{"id":3189,"date":"2010-03-15T13:40:01","date_gmt":"2010-03-15T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/03\/15\/haki-habai-ya-mafanikio-ya-afika-katika-uwezeshwaji-wa-kijinsia\/"},"modified":"2010-03-15T13:40:01","modified_gmt":"2010-03-15T13:40:01","slug":"haki-habai-ya-mafanikio-ya-afika-katika-uwezeshwaji-wa-kijinsia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/03\/15\/haki-habai-ya-mafanikio-ya-afika-katika-uwezeshwaji-wa-kijinsia\/","title":{"rendered":"HAKI: Haba&#341;i ya Mafanikio ya Af&#341;ika Katika Uwezeshwaji wa Kijinsia"},"content":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Machi 10 (IPS) &ndash; Kila wakati suala la uwezeshwaji wa kijinsia linapochukua nafasi ya juu katika mjadala wa kimataifa, baadhi ya nchi za Ulaya, Asia na Ame&#341;ika Kusini zinatoa sifa kubwa kutokana na mafanikio katika siasa, elimu, huduma za afya au uhu&#341;u wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia hata kama Af&#341;ika imeachwa nyuma zaidi katika &#341;ikodi za kisiasa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Rwanda imeongoza kimataifa katika suala la kuwa na wanawake wengi zaidi katika nafasi za kuchaguliwa, huku zaidi ya nusu ya wabunge wakiwa wanawake, anasema Litha Musyimi&ndash;Ogana, mku&#341;ugenzi wa ku&#341;ugenzi ya wanawake, jinsia na maendeleo katika Umoja wa Af&#341;ika (AU) wenye wanachama 53, umoja mkubwa zaidi wa mataifa ya Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Cape Ve&#341;de, taifa jingine la Af&#341;ika lina mafanikio makubwa, lina &#8220;kiasi kikubwa zaidi cha mawazi&#341;i wanawake duniani:&#8221; wakati wa hesabu ya mwisho, wanafikia 12 kati ya 17. <\/p>\n<p>Lakini bado, Musyimi&ndash;Ogana anasema, AU inatambua kuwa pamoja na asilimia 70 ya nchi wanachama wake kuwa na se&#341;a za jinsia, kuna &#8220;changamoto nyingi za utetekelezaji&#8221;. <\/p>\n<p>Sababu ni kwa nini se&#341;a hizi hazitekelezwi ni kutokana na kukosekana kwa &#341;asilimali fedha. <\/p>\n<p>Matokeo yake, AU imeanzisha Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake Af&#341;ika kukabiliana na &#8220;vikwazo katika &#341;asilimali&#8221;. <\/p>\n<p>Wakati huo huo, imeshaanzisha itifaki &ndash; wa&#341;aka wa &#8216;Haki za Wanawake&#8217; ulio&#341;idhiwa na nchi 27 &ndash; katika Mkataba wa Haki za Binadamu Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Lalla Ben Ba&#341;ka, naibu katibu mtendaji mkuu wa Tume ya Uchumi ya Umoja wa Mataifa Af&#341;ika (ECA), anadai kuwa Af&#341;ika imepata &#8220;mafanikio ya kujivunia&#8221; katika kuziba pengo la jinsia katika elimu ya msingi, hasa kutokana na &#8220;kuwa na elimu ya bu&#341;e, na ya lazima&#8221; &ndash; katika ba&#341;a zima. <\/p>\n<p>Aliiambia Tume ya Hali ya Wanawake (CSW), ambayo inamaliza vikao vyake viwili Ijumaa, kuwa asilimia 65 ya nchi katika kanda zilikuwa zikifanya utafiti kuhusu hali ya wasichana, na baadhi ya nchi zime&#341;ekebisha mtaala wa shule kuonyesha su&#341;a nzu&#341;i ya wanawake. <\/p>\n<p>Hata hivyo, bado kuna mapengo katika maeneo kadhaa: haki ya u&#341;ithi kwa wanawake, elimu ya juu na kutokomeza tamaduni mbaya na zenye vikwazo katika maendeleo ya wanawake. <\/p>\n<p>Alisema Libe&#341;ia ilipata mafanikio makubwa kwa kuchagua &#341;ais wa kwanza mwanamke katika ba&#341;a la Af&#341;ika, Ellen Johnson Si&#341;leaf, ambaye aliingia mada&#341;akani Janua&#341;i 2006. <\/p>\n<p>Ben Ba&#341;ka pia alisema kuwa asilimia 47 ya nchi zina she&#341;ia za kutokomeza toha&#341;a kwa wanawake (FGM), na nyingi zimetoa huduma kubwa kwa waathi&#341;ika. <\/p>\n<p>Kulingana na Tsegga Gaim Misgun wa Umoja wa Kitaifa wa Wanawake wa