{"id":288,"date":"2003-08-11T13:40:01","date_gmt":"2003-08-11T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/11\/maendeleo-tanzania-umuhimu-wa-redio-katika-maendeleo\/"},"modified":"2003-08-11T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-11T13:40:01","slug":"maendeleo-tanzania-umuhimu-wa-redio-katika-maendeleo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/11\/maendeleo-tanzania-umuhimu-wa-redio-katika-maendeleo\/","title":{"rendered":"MAENDELEO&ndash;TANZANIA: Umuhimu wa Redio Katika Maendeleo"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Aug 8 (IPS) &ndash; &ndash;Kati ya Julai 28 na 30 mwaka huu, Shi&#341;ikisho la Redio za Jumuiya Duniani (AMARC) na Taasisi ya Vyombo vya Haba&#341;i Kusini mwa Af&#341;ika, tawai la Tanzania, walikutananisha waandishi mbalimbali wa &#341;edio nchini kujadili jinsi &#341;edio za jumuiya zinavyoweza kutumiwa katika kuleta maendeleo kwa wananchi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nKatika wa&#341;sha hiyo iliyohudhu&#341;iwa na washi&#341;iki 19 kutoka sehemu mbalimbali nchini, jambo la kwanza lilikuwa kuelewa dhana halisi ya &#341;edio za jamii kwa kubadilishana mawazo miongoni mwa watu wanaoendesha &#341;edio hizo.<\/p>\n<p>Miongoni mwa washi&#341;iki alikuwa Atman Mahanyu wa &#341;edio ya jumuiya ya Usamba&#341;a. Alisema &#341;edio hiyo ilianzishwa kutokana na tatizo la ugonjwa wa tauni ambalo lilikuwa likisumbua baadhi ya vijiji wilayani Lushoto. Alisema baada ya wananchi kuona kwamba jitihada za se&#341;ikali za kupambana na tatizo ziligonga mwamba, waliamua kuunda chombo chao kitakachowasaidia.<\/p>\n<p>&ndash; Hivyo jamii iliamua kutafuta njia zao wenyewe kupambana na tatizo hilo,&quot; alisema Mahanyu. &#038;oci&#341;c;Na kwa kushi&#341;ikiana na vyombo vya haba&#341;i vilivyopo nchini, walibaini kwamba mfumo uliotumiwa na se&#341;ikali wa kutoa haba&#341;i kutoka juu kwenda chini ulishindwa kuwashi&#341;ikisha watu kikamilifu katika mfumo mzima wa kutatua tatizo hilo.&quot;<\/p>\n<p>Hivyo ili kuweza kuziba pengo la kupashana haba&#341;i, chombo cha haba&#341;i cha jumuiya kilionekana muhimu ili kuweza kutafsi&#341;i tatizo hilo kwa lugha &#341;ahisi zaidi kwa umma, alisema Mahanyu.<\/p>\n<p>Ni katika msimamo huu ndipo &#341;edio ya jumuiya ya Usamba&#341;a ilianzishwa kwa msaada wa se&#341;ikali, Shi&#341;ika la Afya Ulimwenguni (WHO) na nguvu kazi ya wanakijiji wenyewe.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;M&#341;adi uliweza kuleta mafanikio makubwa ya kupambana na ugonjwa huo kutoka vifo 10 kwa mwaka hadi 2 tu kwa mwaka sasa,&quot; alisema.<\/p>\n<p>Siyo jumuiya ya Usamba&#341;a tu inayoona &#341;edio kuwa chombo muhimu katika maendeleo ya jamii husika. Pia jumuiya ya Kimasai, kaskazini mwa Tanzania inatumia &#341;edio kuhakikisha kunakuwa na maendeleo yanayoeleweka katika jamii hiyo. Akielezea chanzo cha &#341;edio ya jumuiya ya Kimasai inayojulikana kwa jina la O&#341;kene&#341;ei, Ofisa wa M&#341;adi wa shi&#341;ika hilo, Bwana Jackson Mu&#341;o alisema: &#038;oci&#341;c;Kutokana na histo&#341;ia ya kweli inayoizunguka jamii ya Kimasai, kiwango cha elimu cha jamii ya Kimasai kilikuwa ni cha chini sana, hivyo kufanya jamii hiyo kuwa nyuma ya jamii nyingi nchini.&quot;<\/p>\n<p>Alisema kwa hali hiyo Wamasai wachache waliobahatika kupata elimu walikaa chini na kutazama ni kwa jinsi gani ya kuanzisha &#341;edio ya jumuiya ambayo itaweza kutafsi&#341;i haba&#341;i mbalimbali kutoka katika vyombo vya haba&#341;i, hapo ndipo mwaka 1994, wazo la kuwa na &#341;edio ya jumuiya lilipoafikiwa.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Kwa miaka sasa, &#341;edio imekuwa ni chombo muhimu sana katika kukabiliana na matatizo kama ya umiliki wa a&#341;dhi, ambapo Wamasai wengi walikuwa wakipoteza kutokana na asili yao ya kuhama hama,&quot; alisema Mu&#341;o.<\/p>\n<p>Pamoja na umuhimu wa &#341;edio za jumuiya, bado sekta hiyo iko nyuma nchini Tanzania ikilinganishwa na nchi nyingine ba&#341;ani Af&#341;ika. Tanzania inakadi&#341;iwa kuwa na &#341;edio za jumuiya za kweli mbili tu, ambazo pia bado zinahitaji kuendelezwa zaidi ili kuwa &#341;edio halisi za jamii.