{"id":313,"date":"2003-08-27T13:40:01","date_gmt":"2003-08-27T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/27\/siasa-maombolezo-ya-makamu-wa-rais-nchini-kenya\/"},"modified":"2003-08-27T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-27T13:40:01","slug":"siasa-maombolezo-ya-makamu-wa-rais-nchini-kenya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/27\/siasa-maombolezo-ya-makamu-wa-rais-nchini-kenya\/","title":{"rendered":"SIASA: Maombolezo ya Makamu wa Rais Nchini Kenya,"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Aug 26 (IPS) &ndash; &ndash;Hali ya majonzi imeikumba Kenya kutokana na maombolezi ya wiki mbili ya kifo cha makamu wa &#341;ais Michael Wamalwa ambaye alifa&#341;iki dunia mjini London Agosti 23.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nAlikuwa na um&#341;i wa miaka 59.<\/p>\n<p>Wakati bende&#341;a zote zikipepea nusu mlingoti, Wakenya wana wasiwasi na wingu la vifo ambalo linakiandama chama tawala kikiwa na miezi saba tu katika ofisi.Wamalwa, ambaye alikuwa mgonjwa ma&#341;a kadhaa, ni mtu wa tano kufa&#341;iki katika se&#341;ikali.<\/p>\n<p>Kifo chake kilikuja wiki moja tu baada ya maziko ya wazi&#341;i Katika Ofisi ya Rais Geoff&#341;ey Pa&#341;pai, ambaye alifa&#341;iki wiki mbili zilizopita. Hayati wazi&#341;i wa kazi Ahmed Khalif alikuwa wa kwanza kufa&#341;iki katika aja&#341;i ya ndege iliyotokea Feb&#341;ua&#341;i, mwezi mmoja tu baada ya kuapishwa kwake. Mawazi&#341;i kadhaa, waliokuwa wakisafi&#341;i naye, walije&#341;uhiwa vibaya.<\/p>\n<p>Mbunge wa Chama Tawala Paul Kiha&#341;a alifa&#341;iki nchini Af&#341;ika ya Kusini akiwa hospitalini na mbunge mwenzake Mutiso alichukuliwa na maji katika mto uliopo katika jimbo lake.<\/p>\n<p>Matukio yote ya kitaifa, ikiwa ni pamoja na Mkutano Mkuu wa Katiba, ambao ulifunguliwa upya wiki jana, na kuwakilishwa kwa &#341;ipoti na kikundi kazi cha Ukweli, Haki na Ma&#341;idhiano Jumanne, yameahi&#341;ishwa ku&#341;uhusu Wakenya kuomboleza kifo cha Wamalwa.<\/p>\n<p>Mkutano wa Katiba ni mpango wa kihisto&#341;ia nchini Kenya. Zaidi ya wajumbe 600 wanatoa mapendekezo yao juu ya &#341;asimu ya katiba iliyotolewa Oktoba ili kufikia muafaka wa aidha kuikubali au la. Kikundi kazi kiliteuliwa mwezi Ap&#341;ili kuangalia uwezekano wa tume ya ukweli, haki na ma&#341;idhiano ya Kenya.<\/p>\n<p>Wamalwa, ambaye ni nguvu itakayokumbukwa katika kupigania demok&#341;asia ya vyama vingi nchini Kenya, alikuwa amekwenda Geneva kuiwakilisha Kenya katika mkutano wa Shi&#341;ika la Kazi Ulimwenguni kuanzia Juni 2 hadi Juni 20, ambapo baada ya hapo alikwenda London kukutana na wawekezaji. Alishikwa na homa na kulazwa katika hospitali ya Royal F&#341;ee ambapo alifa&#341;iki dunia.<\/p>\n<p>Alikuwa kiongozi muhimu katika siasa na hakuna shaka kwamba atakumbukwa na Wakenya wengi. Wamalwa alisoma she&#341;ia na daima anapenda kusoma kazi za Shakespea&#341;e na kusikiliza muziki wa klasiki.<\/p>\n<p>Daima akiwa na tabasamu, Wamalwa ni miongoni mwa Wakenya waliopigania kuanzishwa kwa demok&#341;asia ya vyama vingi nchini Kenya mapema miaka ya 1990.Yeye na viongozi wengine wa upinzani walianzisha chama cha Rainbow Coalition (NARC) ambacho kilishinda uchaguzi wa Desemba 2002, kwa kuchukua mada&#341;aka kutoka kwa chama cha Kenya Af&#341;ican National Union (KANU) ambacho kilitawala nchi hii ya Af&#341;ika ya Masha&#341;iki tangu uhu&#341;u wake kutoka kwa Mwinge&#341;eza mwaka 1963.<\/p>\n<p>Kifo chake kinakuja wakati chama tawala kinasongwa na kugombania mada&#341;aka. Wamalwa, ambaye alikuwa makamu wa &#341;ais wa Kenya wa nane, alikuwa mzu&#341;i katika kutuliza pande zinazozozana ambazo zinafanya se&#341;ikali ya Mwai Kibaki.<\/p>\n<p>Mwili wake unata&#341;ajiwa kuwasili mjini Nai&#341;obi Jumatano, na kuwepo kwa mazishi ya kitaifa Septemba 6.<\/p>\n<p>Lakini wanafamilia wa Wamalwa hasa kaka zake, wajomba na wazee&ndash;wanataka ma&#341;ehemu makamu wa &#341;ais kuzikwa katika eneo la Magha&#341;ibi mwa Kenya.<\/p>\n<p>Hata hivyo se&#341;ikali haionekani kukubaliana na wazo hilo. Wazi&#341;i wa She&#341;ia na Mambo ya Katiba wa Kenya, Ki&#341;autu Mu&#341;ungi alipendekeza kwamba Wamalwa azikwe katika viwanja vipya vya kuwazika mashujaa mjini Nai&#341;obi. Alisema mazishi hayo yataendana na heshima ya Wamalwa kama kiongozi mashuhu&#341;i wa Kenya.<\/p>\n<p>Mu&#341;ungi ambaye alianzisha viwanja hivyo wiki tatu zilizopita, anasema pia mabaki ya mwili wa aliyekuwa mpigania uhu&#341;u wa Kenya, Dedan Kimathi yatafufuliwa na kuzikwa upya katika uwanja huo wa mashujaa mjini Nai&#341;obi.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Aug 26 (IPS) &ndash; &ndash;Hali ya majonzi imeikumba Kenya kutokana na maombolezi ya wiki mbili ya kifo cha makamu wa &#341;ais Michael Wamalwa ambaye alifa&#341;iki dunia mjini London Agosti 23. Alikuwa na um&#341;i wa miaka 59. Wakati bende&#341;a zote zikipepea nusu mlingoti, Wakenya wana wasiwasi na wingu la vifo ambalo linakiandama chama tawala kikiwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":73,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-313","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/313","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/73"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=313"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/313\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=313"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=313"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=313"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}