{"id":3201,"date":"2010-03-23T13:40:01","date_gmt":"2010-03-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/03\/23\/namibia-kama-ukimbusu-kwa-dakika-tano-umeupata\/"},"modified":"2010-03-23T13:40:01","modified_gmt":"2010-03-23T13:40:01","slug":"namibia-kama-ukimbusu-kwa-dakika-tano-umeupata","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/03\/23\/namibia-kama-ukimbusu-kwa-dakika-tano-umeupata\/","title":{"rendered":"NAMIBIA: &#8220;Kama Ukimbusu kwa Dakika Tano Umeupata&#8221;"},"content":{"rendered":"<p>WINDHOEK, Machi 16 (IPS) &ndash; &#8220;Nyumbani tuna baa,&#8221; anasema David B&#341;avo* (14) anayesoma da&#341;asa la saba. &#8220;Mama anapoweka muziki siwezi kusoma masomo yangu ya shule tena. Ma&#341;a nyingine katikati mwa usiku, nakaa tu na kuangalia watu.&#8221;\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>B&#341;avo ni mmoja wa wanafunzi ambao wanatembelea m&#341;adi wa AIDS Ca&#341;e T&#341;ust&#8217;s (ACT) baada ya muda wa shule katika mji wa Katutu&#341;a ka&#341;ibu na Windhoek. M&#341;adi huo unasaidia watoto walioambukizwa VVU au walioathi&#341;ika na ugonjwa huo. Lakini B&#341;avo hapendelei kuzungumzia suala hilo. &#8220;Sitaki kujua kama mama yangu ana UKIMWI.&#8221; <\/p>\n<p>Anatikisa kichwa chake na badala yake anaanza kuzungumzia mambo ambayo anajifunza wakati wa kipindi cha stadi za maisha shuleni. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna njia nyingi za kuambukizwa UKIMWI. Kama unafanya ngono zembe, kugusa kidonda cha ndugu yako, au hata kama unambusu mtu kwa zaidi ya dakika tano,&#8221; anasema. &#8220;Kwa kweli ni ugonjwa mbaya. Watu wenye UKIMWI wanapswa kujilinda wenyewe.&#8221; <\/p>\n<p>Ndani ya ukumbi wa jumuiya wenye mwanga hafifu ambao ni makao ya m&#341;adi huo, baadhi ya watoto 150 wameinamia vitabu vyao katika meza zilizotawanyika katika ukumbi mzima. Kuna makundi ya wanafunzi katika ukumbi na hata katika jukwaa kuu. Rangi ya kibuluu ya sa&#341;e zao za shule inashahibiana na &#341;angi ya kijivu ya sakafu. <\/p>\n<p>Kwa wengi ni fu&#341;sa pekee kufanya kazi yao kufanyika. Kama ilivyo kwa B&#341;avo, wanafunzi wengi wako nyuma kwa mada&#341;asa kadhaa. <\/p>\n<p>&#8220;Wazazi wengi ambao wameathi&#341;ika na VVU ni wagonjwa mno kusaidia watoto wao wadogo. Hawawahamasishi kufanya vizu&#341;i katika shule, ma&#341;a nyingi hawana fedha za kununulia vitabu, sa&#341;e na hata chakula,&#8221; anasema msimamizi F&#341;ans Saka&#341;ia. &#8220;Kwa watoto ambao wana VVU kwenda shule inaweza kuwa eneo gumu kwasababu walimu hawazingatii hali zao, hawaangalii lugha yao.&#8221; <\/p>\n<p>Mpango wa baada ya shule &ndash; ambao ni wa kipekee katika kanda unaofundisha watoto wa msingi &ndash; ulianza mwaka 2008 huku ukiwa na watoto 45 na unajipanga kuwa na watoto 300 ifikapo mwishoni mwa mwaka 2010. Lakini changamoto ni kubwa. <\/p>\n<p>&#8220;Kukodisha tu basi (kubeba watoto) kutoka manisipaa kunagha&#341;imu dola za Namibia 30,000 (dola 4,000 za Kima&#341;ekani) kwa mwezi, au mbili ya tatu ya gha&#341;ama zote za mpango huo,&#8221; anasema m&#341;atibu mwenza wa p&#341;og&#341;amu ya vijana wa ACT Loide Velishavo. <\/p>\n<p>Wakati huo huo, misaada kutoka wiza&#341;a ya afya, huduma za jamii na manisipaa ni kama haipo. <\/p>\n<p>&#8220;Tulizoea kupikia watoto chakula cha mchana katika mazingi&#341;a ya wiza&#341;a, lakini hawataki kulipia umeme tena,&#8221; anasema menaja lishe Tuisne&#341;de Jonathan. &#8220;Hivyo inabidi kwenda kupika katika nyumba ya mtu mwingine sasa.&#8221; Pamoja na hili, mpango huo ni kimbilio salama kwa watoto. <\/p>\n<p>&#8220;Naupenda kwasababu naweza kuwa hapa bila kupigwa,&#8221; anasema F&#341;ansesca Boois* mwenye um&#341;i wa miaka kumi na tatu. &#8220;Wanatusaidia pia kufanya kazi zetu za shule na kutulisha.&#8221; <\/p>\n<p>Baada ya somo lake la kwanza la stadi za maisha wiki iliyopita anajua &#8216;anapaswa kutokunywa pombe, kuvuta siga&#341;a au kuwa na mpenzi wa kiume katika um&#341;i wake.