{"id":315,"date":"2003-08-28T13:40:01","date_gmt":"2003-08-28T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/28\/afya-kusini-mwa-afrika-ukimwi-wazidisha-uhaba-wa\/"},"modified":"2003-08-28T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-28T13:40:01","slug":"afya-kusini-mwa-afrika-ukimwi-wazidisha-uhaba-wa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/28\/afya-kusini-mwa-afrika-ukimwi-wazidisha-uhaba-wa\/","title":{"rendered":"AFYA&ndash;KUSINI MWA AFRIKA: Ukimwi Wazidisha Uhaba wa"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Aug 27 (IPS) &ndash; &ndash;Hali ya uhaba wa chakula unaozikabili nchi kusini mwa Af&#341;ika, itazidi kuwa mbaya zaidi kama hatua za ha&#341;aka hazitachukuliwa kukomesha kuenea kwa vi&#341;usi vya HIV vinavyosababisha UKIMWI, yalionya mashi&#341;ika ya misaada.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nMkuu wa Kilimo, Maliasili na Chakula wa Jumuiya ya Kiuchumi Kusini mwa Af&#341;ika (SADC) Ma&#341;ga&#341;et Nyi&#341;enda aliwaambia waandishi wa haba&#341;i wiki hii kwamba atha&#341;i za HIV\/UKIMWI katika ngazi ya kaya zinaathi&#341;i pia uzalishaji wa chakula katika ukanda huo.<\/p>\n<p>Hadi mwezi Machi, idadi ya watu wanaokadi&#341;iwa kufikia milioni 15.3 kutoka Lesotho, Malawi, Msumbiji, Swaziland, zambia na Zimbabwe walihitaji ka&#341;ibu tani milioni mbili za msaada wa chakula , alisema Nyi&#341;enda.<\/p>\n<p>&ndash; Idadi hii inazidi ikiongeza na mahitaji ya Angola na Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo (DRC) ambako Umoja wa Mataifa ulikuwa taya&#341;i unajishughulisha huko,&quot; alisema. &#038;oci&#341;c;Upungufu wa chakula umesababishwa zaidi na misimu miwili ya ukame, pamoja na mafu&#341;iko yaliyochochewa na kupungua kwa mgawanyo wa maliasili na gonjwa la UKIMWI.&quot;<\/p>\n<p>UKIMWI ni tishio kubwa kwa usalama wa chakula katika ukanda huo.<\/p>\n<p>Katibu Mkuu wa SADC, P&#341;ega Ramsamy, alisema kiasi cha watu milioni 14 katika ukanda huu wana vi&#341;usi vya HIV, ikiwa ni kama asilimia 51 ya maambukizo yote ba&#341;ani Af&#341;ika, na asilimia 37 duniani kote, na hivyo kuufanya ukanda kuathi&#341;ika zaidi.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;UKIMWI ni adui wa kweli, kama hatutafanya lolote linalowezekana kupambana nao, tutakuwa katika shida kubwa,&quot; alisema. &#038;oci&#341;c;Tunapoteza wazalishaji wa chakula, wahudumu, viongozi, wasomi, na kizazi kijacho kwa ujumla.&quot;<\/p>\n<p>Ukiwa kama mkakati wa kimkoa ya kupambana na tatizo la chakula, Nyi&#341;enda alisema SADC na mashi&#341;ika ya Umoja wa Mataifa Julai 2002 yalizindua mpango wa kuomba dola za Ma&#341;ekeni milioni 611 kwa ajili ya kusambaza chakula cha dha&#341;ula. Mpaka sasa wachangiaji wakuu ni Umoja wa Ulaya, Ma&#341;ekani na Uinge&#341;eza.<\/p>\n<p>Na wanaofaidika ni zaidi ya watu milioni 18 kutoka Angola, DRC, Lesotho, Malawi, Msumbiji. Swaziland, Zambia na Zimbabwe.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Zimbabwe imeathi&#341;ika zaidi na uhaba wa chakula, ambapo uhaba ni wa kawaida tu nchini Lesotho na Swaziland.<\/p>\n<p>Hata hivyo, kubo&#341;eka kwa hali ya hewa na hatua zilizochukuliwa na se&#341;ikali hivi ka&#341;ibuni vimepelekea kubo&#341;eka kwa hali ya chakula nchini Malawi, Msumbiji na Zambia, alisema.