{"id":311,"date":"2003-08-26T13:40:01","date_gmt":"2003-08-26T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/26\/maeneleo-umoja-wa-ulaya-watumia-unyonge-wa-afika\/"},"modified":"2003-08-26T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-26T13:40:01","slug":"maeneleo-umoja-wa-ulaya-watumia-unyonge-wa-afika","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/26\/maeneleo-umoja-wa-ulaya-watumia-unyonge-wa-afika\/","title":{"rendered":"MAENELEO: Umoja wa Ulaya Watumia Unyonge wa Af&#341;ika"},"content":{"rendered":"<p>Joyce MulamaNAIROBI, Aug 25 (IPS) &ndash; &ndash;Umoja wa Ulaya unachukulia udhaifu wa Af&#341;ika wa kuzungumza kuweka masha&#341;ti kibao&ndash;yanayotokana na misaada ya maendeleo&ndash;huku kukiwa na mahitaji zaidi ya misaada hiyo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nMwandishi mkuu wa masuala ya kiuchumi na mwandishi wa makala maalumu katika gazeti la nchini Kenya, Washington Akumu, anasema masha&#341;ti mengi ya Umoja wa Ulaya unajikita katika pesa na &ndash; kutaka kutambulika kama wao hawana makosa ya kisiasa katika jamii ya kimataifa.&quot;<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Kila wakati, nchi za Magha&#341;ibi na Umoja wa Ulaya kwa ujumla, zinasaidia taasisi za Af&#341;ika kama Umoja wa Af&#341;ika na Ushi&#341;ikiano wa Kiuchumi wa Af&#341;ika (NEPAD) kujenga mfumo wa usimamizi ambao utafanya kazi, kana kwamba wako ka&#341;ibu na a&#341;dhi na wana mikono misafi,&#8217; anasema Akumu.<\/p>\n<p>Job Ogolla, wa shi&#341;ika lililopo Nai&#341;obi la Economic Resea&#341;ch and Conso&#341;tium, anakubali kwamba baadhi ya masha&#341;ti ya Umoja wa Ulaya, kama ya kutaka kushi&#341;ikishwa kwa mashi&#341;ika ya hia&#341;i na makundi ya imani katika kuandika michanganuo ya mi&#341;adi, yanaka&#341;ibishwa, yana nia ya kulinda nchi kutokana na &#341;ushwa ya se&#341;ikali.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Se&#341;ikali imewekwa katika haki ya kutazamwa kutokana na mawazo ya kuandika michanganuo ya mi&#341;adi. Wakati michanganuo itakapomalizika na pesa kutolewa, sehemu nyingine mbali na se&#341;ikali, zitajua na nafasi ya matumizi mabaya inapungua,&quot; anasema.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Lakini baadhi ya masha&#341;ti ya Umoja wa Ulaya yanahitaji mabadiliko ya she&#341;ia na kujengwa kwa taasisi mpya. Hili haliwezi kuwa kazi &#341;ahisi kwa nchi zinazopokea misaada,&quot; anabainisha Ogolla.<\/p>\n<p>Umoja wa Ulaya ma&#341;a nyingi umekuwa ukitaka ubinafisishaji, kuwepo kwa she&#341;ia za ugavi na kubo&#341;esha huduma za umma kama masha&#341;ti ya kutoa misaada kwa nchi zinazoendelea.<\/p>\n<p>Umoja wa Ulaya umesisitiza kwamba mageuzi ya kiuchumi na kitaasisi ni muhimu kuvutia misaada ya kimataifa, na imekuwa ikiwataka wapokeaji kuzidisha mageuzi ili kukuza imani ya wawekezaji.<\/p>\n<p>Zaidi ya asilimia 50 ya misaada ya Umoja wa Ulaya ba&#341;ani Af&#341;ika inalenga katika kujenga mazingi&#341;a andelevu kwa sekta binafsi kushi&#341;iki katika mageuzi ya kiuchumi, analalamika ofisa mmoja wa maendeleo nchini.