{"id":305,"date":"2003-08-21T13:40:01","date_gmt":"2003-08-21T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/21\/siasa-zambia-kampeni-dhidi-ya-rushwa-imepamba-moto\/"},"modified":"2003-08-21T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-21T13:40:01","slug":"siasa-zambia-kampeni-dhidi-ya-rushwa-imepamba-moto","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/21\/siasa-zambia-kampeni-dhidi-ya-rushwa-imepamba-moto\/","title":{"rendered":"SIASA&ndash;ZAMBIA: Kampeni Dhidi ya Rushwa Imepamba Moto"},"content":{"rendered":"<p>LUSAKA, Agosti 20 (IPS) &ndash; Wakati jitihada za Rais wa Zambia Levy Mwanawasa zinapamba moto, yeye mwenyewe ameshutumiwa vikali kuhusiana na &#341;ushwa, siyo mahakamani, lakini katika chombo kinachotunga she&#341;ia za nchi, bunge la taifa.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nWiki iliyopita wabunge kutoka kambi ya upinzani, wanaojiita Kamati ya Si&#341;i Ndani ya Bunge inayosughulikia masuala ya Ulinzi wa Katiba na Utawala Bo&#341;a, wamefanikiwa kuwasilisha hoja katika bunge hilo kutaka kumshtaki &#341;ais wa nchi hiyo. Wamemshtaki kwa makosa 25 yanayohusu &#8216;ukiukwaji mkubwa wa katiba, &#341;ushwa, upendeleo katika aji&#341;a na ukiukwaji wa wazi wa uta&#341;atibu uliowekwa na se&#341;ikali katika kutoa tenda&quot;.<\/p>\n<p>Shutuma hizo ni pamoja na madai kwamba Mwanawasa amekiuka katiba ya nchi alipomteua mtu wake ambaye pia alishindwa uchaguzi mkuu Neve&#341;s Mumba kuwa Makamu wake wa Rais. She&#341;ia ya Zambia hai&#341;uhusu mtu ambaye alishindwa katika uchaguzi kushika nafasi ya juu ya uongozi.<\/p>\n<p>Hoja hiyo iliyowashangaza wanasiasa wengi umesababisha mgawanyo katika bunge hilo lenye wabunge 150 ambao baadhi ya wabunge wa chama kinachotawala cha MMD kuiunga mkono kambi ya wapinzani. Shutuma hizo dhidi ya Mwanawasa ziko katika wa&#341;aka wenye ku&#341;asa 32 ambazo makamu wake wa &#341;ais wa zamani Enock Kavindele aliwasilisha na kudai kwamba Mwanawasa alichukua &#341;ushwa ya dola za Kima&#341;ekani 60,000 kwa kutumia jina la mtoto wa ndugu yake kama malipo kwa kuiuzia se&#341;ikali tani 30,000 za mahindi kwa bei ya juu. Mauzo hayo yalitokea wakati ambapo kulizuiwa kuingiza mazao kutokana na mavuno yaliyopatikana wakati huo.<\/p>\n<p>Tuhuma hizo zilitupiliwa mbali kwa kupiga ku&#341;a na se&#341;ikali imedai kupata ushindi. Lakini hata hivyo, kambi ya upinzani inasema kwamba lengo lao limefanikiwa na kuweka wazi mambo ya Mwanawasa ya kuja&#341;ibu kuficha maovu yake kwa kuendesha kampeni dhidi ya &#341;ushwa.<\/p>\n<p>Kiongozi wa chama cha upinzani cha United Pa&#341;ty fo&#341; National Development, C&#341;ispin Sibetta amesema tuhuma hizo zimefikisha ujumbe mzito ba&#341;ani Af&#341;ika na kuweka kigezo muhimu kwa nchi ya Zambia.<\/p>\n<p>&ndash; Hii inaonyesha kwamba hakuna mtu ambaye hawezi kuguswa akiwemo &#341;ais mwenyewe. Inaonyesha kuwa watu wako taya&#341;i na wanaweza kuchukua hatua katika ku&#341;ekebisha mambo yanapotokea na cha muhimu zaidi, ni kwamba watu wanakuwa jasi&#341;i kujua ni kwa namna gani wanaongozwa. Kwa Mwanawasa, inaonyesha kwamba yeye pia mla &#341;ushwa kama &#341;ais wa zamani.&quot;<\/p>\n<p>Ukweli kwamba tendo la wabunge wa kambi ya upinzani walikubaliwa kuwasilisha hoja ya tuhuma hizo ambazo zilihitaji saini 57 ni la ujasi&#341;i mkubwa. Wabunge hao waligoma kuingia bungeni kwa siku tano wiki iliyopita kama shinikizo kwa spika kuwa&#341;uhusu kuwasilisha hoja yao bungeni. Japokuwa hoja hiyo ilishindwa kwa ku&#341;a 92 kwa 57, imembidi Spika wa bunge kuteua ba&#341;aza la Mahakama Kuu kuchunguza madai hayo.