{"id":279,"date":"2003-08-05T13:40:01","date_gmt":"2003-08-05T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/05\/utamaduni-malawi-njaa-inaongeza-kasi-ya-ndoa-za\/"},"modified":"2003-08-05T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-05T13:40:01","slug":"utamaduni-malawi-njaa-inaongeza-kasi-ya-ndoa-za","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/05\/utamaduni-malawi-njaa-inaongeza-kasi-ya-ndoa-za\/","title":{"rendered":"UTAMADUNI&ndash;MALAWI: Njaa Inaongeza Kasi Ya Ndoa Za"},"content":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Agosti 4 (IPS) &ndash; Msichana Vyalema Mwakasungu&#341;a (siyo jina lake) amekuwa na matumaini makubwa ya kuwa muuguzi (nesi).\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nMapenzi yake ya kuwa muuguzi yalitokea wakati alipokuwa amelazwa katika hospitali ya Katongo, kaskazini mwa Malawi, akiuguza mguu ambao aliumia.<\/p>\n<p>&ndash; Muuguzi mmoja aliniangalia na kunitunza kama mtoto wake. Kuanzia hapo nikawa na ndoto za kujiunga na kazi hiyo baada ya kumaliza masomo yangu ya sekonda&#341;i,&quot; anasema.<\/p>\n<p>Lakini ndoto zake hazikuzaa matunda mwezi Feb&#341;ua&#341;i, wakati wazazi wake walipomwamu&#341;u aache shule ili aolewe.<\/p>\n<p>Aligoma. &#038;oci&#341;c;Kwa nini niache shule wakati se&#341;ikali inatupatia elimu bu&#341;e &quot; aliuliza.<\/p>\n<p>Cha kusangaza, maombi yake hayo yalipuuzwa na wazazi wake. Mwakasungu&#341;a miaka 16, akiolewa na mwanamume taji&#341;i katika kijiji chao, mama yake anashau&#341;i, ataiokoa familia kutoka katika makucha ya umaskini. Mkwe wake, anaeleza mama huyo, atalipa maha&#341;i: ng&#8217;ombe tatu na magunia ya mahindi.<\/p>\n<p>Njaa inachangia kuibuka kwa mila za zamani, ambazo zinasababisha wazazi waliokata tamaa kuwalazimisha watoto wao wa kike wenye um&#341;i mdogo kuwa na mahusiano ya mapenzi na wanaume wazee kwa lengo la kulipa madeni au kupatiwa mikopo, inaonyesha &#341;ipoti iliyochapishwa na Tume ya Haki za Binadamu ya Malawi.<\/p>\n<p>Ripoti hiyo inaonyesha kwamba zoezi hilo lijulikanalo kama &#8216;kipimbi&#341;a&#8217; linalo&#341;uhusu familia maskini kuwaendea watu mataji&#341;i hasa wanaume kwa ajili ya kupata mikopo ya ng&#8217;ombe au fedha kwa kubadilishana na watoto wao wa kike, bila kujali um&#341;i&ndash;&#038;oci&#341;c;limejitokeza nchini humo hasa kaskazini mwa Malawi, miaka miwili iliyopita kutokana na hali ya njaa iliyojitokeza nchini humo&quot;.<\/p>\n<p>Nchi ya Malawi bado inaendelea kukumbwa na upungufu mkubwa wa chakula uliochangiwa na kubadilika kwa hali ya hewa na ugonjwa wa UKIMWI.<\/p>\n<p>Zaidi ya watu milioni tatu walikuwa wanahitaji msaada wa chakula katika kipindi cha njaa katika miaka iliyopita, haba&#341;i zilizopatikana kutoka Ida&#341;a ya Maafa na Misaada.<\/p>\n<p>Upungu huo wa chakula umewaathi&#341;i kwa kiasi kikubwa watu maskini. Zaidi ya asilimia 65 ya watu wa Malawi wanaishi chini ya kiwango cha umaskini kwa kutumia chini ya dola moja ya Kima&#341;ekani kwa siku.<\/p>\n<p>Mwandishi wa &#341;ipoti hiyo, Ha&#341;&#341;y Kambwembwe, aliendesha dodoso kuhusu zoezi hilo pamoja na ba&#341;ua iliyoandikwa na wananchi kwa Tume na makala yaliyochapishwa katika gazeti la Daily Nationa na Weekend Nation.<\/p>\n<p>Ba&#341;ua hiyo inatoa mfano mmoja wa Iponga, mji mdogo ulioko kaskazini mwa Malawi, ambako msichana mwenye miaka 13 alilazimishwa na wazazi wake kuolewa na mwanamume mwenye um&#341;i mkubwa kwa ajili ya kulipa Mwacha za Malawi 4,000 (sawa na shilingi 44,000\/=) ambazo wazazi wake walikuwa wakidaiwa na mtu huyo.