<\/p>\n<p>Miundombinu ya ba&#341;aba&#341;a, utalii na biasha&#341;a ni miongoni mwa maeneo ya msingi umoja unayatazama katika kukuza uchumi.<\/p>\n<p>Ogolla amelaumu Umoja wa Ulaya kwa kuichezea Af&#341;ika wakati linapokuja suala la biasha&#341;a. &#038;oci&#341;c;Wanatuambia tutafanya biasha&#341;a bila ya kutoa ushu&#341;u kwa ajili ya bidhaa zetu katika masoko ya Ulaya. Tunapoliangalia hili kwa undani, Af&#341;ika inalaumiwa kwa kubakia kuwa eneo la kuzalisha malighafi, kwasababu inauza malighafi kwa Ulaya, bidhaa za viwandani za Magha&#341;ibi na usafi&#341;ishaji wake Af&#341;ika, kitu ambacho siyo sawa,&quot; anasema.<\/p>\n<p>Baadhi ya nchi za Af&#341;ika hazikukubaliana na maofisa wa Umoja wa Ulaya kutokana na vikwazo. Mwaka jana, Kenya ilikosana na Umoja wa Ulaya, mmoja wa washi&#341;ika wake wakuu wa maendeleo, juu ya kukataliwa kwa nakala ya &#038;oci&#341;c;mkakati wa nchi,&quot; ambao ulielezea masha&#341;ti yake.<\/p>\n<p>Ja&#341;ida ambalo liliandaliwa na wajumbe wa Umoja wa Ulaya nchini, lilielezea masha&#341;ti yasiyobadilika kwa kubadilishana na misaada.<\/p>\n<p>Maofisa wa se&#341;ikali walisisitiza kwamba masha&#341;ti yenyewe yanatesa na yanagusa heshima ya nchi.<\/p>\n<p>Kutokupatana kulitokana baada ya miaka kumi ya &#038;oci&#341;c;kugoma&quot; lakini Kenya haikufuata kupiga magoti. Wakati huo, wizi wa uchumi wa nchi na viongozi wake ulikuwa wa juu. &#038;oci&#341;c;Tulipatwa na kuyeyuka kwa uchumi lakini tuliishi kutokana na kunyamaza kwa watu,&quot; anasema Ogolla.<\/p>\n<p>Umoja wa Ulaya ulikuwa umesitisha misaada kwa nchi zilizoshutumiwa kukiuka haki za binadamu na baadhi ya nchi za Af&#341;ika ziliathi&#341;ika.<\/p>\n<p>Kwa mfano, misaada kwa Zimbabwe, ilisitishwa kutokana na miongoni mwa mambo mengine, se&#341;a za a&#341;dhi, ambapo mashamba yaliyokuwa yakimilikiwa na wakulima 4,500 wa kizungu yaligawanywa kwa wananchi weusi wasiokuwa na a&#341;dhi. Julai, Umoja wa Ulaya ulisitisha misaasa ya maendeleo, &#8216;ambayo ilikuwa mamia ya mamilioni ya eu&#341;o&#8217;, kwa Af&#341;ika kutokana na kusisitiza kwake kwamba Mugabe anahudhu&#341;ia mikutano kati ya Umoja wa Ulaya na Umoja wa Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Mugabe amezuiliwa kusafi&#341;i kwenda Ulaya kutokana na vikwazo vya Umoja wa Ulaya, lakini viongozi wa Af&#341;ika wanasema Ulaya isingeweza kushinikiza ni nani ahudhu&#341;ie mikutano.<\/p>\n<p>Mkutano wa kwanza kati ya Umoja wa Ulaya na Af&#341;ika ulifanyika mjini Cai&#341;o, Mis&#341;i miaka miwili iliyopita. Mkutano wa mwaka huu unata&#341;ajiwa kufanyikia mjini Lisbon, U&#341;eno.<\/p>\n<p>Msemaji wa Umoja wa Ulaya Michael Cu&#341;tis alionyesha kwamba pamoja na kufutwa kwa mkutano, majadiliano yataendelea kati ya umoja huo na nchi za Af&#341;ika, nyingi ya nchi ambazo zinagawana misaada yenye thamani ya mabilioni ya Eu&#341;o na biasha&#341;a na muungano. Kazi ya Umoja wa Ulaya na Af&#341;ika kwa kupitia Mkataba wa Cotonou, ambao dhumuni lake kubwa ni kupunguza umaskni kwa kuongeza na kutoa misaada yenye malengo, ushi&#341;ikikiano mzu&#341;i wa biasha&#341;a na majadiliano ya kisiasa.