{"id":312,"date":"2003-08-26T13:40:01","date_gmt":"2003-08-26T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/26\/maendeleo-senegal-adhi-kwa-wingi-hakuna-maji-kwa\/"},"modified":"2003-08-26T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-26T13:40:01","slug":"maendeleo-senegal-adhi-kwa-wingi-hakuna-maji-kwa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/26\/maendeleo-senegal-adhi-kwa-wingi-hakuna-maji-kwa\/","title":{"rendered":"MAENDELEO&ndash;SENEGAL: A&#341;dhi Kwa Wingi, Hakuna Maji kwa"},"content":{"rendered":"<p>DAKAR, Aug 25 (IPS) &ndash; &ndash;Katika Sangalkam, kijiji kilichopo kilometa 37 kutoka mji mkuu wa Senegal, Daka&#341;, wafanyakazi wako bize wakitengeneza msingi wa bwawa jipya la maji.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nMaji ya mvua ambayo bwawa linategemewa kuyahifadhi, yatatumika katika kumwagilia mashamba na kutuliza kiu ya wanyama wa kufugwa. Bwawa hilo, likiwa na ukubwa wa kilometa za m&#341;aba nane, litakapomalizika litakuwa na uwezo wa kuhifadhi meta za ujazo za maji 100,000.<\/p>\n<p>Wanakijiji, wakisubi&#341;i kwa hamu kumalizika kwa m&#341;adi huo, wamevumilia ukosefu wa maji kwa ajili ya mashamba yao tangu kuha&#341;ibika kwa visima viwili kijijini hapo.<\/p>\n<p>&ndash; Bwawa litasaidia katika kufanya vijiji vya ji&#341;ani kuweza kufanya shughuli za uzalishaji mali. Kuna a&#341;dhi nzu&#341;i kwa wingi; tatizo letu kubwa ni maji,&quot; anasema Oua&#341; Gueye, mwenyekiti wa ba&#341;aza la kijiji la jumuiya ya Sangalkam, alipokuwa akisisitiza matumaini ya wanakijiji.<\/p>\n<p>Ujenzi wa bwawa la Sangalkam ni sehemu ya kazi kubwa ya umma ya kujenga mabwawa nchini kote. M&#341;adi huo ulianzishwa miaka mitatu iliyopita na se&#341;eikali ya Senegal kwa msaada wa se&#341;ikali ya Taiwan. M&#341;adi huo, ambao utagha&#341;imu dola za Kima&#341;ekani milioni 13, unategemewa kukamilika mwaka 2005. Wakulima katika mikoa 11 watafaidika.<\/p>\n<p>Lakini kwa sasa ni mabwawa 50 tu ambayo yamepangwa kujenga hadi mwisho wa mwaka huu, na yatajengwa katika mikoa mitano tu: Matam na Louga kwa upande wa kaskazini, Kaolack, Diou&#341;bel na Thies katika mikoa ya kati ya Senegal. Maeneo haya yanajulikana sana kwa kilimo na uzalishaji wa kuku. Awali se&#341;ikali ilikuwa imepanga m&#341;adi wa kutengenezwa mvua kufanya kazi pamoja na utengenezaji wa mabwawa, lakini mpango huo umeahi&#341;ishwa hadi katikati ya mwezi wa Septemba.<\/p>\n<p>Miji iliyochaguliwa kwa mi&#341;adi itakuwa maeneo ya kuja&#341;ibia mvua ya kutengenezwa na binadamu. Mpango huo utawahusu zaidi wafugaji na maeneo yanayolima ka&#341;anga ambayo yamekuwa na ukame mkubwa, na ambayo hayana mfumo wa maji wenye uwezo wa kutosha kuhifadhi maji ya mvua.<\/p>\n<p>Ja&#341;ibio la kutengeneza mawingu ili kuleta mvua zaidi&ndash;lilifanywa miaka 35 iliyopita nchini Senegal, lakini halikufanikiwa. Kulingana na Mamadou Seck, ambaye ni Wazi&#341;i wa Pembejeo, Miundombinu na Usafi&#341;i, mpango wa kutengeneza mabwawa ya maji utafanya mabonde kuzalisha na kwa kiwango kikubwa zaidi itajenga maeneo mapya kwa ajili ya ufugaji.<\/p>\n<p>Mabwawa ambayo yatakuwa na uwezo wa kuzalisha kati ya meta za ujazo 20,000 na 60,000 za maji, yatahifadhi maji ya mvua kwa ajili ya wakulima na wafugaji katika mikoa yenye hali ya jangwa.