{"id":317,"date":"2003-08-29T13:40:01","date_gmt":"2003-08-29T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/29\/utamaduni-kusini-mwa-afrika-maendeleo-ya-kuluta-usawa\/"},"modified":"2003-08-29T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-29T13:40:01","slug":"utamaduni-kusini-mwa-afrika-maendeleo-ya-kuluta-usawa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/29\/utamaduni-kusini-mwa-afrika-maendeleo-ya-kuluta-usawa\/","title":{"rendered":"UTAMADUNI&ndash;KUSINI MWA AFRIKA: Maendeleo ya kuluta Usawa"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Aug 28 (IPS) &ndash; &ndash;Viongozi wa Kusini mwa Af&#341;ika wamehakikisha kujitoa kufikia lengo la asilimia 30 ya wanawake kwa uchache kuwepo katika siasa na mfumo wa kutoa maamuzi ifikapo mwaka 2005.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nMaamuzi haya yalitolewa katika &#341;ipoti ya mkutano wa Agosti 25&ndash;26 uliofanyika mjini Da&#341; es salaam ambao ulionyesha kwamba maendeleo ya kufikia Azimio la Usawa wa Kijinsia lilisainiwa na nchi zote Katika Jmuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC) mjini Blanty&#341;e, Malawi mwaka 1997 inakatisha moyo.<\/p>\n<p>Ni nchi mbili tu, Msumbiji na Af&#341;ika ya Kusini, zimefikia shabaha ya asilimia 30.<\/p>\n<p>Azimio la SADC la Usawa wa Kijinsia linataka nchi wanachama 14 wa SADC ku&#341;ekebisha na kubadilisha she&#341;ia zote, ku&#341;ekebisha katiba na kubadilisha mtindo wa jamii ambao bado unakandamiza wanawake na kuwabagua. Pia linataka nchi kuwawezesha wanawake kupata, na kumiliki &#341;asilimali ili kupunguza kiwango cha umaskni miongoni mwa wanawake na hatua za ha&#341;aka kuzuia na kuhusika katika kuongezeka kwa vitendo vya vu&#341;ugu kwa wanawake.<\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa mambo ya nje wa Tanzania ambaye ni mwenyekiti mpya wa ba&#341;aza la mawazi&#341;i wa SADC, Jakaya kikwete, aliwaambia waandishi wa haba&#341;i kwamba ba&#341;aza hilo &ndash; litawashawishi nchi wanachama kutekeleza uamuzi huo vizu&#341;i kabla ya muda uliowekwa kupita.&quot;<\/p>\n<p>Lakini kuna wasiwasi kwamba baadhi ya nchi za SADC zinaweza zisifikie lengo la asilimia 30 ifikapo mwaka 2005 kutokana na kwamba siasa na utoaji wa maamuzi vimetawala wanaume kwa muda m&#341;efu. Itachukua muda kwa mfumo wa jamii wa Af&#341;ika kukubali usawa na wanawake.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Nchi zinajitahidi hasa tunapotambua kwamba tuna miaka chini ya miwili kabla ya kufikia mwaka 2005. Ma&#341;a nyingine inawezekana kuwa vigumu kusema kwamba kila nchi itafikia lengo la asilimia 30,&quot; alisema Mkuu wa Kitengo cha Jinsia katika SADC, Ch&#341;istine Wa&#341;ioba. &#038;oci&#341;c;Tunatakiwa kuliangalia suala hili katika hali ambayo wanawake hawakushi&#341;ikishwa katika siasa na katika ngazi za kutoa maamuzi.&quot;<\/p>\n<p>Wa&#341;ioba alisema kwamba, pamoja na kwamba sasa wafadhili wako wazi juu ya kuwepo kwa wanawake katika siasa bado wanakabiliwa na vizingiti wakati wa kampeni za uchaguzi kutokana na kukosa &#341;asilimali.<\/p>\n<p>Lakini anakubali kwamba wakati vyama vya siasa vinakuwa na mfumo sawa inakuwa &#341;ahisi kwa wanawake kuchaguliwa katika siasa. Alitoa mfano wa Af&#341;ika ya Kusini na Msumbiji nchi pekee katika ukanda huo ambazo zimefikia lengo la asilimia 30.<\/p>\n<p>Anasema Tanzania bado haijfikia asilimia 30. Lakini imeshakubali kufikia lengo la asilimia 20 ya madiwani na 30 ya wabunge. Matokeo yake, Tanzania imeweza kufikia lengo kwa asilimia 22 ya wanawake katika bunge na asilimia 33 katika uchaguzi wa se&#341;ikali za mitaa wa mwaka 2000. Uchaguzi mwingine mkuu ujao utafanyika mwaka 2005.