{"id":295,"date":"2003-08-13T13:40:01","date_gmt":"2003-08-13T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/13\/wiki-ya-sanaa-utamaduni-uithi-wa-ubaguzi\/"},"modified":"2003-08-13T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-13T13:40:01","slug":"wiki-ya-sanaa-utamaduni-uithi-wa-ubaguzi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/13\/wiki-ya-sanaa-utamaduni-uithi-wa-ubaguzi\/","title":{"rendered":"WIKI YA SANAA\/UTAMADUNI: U&#341;ithi wa Ubaguzi"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Agosti 16 (IPS) &ndash; Nchini India kuna bustani ya kumbukumbu ya Gandhi mjini Delhi, Ma&#341;ekani kuna kumbukumbu ya Vietnam mjini Washington na Ufa&#341;ansa kuna mna&#341;a wa Eiffel, lakini Af&#341;ika ya Kusini imekwama ni kwa namna gani itakumbuka histo&#341;ia ya kibaguzi nchini humo na kuanzisha m&#341;adi wa u&#341;ithi huo ambao utazungumza mfano halisi wa nchi na histo&#341;ia yake.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\n A&#341;dhi na mamilioni ya fedha vimewekwa kando kwa ajili ya kujenga Bustani ya Uhu&#341;u, m&#341;adi utakaokumbusha yaliyopita na kuhakikisha kuwa haya&#341;udiwi tena. Bustani hiyo itajengwa mjini P&#341;eto&#341;ia, kitovu cha ubaguzi wakati wa utawala huo, lakini kwa sasa ni mji mkuu wa se&#341;ikali ya nchi hiyo.<\/p>\n<p> Eneo hilo lenye ukubwa wa hekta 52 una matumaini makubwa kama ukubwa wa eneo lake. &quot;Katika Bustani ya Uhu&#341;u tutatoa nafasi kwetu wenyewe kuzungumzia masuala na hivi sasa na ya usoni na kujipa jukumu kama kizazi, la kukabidhi nchi ambayo haina ubaguzi wa &#341;angi, yenye demok&#341;asia, yenye mata&#341;ajio na yenye nguvu kwa watoto wetu.&quot; Anaema Mongane Wally Se&#341;ote, mwanamashai&#341;i, mbunge wa zamani na sasa mwenyekiti wa Bustani ya Uhu&#341;u.<\/p>\n<p> Bustani hiyo ijulikanayo kama &#8216;ua la ku&#341;ithi&#8217;, itakuwa na sanamu za kitaifa, makumbusho na bustani za kumbukumbu ambazo zimeanza kujengwa. Nyasi za kupandikiza, ni miongoni mwa m&#341;adi, wenye madhumuni ya kutafaka&#341;i na taamuli.<\/p>\n<p>Kuna nchi nyingi kama hii ambazo zina&#341;ingia umoja,&quot; anasema Julian Beina&#341;t, jaji wa Kima&#341;ekani wa mashindano ya kimataifa ya kubuni Bustani ya Uhu&#341;u. Hakuna nchi hata moja kati ya 47 kutoka Aust&#341;alian hadi Ma&#341;ekani zimeshinda mashindano ya ucho&#341;aji kwa sababu maelezo ya Bustani ya Uhu&#341;u ni magumu.<\/p>\n<p> &quot;Ma&#341;a nyingi kumbukumbu ni zile za kumalizika kwa vita na vifo vya watu, hivyo kumbukumbu ya watu wote sio maa&#341;ufu. Ni vigumu kuifanyia kazi, kwa sababu kwa muda m&#341;efu wacho&#341;aji wamekuwa wategemea mifano,&quot; anasema Beina&#341;t. Kwa mfano ushindi wa T&#341;afalg&#341; Squa&#341;e ya London kuliko kuleta amani. <\/p>\n<p> Watatu kati ya watu walioomba kucho&#341;a Bustani hiyo, hakuna hata mmoja aliyeshinda.<\/p>\n<p> &quot;Iwapo unataka kuweka kumbukumbu ya mzunguko wote wa ha&#341;akati, unahitaji bustani yenye hadhi, isiyo na makuu inayoepuka majivuno.<\/p>\n<p> Jaji mwingine, Maz Bond pia kutoka Ma&#341;ekani, anasema kuwa Bustani ya Gandhi ya Delhi inaka&#341;ibia fik&#341;a hizo, na kuongeza kwamba angependelea kuona viunjo vya kumbukumbu ya Ma&#341;tin Luthe&#341; King vinaigwa katika Bustani ya Uhu&#341;u ya Af&#341;ika ya Kusini.