{"id":300,"date":"2003-08-18T13:40:01","date_gmt":"2003-08-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/18\/siasa-nigeria-mpaka-wa-benin-wafunguliwa-tena\/"},"modified":"2003-08-18T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-18T13:40:01","slug":"siasa-nigeria-mpaka-wa-benin-wafunguliwa-tena","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/18\/siasa-nigeria-mpaka-wa-benin-wafunguliwa-tena\/","title":{"rendered":"SIASA&ndash;NIGERIA: Mpaka wa Benin Wafunguliwa Tena"},"content":{"rendered":"<p>SEME, Nige&#341;ia, Aug 18 (IPS) &ndash; &ndash;Shughuli za kiuchumi zimeanza Seme, mji uliopo mpakani na Jamhu&#341;i ya Benin, ambao mpaka ulikuwa umefungwa kwa wiki kutokana na uhalifu wa mpakani ikiwa ni pamoja na wizi wa silaha, wizi wa mafuta na uuzaji wa watu.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nWasafi&#341;i wamekuwa katika kizuizi tangu Agosti 9 kutoka pande zote.<\/p>\n<p>Siku ya ijumaa mchana, IPS ilibaini kwamba kulikuwa na shughuli nyingi sana kati ya mipaka hiyo miwili. &ndash; Imekuwa hivi tangu asubuhi wakati mpaka ulipofunguliwa kufuatia maelekezo ya Rais (Olusegun) Obasanjo. Asante Mungu, maisha sasa yameanza ku&#341;udi katika eneo hili,&quot; alisema Bayo Shekoni, &#341;aia wa Seme, kilometa 100 magha&#341;ibi mwa Lagos.<\/p>\n<p>Shekoni anasema maofisa wa uhamiaji na wa ushu&#341;u wa fo&#341;odha wamekuwa wakiwapitisha wasafi&#341;i ambao wamefunga sehemu yote ya mpaka. Eneo limebadilika na kuwa mji wa zamani wakati wa kipindi mpaka ulipokuwa umefungwa kwani uhamiaji, ushu&#341;u wa fo&#341;odha wa Nige&#341;ia, wanausalama na polisi wa kuzuia uhalifu mipakani walitumika katika kuhakikisha usalama mpakani.<\/p>\n<p>Ufungwaji wa mpaka ulisababisha msukomsuko wa maelfu ya wafanyabiasha&#341;a ambao wanapitia katika njia maa&#341;ufu ya Cotonou\/Lagos, mji wa kibiasha&#341;a wa Nige&#341;ia, ambao una moja ya banda&#341;i kubwa ulimwenguni, lakini ushu&#341;u mkubwa, muda m&#341;efu wa kusubi&#341;i, kutokuwepo kwa umakini na &#341;ushwa ambavyo vimefanya wafanyabisha&#341;a wengi wa wasafi&#341;ishaji bidhaa kwenda nje kutumia banda&#341;i ya Cotonou. Kutoka Cotonou, bidhaa zinasafi&#341;ishwa na maga&#341;i makubwa kuvuka mpaka, ma&#341;a nyingine kinyemela kwa kutumia njia za po&#341;ini ambazo zinafanya kilometa 700 za mpaka.<\/p>\n<p>Bidhaa za pet&#341;oli kutoka Nige&#341;ia pia yanasafi&#341;ihswa kwa magendo kuvuka mpaka kwenda Benin.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Limekuwa tatizo kubwa haswa kwa sisi mjini Cotonou. Wiki moja iliyopita ilikuwa kama likizo kwani biasha&#341;a nyingi zilifungwa. Jambo la kusikitisha ni kwamba uchumi wa Benin umefungamana na uchumi wa Nige&#341;ia. Ufungwaji wa mpaka ulikuwa na tatizo kubwa sana kwa sisi wafanyabiasha&#341;a mjini Cotonou,&quot; Cy&#341;il Uchendu, mfanyabiasha&#341;a wa Nige&#341;ia, aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Jitihada za kutatua tatizo ilikuja Alhamis wakati Rais Obasanjo alipo&#341;ejea kutoka Seme kumpokea mwenzake Matheu Ke&#341;ekou ambaye alikuwa akisubi&#341;i kuka&#341;ibishwa Nige&#341;ia. Viongozi wote wawili baadaye waliendesha maga&#341;i yao hadi Badag&#341;y, kilometa 50 ndani ya Nige&#341;ia kwenda kwenye mkutano ulioandaliwa kutatua tatizo.