<\/p>\n<p>Wakosoaji wanasema Tanzania itafikia lengo tu kama kila chama kinakubaliana na mfumo sawa na vyama vya siasa na vya hia&#341;i kuaandaa wagombea wanawake kwa ajili ya uchaguzi.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Mfumo dume unakufa ta&#341;atibu nchini Tanzania, jamii zinaanza kukubali viongozi wanawake, lakini vyama vinatakiwa kufanya kazi kubwa ya awali kuangalia wanawake ambao majina yao yatauza kwa wapiga ku&#341;a,&quot;anasema Ruth Meena, mwanasayasi wa siasa,mwanaha&#341;akati wa jinsia na haki za kibinadamu katika Chuo Kikuu cha Da&#341; es salaam.<\/p>\n<p>Anatoa mfano wa wagombea wanawake 12 wa chama tawala cha CCM, ambao waliteuliwa kugombea lakini ni mmoja tu alishindwa kufaulu.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Hili linashuhudia kwamba kama vyama vitaamua kuweka hata wanawake 50 na wanaume 50  wagombea, wanawake wote wanaweza kushinda chaguzi kama kazi ya kutosha itafanywa kutafuta wagombea pamoja na kujenga uwezo na kuungwa mkono na chama.&quot;, anasema Meena. &#038;oci&#341;c;Vyama vinamilikiwa na mfumo dume ambao unakandamiza, kuwadha&#341;au na kuwabagua wanawake.&quot;<\/p>\n<p>Anasema vyama vya siasa vinatakiwa kuwa chanzo cha usawa kutokana na nchi zao ku&#341;idhia maazimio ambayo yanawafunga.<\/p>\n<p>Wa&#341;ioba anasema Botswana, Mau&#341;itius, Namibia na Swaziland zinaweza kufikia lengo kutokana na kwamba zitakuwa na ucgaguzi mkuu mwaka 2005. Lakini wapiga ku&#341;a nchini Malawi na Zaimbabwe wanafanya uchaguzi mwaka 2005.<\/p>\n<p>Swaziland inafanya uchaguzi wake mwaka huu, pia ina nafasi ya kufikia shabaha kwa sababu ime&#341;idhia mfumo sawa katika katiba yake.<\/p>\n<p>Kwa bahati mbaya, Lesotho na Zambia hazina nafasi ya kufikia lengo kwani zitafanya chaguzi zao mwaka 2005<\/p>\n<p>Af&#341;ika ya Kusini na Msumbiji zinawezekana zikavuka lengo la asilimia 30, kutokana na nchi hizi zote kuwa na uchaguzi mkuu mwaka 2004.<\/p>\n<p>Wa&#341;ioba anasema sifa zitakwenda kwa viongozi wa Kusini mwa Af&#341;ika kama lengo litafikiwa. &#038;oci&#341;c;Sifa zitakwenda kwao, na kwa nchi zao na ukanda wa Kusini mwa Af&#341;ika kwa ujumla,&quot; anasema.<\/p>\n<p>SADC ilitia saini Azimio la Kijinsia, Usawa na Maendeleo, linalojitoa kuhakikisha wanachama wanafikia lengo la asilimia 30, mjini Blanty&#341;e mwaka 1997. Miaka saba baadaye, mkutano wa wakuu wa SADC, ambao ulifanyika mjini Da&#341; es salaam Agosti 25&ndash;26, bado ulikuwa ukisisitizia nchi katika ukanda huo kuongeza jitihada zao ma&#341;a mbili ili kufikia lengo<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Aug 28 (IPS) &ndash; &ndash;Viongozi wa Kusini mwa Af&#341;ika wamehakikisha kujitoa kufikia lengo la asilimia 30 ya wanawake kwa uchache kuwepo katika siasa na mfumo wa kutoa maamuzi ifikapo mwaka 2005. Maamuzi haya yalitolewa katika &#341;ipoti ya mkutano wa Agosti 25&ndash;26 uliofanyika mjini Da&#341; es salaam ambao ulionyesha kwamba maendeleo ya kufikia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":84,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-317","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/317","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/84"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=317"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/317\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=317"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=317"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=317"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}