{"id":281,"date":"2003-08-06T13:40:01","date_gmt":"2003-08-06T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/06\/rushwa-afrika-ya-kusini-biashaa-ya-silaha-yatishia\/"},"modified":"2003-08-06T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-06T13:40:01","slug":"rushwa-afrika-ya-kusini-biashaa-ya-silaha-yatishia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/06\/rushwa-afrika-ya-kusini-biashaa-ya-silaha-yatishia\/","title":{"rendered":"RUSHWA&ndash;AFRIKA YA KUSINI: Biasha&#341;a ya Silaha Yatishia"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNEBURG, Agosti 5 (IPS) &ndash; &ndash;Baada ya mwezi wa uchunguzi, Waaf&#341;ika ya Kusini wako ka&#341;ibu na madai kwamba makamu wa &#341;ais wa nchi hiyo, Jacob Zuma, ni sehemu ya madai ya &#341;ushwa yaliytolewa dhidi ya biasha&#341;a ya silaha ya thamani ya mabilioni ya dola inayofanywa na se&#341;ikali.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\n Mgogo&#341;o wa muda m&#341;efu sasa umemgeukia Zuma, mmoja wa wanachama wenye nguvu sana wa chama tawala cha Af&#341;ican National Cong&#341;ess (ANC), yanayoendeshwa na mku&#341;ugenzi wa Mamlaka ya Mashitaka ya Taifa (NAP), Bulalani Ngcuka.<\/p>\n<p> Kikosi cha uchunguzi cha Ngcuka kinachojulikana zaidi kwa jina la &ndash; the Sco&#341;pions&quot; yaani kwa kiswahili &#038;oci&#341;c;Nge&quot;, kinachunguza madai dhidi ya makamu wa &#341;ais. Pamoja na kwamba Ngcuka ana nafasi kubwa katika ANC, alipigania kwa nguvu uhu&#341;u wake.<\/p>\n<p> Mbali ya kuendeleza uhasama katika chama tawala, ka&#341;ibu na uchaguzi mkuu wa nchi hiyo mwakani, uchunguzi pia unataka kumwangusha Zuma. Zuma ni msimamizi mkuu wa mazungumzo ya amani katika nchi ya Af&#341;ika ya Kati ya Bu&#341;undi. Amekuwa msingi katika kuwezesha mpango wa amani nchini humo&ndash;ambayo inalegalega ka&#341;ibu na kuanguka.<\/p>\n<p> Zuma anadaiwa kupokea &#341;ushwa ya Randi 500,000 (kama dola za Ma&#341;ekani 67,000) kutoka kwa kampuni ya silaha ya Ufa&#341;ansa ya Thomson&ndash;CSF\/Thales&ndash;ambayo ilishinda mkataba wa mamilioni ya dola ili kusambaza silaha nchini Af&#341;ika ya Kusini.<\/p>\n<p> Amekanusha madai hayo na kushutumu Sco&#341;pions kwa jinsi wanavyoendesha uchunguzi&agrave;&quot;Ilibidi kujua kwa kupitia vyombo vya haba&#341;i na sifa binafsi&agrave;kwamba nilipokea &#341;ushwa ya Randi 500,000 kwa mwaka ili kulinda kampuni ya Ufa&#341;ansa inayochunguzwa kutokana na suala la biasha&#341;a ya silaha. Suala hili halina msingi wowote. Sina chochote cha kuficha na kukataa madai yoyote kwamba nimepokea &#341;ushwa, au kwa njia yoyote ile kukubali au hata kujadili kukubali &#341;ushwa,&quot; alisema Zuma mwishoni mwa wiki jana.<\/p>\n<p> Zuma pia alishawahi kudai kwamba Sco&#341;pions wanaja&#341;ibu kumshitaki kwenye vyombo vya haba&#341;i, kwa kusambaza kiundani mambo wanayoyachunguza kwa vyombo vya haba&#341;i vya Af&#341;ika ya Kusini, kabla hata ya kumsimamisha &#341;asmi katika mahakama ya she&#341;ia.<\/p>\n<p> Ngcuka amekanusha madai ya Zuma.<\/p>\n<p> Wakati huo huo, kiongozi wa Sco&#341;pions amekuwa mhanga wa kampeni ya kupakana matope, kutoka kwenye e&ndash;meili zisizojulikana zinatoka wapi zinazohusu madai mazito ya kisiasa na binafsi dhidi yake, ambazo zinasambazwa kwa waha&#341;i&#341;i wa nchini humo. Wakati vyombo vya Af&#341;ika ya Kusini vime&#341;ipoti kuwepo kwa e&ndash;meili hizo, havikutoa maelezo zaidi ya madai yasiyokuwa na ushahidi.