{"id":318,"date":"2003-08-30T13:40:01","date_gmt":"2003-08-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/30\/utamaduni-nigeria-suala-la-amina-lawal-kuamuliwa\/"},"modified":"2003-08-30T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-30T13:40:01","slug":"utamaduni-nigeria-suala-la-amina-lawal-kuamuliwa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/30\/utamaduni-nigeria-suala-la-amina-lawal-kuamuliwa\/","title":{"rendered":"UTAMADUNI&ndash;NIGERIA: Suala la Amina Lawal Kuamuliwa"},"content":{"rendered":"<p>LAGOS, Aug 29 (IPS) &ndash; &ndash;Amina Lawal, aliyehukumiwa kifo katika jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nige&#341;ia kutokana na uzinzi, Septemba 25 atajua kama atapigwa mawe hadi kufa au la.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nAmina kwa kupitia mwanashe&#341;ia wake Hawa Ib&#341;ahim, alikata &#341;ufaa dhidi ya hukumu ya kifo iliyotolewa na Mahakama ya Juu ya Sha&#341;ia huko Funtua mwaka jana.<\/p>\n<p>Mama wa miaka 31&ndash;mwezi Machi mwaka jana alionekana kuwa na hatia katika mahakama ndogo ya Sha&#341;ia huko Funtua kutokana na uzinzi na kuhukumiwa kifo kwa kupigwa mawe kutokana na kujifungua mtoto wa kike zaidi ya miezi tisa baada ya kupewa talaka. Alikata &#341;ufaa dhidi ya hukumu hiyo katika Mahakama ya Juu ya Sha&#341;ia akiwa na imani hukumu yake ingebadilishwa, lakini Agosti 10 mwaka huo, mahakama ilithibitisha kwamba anastahili hukumu ya kifo.<\/p>\n<p>&ndash; Tupo hapa kuthibitisha hukumu ya mahakama ya Sha&#341;ia ya Bako&#341;i ambayo iliamua kwamba utahukumiwa kifo kwa kupigwa mawe,&quot; alisema jaji aliyehukumu kesi hiyo, Abdullahi Aliyu Katsina, alipokuwa akithibitisha hukumu ya kifo. Hata hivyo mahakama ilifikia uamuzi kwamba Amina atamhudumia mtoto wake wa miezi nane kwa miaka mitatu kabla ya kuuawa.<\/p>\n<p>Baada ya kumsikiliza hakimu wa Amina, Aliyu Musa Yawu&#341;i wakati wa kusikilizwa upya kwa mashitaka wiki hii, majaji watano wa Sha&#341;ia walikubaliana kutoa uamuzi wa &#341;ufaa ya Amina Septemba 25.<\/p>\n<p>Yawu&#341;i aliiambia mahakama kwamba katika she&#341;ia za Kiislamu, kuna kifungu kinachosema mwanamke anaweza &#038;oci&#341;c;kubeba mimba iliyolala&quot; kwa miaka mitano kuanzia siku aliyopewa talaka. &#038;oci&#341;c;Amina alipewa mimba kama miezi 10 wakati alipojifungua mtoto wake, hivyo mahakama ilitakiwa kutumia she&#341;ia kumuunga yeye mkono,&quot; Yawu&#341;i alipendekeza.<\/p>\n<p>Mwanashe&#341;ia pia aliwaambia majaji wa Sha&#341;ia kwamba Amina alifuta kuki&#341;i kwake kosa alikofanya Machi mwaka jana, lakini katika &#341;ufaa yake ya awali kwa mahakama ya juu ya Sha&#341;ia, ombi lake lilikataliwa.<\/p>\n<p>Hata hivyo hukumu ilisema kwamba maneno ya kuki&#341;i yangeweza tu kuondolewa kama maelezo zaidi juu ya mimba yake yangetolewa, ambayo alisema hayakutolewa.<\/p>\n<p>Ma&#341;a baada ya hukumu ya Machi iliyotolewa na mahakama kuu ya Sha&#341;ia, wanaha&#341;akati wa haki za binadamu nchini humo, pamoja na mashi&#341;ika ya kimataifa yakiongozwa na Amnesty Inte&#341;national yalilaani hukumu hiyo na kuanza kampeni dhidi ya hukumu. Saini kadhaa ziliandaliwa na wanaha&#341;akati wa haki za binadamu nchini Nige&#341;ia na Ma&#341;ekani, kwa mfano, katika jitihada za kuokoa maisha ya Amina.