&#8217; Boois na dada zake wanaishi katika kituo cha kulelea yatima, baada ya kuondolewa kutoka kwenye nyumba ya baba yao aliyekuwa akiwanyanyasa. Aliwahi kumuona mama yake ma&#341;a moja tu baada ya kuondoka nyumbani kwenda kuishi na kufanya kazi katika mji mkuu, Windhoek. <\/p>\n<p>&#8220;Ilikuwa mwaka 2006, katika mazishi ya bibi yangu. Mama alikuwa na vidonda mikononi, lakini hajatueleza kuwa alikuwa tatizo gani. Ni baada ya kufa&#341;iki mwaka mmoja baadaye, shangazi yetu alituambia alikuwa na UKIMWI.&#8221; <\/p>\n<p>Baada ya kimya kizito anaendelea: &#8220;Natumaini sitapata ugonjwa huo na kuanza kuugua.&#8221; <\/p>\n<p>Ma&#341;ia Moses* (15) hana matumaini hayo. Miaka minne iliyopita alionekana na VVU. &#8220;Sasa natembea ma&#341;a kwa ma&#341;a umbali wa kilomita kumi kwenda hospitali mwenyewe kuchukua dawa. Katika siku hizo nakosa kwenda shule,&#8221; anaiambia IPS. <\/p>\n<p>Siyo kwamba shule ni kitu ambacho Moses anakitaka. &#8220;Inabidi kutembea saa zima na nusu kufika shuleni na kama sifanyi kazi zangu nyumbani mwalimu ananipiga. Hivyo napenda mpango huu kwani unatusaidia masomo yetu na hata kutulipia ada. Wanakumbuka wakati ambapo inabidi kuchukua dawa na wana imani na sisi. Nahisi nakubalika hapa.&#8221; <\/p>\n<p>Kila Alhamisi watoto wanapata masomo ya stadi za maisha kutoka kwa Kat&#341;ina Jonas. &#8220;UKIMWI ni mpana na mgumu kuuelewa na hatutaki kuchanganya akili za watoto, wala kuwatenga wale walioambukizwa. Lakini tunawapatia mafunzo ya umuhimu wa kuwa wasafi, kufanya kazi zao za shule, kufanya mazoezi na kutokunywa pombe. Katika mpango wa ana kwa ana tunatoa ushau&#341;i nasaha. Watoto wengi wanapata shida ya maswali yanayozunguka ugonjwa na wachache tu wanapata majibu nyumbani kwao.&#8221; <\/p>\n<p>Velishavo anaelezea baadhi ya majibu ambayo yanatolewa na watoto kuhusu VVU\/UKIMWI: &#8220;Mlezi kwa mfano anaweza kusema: &#8216;Siyo mimi nimewaua wazazi wako. Nenda kwenye kabu&#341;i la mama yako ukamuuliza&#8217;.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa familia nyingi zenye watoto wenye VVU ugonjwa unawagawa wasiwe na mahusiano na watoto wenzao, anasema. <\/p>\n<p>&#8220;Kama ukiwauliza ni kwa nini, wananijibu: &#8216;Kwasababu nimekufa&#8217;,&#8221; Velishavo anasema. <\/p>\n<p>Michael Shindeba* (11) anajua kuficha hali yake. &#8220;Nacheza vizu&#341;i na ma&#341;afiki zangu lakini &#8230;hii inatokana na kwamba hawajui hali yangu,&#8221; maneno yake yanakuwa kama ananong&#8217;ona. <\/p>\n<p>Shindeba anaishi na VVU. Alijigundua miaka mitatu iliyopita alipokuwa na um&#341;i wa miaka nane. <\/p>\n<p>Anaishi na mama yake katika kijumba cha mabati, ambacho hakina maji ya bomba wala umeme. Lakini ndoto yake ya kuwa dakta&#341;i haijatoweka, hata baada ya kujua hali yake. <\/p>\n<p>&#8220;Mpango huu ni mahali pazu&#341;i mno pa kujifunzia, sasa nasoma kila ma&#341;a,&#8221; anasema huku akionyesha kuchukulia masomo kwa uzito mkubwa ikilinganishwa na um&#341;i wake. &#8220;Lakini pia tuna mambo mengi ya bu&#341;udani, hivyo sihisi kitu juu ya ugonjwa wangu.&#8221; <\/p>\n<p>*Majina yote ya wanafunzi yamebadilishwa <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WINDHOEK, Machi 16 (IPS) &ndash; &#8220;Nyumbani tuna baa,&#8221; anasema David B&#341;avo* (14) anayesoma da&#341;asa la saba. &#8220;Mama anapoweka muziki siwezi kusoma masomo yangu ya shule tena. Ma&#341;a nyingine katikati mwa usiku, nakaa tu na kuangalia watu.&#8221; B&#341;avo ni mmoja wa wanafunzi ambao wanatembelea m&#341;adi wa AIDS Ca&#341;e T&#341;ust&#8217;s (ACT) baada ya muda wa shule katika&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":599,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3201","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3201","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/599"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3201"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3201\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3201"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3201"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3201"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}