{"id":3183,"date":"2010-03-15T13:40:01","date_gmt":"2010-03-15T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/03\/15\/afya-afrika-kusini-miaka-mitano-ya-watoto-wanaozaliwa-bila-vvu\/"},"modified":"2010-03-15T13:40:01","modified_gmt":"2010-03-15T13:40:01","slug":"afya-afrika-kusini-miaka-mitano-ya-watoto-wanaozaliwa-bila-vvu","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/03\/15\/afya-afrika-kusini-miaka-mitano-ya-watoto-wanaozaliwa-bila-vvu\/","title":{"rendered":"AFYA&ndash;AFRIKA KUSINI: Miaka Mitano ya Watoto Wanaozaliwa Bila VVU"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Machi 8 (IPS) &ndash; Dunia ambayo watoto wote wanazaliwa bila maambukizi ya VVU inawezekana kwa kipindi cha miaka mitano tu ijayo kama wafadhili wataendelea kutoa fedha kufadhili jitihada za kimataifa kukabiliana na vi&#341;usi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mfuko wa Dunia wa Kupamba na UKIMWI, Kifua Kikuu (TB) na Mala&#341;ia unasema maambukizi ya TB yatapungua kwa nusu ifikapo mwaka 2015 na mala&#341;ia itatokomezwa kutoka kuwa tatizo la afya ya umma ifikapo mwaka 2020 kama kutakuwa na ongezeko la ufadhili katika mipango hiyo. <\/p>\n<p>Ripoti ya mfuko huo ilizinduliwa mjini Johannesbu&#341;g Machi 8 na P&#341;ofesa Michel Kazatchkine, mku&#341;ugenzi mtendaji wa shi&#341;ika hilo. &#8220;Dunia mbapo hakuna mtoto atakayezaliwa bila VVU hakika inawezekana ifikapo mwaka 2015,&#8221; Kazatchkine alisema. <\/p>\n<p>Mipango inayosaidiwa na Mfuko wa Kimataifa katika nchi zinazoendelea iliokoa kwa uchache maisha ya watu 3,600 kwa siku mwaka 2009 na wastani wa watu milioni 4.9 tangu kuanzishwa kwake mwaka 2002. <\/p>\n<p>Hadi mwishoni mwa mipango hiyo mwaka 2009 iliyofadhiliwa na mfuko huo ilitoa madawa ya kupunguza makali ya VVU (ART) kwa watu milioni 2.5 na wanawake wenye mimba walioambukizwa VVU 790,000 walikuwa katika mpango wa kuzuia maambukizi ya vi&#341;usi kwenda kwa mtoto (MTCT) katika nchi zinazoendelea. <\/p>\n<p>Ripoti ilisema kuwa kuendelea na kuzidi kuongeza ahadi za fedha za muda m&#341;efu kutoka kwa wafadhili litakuwa jambo muhimu ili kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDGs) ifikapo mwaka 2015. <\/p>\n<p>&#8220;Mfuko wa Kimataifa unahusu kupata matokeo. Ripoti hii inaonyesha wazi kuwa uwekezaji wa dunia unaleta tofauti,&#8221; alisema Michel Sidibe, mkuu&#341;genzi mtendaji wa Mpango wa VVU\/UKIMWI wa Umoja wa Mataifa. <\/p>\n<p>Af&#341;ika Kusini ni moja ya nchi ambazo zimewezesha upanuzi wa kasi wa kuzuia VVU, matunzo na kutoa huduma za tiba kulingana na &#341;ipoti. Af&#341;ika Kusini inapokea dola milioni 271.3 kutoka kwenye mfuko huo. <\/p>\n<p>Kulingana na Wazi&#341;i wa Afya wa Af&#341;ika Kusini, Dk Aa&#341;on Motsoaledi, mfuko huo umeshatoa tiba kwa watu 400,000 kati ya 920,000 ambao wanatumia ART nchini humo. &#8220;Ufadhili huu umekwenda hatua kubwa katika kusaidia mafanikio ya Af&#341;ika Kusini kufikia malengo ya MDGs kwa wakati uliopangwa,&#8221; Motsoaledi aliongeza. <\/p>\n<p>&#8220;Ni matumaini yetu kuwa kama se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini wafadhili watatumia &#341;ipoti hii kuona kazi inayofanywa na Mfuko wa Kimataifa katika nchi zinazoendelea kuzisaidia kufikia mafanikio ya MDGs,&#8221; Motsoaledi alisema. <\/p>\n<p>Mfuko wa Kimataifa umewekeza katika nchi 41 katika masha&#341;iki, kusini, magha&#341;ibi na Af&#341;ika ya kati kwa kulenga pale ambapo mahitaji ni makubwa zaidi. <\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ipoti hiyo Namibia, Rwanda na Zambia zipo katika msta&#341;i wa kufikia shabaha ya kutoa ART kwa wote. <\/p>\n<p>Nchini Malawi wanawake wajawazito 37,000 wenye VVU wamepatiwa MTCT hadi mwishoni mwa mwaka 2009 na katika kipindi cha miezi sita ya kuanzishwa kwa ART jumla ya vifo vya watu wazima ilipungua kwa asilimia 10. <\/p>\n<p>Vyote hivi ni viashi&#341;ia vya mafanikio mazu&#341;i, hasa katika ba&#341;a la Af&#341;ika, alisema Sidibe. <\/p>\n<p>Sidebe pia alielezea umuhimu wa kutolewa kwa fedha tena. Alisema kuwa &#8220;kujiondoa kwa mi&#341;adi inayofadhiliwa na Mfuko wa Kimataifa itakuwa ndoto kutoa madawa kwa wote, kwani itakuwa na maana ya kuwaondoa watu ambao taya&#341;i wapo katika tiba ya VVU kutumia tiba hiyo kutokana na kukosa ufadhili.&#8221; <\/p>\n<p>Lakini ili mafanikio haya kuwa endelevu wafadhili wa kimataifa wanapaswa kuendelea kutumikia sehemu yao, alielezea Kazatchkine. <\/p>\n<p>Mfuko huo unahitaji dola bilioni 20 katika kipindi cha miaka mitatu ijayo. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Machi 8 (IPS) &ndash; Dunia ambayo watoto wote wanazaliwa bila maambukizi ya VVU inawezekana kwa kipindi cha miaka mitano tu ijayo kama wafadhili wataendelea kutoa fedha kufadhili jitihada za kimataifa kukabiliana na vi&#341;usi. Mfuko wa Dunia wa Kupamba na UKIMWI, Kifua Kikuu (TB) na Mala&#341;ia unasema maambukizi ya TB yatapungua kwa nusu ifikapo mwaka&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":744,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3183","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3183","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/744"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3183"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3183\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3183"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3183"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3183"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}