{"id":280,"date":"2003-08-05T13:40:01","date_gmt":"2003-08-05T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/05\/afya-afrika-ya-kusini-seikali-yasita-kuuhusu-madawa\/"},"modified":"2003-08-05T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-05T13:40:01","slug":"afya-afrika-ya-kusini-seikali-yasita-kuuhusu-madawa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/05\/afya-afrika-ya-kusini-seikali-yasita-kuuhusu-madawa\/","title":{"rendered":"AFYA&ndash;AFRIKA YA KUSINI: Se&#341;ikali Yasita Ku&#341;uhusu Madawa"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, August 4 (IPS) &ndash; &ndash;Jitihada za se&#341;ikali ya Af&#341;ika ya Kusini kupambana na ugonjwa wa UKIMWI zinaendelea kuzibwa na hatua zake za hivi ka&#341;ibuni za kuchelewa kuanzisha mpango wa matibabu kwa watu wanaoishi na UKIMWI.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nMwaka huu peke yake se&#341;ikali imetoa pesa za nyongeza zenye thamani ya Randi bilioni 3.3 (dola za Ma&#341;ekani 440) kupanua mpango wa kuzuia na kutoa pesa kwa ajili ya &ndash; madawa yanayofaa kwa vi&#341;usi vya HIV na UKIMWI,&quot; kulingana na bajeti yake ya mwaka 2003.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali sasa inakabiliwa na vipingamizi kila wakati kutoka kwa wanaha&#341;akati wa kupambana na UKIMWI kwa kuchelewesha ku&#341;uhusu matumizi ya madawa ya kupambana na UKIMWI.<\/p>\n<p>Kwa watu wanaoishi na vi&#341;usi au ugonjwa wenyewe &#038;oci&#341;c;ugumu wa unyanyapaa na kubaguliwa umekuwa hauna kipimo huku kukiendelea kukosekana kwa se&#341;a inayoeleweka juu ya matibabu ya UKIMWI,&quot; jaji wa she&#341;ia za katiba Edwin Came&#341;on aliuambia mkutano wa UKIMWI wa Af&#341;ika ya Kusini, ambao ulifunguliwa katika mji wa banda&#341;i wa Du&#341;ban, Jumapili.<\/p>\n<p>Katika mkutano uliomalizika Jumapili, Kampeni ya Matibabu (TAC), kundi la kushinikiza se&#341;ikali, ulijadili mipango ya kuanza kwa maandamano na kutokuitii se&#341;ikali ili kuja&#341;ibu na kuishinikiza se&#341;ikali kuanza kwa ha&#341;aka mipango inayoeleweka juu ya kutoa matibabu ya UKIMWI.<\/p>\n<p>TAC inaishawishi se&#341;ikali kufanya &#038;oci&#341;c;anti&ndash;&#341;et&#341;ovi&#341;al&quot;, madawa yanayopunguza kasi ya atha&#341;i za HIV na UKIMWI na kupunguza kusambaa kwa ugonjwa, yawe yanapatikana katika mfumo wa afya ya jamii. Kampeni inakadi&#341;ia kwamba Waaf&#341;ika ya Kusini 600 wanakufa kila siku kutokana na magonjwa yanayoambatana na UKIMWI.<\/p>\n<p>Mwaka jana, TAC ilishinda kesi mahakamani ya kutengenezwa kwa madawa ya kupunguza kasi ya kuenea kwa HIV kwa wanawake wajawazito, ili kupunguza uwezekano wa kuwaambukiza watoto watakaozaliwa.<\/p>\n<p>Se&#341;ikali imekuwa ta&#341;atibu sana katika kuheshimu am&#341;i, ikisema inahitaji muda kuandaa miundombinu muhimu, mfumo wa lishe na ushau&#341;i nasaha kabla ya madawa kupatikana kwa wingi.<\/p>\n<p>Wiki jana, Ba&#341;aza la Udhibiti wa Madawa la Af&#341;ika ya Kusini (MCC) lilishtusha na kukasi&#341;isha wanaha&#341;akati dhidi ya UKIMWI wakati lilipotangaza kwamba linaweza kuondoa kwa muda &#341;uhusa ya Nevi&#341;apine, dawa ya UKIMWI inayotumika kupunguza maambukizo kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto, kutokana na wasiwasi wake juu ya usalama wake.Ba&#341;aza lilitoa siku 90 kwa wazalishaji wa dawa hiyo za kutoa taa&#341;ifa juu ya usalama wa dawa hiyo.<\/p>\n<p>Dawa hiyo inatumika kwa wingi katika nchi nyingi na mashi&#341;ika mengi ya kimataifa kusaidia kuzuia mama kusambaza vi&#341;usi kwa watoto.