{"id":277,"date":"2003-08-05T13:40:01","date_gmt":"2003-08-05T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/05\/afya-tanzania-wasanii-wapambana-na-ukimwi\/"},"modified":"2003-08-05T13:40:01","modified_gmt":"2003-08-05T13:40:01","slug":"afya-tanzania-wasanii-wapambana-na-ukimwi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/08\/05\/afya-tanzania-wasanii-wapambana-na-ukimwi\/","title":{"rendered":"AFYA&ndash;TANZANIA: Wasanii Wapambana na UKIMWI"},"content":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, August 1 (IPS) &ndash; &ndash;Mambo aliyoyafanya duniani yalikuwa mengi mema&agrave;hiyo ilikuwa histo&#341;ia ya yatima,&quot; inasema mojawapo ya mista&#341;i ya wimbo wa kikundi cha muziki wa kisasa cha Mzimuni Family kilichopo jijini Da&#341; es salaam.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nWimbo wa Mzimuni Family unaelezea histo&#341;ia ya msichana mmoja ambaye ameshaaga dunia. Sehemu ya histo&#341;ia hiyo ni kwamba msichana aliyejulikana kwa jina la Sha&#341;ifa alikulia katika maisha ya wazazi wake kumjali na kumnunulia kila kitu alichotaka. Lakini mambo yalibadilika pale alipojiunga na shule moja ya bweni, ambako alianza maisha ya anasa na kufanya mapenzi ovyo. Haikuchukua muda m&#341;efu akapata mimba, iliyosababisha kufukuzwa shuleni.<\/p>\n<p>Ndipo baadaye akageuka kuwa Malaya na kuanza kazi ya kuuza mwili wake. &ndash; Kazi hiyo aliifanyia Ohio Oh! Kazi hiyo aliifanyia Ohio Oh!&quot; unasema wimbo huo, ukimaanisha mtaa maa&#341;ufu kwa ukahaba jijini Da&#341; es salaam. Unaendelea kwamba pamoja na ushau&#341;i wa ma&#341;afiki na wazazi, msichana huyo aliendelea na tabia zake za umalaya, hadi siku moja alipojulikana kwamba ameambukizwa vi&#341;usi vya HIV vinavyosababisha UKIMWI. Baada ya kujigundua ni muathi&#341;ika akaamua kujiua. Mwisho methali ya &#038;oci&#341;c;asiyesikia la mguu huvunjika guu&quot; ikasikika kwenye wimbo huo.<\/p>\n<p>Huu ni moja tu kati ya makumi ya nyimbo ambazo zinaja&#341;ibu kuwakumbushia Watanzania juu ya ugonjwa huo usiokuwa na tiba wala chanjo. Pia wanasanaa wengine kama vikundi vya maigizo wamekuwa wakionyesha hali halisi ya ugonjwa huo nchini.<\/p>\n<p>Kulingana na takwimu za Shi&#341;ika la Ukimwi la Umoja wa Mataifa (UNAIDS), asilimia 67% ya waathi&#341;ika wote duniani wa gonjwa la UKIMWI wanaishi Kusini mwa jangwa la Saha&#341;a, eneo ambalo lina asilimia 10 tu ya idadi ya watu wote duniani. Pamoja na kwamba takwimu zinaonyesha kwamba mmoja kati ya watu watano kusini mwa jangwa la Saha&#341;a wameathi&#341;ika, nchini Tanzania takwimu zinaonyesha ni mtu mmoja tu kati ya kumi ameathi&#341;ika. Hali ni mbaya zaidi katika nchi za Botswana, Af&#341;ika ya Kusini na Swaziland. nchini Af&#341;ika ya Kusini, nchi iliyoathi&#341;ika zaidi duniani, inakadi&#341;iwa kwamba tak&#341;ibani watu 600 hufa kila siku kutokana na gonjwa hilo.<\/p>\n<p>Lakini hata kwa Tanzania hali hii ni ya kutisha. Kulingana na takwimu za mwaka 2000, asilimia 33 ya vijana kati ya miaka 15&ndash;24 wana vi&#341;usi vya HIV. Miongoni mwa sababu za kuathi&#341;ika huku ni pamoja na kujiingiza mapema katika kufanya mapenzi, vijana kutojali, matumizi ya vileo ikiwa ni pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya, tabia ya kuaminiana iliyojengeka miongoni mwa vijana, msukumo &#341;ika (pee&#341; p&#341;essu&#341;e) na umaskini.<\/p>\n<p>Kulingana na utafiti uliofanywa mwaka 2000 asilimia 95 ya vijana wa Tanzania hawajioni kama wako katika hata&#341;i ya kuambukizwa UKIMWI. Sababu hii inaweza kuwa miongoni mwa sababu kubwa zinazosababisha vijana kutokujali na kufanya mambo yanayopelekea kuambukizwa vi&#341;usi.<\/p>\n<p>Ili kupambana na hali inayozidi kuwa mbaya kila siku, mnamo Mei 10, mwaka huu, Tanzania ilizindua Mkakati wa Taifa wa Kupambana na UKIMWI wa miaka mitano ulioandaliwa na Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI (TACAIDS) iliyopo chini ya Ofisi ya Wazi&#341;i Mkuu.<\/p>\n<p>Mkakati huo unahusu zaidi ushi&#341;ikishwaji wa kila sekta katika mapambano ya UKIMWI.