E&#341;it&#341;ea, jitihada za kutokomeza FGM zilianza nyuma mwishoni mwa miaka ya 1970 &ndash; hata kabla ya uhu&#341;u &#341;asmi wa E&#341;it&#341;ea mwaka 1993 &ndash; na se&#341;ikali ya waasi wa E&#341;it&#341;ean People&#8217;s Libe&#341;ation F&#341;ont. <\/p>\n<p>Kutokana na jitihada hizi, watu wa E&#341;it&#341;ea walikuwa wameanzisha she&#341;ia za jumuiya kupiga ma&#341;ufuku FGM. Katika mipango hii, se&#341;ikali ya E&#341;it&#341;ea ilipiga ma&#341;ufuku toha&#341;a Machi 2007. <\/p>\n<p>&#8220;She&#341;ia zilifanya toha&#341;a kwa wanawake kuwa kosa la jinai,&#8221; Misgun alisema. <\/p>\n<p>Noluthando Mayende&ndash;Sibiya, wazi&#341;i wa wanawake, watoto na watu wenye ulemavu wa Af&#341;ika Kusini, aliwaambia wajumbe kuwa pamoja na kwamba unyanyasaji dhidi ya wanawake unabakia kuwa &#8220;wasiwasi mkubwa wa se&#341;ikali&#8221;, nchi yake iko katika hatua ya juu ya kuandaa mpango makini wa kushughulikia unyanyasaji wa kijinsia. <\/p>\n<p>Mipango hii ni pamoja na she&#341;ia katika makosa ya kujamiiana; usafi&#341;ishaji wa binadamu; unyanyasaji majumbani; na she&#341;ia ya watoto. <\/p>\n<p>Kituo cha kutunza watoto cha &#8220;Thuthuzela Ca&#341;e Cent&#341;e&#8221;, kilielezewa kama kituo kinachofanya kazi kubwa kwa waathi&#341;ika wa unyanyasaji wa majumbani, na kupongezwa kama mfano &#8220;bo&#341;a&#8221; katika &#341;ipoti ya mwaka 2007 ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki&ndash;moon kuhusu unyanyasaji wa watoto. <\/p>\n<p>&#8220;Kazi hizi zinaigwa na nchi nyingine katika ngazi ya kimataifa,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Mayende&ndash;Sibiya pia alisema kuwa Af&#341;ika Kusini inajivunia kwa kuwa na idadi kubwa ya wanawake wanaopelekwa katika kulinda amani, ambao ni sawa na wastani wa asilimia 40 ya walinzi wa amani kutoka nchini humo. <\/p>\n<p>Alphonsine Mbie N&#8217;na, wazi&#341;i wa afya na masuala ya jamii wa Gabon, alisema nchi yake imeunda mkakati wa kupunguza umaskini ikiwa ni pamoja na mtihani wa kutangaza shughuli za kijamii na kiuchumi miongoni mwa wanawake, huku washindi wakipata dola 40,000 na safa&#341;i za nje. <\/p>\n<p>Katika nyanja ya aji&#341;a, Gabon haina ubaguzi wa kuaji&#341;i wala mshaha&#341;a. Shule na vitabu ni bu&#341;e. <\/p>\n<p>Nchini Ethiopia, wazi&#341;i wa masuala ya wanawake ni sehemu ya nguzo ya utendaji ya se&#341;ikali. <\/p>\n<p>Na ili kukuza usawa wa kijinsia katika kilimo &ndash; sekta kuu ya kiuchumi nchini humo &ndash; Ethiopia inasajili majina ya wanandoa kwa ajili ya kupata vyeti vya a&#341;dhi ili kuhakikisha kuwa wanawake wanaweza kumiliki njia za kiuchumi. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>UMOJA WA MATAIFA, Machi 10 (IPS) &ndash; Kila wakati suala la uwezeshwaji wa kijinsia linapochukua nafasi ya juu katika mjadala wa kimataifa, baadhi ya nchi za Ulaya, Asia na Ame&#341;ika Kusini zinatoa sifa kubwa kutokana na mafanikio katika siasa, elimu, huduma za afya au uhu&#341;u wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia hata kama Af&#341;ika imeachwa nyuma zaidi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":382,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3189","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3189","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/382"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3189"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3189\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3189"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3189"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3189"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}