<\/p>\n<p> &quot;Ukubwa wa Jengo isiwe wa kutisha,&quot; anasema Bond. Bustani ya Uhu&#341;u itajengwa katika mlima unaotizamana na sanamu ya Voo&#341;t&#341;ekke&#341; ilikojengwa. Mna&#341;a huo ulijengwa na Waf&#341;ikaana wa Kidachi kwa kuweka kumbukumbu ya ushujaa wao.<\/p>\n<p>Katika ha&#341;akati kupinga ubaguzi, ilionyesha nguvu ya udhalimu kwa kupandisha juu ya anga za P&#341;eto&#341;ia. Lakini Bustani ya Uhu&#341;u lazima iwe tofauti, isiwe ya kifaha&#341;i, wanasema wacho&#341;aji.<\/p>\n<p>Na isiwe tu kuhusu ubaguzi, bali pia iende nyuma kidogo na kuanzia na somo la &quot;Mwanzo&quot; ambalo litaangalia utaji&#341;i wa mambo ya kale uliovumbuliwa katika sehemu mbalimbali za nchi. Kwa mfano machimbo ya Ste&#341;kfonein nje ya Johannesbu&#341;g ni kumbukumbu ya mafuvu na mifupa miaka milioni iliyopita.<\/p>\n<p> Kutoka Mwanzo, histo&#341;ia inakuja katika sehemu itakayoangalia histo&#341;ia ya watu wazawa wa Af&#341;ika ya Kusini (Wakhoi naWasan), ukoloni na mvutano, ubaguzi na ha&#341;akati dhidi ya ubaguzi na kumalizia Uhu&#341;u.<\/p>\n<p> Tangu mwaka 1994, mi&#341;adi kadha ya u&#341;ithi imefanyika lakini katika kiwango kidogo. M&#341;adi unaofahamika ni ule wa kulijenga ge&#341;eza za Rhoben Island kuwa makumbusho. Ge&#341;eza hilo lililopo katika kisiwa nje ya mji wa Cape Town, ni mahali ambapo &#341;ais wa zamani Nelson Mandela aliishi kutumikia kifungo cha miaka 27.<\/p>\n<p>Viongozi wengi wanaha&#341;akati dhidi ya mapambano ya kidhalimu walifungwa katika jela hilo na limebakia lilivyo. Makumbusho yaliyoko nje ya mji wa Johannesbu&#341;g pia na miongoni mwa mi&#341;adi ya u&#341;ithi.<\/p>\n<p> Makumbusho hayo yanaanzia kwa kuwa na milango miwili tofauti ya kuingilia kwa ajili ya watu weusi na wazungu ili kuwapa picha watu nini maana ya ubaguzi. Mwezi uliopita, katika mji wa Johannesbu&#341;g lilizinduliwa Da&#341;aja la Nelson Mandela, m&#341;adi wa pekee wa u&#341;ithi unaolenga kuwaunganisha wazungu na wanakokaa watu weusi. Si jambo la kawaida, kwa sababu inahitaji msukumo kuunda umoja huo.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Agosti 16 (IPS) &ndash; Nchini India kuna bustani ya kumbukumbu ya Gandhi mjini Delhi, Ma&#341;ekani kuna kumbukumbu ya Vietnam mjini Washington na Ufa&#341;ansa kuna mna&#341;a wa Eiffel, lakini Af&#341;ika ya Kusini imekwama ni kwa namna gani itakumbuka histo&#341;ia ya kibaguzi nchini humo na kuanzisha m&#341;adi wa u&#341;ithi huo ambao utazungumza mfano halisi wa nchi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":3,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-295","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/295","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/3"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=295"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/295\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=295"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=295"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=295"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}