{"id":308,"date":"2003-08-23T13:40:01","date_gmt":"2003-08-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/23\/utamaduni-kenya-mwandishi-wa-tuzo-ana-shauku-ya\/"},"modified":"2003-08-23T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-23T13:40:01","slug":"utamaduni-kenya-mwandishi-wa-tuzo-ana-shauku-ya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/23\/utamaduni-kenya-mwandishi-wa-tuzo-ana-shauku-ya\/","title":{"rendered":"UTAMADUNI&ndash;KENYA: Mwandishi wa Tuzo Ana Shauku ya"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Augosti 22 (IPS) &ndash; Ni msanii, mtunza mashai&#341;i, na kila sentenso anayoiandika inaonyesha umahi&#341;i wake na mapenzi katika uandishi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nHuyu si mwingine bali ni Yvonne Adhiambo, mshindi wa Tuzo ya Mwaka ya Caine kwa ajili ya Waandishi wa Kiaf&#341;ika. Alizawadiwa pia cheki ya dola za Kima&#341;ekani 15,000. &ndash; Napenda kucheza na maneno katika maandishi kwa sababu yanawakilisha mfumo wa picha fulani katika mawazo, ni kama miujiza, analiambia shi&#341;ika la haba&#341;i la IPS.<\/p>\n<p>Yvonne ambaye kwa hivi sasa anaishi Zanziba&#341; ambako anafanya kazi ya utawala katika Zanziba&#341; Film Festival (ZIFF), alipata tuzo hiyo Julai mjini Oxfo&#341;d, Uinge&#341;eza, kwa ajili ya kazi aliyoiandika, Weight of Whispe&#341;s.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Kwa upande wangu, tuzo ya Caine ni bidii katika uandishi. Ni uthibitisho kwa mwandishi kama mimi kujificha, na kuwa na imani kuwa kuna uwezekano mkubwa miongoni mwa uwanda wa waandishi wa Kiaf&#341;ika&quot;, anasema.<\/p>\n<p>Tuzo hiyo ambayo hugombaniwa na watu wengi kutoka kila pembe ba&#341;ani Af&#341;ika kila mwaka, hupewa kwa mwandishi kutoka ba&#341;ani humo au mahali pengine ambaye ameandika hadithi fupi iliyochapishwa kwa Kiinge&#341;eza.<\/p>\n<p>Hadithi ya Yvonne inavutia sana. Inahusu uhamisho, utengano na kusita kwa safa&#341;i za ghafla zinazowakumba watu kutokana na matukio mbalimbali. Inazungumzia kuhusu wakimbizi wa Rwanda waishio Nai&#341;obi, ambao wametelekeza maisha yao nadhifu na kuishi katika maisha ya mitaani ambayo hawakuyategemea.<\/p>\n<p>Anasema amevutiwa na somo hilo kutokana na hisia za kutelekezwa, ambazo hata yeye mwenyewe humsibu akiwa katika mazingi&#341;a yake ya nyumbani. Zaidi ya hayo, ameguswa sana na jinsi watu kama hao wanavyohudumiwa vibaya. &#038;oci&#341;c;Nimekuwa nikishangaa jinsi watu wengine wanavyowadhalilisha wenzao ambao wamekata tamaa ya maisha na kutafuta fa&#341;aja kutoka kwetu,&quot; anasema Yvonne mwenye um&#341;i wa miaka 35.<\/p>\n<p>Uwezo wake wa kuandika uligunduliwa alipokuwa shule ya msingi, na walimu wake waliamua kumuendeleza. &#038;oci&#341;c;Nilianza kuandika shai&#341;i la K&#341;ismas kwa ajili ya mwalimu wangu wa Kiinge&#341;eza, hakuamini, alidhani nimenakili mahali. Baadae niliona shai&#341;i hilo limetundikwa katika ubao wa taa&#341;ifa za shule likiwa limewekewa nyota tano, nilibaini kuwa nimefanya vizu&#341;i,&quot; alisema na kuongeza kwamba, &#038;oci&#341;c;nilifu&#341;ahi sana.&quot;<\/p>\n<p>Maisha ya Yvonne ambayo yalizungukwa na vitabu, ni malipo ya wazazi wake na watoto nane ambao anasema wamemsaidia sana kukuza ubunifu wake. Walimshangilia alipoingia katika shindano. Baba yake ni Mku&#341;ugenzi wa Shi&#341;ikisho la Wafanyakazi wa Kenya, wakati mama yake ni mwalimu mstaafu wa somo la biolojia.