<\/p>\n<p>Obasanjo hakufu&#341;ahishwa na utawala wa Benin kunyamaza kufanya lolote kukomesha uhalifu wa mpaka pamoja na uhakiki kutoka kwa Ke&#341;ekou mapema kwamba hatua zingechukuliwa dhidi ya Ammani Tijjanni, Mnige&#341;ia anayeishi Benin, ambaye alipata zaidi ya maga&#341;i 30 yaliyoibiwa kutoka Nige&#341;ia. Badala yake Tijjanni alihukumiwa kwa she&#341;ia za watoto na mahakama ya Benin ambayo ilimwachia, na kuifadhaisha se&#341;ikali ya Nige&#341;ia.<\/p>\n<p>Ke&#341;ekou aliahidi kwamba Tijjani atakamatwa tena na kuhukumiwa.<\/p>\n<p>Takwimu zinaonyesha kwamba kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita zaidi ya maga&#341;i 2000 yaliyoibiwa kutoka Nige&#341;ia yalipelekwa Benin kupitia mpaka unaopenyeka. Katika mkataba wa makubaliano, ambao viongozi wawili waliukubali mwishoni mwa mkutano wa Badag&#341;y, sehemu zote mbili zilikubaliana kwamba wahalifu ni lazima wabainishwe na bidhaa zilizoibiwa, hasa maga&#341;i, ya&#341;udishwe mapema iwezekanavyo kwa se&#341;ikali inayohusika katika nchi yalikoibiwa.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Wakati shughuli za uhalifu zinapotuhumiwa, &#341;ipoti zitolewe mapema kwa se&#341;ikali husika kwa nchi zote kwa ajili ya hatua muhimu,&quot; ilisema.<\/p>\n<p>Maofisa wa uhamiaji wa Nige&#341;ia wamekuwa ma&#341;a kwa ma&#341;a wakilaumu uha&#341;amia unaofanywa na wanausalama wa Benin wakati wanapoja&#341;ibu kuingilia kati unyanyasaji wa wananchi wa Nige&#341;ia huko mpakani.<\/p>\n<p>Obasanjo alisema mkutano wao utapeleka mawimbi yanayosikika vizu&#341;i kwa wahalifu kwa pande zote mbili kwamba muda unahesabika. &#038;oci&#341;c;Tangu kufunga mpaka, hakukutokea wizi wa maga&#341;i mpakani,&quot; alisema.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Comfo&#341;t Obilaja, mwalimu mkuu mjini Lagos, anasema: &#038;oci&#341;c;Suala la Benin pia litapeleka mawimbi ya kueleweka kwa nchi nyingine za ji&#341;ani, ambazo zinaona sifa kunyanyasa Wanige&#341;ia au kudha&#341;au uchumi wetu na ulinzi kupitia katika mipaka iliyo wazi, na kuwafanya kufiki&#341;i ma&#341;a mbili.&quot;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>SEME, Nige&#341;ia, Aug 18 (IPS) &ndash; &ndash;Shughuli za kiuchumi zimeanza Seme, mji uliopo mpakani na Jamhu&#341;i ya Benin, ambao mpaka ulikuwa umefungwa kwa wiki kutokana na uhalifu wa mpakani ikiwa ni pamoja na wizi wa silaha, wizi wa mafuta na uuzaji wa watu. Wasafi&#341;i wamekuwa katika kizuizi tangu Agosti 9 kutoka pande zote. Siku ya&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":37,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-300","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/300","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/37"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=300"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/300\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=300"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=300"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=300"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}