{"id":310,"date":"2003-08-25T13:40:01","date_gmt":"2003-08-25T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/25\/maendeleo-afrika-viongozi-wataka-mazungumzo-siyo-vita\/"},"modified":"2003-08-25T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-25T13:40:01","slug":"maendeleo-afrika-viongozi-wataka-mazungumzo-siyo-vita","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/25\/maendeleo-afrika-viongozi-wataka-mazungumzo-siyo-vita\/","title":{"rendered":"MAENDELEO&ndash;AFRIKA: Viongozi Wataka Mazungumzo Siyo Vita"},"content":{"rendered":"<p>MBABANE, Aug 23 (IPS) &ndash; &ndash;Kama Af&#341;ika inataka kuendelea kiuchumi na kijamii, mazungumzo yakweli ni lazima yafanyike badala ya vita vya silaha, migomo na siasa mbovu, wajumbe katika mkutano wa wakuu wa nchi uliofanyika nchini Swaziland wiki hii walikubaliana.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\n&ndash; Natuzungumze, na kuzungumza na kuzungumza, badala ya kupigana, kupigana, kupigana,&quot; alisema &#341;ais wa Msumbiji Joachim Chissano.<\/p>\n<p>Chissano aliungwa mkono na Rais wa Botswana Festus Mogae, Rais wa Sudan na Malasia, mwenyeji wa mkutano mfalme Mswati wa Swaziland, na Rais wa Zimbabwe ambaye wapinzani nchini mwake wanataka akubaliane na mazungumzo zaidi.<\/p>\n<p>Mkutano wa Global 2003, kama mkutano wa mazungumzo ya ushi&#341;ikiano wa wakuu wa jumuiya ya madola, SMART, katika ulifanyika huku ukiwakutanisha zaidi ya wajumbe 400 na maofisa katika tukio hilo la siku tatu. Kundi hilo limetengwa na upande mwingine wa dunia uliobakia kwani walijadili njia za kutafuta suluhisho za se&#341;ikali na sekta binafsi katika changamoto za kitaifa na kimataifa.<\/p>\n<p>SMART inamaanisha Rahisi\/Inayopimika\/Malengo yanayoendeshwa na matendo\/Heshima\/Uaminifu.<\/p>\n<p>Wapinzani wanalaumu kuhusu gha&#341;ama, zaidi ya dola za Ma&#341;ekani milioni 10 zilitengwa kwa ajili ya se&#341;ikali ya Swaziland peke yake, na kuufanya mkutano &#8216;duka la mazungumzo&quot;.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Inaweza kuonekana ushamba kufiki&#341;ia kwamba kitu kizu&#341;i kitafanyika ndani ya chumba kilichojaa watu wanaozungumza pamoja. Mwisho wa siku, hakuna mkataba wa makubaliano yanayofikiwa. Hakuna makubaliano ambayo kila mmoja anaweza kusaini. Lakini baadhi ya suluhisho zinapatikana kwa kusugua vichwa,&quot; alisema mjumbe kutoka Af&#341;ika ya Kusini Thab&#8217;sile Motau.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Hii ni kwa ajili ya mtandao. Tulikutana na watu kutoka katika sekta za umma na binafsi ambazo zimetambua matatizo yetu, na walikuwa na ujuzi ambao tungeweza kujifunza kutoka kwao,&quot; alisema mjumbe mwingine, Sand&#341;a Babalobi wa Nige&#341;ia.<\/p>\n<p>Lakini ni jambo gani lilifikiwa, zaidi ya kupeana kadi za bizinesi, kuthibitisha kuhudhu&#341;ia kwa wakuu wa nchi, gha&#341;ama za mkutano, na kuonekana katika vyombo vya haba&#341;i. Wajumbe walisema kwamba pamoja na kutokuwepo na mkataba wa kufunga mkutano, mambo yaliyojitokeza kwa ajili ya &#341;ikodi yamebeba uzito wa mapendekezo.<\/p>\n<p>Ukiangalia katika maazimio kunatoa mwanga wa fik&#341;a za Af&#341;ika katika baadhi ya mambo ya msingi ya kisasa.