{"id":299,"date":"2003-08-17T13:40:01","date_gmt":"2003-08-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/17\/tanzania-kupambana-na-ajia-ya-watoto-nchini-tanzania\/"},"modified":"2003-08-17T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-17T13:40:01","slug":"tanzania-kupambana-na-ajia-ya-watoto-nchini-tanzania","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/17\/tanzania-kupambana-na-ajia-ya-watoto-nchini-tanzania\/","title":{"rendered":"TANZANIA: Kupambana na Aji&#341;a ya Watoto Nchini Tanzania"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Aug 15 (IPS) &ndash; &ndash;Elizabeth, 14, (siyo jina lake halisi), alitoka nyumbani kwao, katika mkoa wa Singida uliopo kanda ya kati nchini Tanzania miaka mitatu iliyopita. Kwa kuwa anatoka katika familia maskini alikuwa na mata&#341;ajio ya kupata kazi katika jiji la Da&#341; es salaam na pia alikuwa na fu&#341;aha kuwa aliahidiwa kuja kusomeshwa&ndash;kitu ambacho wazazi wake wasingeweza kukifanya.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nAlipofika Da&#341; es salaam kwa ma&#341;a ya kwanza maisha yalikuwa mazu&#341;i, na alihudumiwa kama sehemu ya watoto wa familia. Lakini haikuchukua muda m&#341;efu baada ya kufika Bugu&#341;uni, mojawapo ya vitongoji maskini vya mji wa Da&#341; es salaam, kukubali kwamba asingeweza kupata nafasi ya kwenda shule. Badala yake alifanywa mfanyakazi wa kusafisha vyombo, nguo, nyumba na kupikia familia ya watu sita.<\/p>\n<p>&ndash; Baada ya muda m&#341;efu niliuliza ni lini nita&#341;uhusiwa kwenda shule,&quot; alisema. &#038;oci&#341;c;Lakini niliambiwa mimi sikuwa sehemu ya familia.&quot;<\/p>\n<p>Pamoja na kulipwa kiasi cha shilingi 5000 (sawa na dola za Ma&#341;ekani 5) kwa mwezi, pamoja na chakula, Elizabeth hakuweza kuvumilia. Baada ya miaka mitatu aliamua ku&#341;udi nyumbani kuendelea kuvumilia umaskini na familia yake.<\/p>\n<p>Kazi za nyumbani ni miongoni mwa aina kubwa ya aji&#341;a mbaya kwa watoto katika nchi nyingi duniani ikiwemo Tanzania. Wasichana wadogo kutoka familia maskini vijijini wanajiingiza katika kazi za majumbani wakiwa na um&#341;i mdogo wa kuanzia miaka 7. Wanapata kazi kama wafanyakazi wa nyumbani maeneo ya mijini baada ya kuaji&#341;iwa na waaji&#341;i wao, ma&#341;afiki au wakala.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Aji&#341;a za majumbani kwa watoto zinasifa ya kuwa ngumu, masaa mengi ya kazi, kuwepo kwa unyanyasaji wa kimwili au kijinsia, kutokuthaminiwa, pamoja na kunyonywa,&quot; inasema &#341;ipoti ya utafiti ya Shi&#341;ika la Kazi Duniani nchini Tanzania.<\/p>\n<p>Pamoja na kupigwa na kunyanyaswa, watoto hao hufanyishwa kazi ngumu na hulipwa uji&#341;a mdogo sana.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Kulingana na Utafiti wa Nguvukazi ya Taifa na Watoto uliofanyika mwaka 2000&ndash;2001 ilibainika kwamba watoto milioni 4.7 wenye um&#341;i kati ya miaka mitano na 17 walikuwa wakifanya shughuli za kiuchumi. Miongoni mwao, ilikadi&#341;iwa kwamba watoto milioni 1.2 walikuwa wakijihusisha na kilimo cha biasha&#341;a, madini, ukahaba na kazi za majumbani, &#038;oci&#341;c;aina kuu za aji&#341;a mbaya kwa watoto&quot;, Inasema &#341;ipoti ya shi&#341;ika hilo kubwa la kazi duniani.<\/p>\n<p> Kulingana na utafiti wa Chama cha Wafanyakazi wa Majumbani na Mahotelini, CHODAWU, Mkoa wa Singida ni wa pili nchini kwa kutoa watoto wengi wanaoji&#341;iwa majumbani. Mkoa wa kwanza ni I&#341;inga.<\/p>\n<p>Hali hii ilipelekea chama hicho kwa kushi&#341;ikiana na shi&#341;ika la kazi ulimwenguni kufanya utafiti kujua hali halisi ya tatizo. Miongoni mwa mi&#341;adi ya kuigwa nchini Tanzania.<\/p>\n<p>Kwa kushi&#341;ikiana na m&#341;adi wa kukomesha aji&#341;a mbaya ya watoto wa shi&#341;ika la kazi ulimwenguni, CHODAWU imeweza kuweka mikakati mbalimbali katika vijiji 12 vya Singida kupambana na aji&#341;a kwa watoto. Mikakati hiyo ni pamoja na ile inayoshi&#341;ikisha jamii husika.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;CHODAWU iliwanasua watoto 477 kutoka katika aji&#341;a mbaya ya watoto kati ya mwaka 2000&ndash;2001 kutoka vijiji nane vya mkoani humo,&quot; inasema &#341;ipoti ya utafiti.<\/p>\n<p>CHODAWU siyo chama pekee kinachojihusisha na aji&#341;a mbaya ya watoto. Kuna mlolongo wa mashi&#341;ika ya hia&#341;i yanayojihusisha na malezi ya watoto walioathi&#341;ika na aji&#341;a mbaya ya watoto. Vyama hivi ni pamoja na Chama cha Wafanyakazi Tanzania, Chama cha Waandishi wa Haba&#341;i Wanawake Tanzania na Ida&#341;a ya Haba&#341;i ya Se&#341;ikali (MAELEZO)&ndash; na haya ni baadhi ya mashi&#341;ika yanayopambana na ukiukwaji wa haki za watoto.<\/p>\n<p>Mashi&#341;ika haya yamefanya kazi kubwa ya kubadilisha hali ambayo inaelekea kuwa mbaya kama isingedhibitiwa, hali iliyoleta mafanikio kadhaa kama mku&#341;ugenzi wa Chama cha Waaji&#341;i Tanzania, Af&#341;icanus Maenda alivyosema kwamba kuna jitihada zimefanywa kutatua tatizo katika sekta ya madini na kilimo.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Aji&#341;a kwa watoto imekomeshwa katika mazingi&#341;a yote ya kilimo cha biasha&#341;a, ikiwa ni pamoja na uamuzi wa waaji&#341;i kukataa kununua bidhaa kama chai, suka&#341;i na tumbaku kwa wakulima wanaotumia nguvukazi ya watoto,&quot; Maenda aliwaambia washi&#341;ika wakati wa kushehe&#341;ekea Siku ya Kukomesha Aji&#341;a ya Watoto Duniani Juni 12 mjini Da&#341; es salaam.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Aug 15 (IPS) &ndash; &ndash;Elizabeth, 14, (siyo jina lake halisi), alitoka nyumbani kwao, katika mkoa wa Singida uliopo kanda ya kati nchini Tanzania miaka mitatu iliyopita. Kwa kuwa anatoka katika familia maskini alikuwa na mata&#341;ajio ya kupata kazi katika jiji la Da&#341; es salaam na pia alikuwa na fu&#341;aha kuwa aliahidiwa kuja&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":35,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-299","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/299","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/35"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=299"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/299\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=299"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=299"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=299"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}