{"id":314,"date":"2003-08-28T13:40:01","date_gmt":"2003-08-28T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/28\/afya-nigeria-watoto-kutofaidika-na-madawa-ya\/"},"modified":"2003-08-28T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-28T13:40:01","slug":"afya-nigeria-watoto-kutofaidika-na-madawa-ya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/28\/afya-nigeria-watoto-kutofaidika-na-madawa-ya\/","title":{"rendered":"AFYA&ndash;NIGERIA: Watoto Kutofaidika Na Madawa Ya"},"content":{"rendered":"<p>LAGOS, Agosti 26 (IPS) &ndash; Wanaha&#341;akati wanaopigania haki za binadamu wamelalamika kuwa wakati watu wazima wanaoishi na vi&#341;usi vya UKIMWI wanapatiwa madawa ya ku&#341;efusha maisha, watoto ambao wako katika hali kama hiyo hawafaidiki na mpango huo ulioanzishwa na se&#341;ikali ya Nige&#341;ia mwaka uliopita.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\n &ndash; Watoto walioathi&#341;ika wana haki pia ya kuishi kama wenzao watu wazima ambao wanafaidika na mpango wa se&#341;ikali wa kuwapatia madawa ya ku&#341;efusha maisha,&quot; anasema Oba Oladapo, mwenyekiti wa Chama cha Kuishi kwa Matumaini, ambacho si cha kise&#341;ikali.<\/p>\n<p> Oladapo, ambaye pia anaishi na vi&#341;usi vya UKIMWI, anadai kwamba kuchelewa kutekeleza mpango wa se&#341;ikali wa kuwapatia watoto madawa hayo yatahata&#341;isha vifo kwa watoto wengi.<\/p>\n<p> Mwenyekiti wa Kamati ya Mpango wa Taifa wa kudhibiti UKIMWI (naca), alitangaza mapema mwaka huu kwamba se&#341;ikali itaanza kutekeleza mpango wa kuwapatia watoto 5,000 na madawa ya ku&#341;efusha maisha. Lakini mpango huo bado haujaanza kutekelezwa.<\/p>\n<p> Chini ya mpango huo, madawa hayo yanapatikana kwa watu 10,000 walioathi&#341;ika kwa bei nafuu sana ambacho ni Nai&#341;a 1,000 kwa mwezi (chini ya Shilingi 100,000). Dawa hizo kwa kawaida huuzwa kwa kiasi cha Nai&#341;a 50,000 (inaka&#341;ibia Shilingi 500,000) kwa mwezi. Kwa mujibu wa NACA, watu zaidi ya milioni tatu na watoto 800,000 wanaishi na vi&#341;usi vya UKIMWI.<\/p>\n<p>Rais wa Nige&#341;ia Olusegun Obasanjo anajigamba kuwa nchi yake ni ya kwanza ba&#341;ani Af&#341;ika kuanzisha mpango wa kuwapatia waathi&#341;ika wa UKIMWI madawa ya ku&#341;efusha maisha kwa bei nafuu sana. &#038;oci&#341;c;Tumeshafikia hatua hiyo katika jitihada za kupambana na UKIMWI, wakati nchi nyingine bado zinajadili iwapo ugonjwa huo upo au haupo,&quot; alisema Obasanjo katika televisheni ya taifa ta&#341;ehe 24 Agosti.<\/p>\n<p>Kiwango cha uelewa ni cha hali ya juu na watu hawana hofu tena kupima ugonjwa huo. &#038;oci&#341;c;Wanajua hakuna tatizo lolote, na wanafahamu kuwa watapatiwa msaada na matumaini,&quot; anasema Obasanjo.<\/p>\n<p> Lakini, usemi huo hauwahusu watoto ambao wanaambukizwa kila siku bila kosa lao.<\/p>\n<p>Takwimu zinaonyesha kuwa kila siku, wanawake 17,123 wanapata mimba, ambao kati yao 993 wameathi&#341;ika na 308 wanawaambukiza watoto wao. Wanawake 246 kati ya hao wanazaa watoto salama kutokana na mpango kabambe wa Kuzuia Maambukizi ya Mama na Mtoto.<\/p>\n<p> Utafiti umebaini kwamba kuna uwezekano wa asilimia 40 ya wanawake kuwaambukiza watoto wao UKIMWI, asilimia 25 ya watoto huambukizwa kabla au baada ya kuzaliwa na asilimia ipatayo 15 ya watoto wenye UKIMWI huambukizwa wakati wa kunnyonya maziwa ya mama. Mashi&#341;ika yasiyo ya Kise&#341;ikali yanachukua hatua ya kupunguza janga hilo.