<\/p>\n<p>Kazi yake ya uandishi ameielezea kuwa imekuzwa na &#038;oci&#341;c;ushau&#341;i mzu&#341;i, familia yenye upendo, hasa wazazi wenye sifa stahili na waliojaa ubunifu, mzunguko mzu&#341;i wa ma&#341;afiki, mapenzi kwa hadithi nzu&#341;i na mshawasha wa kujua maisha.&quot;<\/p>\n<p>Miongoni mwa washau&#341;i wake ni pamoja na mha&#341;i&#341;i wa Kenya, Binyivanga Wainaina, ambaye aliingiza hadithi yake katika shindano. Wainaina alipata tuzo kama hiyo mwaka uliopita.<\/p>\n<p>Uwezo wake katika fasihi umetokana na mkusanyiko wa mafunzo mbalimbali aliyoyapata katika taasisi za juu nchini Kenya. Ana shahada ya kwanza katika Lugha, Kiinge&#341;eza na Histo&#341;ia, ambayo aliipata kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta mwaka 1990.<\/p>\n<p>Yvonne pia amepata shahada ya pili katika Televisheni\/Maendeleo ya Video katika Chuo Kikuu cha Reading nchini Uinge&#341;eza miaka mitatu iliyopita, na yuko katika ha&#341;akati za kuandika kitabu ambacho maudhui yake bado hajayaeleza bayana. Anasema ni sawa na kutabi&#341;i mtoto ambaye bado hajazaliwa.<\/p>\n<p>Amejifunza kukubali makosa kwa &#038;oci&#341;c;kuwa na imani, kuamini mazu&#341;i dhidi ya mabaya, bila kujali ubaya wa jambo linaweza kuwa.&quot;<\/p>\n<p>Yvonne anaingilia mawazo yanayoonyesha mafanikio katika maisha yake kwa kusema, &#038;oci&#341;c;nawaachia watakaoelezea wasifu wangu nikiwa kabu&#341;ini kuhusu mafanikio yangu,&quot; lakini anaongeza, &#038;oci&#341;c;Naelewa kuwa tuzo hii ni mwanzo wa safa&#341;i yangu ndefu.&quot;<\/p>\n<p>Akiulizwa kuhusu malengo yake, anajibu, &#038;oci&#341;c;Kucheka na kupenda maisha bila kujali ni ya namna gani! Na, kweli, kuwa hu&#341;u kuandika na kuandika na kuandika na kuishi na kupenda vyote.&quot;<\/p>\n<p>Yvonne ambaye ni miongoni mwa waanzilishi wa vikundi mbalimbali nchini Kenya, ana ushau&#341;i kwa waandishi chipukizi duniani; &#038;oci&#341;c;Angalia na jifunze mazingi&#341;a yako, wajue unaoishi nao. Jisikie na andika. Izungumze hadithi yako moyoni mwako. Juu ya yote, andika hata kama penseli yako inasahihisha dafta&#341;i lililokwisha, na jichanganye na washau&#341;i ambao ni wakweli kwako. Ogopa watu wabaya kama ukoma! Na kama unakutana nao waandike kama husika Fulani, lakini andika na endelea kuandika na tafuta njia ya kujadili kazi yako.&quot;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Augosti 22 (IPS) &ndash; Ni msanii, mtunza mashai&#341;i, na kila sentenso anayoiandika inaonyesha umahi&#341;i wake na mapenzi katika uandishi. Huyu si mwingine bali ni Yvonne Adhiambo, mshindi wa Tuzo ya Mwaka ya Caine kwa ajili ya Waandishi wa Kiaf&#341;ika. Alizawadiwa pia cheki ya dola za Kima&#341;ekani 15,000. &ndash; Napenda kucheza na maneno katika maandishi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":73,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-308","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/308","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/73"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=308"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/308\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=308"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=308"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=308"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}