubwa zaidi ya michezo duniani. <\/p>\n<p>Wale wanaosikitikia kushindwa kwa &#8220;Rainbow Nation&#8221; wanapuuza mabadiliko ambayo yalijitokeza tangu jamii ya kibaguzi iliposheheni vichwa vya histo&#341;ia walipoungana na &#8220;muungano wa Wambea wa Kushindwa&#8221; kutoka dunia ya michezo. Kwa pamoja, wanabashi&#341;i kuwa SA2010 itakuwa &#8220;kushindwa kubaya&#8221;. Au, kama ambayo Dan Nichol anaandika katika tovuti ya Iaf&#341;ica.com, &#8220;Wale wote wenye mtizamo hasi ambao wanasisitiza kuwa kombe la dunia Af&#341;ika halitafanikiwa.&#8221; <\/p>\n<p>Wanaopinga wapinzani wa Af&#341;ika ni maofisa wa mchezo wa mpi&#341;a wa Af&#341;ika Kusini na mabosi wa FIFA ambao wanasisitiza kuwa wanaotia mashaka watashindwa vibaya. <\/p>\n<p>&#8220;Kila kitu kipo katika mpangilio na kipo taya&#341;i,&#8221; Sepp Blatte&#341;, mkuu wa FIFA, alisema hivi ka&#341;ibuni. &#8220;Ba&#341;a la Af&#341;ika litakuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia. Ni kwa nini baadhi ya makundi yanataka kuamini  Ni &#341;ahisi sana kuamini na kuwa na imani.&#8221; <\/p>\n<p>Wakati wa zia&#341;a ya ukagauzi katika miji tisa itakayokuwa mwenyeji mapema mwezi huu, J&eacute;&#341;&#038;oci&#341;c;me Valcke, katibu mkuu wa FIFA, alishutumu vyombo vya haba&#341;i vya Ulaya kutokana na &#8220;taa&#341;ifa mbaya&#8221;, akisema, &#8220;Msiue Kombe la Dunia kabla halijaanza. Siyo sawa na inasikitisha kweli.&#8221; <\/p>\n<p>Wale wanaozungumzia kushindwa wameendelea kusisitiza kuwa viwanja kumi havitakuwa taya&#341;i. Wakati majani bado ni tatizo katika kiwanja kimoja, wataalam wa FIFA wanasema viwanja kadhaa vinashindana na vingine katika Ma&#341;ekani, Asia au Ulaya. Pia wanapongeza nchi kutokana na kuwa na viwanja vipya vya ndege ambavyo &#8220;vitakuja kuzika dhana ya kuwa nyuma baada ya ukoloni.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Ni wapi unaweza kuona kiwanja kama hiki duniani &#8221; alisema Vlacke wa &#8216;Football City&#8217; uwanja ambao fainali zitachezewa. Katika uwanja huo, miaka 20 iliyopita Nelson Mandela aliitisha mkutano mkubwa baada ya kuachiwa kwake kutoka kifungoni. <\/p>\n<p>Waandaaji wana mata&#341;ajio kuwa mtu huyo mwenye miaka 91 ambaye amekuwa nembo ya uhu&#341;u na uvumilivu duniani atakuwa na nguvu za kutosha kushi&#341;iki she&#341;ehe za ufunguzi na kuweka mhu&#341;i binafsi juu ya mageuzi ya Af&#341;ika Kusini kutoka taifa lililotengwa na mataifa na kuwa mwenyeji wa muungano wa dunia. <\/p>\n<p>Wale wanaodhani nchi hiyo itashindwa pia wanahoji jinsi gani mashabiki kutoka nje watafika viwanjani. Kwa hakika, muongo mmoja na nusu tangu demok&#341;asia ilipoanza, se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini imejitahidi kupata mafanikio. Bado usafi&#341;i wa umma una matatizo, ma&#341;a nyingine unaoke&#341;a, huku watu wengi weusi wakitegemea huduma hata&#341;i za mabasi madogo binafsi ya abi&#341;ia. <\/p>\n<p>Hiyo inapuuza ukweli kwamba chini ya ubaguzi wa &#341;angi hakuna lililofanyika kukidhi mahitaji ya usafi&#341;i kwa watu weusi walio wengi. Huduma mbadala hasa kwa ajili ya kombe la Dunia zimekataliwa na waendeshaji mabasi ya binafsi na kukataliwa na wakazi wenye utaji&#341;i, wengi wao wakitoka vitongoji vya wazungu ambako kulipendekezwa kuwepo kwa njia za mabasi. <\/p>\n<p>Halafu kuna hofu ya malazi. Hofu juu ya uhaba wa vyumba vya hoteli zimepungua kwani idadi ya wageni ina&#341;ekebishwa kutoka 450,000 hadi 350,000 kutokana na mtikisiko wa kiuchumi duniani na kupanda kwa bei za nauli za mashi&#341;ika ya ndege. <\/p>\n<p>Hata hivyo, baadhi ya mashabiki wa nje inabidi kulala katika hoteli zisizokamilika ujenzi wake au kulala katika mabweni ya vyuo au hata mahema katika viwanja. <\/p>\n<p>Wale ambao siyo mashabiki wa kombe la Af&#341;ika wanaangalia kama Af&#341;ika Kusini ina vifaa