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Tuna wasiwasi sana kwamba kutokana na kesi hii, hukumu haijazingatia, kwa mfano, katiba ya Nige&#341;ia na wajibu wa Nige&#341;ia katika vyombo vya kishe&#341;ia vya kimataifa na mkataba wa Af&#341;ika wa haki za binadamu, tunatumaini kwamba mwanamke atapewa haki ya kukata &#341;ufaa,&quot; alisema Steven Callow, msemaji wa Amnesty Inte&#341;national.<\/p>\n<p>Mwanache&#341;ia na mwanaha&#341;akati wa haki za binadamu, Hawa Ib&#341;ahim, ambaye aliandikisha kesi hiyo katika mahakama ya &#341;ufaa ya Sha&#341;ia katika jimbo la Katsina, alisema miongoni mwa vyombo vya kimataifa vinapinga hukumu hizo za vifo, na kuelezea hukumu za namna hiyo kama za kikatili, zinazoenda kinyume na haki za binadamu na unyanyasaji.<\/p>\n<p>Wakiwa na wasiwasi wa atha&#341;i mbaya za hukumu na kuuawa kwa Amina nchini Nige&#341;ia kimataifa, se&#341;ikali imehakikisha kwamba hakuna atakayeuawa kwa mawe.<\/p>\n<p>Akihakikishia jumuiya ya kimataifa juu ya nafasi ya se&#341;ikali, aliyekuwa Wazi&#341;i wa Nchi anayeshughulikia mambo ya Nje, Dubem Onyia alisema: &#038;oci&#341;c;Hukumu siyo mwisho wa she&#341;ia kwani bado kuna mahakama za juu za kuangalia kesi hiyo.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali ya Nige&#341;ia haijawahi kudha&#341;au haki za &#341;aia wake na haitaweza kuangalia kando wakati haki hizi zinapotishiwa. Ni haki kugusia kwamba katika histo&#341;ia ya she&#341;ia nchini Nige&#341;ia, hakuna mwanamke ambaye amewahi kuadhibiwa adhabu ya kiuonevu kama ilivotolewa katika kesi hii na hili litapewa kipaumbele.&quot;<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Katiba ya Nige&#341;ia inashika hatamu katika kesi hii. Katika kuangalia katiba yetu, sifa za kweli za shi&#341;ikisho zina&#341;uhusiwa kufanya kazi kwa hali hii she&#341;ia za majimbo zina&#341;uhusiwa kufanya kazi bila kuingiliwa lakini kama ilivyo katika shi&#341;ikisho la kweli katika kutafsi&#341;i she&#341;ia hizo, wakati she&#341;ia za majimbo zinapokiuka she&#341;ia za shi&#341;ikisho, she&#341;ia za shi&#341;ikisho daima zinakuwa na nguvu,&quot; alisema Onyia.<\/p>\n<p>Amina Lawal ni mwanamke wa pili kuhukumiwa kifo kwa tuhuma za uzinzi. Safiya Hussein, ambaye alikuwa wa kwanza kuhukumiwa na mahakama ndogo ya Sha&#341;ia kwa kuwa na mtoto nje ya ndoa, aliachiwa hu&#341;u na Mahakama Kuu ya Sha&#341;ia kutokana na shinikizo kubwa la kimataifa na kilio cha wanaha&#341;akati wa haki za binadamu na kuingilia kati kwa mapema kwa &#341;ais.<\/p>\n<p>Ka&#341;ibu Nige&#341;ia iwe nchi iliyotengwa na jumuiya ya kimataifa kwa ma&#341;a ya pili baada ya kipindi cha ma&#341;ehemu Jene&#341;ali Sani Abacha lakini aliachiwa hu&#341;u kutokana na hukumu ya mahakama ya &#341;ufaa ya Sha&#341;ia ambayo ilibatilisha uamuzi. Safiya sasa ni &#341;aia wa Rome, Italia.<\/p>\n<p>Wachambuzi wanaamini Amina Lawal atakuja kuachiliwa hu&#341;u na mahakama ya &#341;ufaa ya Sha&#341;ia kutokana na kwamba kumekuwepo na mfano wakati Safiya mwenye um&#341;i wa miaka 30 alipoachiliwa na mahaka ya Rufaa kutokana na vilio vya wanaha&#341;akati wa haki za binadamu.