{"id":3170,"date":"2010-03-02T13:40:01","date_gmt":"2010-03-02T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/03\/02\/malawi-fedha-zaidi-zatengwa-kwa-msaada-wa-ukame\/"},"modified":"2010-03-02T13:40:01","modified_gmt":"2010-03-02T13:40:01","slug":"malawi-fedha-zaidi-zatengwa-kwa-msaada-wa-ukame","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2010\/03\/02\/malawi-fedha-zaidi-zatengwa-kwa-msaada-wa-ukame\/","title":{"rendered":"MALAWI: Fedha Zaidi Zatengwa kwa Msaada wa Ukame"},"content":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Feb 25 (IPS) &ndash; Mkulima wa mahindi Yunus Anita ameishi kwa zaidi ya miaka 30 ka&#341;ibu na Mlima Mulanje kusini mwa Malawi. Na yeye hana kumbukumbu kama kumewahi kuwa na ukame katika eneo hilo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wakati kumekuwa na ukame mkali ma&#341;a nne nchini Malawi katika kipindi cha miaka 25 iliyopita, wilaya ya Mulanje haijaathi&#341;ika na hali hii. Hivyo ukame wa mwaka huu ni wa kwanza kwa Yunus na hivyo ana wasiwasi mkubwa. <\/p>\n<p>&#8220;Sijui adhabu hii ni nini,&#8221; mwanamke mwenye um&#341;i wa miaka 53 anaiambia IPS. &#8220;Daima tulifaidi mvua nzu&#341;i sana, labda kwa sababu ya mlima, lakini sasa sijui namna ya kuelezea kile tulichonacho wakati huu.&#8221; <\/p>\n<p>Kulingana na &#341;ekodi za se&#341;ikali, mwaka jana mkoa wa kusini ulizalisha theluthi ya jumla ya mavuno ya mahindi ya tani milioni 3.5 nchini Malawi kwa mwaka. <\/p>\n<p>Mulanje ni moja ya wilaya zinazozalisha mahindi kwa wingi nchini Malawi. Hapa asilimia 81 ya watu 530.000 wanaishi kwa kilimo cha kujikimu. Wakati wa mavuno, wakazi kutoka Blanty&#341;e hukimbilia Mulanje kupata nafuu ya kununua mahindi. Mbali na Mulanje, ukame umekumba wilaya nyingine sita katika kanda ya kusini na kati. Nchini Malawi, ma&#341;a nyingi msimu wa mvua huanza mapema Desemba na unaendelea hadi Machi. Lakini katika wilaya hizi mvua imekuwa aidha haikunyesha au imekuwa hainyeshi ma&#341;a kwa ma&#341;a kufikia kiwango cha kawaida tangu Desemba. <\/p>\n<p>Takwimu zisizokuwa &#341;asmi zinakadi&#341;ia kuwa zaidi ya hekta 30,000 za mazao ya mashambani zimeathi&#341;ika na kuwa hadi familia 120.000 (wastani wa watu 720.000) zingeweza kuhitaji msaada wa chakula katika kanda. <\/p>\n<p>Maafisa wa se&#341;ikali wanaitaja Mulanje kama moja ya wilaya &#8220;zilizoathi&#341;ika vibaya&#8221; ambazo zitahitaji msaada wa chakula. <\/p>\n<p>Yakinukuu maofisa kutoka vitengo vya maendeleo ya kilimo, magazeti ya hapa yalisema wiki iliyopita kuwa uzalishaji wa chakula kitaifa unaweza kushuka kwa asilimia 30 na kwamba kusini peke yake unaweza kushuka kwa asilimia 60 ikilinganishwa na mwaka jana. