{"id":319,"date":"2003-08-30T13:40:01","date_gmt":"2003-08-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/30\/rushwa-kusini-mwa-afrika-umaskini-na-rushwa-katika\/"},"modified":"2003-08-30T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-30T13:40:01","slug":"rushwa-kusini-mwa-afrika-umaskini-na-rushwa-katika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/30\/rushwa-kusini-mwa-afrika-umaskini-na-rushwa-katika\/","title":{"rendered":"RUSHWA&ndash;KUSINI MWA AFRIKA: Umaskini na Rushwa Katika"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Agosti 29 (IPS) &ndash; Makampuni yanashutumiwa kwa kuendeleza &#341;ushwa katika nchi Kusini mwa Af&#341;ika wanapoingia mikataba mikubwa na se&#341;ikali.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nMakamu wa Rais wa Af&#341;ika ya Kusini, Jacob Zuma, anatetea heshima yake katika siasa baada ya Mamlaka ya Uchunguzi ya Taifa (NPA) kupata ushahidi wa awali kwamba amehusika na kupokea &#341;ushwa katika mpango wa se&#341;ikali ya manunuzi ya silaha.<\/p>\n<p>Zuma anashtakiwa kwa kupokea fedha kutoka kampuni moja ya Ufa&#341;ansa inayotengeneza silaha, Thompson CSF, kwa nia ya kuwasaidia kupata tenda ya se&#341;ikali ya Af&#341;ika ya Kusini.<\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi wa Upelelezi wa Af&#341;ika ya Kusini, Bulelani Ngcuka anasema kwamba, ingawaje kuna ushahidi wa awali dhidi ya Zuma, mata&#341;ajio ya kufanikisha upelelezi wa kumshitaki ni madogo.<\/p>\n<p>&ndash; Maana yake ni kwamba hatuna uhakika wa kushinda kesi hiyo. Kifupi, tumeamua kutomshitaki Makamu wa Rais,&quot; anasema Ngcuka katika mkutano na waandishi wa haba&#341;i wiki iliyopita.<\/p>\n<p>Lakini hata hivyo, mshau&#341;i wa fedha, Schabi&#341; Shaik, atashitakiwa kwa &#341;ushwa na kugushi. Mamlaka hayo pia yataishitaki kampuni ya kutengeneza silaha ya Ufa&#341;ansa, Thompson CSF, kwa kujipatia kiasi kikubwa cha mamilioni ya fedha kutokana na mkataba wa kuuza silaha.<\/p>\n<p>Cha kuchekesha, Zuma ambaye anaiongoza se&#341;ikali kwa kudhamini kampeni ya kizazi kipya ya taifa, hivi sasa ana mawazo ya kuishitaki Mamlaka ya NPA kwa nia ya kulisafisha jina lake.<\/p>\n<p>Uamuzi wa kutomshitaki &#038;oci&#341;c;haujasaidia kabisa&quot;, alisema Zuma, katika mkutano wa wafanyakazi wiki hii. &#038;oci&#341;c;Hiyo imekuwa ni hukumu kutoka kwa waandishi wa haba&#341;i, sifa nyingi zimetumika kunielezea mimi kutokana na taa&#341;ifa zilizovuja kutoka katika kitengo cha upelelezi,&quot; anasema.<\/p>\n<p>Zuma alisema, alifiki&#341;i kwamba ushahidi wa kwanza wa kesi hiyo itapelekwa mahakamani kwa kutolewa hukumu. Uamuzi wa kutompeleka mahakamani, anasema, &#038;oci&#341;c;inasababisha wasiwasi&quot;. Mtafiti maa&#341;ufu katika Taasisi ya Utafiti wa Usalama ya P&#341;etoa&#341;ia (ISS), Hennie van Vuu&#341;en anasema, kuingana na baadhi ya utafiti, kati ya asilimia tano na kumi na mbili ya mabilioni ya dola za Kima&#341;ekani zilitumika katika biasha&#341;a ya silaha dunaini kote zinakwenda kuwahonga viongozi wala &#341;ushwa na wanaopokea hongo.<\/p>\n<p>Akisisitiza kwamba hali ya tabia mbaya haiwezi kuondolewa kwa viongozi, Van Vuu&#341;en anasema mashi&#341;ika makubwa ya kimataifa yana bajeti kubwa zaidi kuliko pato la mwaka la nchi nyingi zinazoendelea. Na kwamba yanaweza kutoa pesa nyingi ili kuwanga viongozi wenye tabia za &#341;ushwa. Hii ni kweli hasa katika nchi zinazoendelea ambapo se&#341;ikali haina &#341;asilimali kutosheleza kuwalipa wafanyakazi wake na wengi hawawezi kuishi kwa mishaha&#341;a yao.<\/p>\n<p>Van Vuu&#341;en anaamini moja ya njia nzu&#341;i za kuanza kupambana na &#341;ushwa ni kwa se&#341;ikali kuanzisha mfumo wenye nguvu wa she&#341;ia, ambao kama utatekelezwa, utazuia viongozi kuweza kuja&#341;ibiwa kupokea hongo.