<\/p>\n<p>Mkataba ulisainiwa katika mji mkuu wa Benin, Cotonou, Julai 2000, na unaunganisha nchi 77 za Af&#341;ika, Ca&#341;ibbean na Pacific (ACP) pamoja na nchi 15 za Umoja wa Ulaya. Mkataba, ambao unatoa muundo wa ushi&#341;ikiano wa Ulaya na nchi za ACP, pia unataka kubinafisisha biasha&#341;a miongoni mwa pande hizo mbili.<\/p>\n<p>Mwaka huu Umoja wa Ulaya ulikubaliana na wito wa Ma&#341;ekani na mashi&#341;ika ya hia&#341;i kukuza misaada yake ya kiutu kwa Af&#341;ika kwa kutoa zaidi ya eu&#341;o milioni 2 kama msaada wa kifedha kwa ba&#341;a lenye matata.<\/p>\n<p>Ufa&#341;ansa na Uje&#341;umani, nchi mbili kubwa kabisa katika umoja wa nchi 15 za Umoja wa Ulaya zilichukua hatua kwa kuongeza misaada inayotolewa kwa Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Uje&#341;umani, nchi yenye nguvu za kichumi kuliko zote ba&#341;ani Ulaya, imetoa eu&#341;o milioni 215 zaidi kupambana na UKIMWI ba&#341;ani Af&#341;ika, ikiwa ni nyongeza katika eu&#341;o milioni 300 ambazo ilikuwa imeshaahidi kwa mfuko wa afya wa kimataifa unaofanya kazi katika Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Rais wa Ufa&#341;ansa Jacques Chi&#341;ac alisema Pa&#341;is pia itaongeza ma&#341;a tatu mchango wake kutoka eu&#341;o milioni 50 hadi eu&#341;o milioni 150. Alikuwa akijiamini kwamba Umoja wa Ulaya baadaye utaandaliwa kuahidi dola milioni moja katika jambo hili.<\/p>\n<p>Misaada katika nchi Kusini mwa jangwa la Saha&#341;a ilishuka kutoka dola za Ma&#341;ekani bilioni 16 mwaka 1996 hadi bilioni 12.7 mwaka 2000.<\/p>\n<p>Shi&#341;ika kubwa kuliko yote la huduma la Oxfam nchini Uinge&#341;eza, linasema matumizi ya misaada katika Af&#341;ika inahitaji kuongezeka kwa uchache kwa dola za Ma&#341;ekani bilioni 25 kwa mwaka kama ukanda huo utafikia shabaha ya kupunguza nusu ya idadi ya watu wanaoishi kwa chini ya dola moja kwa siku ifikapo mwaka 2015.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>Joyce MulamaNAIROBI, Aug 25 (IPS) &ndash; &ndash;Umoja wa Ulaya unachukulia udhaifu wa Af&#341;ika wa kuzungumza kuweka masha&#341;ti kibao&ndash;yanayotokana na misaada ya maendeleo&ndash;huku kukiwa na mahitaji zaidi ya misaada hiyo. Mwandishi mkuu wa masuala ya kiuchumi na mwandishi wa makala maalumu katika gazeti la nchini Kenya, Washington Akumu, anasema masha&#341;ti mengi ya Umoja wa Ulaya unajikita&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":99,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-311","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/311","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/99"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=311"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/311\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=311"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=311"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=311"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}