<\/p>\n<p>Mtu wa kwanza kupatikana na ugonjwa huo alipatikana nchini Nige&#341;ia mwaka 1986. Na &#341;ipoti ya mwaka 2001 inaonyesha kwamba nchi ya Nige&#341;ia ina watu milioni 3.5 wenye maambukizi ya UIMWI, wanawake wakiongoza kwa asilimia 55, wakati wanaume wana asilimia 45. Vifo hadi 850,000 vime&#341;ekodiwa tangu mwaka 1986, kwa mujibu wa NACA.<\/p>\n<p> Se&#341;a mpya ya nchi hiyo inayohusu UKIMWI ambayo imebadilisha ile ya mwaka 1997, imejihusisha zaidi na njia mbalimbali za kuutokomeza kuliko kiafya peke yake. Lakini hata hivyo hakuna na maana zaidi lililozungumziwa kuwasaidia watoto wanaoishi na vi&#341;usi vya UKIMWI au watoto yatima waliofiwa na wazazi wao kutokana na UKIMWI.<\/p>\n<p>Katika ba&#341;a la Af&#341;ika, Uganda na Senegal ni nchi ambazo zimefanikiwa kupunguza kiwango cha kuenea kwa UKIMWI. &#038;oci&#341;c;Iwapo nchi nyingine zinaweza kufanikiwa, hata Nige&#341;ia inaweza pia kufanikiwa,&quot; anasema Obasanjo.<\/p>\n<p> Baadhi ya Mashi&#341;ika yasiyo ya Kise&#341;ikali yameanza kuangalia njia mbadala za kuwasaidia watoto na walioko hata&#341;ini katika jamii. Kwa mfano, Chama cha Gede (Gede Foundation) kisicho cha kise&#341;ikali kinachokuza afya na matumaini ba&#341;ani Af&#341;ika, kimeanzisha mipango miwili kabamba ya kuwajali watu wanaioshi na vi&#341;usi vya UKIWMI nchini Nige&#341;ia.<\/p>\n<p> Shi&#341;ika hilo linaanzisha mpango wa masomo kwa ajili ya mayatima na watoto walioko hata&#341;ini kuambukizwa na mpango wa lishe bo&#341;a kwa watu wanaoishi na vi&#341;usi vya UKIMWI, ambao walitelekezwa na makundi mengine. Watoto miliono moja wa Nige&#341;ia ni mayatima kutokana na wazazi wao kufa&#341;iki kutoka na UKIMWI takwimu za NACA zinaonyesha.<\/p>\n<p>Mwanzilishi wa Gede Foundation, Jennife&#341; Atiku&ndash;Abubaka&#341;, anasema shi&#341;ika lake linafanya kazi na makundi ya umma ili kuwasaidia watoto kuanzia shule za awali hadi kiwango cha sekonda&#341;i. Masomo yatawasaidia watoto yatima kuondoa mzigo walio nao upande wa kijamii unaosababishwa na kuongezeka kwa watoto.<\/p>\n<p> &#038;oci&#341;c;Itasaidia kuwakinga watoto hawa kutokana na vitendo vya kihuni, kujiingiza katika biasha&#341;a ya ngono na unyanyasaji wa watoto katika jamii na familia zao,&quot; anasema Abubaka&#341;.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LAGOS, Agosti 26 (IPS) &ndash; Wanaha&#341;akati wanaopigania haki za binadamu wamelalamika kuwa wakati watu wazima wanaoishi na vi&#341;usi vya UKIMWI wanapatiwa madawa ya ku&#341;efusha maisha, watoto ambao wako katika hali kama hiyo hawafaidiki na mpango huo ulioanzishwa na se&#341;ikali ya Nige&#341;ia mwaka uliopita. &ndash; Watoto walioathi&#341;ika wana haki pia ya kuishi kama wenzao watu wazima&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":37,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-314","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/314","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/37"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=314"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/314\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=314"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=314"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=314"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}