<\/p>\n<p>Af&#341;ika ya Kusini ina idadi ya she&#341;ia , ikiwa ni pamoja na ile inayopiga kipenda ya kuzuia &#341;ushwa. Hata hivyo, Van Vuu&#341;en anasema, wachunguzi wake bado hawajaonekana kutishika kupambana hata viongozi wa kisiasa wa ngazi za juu, &#038;oci&#341;c;kitu ambacho hakitokei ma&#341;a kwa ma&#341;a hata katika nchi zilizokomaa kidemok&#341;asia.&quot;<\/p>\n<p>Anasema ma&#341;ekani na Shi&#341;ika la Kiuchumi, Maendeleo na Ushi&#341;ikiano (OECD)&ndash;ambalo limeundwa na nchi 30 zinazojitoa kwa demok&#341;asia na utawala bo&#341;a&ndash;zina she&#341;ia ambazo zinafanya kuwa kinyume cha she&#341;ia kwa makampuni ya kimataifa kuhonga na kutoa &#341;ushwa kwa viongozi wa se&#341;ikali.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Van Vuu&#341;en anasema, katika kesi mbalimbali se&#341;ikalini na katika makampuni katika nchi zilizoendelea inaonekana kutekeleza she&#341;ia hizi kidogo sana.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Utangazaji la Af&#341;ika ya Kusini (SABC) lilitoa taa&#341;ifa wiki hii kwamba tak&#341;ibani makampuni ya kimataifa 15, yanayoaminika kujihusisha katika &#341;ushwa katika M&#341;adi wa Maji wa Nyanda za Juu nchini Lesotho, yatahukumiwa hivi ka&#341;ibuni. Hii inakuja baada ya shi&#341;ika la Uje&#341;umani, Lahmeye&#341;, lilipopigwa faini ya Randi milioni 10.5 (dola za Kima&#341;ekani milioni 1.46) katika Mahakama ya Juu ya Lesotho kutokana na hongo, ili kupata zabuni yenye faida kubwa, wiki hii.<\/p>\n<p>Lahmeye&#341; linasema litakata &#341;ufaa dhidi ya hukumu na faini.<\/p>\n<p>Mku&#341;ugenzi wa bwawa na mpango wa ujenzi wa nguvu za umeme, Masupha Sole, amehukumiwa miaka 15 jela kutokana na kupokea hongo ya thamani ya zaidi ya dola za Ma&#341;ekani milioni moja.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Lesotho inasema se&#341;a yake mpya ya &#038;oci&#341;c;ze&#341;o&ndash;tole&#341;ance&quot; katika &#341;ushwa itavutia imani ya wawekezaji katika ufalme. Inaonya kwamba kama makampuni ya kimataifa na viongizi wa juu se&#341;ikalini waliohusika katika &#341;ushwa hawatahukumiwa, na wanegine watafuatilia.<\/p>\n<p>Mwanashe&#341;ia Mkuu wa Lesotho, Fine Maena, alisema: &#038;oci&#341;c;Imani ya wawekezaji itapotea kama &#341;ushwa na watu kustawi katika hongo. Tunasema kwamba ma&#341;a baada ya mashi&#341;ika ya kimataifa na jumuiya ya kimataifa kwa ujumla watakapokubali kwamba hakuna kuivumilia &#341;ushwa, hapo ndipo itakapomaanisha kwamba kutakuwa na wawekezaji watakaokuja Lesotho.&quot;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Agosti 29 (IPS) &ndash; Makampuni yanashutumiwa kwa kuendeleza &#341;ushwa katika nchi Kusini mwa Af&#341;ika wanapoingia mikataba mikubwa na se&#341;ikali. Makamu wa Rais wa Af&#341;ika ya Kusini, Jacob Zuma, anatetea heshima yake katika siasa baada ya Mamlaka ya Uchunguzi ya Taifa (NPA) kupata ushahidi wa awali kwamba amehusika na kupokea &#341;ushwa katika mpango wa se&#341;ikali&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":16,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-319","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/319","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/16"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=319"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/319\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=319"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=319"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=319"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}