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali sasa imeongilia kati na imetenga dola milioni 76 katika bajeti ya mwaka kwa ajili ya kupunguza makali ya uhaba wa chakula. Kulingana na wiza&#341;a ya fedha, fedha hizo zitatumika kununulia chakula kwa ajili ya kusambazwa kwa kaya zilizoathi&#341;ika. <\/p>\n<p>Rais Bingu wa Mutha&#341;ika, ambaye pia ni wazi&#341;i wa kilimo nchini humo na mwenyekiti wa Umoja wa Af&#341;ika, alifanya zia&#341;a ya kushtukiza katika maeneo yanayozalisha mahindi kwa wingi katika upande wa kusini Feb&#341;ua&#341;i 21. <\/p>\n<p>Alisema Malawi ingekumbwa na kushuka kwa uzalishaji wa chakula mwaka huu lakini alisisitiza kuwa nchi bado ingekuwa na mavuno ya kutosha kujilisha yenyewe. Hakutakuwa na ziada kwa ajili ya kuuza nje, alisema. <\/p>\n<p>Yunus, ambaye ni mjane, hana uhakika kama yeye na watoto wake watatu wataweza kuishi kama hatapata mavuno yoyote ya mahindi mwaka huu. &#8220;Kusema (kutakuwa na chakula cha kutosha kwa nchi) ni kwa ajili ya wanasiasa kusema. Wanazungumza kila kitu. Nazungumzia juu yangu mwenyewe na familia nyingine chache ambazo nazijua,&#8221; anasema Yunus. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali inasema Malawi inahitaji tani milioni 2.4 za mahindi kulisha watu wake milioni 13 na kwamba msimu uliopita ziada ya tani milioni 1.3 ilizalishwa nchini. <\/p>\n<p>Kulingana na mchambuzi wa se&#341;a za kiuchumi, Mavuto Bamusi, Malawi inaweza kuwa na ziada kitaifa lakini usalama wa chakula katika ngazi ya kaya bado ni tatizo. Anasema kwa sehemu hii inatokana na mahindi kutokupatikana kiu&#341;ahisi na pia kwa sababu baadhi ya kaya ni maskini mno kuweza kununua bidhaa hiyo. <\/p>\n<p>&#8220;Tuna mahindi katika maghala ya kitaifa. Kaya nyingi nchini Malawi hazina chakula katika mwaka mzima. Hii (inaonyesha) kwa jinsi gani se&#341;ikali inapaswa kutumia bajeti hii ya ziada,&#8221; anasema. <\/p>\n<p>M&#341;atibu wa kitaifa wa Mtandao wa Mashi&#341;ika ya Ki&#341;aia katika Kilimo (Cisanet), Victo&#341; Mhoni, anasema ukame umeweka doa katika kujitegemea kwa Malawi katika uzalishaji wa mahindi kama za kuu la chakula. <\/p>\n<p>&#8220;Ikiwa tutaendelea kujaza kikapu chetu cha chakula kwa kutumia mahindi pekee, na tunategemea kilimo kinachotegemea mvua, bado tutaendelea kuwa nchi iliyopo katika mazingi&#341;a magumu,&#8221; anasema Mhoni. <\/p>\n<p>Mbali ya mahindi, Malawi pia hulima mazao ya chakula kama vile mihogo, mchele na viazi. Lakini kuna destu&#341;i miongoni mwa Wamalawi kusema kwamba hawajala kitu chochote kama wamekula mihogo au viazi kwa ajili ya chakula cha mchana. Nsima (ugali), wa unga wa mahindi, ni mlo unaopendwa zaidi. <\/p>\n<p>Mhoni pia anatuhumu se&#341;ikali juu ya kuchochea utegemezi huu wa mahindi kwa chakula na kuwahimiza wakulima, hasa wale wilayani wanaofanya vizu&#341;i katika mazao mengine, ili kupanda mahindi. Maafisa wa Wiza&#341;a ya kilimo waliiambia IPS kuwa hakuna bado takwimu kuhusu idadi ya wakulima ambao walihamia kupanda mahindi kutoka mazao mengine ya kilimo. <\/p>\n<p>Kabla ya p&#341;og&#341;amu ya &#341;uzuku ya pembejeo za kilimo kuanza mwaka 2005, watu hapa walikuwa wakitegemea mihogo kwa chakula. Sasa kisiwa hicho kwa kiasi kikubwa hupanda mahindi, ambayo polepole yanachukua nafasi ya mihogo kama zao kuu la chakula kwa wakazi 10,000. <\/p>\n<p>&#8220;Ruzuku zetu katika p&#341;og&#341;amu ya pembejeo za kilimo zimekuwa juu ya mahindi na mbolea tu nchini kote hata katika maeneo ambayo yanategemea mpunga na mtama. P&#341;og&#341;amu hiyo, licha ya nia yake nzu&#341;i, imehamasisha kwa kiasi kikubwa utegemezi katika