{"id":307,"date":"2003-08-23T13:40:01","date_gmt":"2003-08-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/23\/utamaduni-tanzania-wanawake-wa-afika-watakiwa-kuacha\/"},"modified":"2003-08-23T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-23T13:40:01","slug":"utamaduni-tanzania-wanawake-wa-afika-watakiwa-kuacha","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/23\/utamaduni-tanzania-wanawake-wa-afika-watakiwa-kuacha\/","title":{"rendered":"UTAMADUNI&ndash;TANZANIA: Wanawake wa Af&#341;ika watakiwa Kuacha"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Aug 22 (IPS) &ndash; &ndash;Wanawake wa Af&#341;ika wanatakiwa kuamka na kuendeleza mtizamo unaofaa kama sababu ya msingi ya kujiendeleza, ikiwa ni pamoja na maendeleo endelevu kijamii na kiuchumi katika ba&#341;a hili.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nHuu ni ujumbe kutoka kwa Wazi&#341;i wa Tanzania wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Asha&ndash;Rose Migi&#341;o alipokuwa akifungua maadhimisho ya Siku ya Wanawake kusini mwa Af&#341;ika iliyofanyika mjini Da&#341; es salaam, Tanzania. Ujumbe wa maadhimisho hayo ulikuwa; &ndash; Wanawake kwa pamoja tunatembea katika ka&#341;ne ya Af&#341;ika na pamoja tunasukuma nyuma mipaka ya umaskini.&quot;<\/p>\n<p>Migi&#341;o alisema wakati wanawake wanapambana na umaskini wa mali wasipoteze mtizamo wa &#038;oci&#341;c;umaskini wa mawazo&quot; kwasababu unatokana zaidi na imani, mitizamo, na kuona mbali vitu ambavyo vinafunga wanawake katika utando wa umaskini na hasa&#341;a nyingine za kijamii na kiuchumi.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Hakuna jamii inayoweza kuendelea kiu&#341;ahisi, kama hatutaacha imani hizi na mitizamo ambayo inaadhi&#341;i maendeleo ya wanawake na kuzuia uwezeshaji wa wanawake,&quot; alisema mwanaha&#341;akati wa haki za binadamu ambaye alishangiliwa na wanawake kama wazi&#341;i mwemye uwezo mkubwa ambaye amewahi kushika Wiza&#341;a ya Jinsia ya Tanzania tangu nchi ilipopata uhu&#341;u wake kutoka Uinge&#341;eza mwaka 1961.<\/p>\n<p>Kulingana na Migi&#341;o, &#038;oci&#341;c;Ka&#341;ne ya Af&#341;ika&quot; inaleta changamoto kubwa ikiwa ni pamoja na ; utandawazi na atha&#341;i zake kwa wanawake; amani na migogo&#341;o na gonjwa la UKIMWI. Utawala bo&#341;a, utawala wa she&#341;ia, mila na utamaduni ambazo zinawadhalilisha wanawake na uwezeshwaji wa wanawake na makundi mengine yanayonyanyaswa.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Kwa mtizamo wangu tunaweza tu kuzingi&#341;a changamoto hizi kama tutatembea katika changamoto za Af&#341;ika kwa pamoja na kwa sauti yenye nguvu,&quot; alisisitiza Wazi&#341;i ambaye kwa elimu ni mwanashe&#341;ia.<\/p>\n<p>Mawazo yake yameungwa mkono na Balozi wa Af&#341;ika ya Kusini nchini Tanzania, The&#341;esa Ma&#341;y Solomon, ambaye alisema usawa wa kijinsia pia unahusu kuleta mabadiliko ya kiuchumi, na kwamba msingi wa mabadiliko haya ni nafasi ya wanawake na majukumu ya wanawake katika uchumi.<\/p>\n<p>Anasema kukosekana kwa aji&#341;a kunaathi&#341;i wanawake kuliko sekta nyingine yoyote ya jamii. Hii ni kutokana na kwamba ukosefu wa aji&#341;a na umaskni huongeza shinikizo kwa wanawake kwani ni wao wanaofanya &#038;oci&#341;c;kazi zisizokuwa na malipo&quot; majumbani ambapo ni pamoja na kulea watoto, kutunza afya za familia, kutoa elimu isiyokuwa &#341;asmi, uzalishaji wa kaya, na kutunza wagonjwa na wazee.<\/p>\n<p>Hata hivyo, Solomon alisema wanawake wameibuka kuwa na nguvu kutokana na changamoto walizokabiliana nazo na daima wanaja&#341;ibu kubuni njia na jinsi ya kupunguza mzigo na kupata mahitaji ya kila siku. &#038;oci&#341;c;Tunahitaji kujenga zaidi na zaidi aina ya nafasi za jamii kwa pamoja na kwa kushi&#341;ikiana ili kukusanya mali za watu wetu kwa pamoja na kutumia mambo haya kwa ajili ya mabadiliko ya maendeleo ya kiuchumi, ambayo yatachangia katika kuleta usawa wa kijinsia,&quot; alisema.