<\/p>\n<p>Mbali na uwezo wake wa kuhifadhi maji, na kuweza kubo&#341;esha kianzio cha maji ya chini ya a&#341;dhi, mabwawa yataweza pia kuzuia mmomonyoko wa a&#341;dhi, anasema Diene Faye Wiza&#341;a ya Nishati, Madini na Maji. Mipaka yake pia itatumika kama njia wakati wa mvua na wakati maeneo mengine ya kijiji yatakuwa yamefu&#341;ika wakati wa maji&#341;a ya mvua, anaelezea.<\/p>\n<p>Kwa kumalizika kwa mabwawa 50 kati ya 73 mwaka 2003, mita za ujazo za maji milioni nne yatahifadhiwa, kulingana na mku&#341;ugenzi wa Uhandisi Vijijini, Mohamed Thiam. Kiwango kikubwa cha maji haya kitatumika katika kumwagilia hekta 500 za a&#341;dhi, ambazo zinata&#341;ajiwa kuzalisha tani za matunda na mboga 10,000, anasema.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Katika miaka ijayo, tutaona mashamba mengi zaidi nchini,&quot; anasema Thiam. &#038;oci&#341;c;Faida nyingine ya mabwawa itakuwa kuhakikisha usalama wa chakula, kilimo cha mazao mbalimbali na utamaduni wa kuzalisha chakula.&quot;<\/p>\n<p>Wakati kilimo cha bustani kinachangia sana katika usalama wa chakula nchini Senegal, pia kinachangia katika biasha&#341;a ya nchi hiyo. Kwa kuzalisha tani 300,000 mwaka 2002, nchi ilipata Fa&#341;anga bilioni 70 (sawa na dola za Ma&#341;ekani milioni 123) kutokana na kilimo. Ka&#341;ibu asilimia 60 ya chakula kinachozalishwa kinatoka Niayes.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Tunachotaka katika mpango huu ni kufufua soko la kazi la vijijini ili wazalishaji wasiende mjini kutafuta kazi,&quot; anasema Salif Ba, mkuu wa Mpango.<\/p>\n<p>Mpango huo, hata hivyo haujawa bila ya upinzani. Wazi&#341;i wa kilimo wa zamani, Robe&#341;t Sagna, anapinga umuhimu wa m&#341;adi huo, akisema kwamba kutokana na kubo&#341;eka kwa mabwawa ya Manatali na Diama katika mto wa Senegal, maji yamekuwa yakipatikana kwa u&#341;ahisi nchini Senegal.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Kwa kupatikana kwa maji sasa katika mabwawa, tunaweza kumwagilia mashamba katika maeneo ya wafugaji na kubo&#341;esha kilimo cha mazao mbalimbali,&quot; anasema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAKAR, Aug 25 (IPS) &ndash; &ndash;Katika Sangalkam, kijiji kilichopo kilometa 37 kutoka mji mkuu wa Senegal, Daka&#341;, wafanyakazi wako bize wakitengeneza msingi wa bwawa jipya la maji. Maji ya mvua ambayo bwawa linategemewa kuyahifadhi, yatatumika katika kumwagilia mashamba na kutuliza kiu ya wanyama wa kufugwa. Bwawa hilo, likiwa na ukubwa wa kilometa za m&#341;aba nane,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":100,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-312","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/312","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/100"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=312"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/312\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=312"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=312"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=312"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}