mahindi na wakati kukiwa na uhaba, sisi sote tunaingia katika mateso, &#8220;anasema Mhoni, <\/p>\n<p>Mhoni, hata hivyo, anasema kutokana na ziada ya kipindi cha miaka minne ina maana kuwa se&#341;ikali haitaagiza mahindi kulisha watu. Badala yake, akiba ndani itanunuliwa na kusambazwa na hivyo kuhakikisha kwamba misaada inafikia wale wanaohitaji zaidi. Se&#341;ikali inasema ina akiba ya tani 140.000 za mahindi katika maghala yake ya nafaka kitaifa yanayopatikana katika mikoa mitatu ya nchini humo. Pia itanunua tani 30,000 za ziada kutoka kwa wakulima wa mashamba makubwa na wafanyabiasha&#341;a. Shi&#341;ika la Maendeleo ya Kilimo na Masoko, shi&#341;ika la se&#341;ikali linalojishughulisha na uuzaji wa mazao ya mashambani unasema una akiba ya tani 45,000 za mahindi. <\/p>\n<p>Mbali na fedha za misaada katikati ya mwaka kutoka kwa wahisani (wafadhili huchangia asilimia 40 ya bajeti ya taifa ya Malawi kwa mwaka), mfuko wa msaada pia hutegemea Mamlaka ya Mapato ya Malawi. <\/p>\n<p> &#8220;Utoaji wa (dola milioni 76) ni makisio tu. Kiasi kamili cha mahitjai bado hakijapatikana,&#8221; anasema wazi&#341;i wa fedha, Ken Kandodo. <\/p>\n<p>Lakini Bamusi anasema ikiwa watu kama Yunus wanapaswa kufikiwa, chakula kinahitaji kusambazwa kwa upana. <\/p>\n<p> &#8220;Hii pesa inapaswa kufikisha chakula maeneo ambapo watu wanaohitaji wanapata kwa u&#341;ahisi. Ni lazima pia kushughulikia masuala ya bei kwa sababu kusambazwa chakula katika eneo ni kitu kimoja na watu kuweza kununua ni jambo jingine , &#8220;anasema. <\/p>\n<p>Wakati wa mavuno wakati kuna kiasi kikubwa cha mahindi katika soko, kilo moja inauzwa kwa senti 20. Cu&#341;&#341;ently, maize sells at a&#341;ound 40 cents pe&#341; kilog&#341;amme. Hivi sasa, mahindi yanauzwa ka&#341;ibu senti 40 kwa kilo. Yunus, hata hivyo, angependelea kupata mavuno kuliko misaada. &#8220;Nimekuwa navuna mavuno ya kutosha katika miaka ya nyuma na nilikuwa na uwezo wa kuuza baadhi na kununua vitu vichache kwa familia yangu. Sasa unaweza kuona jinsi gani tutakuwa na mateso mengi ikiwa sina mavuno, ikiwa Mulanje haitavuna kitu chochote. Mahindi ni kila kitu kwangu mimi, &#8220;Yunus anasema. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Feb 25 (IPS) &ndash; Mkulima wa mahindi Yunus Anita ameishi kwa zaidi ya miaka 30 ka&#341;ibu na Mlima Mulanje kusini mwa Malawi. Na yeye hana kumbukumbu kama kumewahi kuwa na ukame katika eneo hilo. Wakati kumekuwa na ukame mkali ma&#341;a nne nchini Malawi katika kipindi cha miaka 25 iliyopita, wilaya ya Mulanje haijaathi&#341;ika na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":726,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-3170","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3170","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/726"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=3170"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/3170\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=3170"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=3170"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=3170"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}