<\/p>\n<p>Miongoni mwa sababu za kuwepo kwa &#341;edio chache za jumuiya nchini ni pamoja na kuwepo na mazingi&#341;a mabaya kishe&#341;ia ambayo hayatoi nafasi ya kutosha katika kuanzisha &#341;edio hizo. She&#341;ia hizo ni pamoja na ada kubwa za kusajili &#341;edio ambapo hakuna tofauti kati ya &#341;edio za biasha&#341;a na zile za jamii ambazo hazitengenezi faida yoyote.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Af&#341;ika ya Kusini ina she&#341;ia nzu&#341;i zaidi zinazovutia &#341;edio za jumuiya ba&#341;ani Af&#341;ika,&quot; alitabanaisha Mku&#341;ugenzi wa AMARC Af&#341;ica, Michelle Ntab. &#038;oci&#341;c;Kwa sasa Af&#341;ika ya Kusini ina zaidi ya &#341;edio za jumuiya 116, ambapo 72 zipo hewani na 64 zikiwa katika uta&#341;atibu wa kujisajili.&quot;<\/p>\n<p>Akizungumzia kuhusu she&#341;ia ya utangazaji nchini, mwenyekiti wa chama cha waandishi wa haba&#341;i na wafanyakazi wa haba&#341;i Tanzania (AJM) Bwana Law&#341;ence Kilimwiko alisema: &#038;oci&#341;c;Pamoja na kwamba katiba ya Jamhu&#341;i ya Muungano wa Tanzania kifungu cha 18 kinazungumzia juu ya haki ya kutoa maoni na kujieleza, na kupashwa haba&#341;i, hakuna mtu yeyote ambaye anahaba&#341;ishwa kila jambo linalotokea ndani ya bunge, mahakama, vituo vya polisi, n.k.&quot;<\/p>\n<p>G&#341;ace Githaiga wa EcoNews Af&#341;ica, kutoka Nai&#341;obi Kenya, alisema watu kutokuwa na uwezo au nafasi ya kuwasiliana kunazuia kuendelea kwa mifumo ya maisha ya kijamii.<\/p>\n<p>Hali ya kutokuwepo kwa she&#341;ia zinazoeleweka ilisababisha kuwepo kwa jitihada kutoka kwa vyama vya vyombo vya haba&#341;i nchini tangu mwaka 1993 katika kushinikiza se&#341;ikali kuleta mageuzi ya kishe&#341;ia. <\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Mwaka 2001 MISA na vyama vingine vitano vya waandishi wa haba&#341;i nchini vilizindua kampeni kubwa ya kuandikwa upya kwa &#341;asimu ya haba&#341;i,&quot; alisema Jesse Kwayu, Mha&#341;i&#341;i kutoka Haba&#341;i Co&#341;po&#341;ation. Pia aliongeza kwamba MISA imekuwa katika msta&#341;i wa mbele katika kutangaza Azimio Jipya la Utangazaji Af&#341;ika (Af&#341;ican B&#341;oadcasting Cha&#341;te&#341;), ambalo lilizinduliwa mwaka 2001 mjini Windhoek Namibia kupigania uhu&#341;u wa utangazji ba&#341;ani Af&#341;ika.<\/p>\n<p>Hata hivyo, pamoja na she&#341;ia kuwa sehemu ya kikwazo katika ukuaji wa sekta ya &#341;edio, kulikuwa na taa&#341;ifa kutoka kwa Tume ya Utangazaji Tanzania (TBC) kwamba se&#341;ikali pia ina nia ya kuweka mazingi&#341;a mazu&#341;i ya utangazaji.<\/p>\n<p>Mwakilishi wa TBC, Flo&#341;ence Hamis alisema pamoja na kwamba she&#341;ia ya Utangazji ya mwaka 1993 haielezi wazi juu ya tabaka mbali mbali za utangazaji na tofauti zake, inashawishi kuanza kwa mjadala kwa Watanzania na Waaf&#341;ika ili kufikia mahitaji, maslahi na mata&#341;ajio ya watu wa Tanzania.<\/p>\n<p>Lakini maamuzi ya wa&#341;sha yalionyesha wazi kwamba kuna umuhimu wa kuwepo kwa se&#341;a mpya ya haba&#341;i nchini ili kuleta mabadiliko ya kishe&#341;ia.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Taasisi ya Vyombo vya Haba&#341;i Kusini mwa Af&#341;ika tawi la Tanzania na wadau wengine wa haba&#341;i wanashau&#341;iwa kuendelea kuishinikiza se&#341;ikali kutangaza se&#341;a mpya ya haba&#341;i,&quot; inasema sehemu ya &#341;ipoti ya wa&#341;sha hiyo katika maazimio yake.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, Aug 8 (IPS) &ndash; &ndash;Kati ya Julai 28 na 30 mwaka huu, Shi&#341;ikisho la Redio za Jumuiya Duniani (AMARC) na Taasisi ya Vyombo vya Haba&#341;i Kusini mwa Af&#341;ika, tawai la Tanzania, walikutananisha waandishi mbalimbali wa &#341;edio nchini kujadili jinsi &#341;edio za jumuiya zinavyoweza kutumiwa katika kuleta maendeleo kwa wananchi. Katika wa&#341;sha hiyo&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":35,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-288","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/288","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/35"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=288"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/288\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=288"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=288"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=288"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}