<\/p>\n<p>Af&#341;ika ilipinga vita vya hivi ka&#341;ibuni vya Ma&#341;ekani na Uinge&#341;eza dhidi ya I&#341;ak, na mgogo&#341;o huo ulizua wasiwasi wa wajibu wa Ma&#341;ekani kama polisi wa Kimataifa. &#038;oci&#341;c;Hakuna nchi moja ambayo inaweza kutatua matatizo ya usalama duniani,&quot; walikubaliana wajumbe walipokuwa wakijadili suala la &#038;oci&#341;c;Ukuzaji wa Ushi&#341;ikiano katika usalama wa Dunia.&quot;<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Natuwe tunajiamini na mambo yetu wenyewe, na kuwa wakweli kuhusu uwezo wetu, lakini nchi zilizoendelea zinahitaji kufanya kazi kwa pamoja. Mamlaka ya kimaadili na uhalali wa se&#341;a za kigeni zitokane na kanuni zinazokubalika kimataifa,&quot; kundi hilo lilikubaliana.<\/p>\n<p>Wajumbe walipendekeza kubadilisha uta&#341;atibu wa usalama wa Af&#341;ika kutoka katika kutataua matatizo na kuwepo na kazi ya kuzuia migogo&#341;o.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Tunataka kuona matatizo yanatokomea katika eneo hili, na kuyatatua kabla hayajalipuka kuwa mgogo&#341;o. Daima, dalili za maonyo zinakuwepo,&quot; alisema Musa Matsebula, mjumbe wa Swaziland.<\/p>\n<p>Kwa sasa vita vipo nchini Sudan, Libe&#341;ia, Ivo&#341;y Coast, Somalia, Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asia ya Kongo na Guinea.<\/p>\n<p>Mazungumzo mengi ya mkutano yaliegemea zaidi katika maendelea ya kiuchumi ya nchi zinazoendelea. Pamoja na wakuu wote wa nchi kutoka katika Jumuiya ya Madola walika&#341;ibishwa kuhudhu&#341;ia, ni wale tu wa nchi zinazoendelea walihudhu&#341;ia. Msisitizo ulikuwa katika mahitaji maalum ya nchi maskini.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Mfumo usioeleweka sana wa kisiasa na kijiog&#341;afia inajengwa katika uta&#341;atibu ulioha&#341;ibiwa wa uchumi wa kimataifa ambao hausaidii matakwa ya nchi zinazoendelea,&quot; ilisema &#341;ipoti iliyotolewa na wajumbe waliokuwa wakijadili mada &#038;oci&#341;c;Kujenga Kazi ya Uchumi katika Nchi Zinazoendelea.&quot;<\/p>\n<p>Maazimio hayataji &#038;oci&#341;c;mfumo wa kijiog&#341;afia na kisiasa&quot; ambao haujafafanuliwa, haujulikani, lakini wajumbe hawakuwa na si&#341;i juu ya mawazo kwamba nchi zinazoendelea hazifaidiki sana katika biasha&#341;a duniani.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Kuna haja ya nchi zinazoendelea kutafuta njia za pamoja ili kupambana na kutokuwa na usawa,&quot; azimio lilisema.<\/p>\n<p>Mipango ya pamoja katika maendeleo ya kimkoa taya&#341;i inaendelea katika Ushi&#341;ikiano Mpya wa Maendelea Af&#341;ika (NEPAD), ambayo mkutano uliita kama m&#341;adi muhimu wa Af&#341;ika kukusanya &#341;aslimali kwa ajili ya mi&#341;adi maalum.<\/p>\n<p>NEPAD, mpango wa kuanza kwa maendeleo ya Af&#341;ika, unatafuta dola bilioni 64 za Ma&#341;ekani kutoka kwa wawekezaji na wahisani kila mwaka.<\/p>\n<p>Mipango ya kila nchi ya maendeleo kama ile ya Msumbiji, Af&#341;ika ya Kusini na Swaziland kujenga mfumo wa &#341;aslimali za kimkoa, kama mito na milima, imeonyesha kufanikiwa, na inatakiwa kuigwa Af&#341;ika nzima, wajumbe wa mkutano walipendekeza.