<\/p>\n<p>Ja&#341;ida la SADC la Machi linalojulikana kwa jina la Ba&#341;omete&#341; lilinukuu Shi&#341;ika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) likikadi&#341;ia kwamba watu milioni 7.7 (zaidi ya nusu ya watu wote nchini Zimbabwe) wanakabiliwa na uhaba wa chakula. &#038;oci&#341;c;Uzalishaji wa chakula umeshuka kwa kiwango cha moja ya tatu ya mwaka uliopita na tatizo hilo linazidishwa na maambukizo zaidi ya UHIV\/UKIMWI (asilimia 34) nchini humo.&quot;<\/p>\n<p>Ja&#341;ida lilibainisha kwamba katika nchi zote zilizoathi&#341;ika HIV\/UKIMWI vimefanya hali ya uhaba wa chakula kuwa mbaya zaidi kutokana na kuanguka kwa uzalishaji katika kilimo, na kuongezeka kwa mahitaji ya chakula kwa watu wasioweza kufanya kazi.<\/p>\n<p>Ja&#341;ida hilo lilichukua mfano wa Malawi ambako watu milioni 3.3 (au asilimia 30 ya watu wote) wamekuwa wakipata msaada wa chakula. Lilisema asilimia 16 ya watu wote nchini Malawi wana HIV\/UKIMWI.<\/p>\n<p>Tishio la UKIMWI katika nchi za SADC pia limebainishwa na Johnny St&#341;ijdom, Ofisa wa kudhibiti madawa ya kulevya wa SDASC, ambaye alisema &#038;oci&#341;c;kuna uhusiano kati ya kuongezeka kwa matumizi ya madawa ya kulevya na maambukizo ya HIV katika ukanda huu&quot;.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Imekuwa ukweli katika kipindi cha mwaka uliopita kwamba nchi wanachama wa SADC wanazidi kuathi&#341;ika na matatizo yanayotokana na madawa ya kulevya,&quot; aliona.<\/p>\n<p>Ka&#341;ibu watu milioni 30 ba&#341;ani Af&#341;ika wameambukizwa HIV\/UKIMWI, ikiwa ni pamoja na watoto milioni tatu wenye um&#341;i chini ya miaka 15.<\/p>\n<p>Inaonekana jitihada za jumuiya ya kimataifa zipo njiani kusaidia Af&#341;ika kutatua tatizo la kuenea kwa ugonjwa huo. Katika kipindi cha miaka mitano ijayo Ma&#341;ekani itatumia dola bilioni 15 kupambana na UKIMWI duniani kote, huku nguvu zikielekezwa zaidi katika ba&#341;a la Af&#341;ika, kulingana na Rais Geo&#341;ge W Bush, alipotembelea Af&#341;ika Julai mwaka huu.<\/p>\n<p>Mwezi huu Rais wa Af&#341;ika ya Kusini Thabo Mbeki alisaini mkataba na Mfuko wa Kupambana na UKIMWI, Mala&#341;ia na Kifua Kikuu Ulimwenguni. Mkataba huo, wenye thamani ya dola za Ma&#341;ekani milioni 40, ulikuwa umeshikiliwa katika mtandao wa uki&#341;itimba kwa miaka miwili.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Aug 27 (IPS) &ndash; &ndash;Hali ya uhaba wa chakula unaozikabili nchi kusini mwa Af&#341;ika, itazidi kuwa mbaya zaidi kama hatua za ha&#341;aka hazitachukuliwa kukomesha kuenea kwa vi&#341;usi vya HIV vinavyosababisha UKIMWI, yalionya mashi&#341;ika ya misaada. Mkuu wa Kilimo, Maliasili na Chakula wa Jumuiya ya Kiuchumi Kusini mwa Af&#341;ika (SADC) Ma&#341;ga&#341;et Nyi&#341;enda aliwaambia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":84,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-315","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/315","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/84"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=315"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/315\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=315"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=315"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=315"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}