<\/p>\n<p>Wachunguzi wa siasa walifiki&#341;i kwamba vyombo vya dola vingezuia hoja hiyo kabla ya kuwasilishwa. &#038;oci&#341;c;Lakini inaonyesha Mwanawasa kutokuwa na wasiwasi wowote kwa sababu anajua kwamba wabunge wa MMD ni wengi katika bunge hilo, wakiwemo wabunge wa kambi ya upinzani ambao wamepewa nafasi za uwazi&#341;i,&quot; anasema Alf&#341;ed Banda, mhadhi&#341;i wa she&#341;ia.<\/p>\n<p>Geo&#341;ge Kunda, wazi&#341;i wa she&#341;ia na mwanashe&#341;ia mkuu, anasema kuwa hoja ya kumtuhumu &#341;ais, anayoielezea kuwa &#038;oci&#341;c;haina msingi, ya hovyo, yenye nia mbaya na kuandikwa vibaya&quot;, imeonyesha su&#341;a mbaya katika histo&#341;ia ya Zambia. &#038;oci&#341;c;Wawasilishaji wa hoja hiyo, walijua wazi kuwa haitakubalika, lakini walifanya hivyo kwa nia ya kumuaibisha kiongozi wetu wa taifa,&quot; anasema.<\/p>\n<p>Kiongozi mmoja wa se&#341;ikali E&#341;ic Silwamba, na mwanashe&#341;ia,anasema kwamba she&#341;ia inayo&#341;uhusu tuhuma inatakiwa kuangaliwa upya kwa sababu inaweza kutumiwa vibaya na wabunge. Hii imedhihi&#341;ika pale wabunge wa MMD, akiwemo makamu wa &#341;ais wa zamani Kavindele ambaye amekuwa akitofautiana na se&#341;ikali ya sasa na kuchagua kuwa mpinzani.<\/p>\n<p>Lakini Kavindele ameliambia shi&#341;ika la IPS kwamba maudhui ya hoja, ambayo yanamshutumu &#341;ais na madai ambayo yeye mwenyewe anawatuhumu wengine, siyo ya kipuuzi na yanahitaji uchunguzi. &#038;oci&#341;c;Tusilete mambo mengine, ni masuala yaliyomo ndiyo ya kuyashughulikia kwa sababu yana umuhimu wake. Tunaweka vigezo vibaya kwa sababu tunashindwa kuuliza upande mwingine wa uongozi, wakati tunawanyanyasa wengine.&quot;<\/p>\n<p>Kikundi hicho kimeamua kulitumia Bunge kuliko mahakama kuwasilisha tuhuma dhidi ya Mwanawasa, kwa sababu kesi dhidi ya matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2001 ambayo iko Mahakama Kuu, ambayo wapinzani wamedai ni batili, &#038;oci&#341;c;bado inaendelea&quot;. Na hakuna anayejua ni lini itamalizika.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Kuna masuala ambayo yanaweza tu kuwasilishwa bungeni na siyo mahakamani bila kuwaathi&#341;i wabunge wakati wanajadili masuala yao bungeni,&quot; anasema Sibetta.<\/p>\n<p>Kikundi hicho, anasema Sibetta, kina mpango wa vigezo kumi vya kumfuatilia Mwanawasa, ambaye alichaguliwa na F&#341;ede&#341;ick Chiluba kushika wadhifa mwaka 2001, hadi ang&#8217;oke mada&#341;akani. &#038;oci&#341;c;Hatujamaliza mikakati yetu bado, kumtuhumu bungeni ni mojawapo,&quot; anasema.<\/p>\n<p>Chiluba ambaye aliitawala Zambia kati ya mwaka 1991 hadi 2001, pia anashutumiwa na kula &#341;ushwa. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LUSAKA, Agosti 20 (IPS) &ndash; Wakati jitihada za Rais wa Zambia Levy Mwanawasa zinapamba moto, yeye mwenyewe ameshutumiwa vikali kuhusiana na &#341;ushwa, siyo mahakamani, lakini katika chombo kinachotunga she&#341;ia za nchi, bunge la taifa. Wiki iliyopita wabunge kutoka kambi ya upinzani, wanaojiita Kamati ya Si&#341;i Ndani ya Bunge inayosughulikia masuala ya Ulinzi wa Katiba na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":61,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-305","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/305","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/61"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=305"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/305\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=305"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=305"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=305"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}