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Kutekeleza mipango mikubwa ya miundo mbinu\/mawasiliano\/nishati kama iliyopo katika mipango ya maendeleo ya nchi moja moja, se&#341;ikali, mashi&#341;ika ya maendeleo na sekta binafsi inatakiwa kuleta &#8216;mi&#341;adi midogo&#8217; ambayo inahitaji maliasili kidogo, lakini inaleta matunda yanayota&#341;ajiwa,&quot; alisema Musa Fukudze, Katibu Mkuu wa wiza&#341;a ya Fedha ya Swaziland.<\/p>\n<p>Wakati mapendekezo mengine ya maendeleo yaliyotolewa yalikuwa hayaeleweki, na kutotoa mkataba wa utekelezaji au maalum kwa kuwaongoza watunga se&#341;a, mapendekezo mengine yalitolewa kwa undani.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Kuendeleza maendeleo ya taasisi za kitaifa za kuweka fedha, mashi&#341;ika ya bima na mifuko ya fedha ni lazima viendelezwe na kufanywa kueleweka kwa wawekezaji wadogo. Masoko haya ya bidhaa za fedha wakati zinaponunuliwa kitachochea ukuaji wa uhifadhi wa fedha, ambapo utaweza pia kuchangia katika uwekezaji uliofikia asilimia 30 ya pato la taifa, huku ikitoa mtaji wa kawaida na wa muda m&#341;efu katika maendeleo,&quot; alisema mwanauchumi.<\/p>\n<p>Mjumbe wa Malawi, Clement Thindwa, aliiambia IPS, &#038;oci&#341;c;Tunataka kubo&#341;esha biasha&#341;a ndogo ndogo kama ufugaji wa kuku na bustani za matunda, siyo tu kwa ajili ya kuongeza aji&#341;a na kujenga tabaka jipya la wafanyabiasha&#341;a, lakini kwa sababu aina hizi za biasha&#341;a ni muhimu sana kwa utamaduni wa Af&#341;ika na maadili.&#8217;<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Maendeleo ya Af&#341;ika ni lazima yaletwe kutoka chini kabisa, tumetambua,&quot; alisema. Dhumuni la mkutano , Thindwa anaamini, ni kuwakutanisha kwa pamoja watu wenye mawazo, wawe na nafasi kubwa, sifa kubwa, hesima kubwa au laa.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Kuna mengi ya kusemwa kuhusu mtandao, na mawazo mapya yakishi&#341;ikishwa kwa wote zitasambazwa katika nchi nyingi. Katika masuala ya kimataifa, tumeweza pia kuonyesha kuna sauti ya pamoja ya Af&#341;ika ambazo ni lazima zisikike,&quot; alisema<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MBABANE, Aug 23 (IPS) &ndash; &ndash;Kama Af&#341;ika inataka kuendelea kiuchumi na kijamii, mazungumzo yakweli ni lazima yafanyike badala ya vita vya silaha, migomo na siasa mbovu, wajumbe katika mkutano wa wakuu wa nchi uliofanyika nchini Swaziland wiki hii walikubaliana. &ndash; Natuzungumze, na kuzungumza na kuzungumza, badala ya kupigana, kupigana, kupigana,&quot; alisema &#341;ais wa Msumbiji Joachim&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":8,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-310","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/310","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/8"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=310"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/310\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=310"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=310"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=310"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}