<\/p>\n<p>Mwakilishi kutoka chama cha Waandishi Wanawake Tanzania, Ma&#341;ie Shaba, aliwapa moyo wanawake wa Af&#341;ika kuwa msta&#341;i wa mbele na kuwa na mikakati ya kupambana na umaskini.<\/p>\n<p>Alisema wanawake wote na wasichana ba&#341;ani Af&#341;ika, na duniani kote, wanatakiwa kusimama na kuungana; &#038;oci&#341;c;Hatutakiwi kuendelea kusimama bila ya kuchukua hatua na kuangalia mali za watoto wetu zinatumiwa vibaya, lakini tunatakiwa kuendelea kutembea mbele kama wanawake wa Af&#341;ika ya Kusini walivyofanya Agosti 19, 2003, na kukataa kuitwa maskini wakubwa wa dunia na dhaifu&quot;.<\/p>\n<p>Mwanaha&#341;akati wa jinsia alipendekeza kwamba wanawake ba&#341;ani Af&#341;ika wajielmishe katika nyanja ya se&#341;a ambazo zinaathi&#341;i maisha yao na kutembea kwa pamoja kupinga se&#341;a hizo kwa sauti moja ya muungano.<\/p>\n<p>Zaidi, alibainisha kwamba wanawake wanatakiwa kuwa wajasi&#341;i na kuhoji mambo yasiyohojika. &#038;oci&#341;c;Kwa nini tusizungumzie kuhusu kinyaa cha utaji&#341;i na kile kinacholezewa kama nguvu kubwa za mabadiliko kwa sababu hiyo ndiyo changamoto ya kweli inayotukabili leo hii,&quot; alisema.<\/p>\n<p>Sahaba alimnukuu mwanaha&#341;akati wa kupigania amani Mahatma Gandhi ambaye alisema; &#8216;Dunia ina kila kitu anachohitaji kila mtu, lakini siyo kwa ulafi wa kila mtu&quot;. Alionya kwamba dunia itaendelea kutokuwa na mali za kutosha kwa wanawake hadi hapo wanawake watakapoungana kuwafanya waonekane.<\/p>\n<p>Utafiti wa kijamii uliofanyika huko Uinge&#341;eza mwaka 1995 unaonyesha kwamba pamoja na kwamba wanawake wanazalisha nusu ya chakula wao ni asilimia 70 ya watu milioni 1.3 masikini zaidi. Takwimu zaidi katika utafiti zinaonyesha kwamba duniani wanawake bado wanapata asilimia 36 ya mishaha&#341;a yote ya aji&#341;a na nusu ya mgawanyo wa pato la taifa.<\/p>\n<p>Ili kukabiliana na hali hiyo, Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), umeanzisha kampeni ya Bajeti kwa ajili ya Jinsia (GBI) yenye lengo la kuhakikisha maliasili za taifa zinagawanywa sawa katika bajeti ya taifa ili kuwafaidisha watu wote katika nchi.<\/p>\n<p>Ofisa wa TGN aliiambia IPS kwamba GBI inapambana na matatizo ya kijinsia na inataka kuwapa uwezo wanawake wa kushika nafasi za kutoa maamuzi, kitu cha msingi katika kupambana na masuala ya umaskni.<\/p>\n<p>Dk. Victo&#341;ia Kisyombe, ofisa wa SERO, mpango wa mashi&#341;ika madogo ya fedha wa nchi hii ya Af&#341;ika ya Masha&#341;iki, alisema Af&#341;ika ni lazima iima&#341;ishe uwezo wa mashi&#341;ika madogo ya fedha kama wanataka kuondokana na umaskini hasa miongoni mwa wanawake.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Mashi&#341;ika madogo ya fedha yanaleta uhu&#341;u wa kiuchumi na ku&#341;uhusu hali tulivu zaidi katika maendeleo kwa sababu yanajenga uchumi ambao unashi&#341;kisha na kudhibitiwa na watu wenyewe. Hili ni jambo muhimu sana kama Af&#341;ika inataka kusukuma nyuma mipaka ya umaskini na kuifanya ka&#341;ne hii kuwa ka&#341;ne ya Af&#341;ika,&quot; alisema Dk. Kisyombe. (ENDS\/IPS\/EA\/CR\/WL\/AN\/SM\/03)<\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Aug 22 (IPS) &ndash; &ndash;Wanawake wa Af&#341;ika wanatakiwa kuamka na kuendeleza mtizamo unaofaa kama sababu ya msingi ya kujiendeleza, ikiwa ni pamoja na maendeleo endelevu kijamii na kiuchumi katika ba&#341;a hili. Huu ni ujumbe kutoka kwa Wazi&#341;i wa Tanzania wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk. Asha&ndash;Rose Migi&#341;o alipokuwa akifungua maadhimisho&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":84,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-307","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/307","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/84"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=307"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/307\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=307"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=307"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=307"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}