<\/p>\n<p>Wazazi wengine wanatumia mila ijulikanayo kama &#038;oci&#341;c;kuhaka\/kuha&#341;a&quot;.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Hii ni mila ambayo, mwanamume mtu mzima akimpenda msichana anaongea na wazazi wake kumtunza msichana huyo hadi hapo anapokuwa mkubwa taya&#341;i kwa kuolewa naye. Mtu huyo anawajibika kumhudumia msichana huyo ikiwa ni pamoja na kulipa ka&#341;o ya shule. Lakini hata hivyo, mtu huyo ana uhu&#341;u wa kumsimamisha kuendelea na shule wakati wowote anapojisikia kufanya hivyo. Hata kama bado hajavunja ungo, mwanamume huyo ana haki ya kumfanya mke wake.  Msichana anakuwa hana haki ya kukataa kwa sababu wazazi wake wamekwishachukua mahaa&#341;i,&quot; inaeleza &#341;ipoti.<\/p>\n<p>Mila ya &#8216;kupimbi&#341;a&#8217; inatumika zaidi kabila ya Wanyakyusa na Wangonde ambao wanaishi kaskazini katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Destu&#341;i hiyo ni ya kizamani na ya kinyama ambayo haitaweza kuvumilika katika kipindi hiki kinaendeleza demok&#341;asia. Tume ina wajibu mkubwa wa kulinda na kukuza haki za watoto wadogo wa kike walioko hata&#341;ini kuathi&#341;ika na mila hizo,&quot; anasema Kambwembwe.<\/p>\n<p>Anatoa wito wa kuendesha kampeni maalumu, kwa kutumia lugha ya kienyeji. Watu wengi wanaoishi kaskazini mwa nchi hiyo hawajui lugha ya Kiinge&#341;eza na Chichewa zinazotumika nchini Malawi.<\/p>\n<p>Rais Bakili Muluzi ametoa mchango wa ujazo wa tani 200 za mahindi alipofanya zia&#341;a mkoani humo.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Sitaki watu wangu wafe kwa njaa. Se&#341;ikali yangu itahakikisha kwamba inatoa chakula cha kutosha ili badala ya watu kufiki&#341;ia njaa, watumie nguvu zao katika shughuli za maendeleo,&quot; Muluzi anasema.<\/p>\n<p>Muluzi ma&#341;a kwa ma&#341;a amekuwa akipinga mila na destu&#341;i zinazo&#341;udisha nyuma maendeleo na zinazochangia kuenea kwa ugonjwa wa UKIMWI.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Lazima tuondokane na mila zote zinazoendeleza umalaya na kuenea kwa ugonjwa wa UKIMWI. Destu&#341;i za ku&#341;ithi wajane hazina nafasi kabisa katika jamii ya watu wa kisasa wa Malawi,&quot; amesema.<\/p>\n<p>Watu zaidi ya 800,000 wanaishi na vi&#341;usi vya UKIMWI nchini Malawi, kwa mujibu wa takwimu za kuaminika.<\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati wa Haki za Binadamu wanaamini kwamba ikiwa se&#341;ikali itaondoa masuala egemezi yanayouzunguka umaskini na njaa, mila na destu&#341;i zilizopitwa na wakati zinazoendelezwa kaskazini mwa Malawi zitakufa. Na wasichana kama Mwakasungu&#341;a watafanikiwa katika ndoto zao.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BLANTYRE, Agosti 4 (IPS) &ndash; Msichana Vyalema Mwakasungu&#341;a (siyo jina lake) amekuwa na matumaini makubwa ya kuwa muuguzi (nesi). Mapenzi yake ya kuwa muuguzi yalitokea wakati alipokuwa amelazwa katika hospitali ya Katongo, kaskazini mwa Malawi, akiuguza mguu ambao aliumia. &ndash; Muuguzi mmoja aliniangalia na kunitunza kama mtoto wake. Kuanzia hapo nikawa na ndoto za kujiunga&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":92,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-279","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/279","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/92"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=279"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/279\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=279"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=279"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=279"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}