<\/p>\n<p>Pia wanakubaliana kwamba kama mahakama ya &#341;ufaa ya Sha&#341;ia itathibitisha kifo, anaweza kukata &#341;ufaa katika mahakama ya juu kama ngazi nyingine kabla ya mahakama kuu ambayo ni ya juu zaidi nchini humo, ili kutafsi&#341;i mfumo wa she&#341;ia.<\/p>\n<p>Biola Lawal, makamu wa &#341;ais mwenyekiti wa Msikiti Mkuu wa Gowon mjini Lagos, aliiambia IPS: &#038;oci&#341;c;Uislamu ni dini yenye uvumilivu sana. Katika Uislamu, kama mtu anaua mwenzake na anahukumiwa, familia ya mtu aliyeuawa inaweza kuonyesha hu&#341;uma lakini muuaji anaweza kulipa baadhi ya fidia kwa familia ya yule aliyeuawa.&quot;<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Katika kesi ya uzinzi, inategemea mwanamke alitoa ushahidi gani mahakamani. Kama aliwadanganya majaji hapa duniani, hawezi kumdanganya Mungu siku ya hukumu. Hata wakati wa siku za mtume Mohammed, wenye dhambi walikuwa wanatubu bila kulazimishwa. Inakuwa ni imani kubwa sana kama unajitoa kwa Mungu.&quot;<\/p>\n<p>Lawal hakubaliani kwamba majaji watamwachia kutokana na shinikizo la kimataifa. &#038;oci&#341;c;Sifiki&#341;ii majaji watasema kwasababu Magha&#341;ibi inapinga kitendo hicho, tuache. Kama ningekuwa wao, nisengeweza (kusikiliza Magha&#341;ibi), kwasababu siku ya hukumu nitatakiwa kutoa hesabu kulingana na matendo yangu&quot;.<\/p>\n<p>Anaamini kwamba vijana wa Kiislamu wa kaskazini mwa nchi ya Nige&#341;ia hawataandamana mitaani kutokana na hukumu yeyote ya kumwachia Amina hu&#341;u, lakini alionya kwamba jamii ni lazima iwe makini isi&#341;uhusu zinaa kustawi ba&#341;ani Af&#341;ika kuzuai adhabu mbaya ya Mungu.<\/p>\n<p>Sha&#341;ia iliaza katika jimbo la Zamfa&#341;a kaskazini mwa Nige&#341;ia kama chombo cha kisiasa katika kampeni za Gavana Ye&#341;ima Sani mwaka 1999. Majimbo mengine ya kaskazini tangu wakati huo yamejiunga na watu wengi wanaume kwa wanawake wamekuwa wakipewa adhabu mbalimbali zinazopelekea kukatwa mikono kutokana na wizi na kupigwa viboko kutokana na kunywa pombe. (ENDS\/IPS\/AF\/WA\/CR\/TO\/SM\/03)<\/p>\n<p>=08290746 \tORP006 NNNN<\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LAGOS, Aug 29 (IPS) &ndash; &ndash;Amina Lawal, aliyehukumiwa kifo katika jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nige&#341;ia kutokana na uzinzi, Septemba 25 atajua kama atapigwa mawe hadi kufa au la. Amina kwa kupitia mwanashe&#341;ia wake Hawa Ib&#341;ahim, alikata &#341;ufaa dhidi ya hukumu ya kifo iliyotolewa na Mahakama ya Juu ya Sha&#341;ia huko Funtua mwaka jana. Mama&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":37,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-318","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/318","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/37"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=318"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/318\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=318"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=318"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=318"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}