<\/p>\n<p>Akizindua mkakati huo, Wazi&#341;i Mkuu wa Tanzania, Mheshimiwa F&#341;ed&#341;ick Sumaye alisema lengo la mkakati ni kupunguza maambukizi ya UKIMWI kwa asilimia 30 hadi ifikapo mwaka 2007. <\/p>\n<p>Mheshimiwa Sumaye alisema mkakati umeainisha hatua za kuchukuliwa na sekta zote katika kuepuka vitendo vinavyopelekea maambukizo ya vi&#341;usi vya UKIMWI. <\/p>\n<p>Hata hivyo Wazi&#341;i Mkuu alionyesha wasiwasi wake juu ya ugumu wa watu wa kubadilisha tabia. Alisema pamoja na jitihada za viongozi wa vyama na se&#341;ikali na dini bado watu hawajali ugonjwa huo hata&#341;i.<\/p>\n<p>Ugonjwa wa UKIMWI uligundulika kwa ma&#341;a ya kwanza katika mkoa wa Kage&#341;a&ndash; Kaskazini&ndash;Magha&#341;ibi mwa Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1980. Takwimu za afya zinaonyesha mpaka mwaka 1999 UKIMWI ulishasababisha vifo vya watu 140,000, huku vijana kati ya um&#341;i wa miaka 15 hadi 46 wakiwa waathi&#341;ika wakuu.<\/p>\n<p>Kulingana na takwimu za &#341;ipoti ya utafiti wa Mpango wa Taifa wa Kupambana na UKIMWI (NACP) mwaka 1999, zaidi ya asilimia 86 ya jumla ya wanaume walioambukizwa UKIMWI nchini Tanzania ni vijana kati ya um&#341;i wa miaka 20 hadi 49, wakati ambapo zaidi ya asilimia 87 ya wanawake walioambukizwa UKIMWI walikuwa na um&#341;i kati ya miaka 15 na 44.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;UKIMWI ni janga na wakati huo huo changamoto kwa Taifa letu. Ni janga kwa sababu unauwa wengi wa vijana wetu wa kike na kiume katika um&#341;i wao wa uzalishaji,&quot; anaandika Sumaye katika dibaji ya mkakati. &#038;oci&#341;c;Ni changamoto kwa sababu ni lazima tuwe na mipango taya&#341;i na kutekeleza mikakati ya kupambana na mauaji yanayosababishwa na gonjwa hili.&quot;<\/p>\n<p>Kulingana na Mkakati huo, tangu tukio la kwanza la UKIMWI ku&#341;ipotiwa mwaka 1983, maambukizi ya vi&#341;usi yamesambaa nchi nzima na watu wa aina mbalimbali wameshapoteza maisha yao.<\/p>\n<p>Utafiti unaonyesha kuongezeka maambukizo ya vi&#341;usi vya HIV kwa wanawake wanaochangia damu kutoka asilimia 7.2 hadi 13.3 katika miaka kumi iliyopita.(1990&ndash;2000).<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Hii inaonyesha ugonjwa bado unaongezeka, na kutokana na kutokuwepo uhakika wa kinga au tiba katika siku za ka&#341;ibuni, utaendelea kukua kama hakutachukuliwa hatua mathubuti na sisi wote, mtu mmoja mmoja na kwa pamoja kuangamiza ugonjwa huu sasa,&quot; anaandika Wazi&#341;i Mkuu Sumaye.<\/p>\n<p>Mkakati wa Taifa wa Kudhibiti UKIMWI (mwaka 2003&ndash;20070) una lengo kubwa la kutafsi&#341;i Se&#341;a ya Taifa ya UKIMWI kwa kuandaa mikakati yenye kutoa vielelezo juu ya kuandaa mipango, mi&#341;adi na kushi&#341;iki kwa washika dau mbalimbali katika mapambano dhidi ya UKIMWI. <\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Tujihadha&#341;i na gonjwa hili la UKIMWI kwa maana linaua na ni hata&#341;i, kwa mkubwa na mdogo, halibagui,&quot; wanaimba vijana wa Mzimuni Family katika wimbo wao mwingine.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>DAR ES SALAAM, August 1 (IPS) &ndash; &ndash;Mambo aliyoyafanya duniani yalikuwa mengi mema&agrave;hiyo ilikuwa histo&#341;ia ya yatima,&quot; inasema mojawapo ya mista&#341;i ya wimbo wa kikundi cha muziki wa kisasa cha Mzimuni Family kilichopo jijini Da&#341; es salaam. Wimbo wa Mzimuni Family unaelezea histo&#341;ia ya msichana mmoja ambaye ameshaaga dunia. Sehemu ya histo&#341;ia hiyo ni kwamba&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":35,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-277","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/277","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/35"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=277"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/277\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=277"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=277"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=277"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}