<\/p>\n<p> Ngcuka alishajibu mambo hayo yanayomchafulia jina lake, na kuyaelezea kama &#038;oci&#341;c;ndugu wahalifu&quot;&ndash; kumbukumbu ya wanachama wa zamani wa ha&#341;akati za ukombozi wa Af&#341;ika ya Kusini, ambao sasa wapo se&#341;ikalini na kuijaza mifuko yao kwa &#341;ushwa.<\/p>\n<p> &#038;oci&#341;c;Jinsi wanavyonikashifu kwamba wamechagua kunitenga kwa umma, inaonyesha wameshindwa kunipa &#341;ushwa,&quot; alisema.<\/p>\n<p> Hakuna mwanga wa kumalizika mapema kwa mgogo&#341;o huo, huku kukiwa na &#341;ipoti zinazoonyesha kwamba Sco&#341;pions wanaweza tu kumaliza uchunguzi wao kwa kipindi cha mwaka.<\/p>\n<p> Rais wa Af&#341;ika ya Kusini, Thabo Mbeki ameshaweka wazi kwamba yuko macho na madai hayo dhidi ya makamu wake na kwamba anataka uchunguzi umalizike mapema iwezekanavyo.<\/p>\n<p> Madai dhidi ya Zuma ni moja tu ya idadi kubwa ya madai dhidi ya dola za Ma&#341;ekani bilioni 3.6 zinazohusu mpango wa ununuzi wa silaha nchini Af&#341;ika ya Kusini. Tangu mpango huo uanze mwaka 1996, umekuwa ukichunguzwa na bunge na mashi&#341;ika hu&#341;u ya se&#341;ikali, miongoni mwa machache.<\/p>\n<p> Mmoja wa wakuu wa ANC bungeni, Tony Yengeni, alijiuzulu katika nafasi yake&ndash;na aliadhibiwa na chama tawala&ndash;baada ya kugundulika kwamba alipata punguzo la bei katika ga&#341;i lililotolewa na kampuni hiyo inayohusishwa na biasha&#341;a ya silaha. Wakati alipopata punguzo la bei, Yengeni alikuwa akiongoza kamati ya ulinzi ya bunge.<\/p>\n<p> Mpango wa ununuzi wa silaha pia umepingwa kwamba ni gha&#341;ama zisizokuwa na umuhimu wowote wa maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini humo.<\/p>\n<p> Lakini Katibu Mkuu wa ANC, Kgalema Motlanthe, anaamini mpango huo ni muhimu kwa Af&#341;ika ya Kusini. &#038;oci&#341;c;Suala la Af&#341;ika ya Kusini kuhitaji kujiendeleza kiulinzi halina mjadala. Tunajua kuna wanaopinga suala la matumizi katika ulinzi kwa kufuata kanuni. Mawazo yao ni lazima yaheshimiwe, hata kama kupeleka (jeshi la Af&#341;ika ya Kusini) nchini Kongo, Montlanthe anasema uchunguzi wa madai ya ubadhi&#341;ifu wa mtu binafsi, zaidi nje ya muundu wa kutoa maamuzi ya jinsi ya kununua, yanaendelea. &#038;oci&#341;c;Lakini wanaochunguza, kwa kuamua kufanya uchunguzi, walisema kwamba, kimpangilio, manunuzi yaliendeshwa kwa uaminifu wa hali ya juu,&quot; anasema. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNEBURG, Agosti 5 (IPS) &ndash; &ndash;Baada ya mwezi wa uchunguzi, Waaf&#341;ika ya Kusini wako ka&#341;ibu na madai kwamba makamu wa &#341;ais wa nchi hiyo, Jacob Zuma, ni sehemu ya madai ya &#341;ushwa yaliytolewa dhidi ya biasha&#341;a ya silaha ya thamani ya mabilioni ya dola inayofanywa na se&#341;ikali. Mgogo&#341;o wa muda m&#341;efu sasa umemgeukia Zuma, mmoja&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":95,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-281","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/281","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/95"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=281"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/281\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=281"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=281"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=281"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}