<\/p>\n<p>Ba&#341;aza la Mawazi&#341;i la Af&#341;ika ya Kusini pia limekuwa likisababisha kuchelewa kwa majadiliano juu ya utafiti wa kiida&#341;a katika kuweza kusambaza madawa ya UKIMWI katika mfumo wa afya ya jamii. Kulingana na taa&#341;ifa za vyombo vya haba&#341;i, zinazotokana na nya&#341;aka zilizosambazwa na TAC, Af&#341;ika ya Kusini inaweza kusambaza madawa hayo kwa wale wanaoyahitaji&ndash;na inatakiwa kufanya hivyo. Ripoti, ambayo nakala ya kwanza ilimalizika mienzi iliyopita, inata&#341;ajiwa kwenda kwa Ba&#341;aza la Mawazi&#341;i katika kipindi cha wiki kadhaa.<\/p>\n<p>Af&#341;ika ya Kusini sasa inakabiliwa na uwezekano wa kupoteza Randi milioni 500 (kama dola za Ma&#341;ekani milioni 67) kama msaada kutoka kwa Mfuko wa Kupambana na UKIMWI, Kifua Kikuu na Mala&#341;ia Duniani, kulingana na gazeti Hu&#341;u la Jumapili.<\/p>\n<p>Pesa hizi zilipangwa kutumika katika mpango wa kupambana na HIV na UKIMWI nchini Af&#341;ika ya Kusini, katika mkoa wa Kwazulu&ndash;Natal, ikiwa ni pamoja na kusambaza madawa ya kupunguza kasi ya ugonjwa huo kwa wale wanaoyahitaji.<\/p>\n<p>Wazi&#341;i wa Afya wa Af&#341;ika ya Kusini, Manto Tshabala&ndash;Msimang, awali aliingilia kati na kupinga kutolewa kwa mkopo kwa sababu za kifua kikuu, kama miezi 18 iliyopita. Tangu wakati huo, se&#341;ikali haijaweza kumaliza maandalizi muhimu ya wa&#341;aka, pamoja na sek&#341;eta&#341;ieti ya mfuko huo kutembelea Af&#341;ika ya Kusini ma&#341;a mbili kusaini nya&#341;aka muhimu.<\/p>\n<p>Ida&#341;a ya afya inasisitiza kwamba mpango wa kusafisha njia kwa Af&#341;ika ya Kusini kuweza kupata msaada huo bado ina vizingiti.<\/p>\n<p>Upinzani wa se&#341;ikali wa kutumia madawa ya kuongeza muda wa kuishi kwa watu wenye HIV bado haueleweki. Wakuu wa se&#341;ikali, ikiwa ni pamoja na Tshabala&ndash;Msimang, wamehoji ubo&#341;a wa madawa hayo na wameonya kwamba ni sumu. Lakini madakta&#341;i wengi wa binadamu wanasisitiza kwamba mpaka sasa hiyo ndiyo dawa bo&#341;a zaidi ya kuzuia kusambaa kwa ugonjwa huo.<\/p>\n<p>Akizungumza katika mkutano wa UKIMWI, Makamu wa Rais wa Af&#341;ika ya Kusini na mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya UKIMWI nchini Af&#341;ika ya Kusini (SANAC), Jacob Zuma, alisema: &#038;oci&#341;c;Hatuhoji kuwepo kwa HIV na UKIMWI. Tunaja&#341;ibu tu kuelewa sababu hasa zaidi ya vi&#341;usi. HIV na UKIMWI unachukuliwa kama kipaumbele cha taifa. Kujihusisha kwa se&#341;ikali ni sehemu ya a&#341;i ya kisiasa na uwezo wa kivitendo.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Baadhi ya watu ma&#341;a nyingine wanaona kwamba se&#341;ikali haiwajali watu wanaoishi na vi&#341;usi vya UKIMWI kutokana na kutokuwapatia madawa ya kupunguza kasi ya ugonjwa. Tupo katika hatua za mwisho za kusaini mikataba kadhaa ya kimataifa ambayo itahakikisha upatikanaji wa madawa haya kwa watu wengi wenye vi&#341;usi vya HIV na UKIMWI.&quot; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, August 4 (IPS) &ndash; &ndash;Jitihada za se&#341;ikali ya Af&#341;ika ya Kusini kupambana na ugonjwa wa UKIMWI zinaendelea kuzibwa na hatua zake za hivi ka&#341;ibuni za kuchelewa kuanzisha mpango wa matibabu kwa watu wanaoishi na UKIMWI. Mwaka huu peke yake se&#341;ikali imetoa pesa za nyongeza zenye thamani ya Randi bilioni 3.3 (dola za Ma&#341;ekani 440)&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":16,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-280","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/280","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/16"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=280"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/280\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=280"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=280"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=280"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}