vya kutosha kuwa mwenyeji wa michezo hiyo na ni aina gani ya uenyeji utakuwa. Hususan, kama mashabiki wa kigeni ambao watafika watakuwa salama. <\/p>\n<p>Af&#341;ika Kusini imetumia zaidi ya dola milioni 300 kwa ajili ya usalama, na kuaji&#341;i polisi 55,000 wa nyongeza na kununua vifaa vya teknolojia ya juu ya kufanya do&#341;ia na kuzuia makundi ya watu hawa wakati wa mashindano. <\/p>\n<p>Jambo muhimu zaidi, mshindi wa tuzo ya Nobel Desmond Tutu anasema kuwa Waaf&#341;ika Kusini wa kawaida wanaotaka Kombe kufanikiwa wanataka kuhakikisha kuwa kila mtu ambaye hatakuwa na maadili mema hatafanya jambo lolote kudhoofisha fu&#341;aha ya jumuiya ya mchezo wa mpi&#341;a duniani. <\/p>\n<p>Hakika Kombe la Dunia 2010 halitakuwa kama michezo mingine iliyochezwa Uje&#341;umani miaka minne iliyopita. Lakini, litavutia. <\/p>\n<p>Kuna malalamiko kuhusu kuuzwa kwa tiketi kwa bei ya juu na kwamba nyingi hazitanunuliwa na makundi ya mashabiki kutoka nje ya Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Kama hilo litajitokeza, mfano wa Ulaya utatumika. Kwa mashabiki wa ndani ambao watashindwa kununua tiketi, FIFA na waandaaji wa SA wanaweza kufuata njia ya mamlaka ya mchezo wa &#341;ugby ya Ufa&#341;ansa wakati wa Kombe la Dunia miaka mitatu iliyopita &ndash; kwa kujaza viwanja vijana na mashabiki wazee, wachezaji wa shule na klabu. <\/p>\n<p>Hawa ni watu ambao hawajawahi, na kwa upande mkubwa pengine hawatawahi tena, kupata fu&#341;sa ya kuwa sehemu ya mna&#341;a wa &#8216;Mchezo wa Watu&#8217;, ambao haupaswi kutengwa kwa ajili ya wale wenye ushawishi wa fedha. <\/p>\n<p>Hiyo itabadili mtizamo mkubwa wa mchezo huo na kuwa wa Kiaf&#341;ika zaidi, fu&#341;sa ya Af&#341;ika kubo&#341;esha kile ambacho sehemu kubwa ni kwa ajili ya dunia nzima &ndash; kwa njia chanya zaidi. <\/p>\n<p>Filamu iliyoingia katika tuzo za Osca&#341; ya Invictus ilionyesha jinsi gani Nelson Mandela alitumia tukio la michezo la dunia, Kombe la Dunia la &#341;ugby mwaka 1995, kusaidia kuponya mgawanyo na madonda ya zamani katika Af&#341;ika Kusini kati ya Waaf&#341;ikana na Waaf&#341;ika weusi. <\/p>\n<p>Vile vile, Waaf&#341;ika Kusini wengi wana mata&#341;ajio kuwa Kombe la Dunia litaondoa su&#341;a hasi yaAf&#341;ika. Kwamba litasaidia kuleta mafanikio katika kusaidia kuponya mgawanyiko wa Dunia ya Kwanza na ya Tatu na maje&#341;aha ya zamani ambapo Ulaya (ambako ni eneo la kuzaliwa kwa mchezo huo wa dunia) inaendana na Af&#341;ika. <\/p>\n<p>&#8220;Kutokana na kusalia siku 100, tunaweza kusikia sauti nene za vuvuzelas (sauti ya kipekee ya ta&#341;umbeta ambayo inatumiwa na mashabiki wa mpi&#341;a wa Af&#341;ika Kusini) ambayo hivi ka&#341;ibuni itashuhudia mwezi mzima wa soka la kuvutia,&#8221; anaandika Nichol. &#8220;Halafu, dunia itatambua mwaka 2010 usingepata nchi mwenyeji nzu&#341;i zaidi.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JERUSALEM, Machi 18 (IPS) &ndash; Zikiwa zimesalia chini ya siku mia moja, dunia inaendelea kusubi&#341;i, ma&#341;a nyingi kwa wasiwasi zaidi kuliko matumaini. Kwa wiki tano kuanzia 11 hadi Julai 11 tishio la vita litakuwa zaidi ya mahasimu wa michezo duniani &ndash; wakati dunia itakaposikiliza na kuangalia vita katika viwanja kumi katika pembe ya kusini mwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":748,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3206","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3206","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/748"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3206"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3206\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3206"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3206"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3206"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}