{"id":274,"date":"2003-07-30T13:40:01","date_gmt":"2003-07-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/07\/30\/haki-nigeria-hukumu-ya-kifo-kwa-wafanya-biashaa-ya\/"},"modified":"2003-07-30T13:40:01","modified_gmt":"2003-07-30T13:40:01","slug":"haki-nigeria-hukumu-ya-kifo-kwa-wafanya-biashaa-ya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2003\/07\/30\/haki-nigeria-hukumu-ya-kifo-kwa-wafanya-biashaa-ya\/","title":{"rendered":"HAKI&ndash;NIGERIA: Hukumu ya Kifo kwa Wafanya Biasha&#341;a ya"},"content":{"rendered":"<p>LAGOS, Julai 30 (IPS) &ndash; &ndash;Zaidi ya Wanige&#341;ia 45,000 wanasafi&#341;ishwa kwenda Ulaya kila mwaka na kulazimishwa kufanya kazi katika madangu&#341;o. Waliokuwa na bahati ya kufika salama, ma&#341;a nyingi wanafanikiwa baada ya kukutana na shu&#341;uba nyingi njiani.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>\nWengi wa wasichana wamekuwa wakianikwa katika joto la Saha&#341;a, wakati wanapoja&#341;ibu kuvuka Af&#341;ika ya Kaskazini kwenda Ulaya hivi ka&#341;ibuni, kulingana na haba&#341;i za polisi.<\/p>\n<p>Ili kupambana na biasha&#341;a hiyo, Nige&#341;ia sasa inakuwa kali juu ya biasha&#341;a ya binadamu. Inaanzisha kifungo cha maisha kwa yeyote atakayekutwa na hatia ya kufanya biasha&#341;a hiyo.<\/p>\n<p>&ndash; Mtu yoyote anayemchukua msichana au mwanamke&agrave;kuwa kahaba aidha nchini Nige&#341;ia au penginepo atahukumiwa kifungo cha maisha,&quot; inasema she&#341;ia mpya ya biasha&#341;a ya binadamu.<\/p>\n<p>She&#341;ia hiyo ilisainiwa na Rais Olusegun Obasanjo wiki iliyopita, pia inasema juu ya faini ya Nai&#341;a 100,000 za Nige&#341;ia (dola za Ma&#341;ekani 1,000) kwa Mnige&#341;ia yeyote anayekutwa na hatia ya kufanya biasha&#341;a ya binadamu. Adhabu hizi ni tofauti na she&#341;ia ya zamani ya biasha&#341;a ya binadamu, ambayo ilitoa hukumu ya miaka miwili tu.<\/p>\n<p>Lakini ili she&#341;ia hiyo kufanya kazi vizu&#341;i, wanaha&#341;akati wanaiomba se&#341;ikali kushinikiza utekelezaji wake.<\/p>\n<p>Pate&#341; Egbo, Rais wa shi&#341;ika la &#038;oci&#341;c;Af&#341;ican Netwo&#341;k fo&#341; the P&#341;evention and P&#341;otection Against Child Abuse and Neglect&quot;, anasema polisi wa Nige&#341;ia wapewe uwezo wa kuweza kushi&#341;ikiana na mashi&#341;ika mengine yanayohimiza utekelezaji wa she&#341;ia nje ya nchi. Na kwamba kuwepo na mfumo ma&#341;idhawa katika kudhibiti mipaka ya wazi ya Nige&#341;ia na mwenendo wa wafanyabiasha&#341;a ya watu.<\/p>\n<p>Biasha&#341;a ya watoto na wanawake imekuwa chini ya zu&#341;ia kwa muda m&#341;efu. &#038;oci&#341;c;Mpaka she&#341;ia hiyo itakapotekelezwa, kutakuwepo na ba&#341;aua mfu tu,&quot; mwanaha&#341;akati mmoja aliiambia IPS.<\/p>\n<p>Lakini Rais Obasanjo amehakikisha kwamba she&#341;ia mpya itahimizwa. &#038;oci&#341;c;She&#341;ia mpya itatekelezwa kudhibiti nyendo za Biasha&#341;a hii ya Utumwa wa Kisasa,&quot; alisema alipokuwa akisaini mswaada huo kuwa she&#341;ia.<\/p>\n<p>Mpaka hivi ka&#341;ibuni, she&#341;ia zote za biasha&#341;a ya watu na ukahaba nchini Nige&#341;ia zilikuwa zimesambaa tu katika she&#341;ia kadhaa za jinai na vitabu vya she&#341;ia. Na adhabu kwa wavunjaji wa she&#341;ia zilikuwa ni ndogo sana na kwa kiasi kikubwa zilikuwa hazifuatwi. <\/p>\n<p>She&#341;ia mpya ni kazi ya mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali kama vile shi&#341;ika la &#038;oci&#341;c;Women T&#341;afficking and Child Labou&#341; E&#341;adication Foundation&quot; (WOTCLEF) lililoanzishwa na Titi Abubaka&#341;, mke wa makamu wa Rais wa Nige&#341;ia. Ni jumuisho la she&#341;ia zote za biasha&#341;a ya binadamu na ukahaba katika vitabu mbalimbali vya she&#341;ia nchini Nige&#341;ia.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;She&#341;ia za zamani hata hazikusema chochote juu ya kuwasaidia waathi&#341;ika. Lakini hili limeangaliwa na she&#341;ia mpya. Biasha&#341;a ya binadamu ni tatizo duniani kote. Linastawi nchini Nige&#341;ia kwasababu adhabu kwa wavunjaji she&#341;ia ni ndogo sana,&quot; alisema mwanaha&#341;akati wa haki za binadamu. <\/p>\n<p>Aliiambia IPS kwamba biasha&#341;a ya binadamu ni uhalifu wa kimataifa ambao unatakiwa kupingwa kwa kila njia zilizopo na wahusika kupewa adhabu kali zaidi. <\/p>\n<p>Wakati wa she&#341;ehe za kusaini she&#341;ia hiyo, Abubaka&#341;i alitoa mwito wa kuundwa kwa shi&#341;ika maalum la kuhimiza utekelezwaji wa she&#341;ia na kuwakamata wahusika. <\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Shi&#341;ika letu lilivutiwa kwa kutambua kwamba wahusika wa uhalifu huu mbaya sana ni wataalamu waliobobea ambao wana njia maalum, lugha maalum na aina maalum ya jinsi ya kuiendesha biasha&#341;a. Ili kuwadhibiti kwa kutumia njia hizo hizo wanazozitumia, kuna haja ya kuwa na shi&#341;ika maalum kama vile &#038;oci&#341;c;National Agency fo&#341; T&#341;afficking in Pe&#341;sons Law Enfo&#341;cement and A&#341;&#341;est,&quot; alisema.<\/p>\n<p>&#038;oci&#341;c;Kwa kuwa &#341;obo tatu ya idadi ya watu nchini Nige&#341;ia ni wanawake na watoto, tunatakiwa kuweka kipaumbele katika maisha na haki zao. Hatutaki suala la biasha&#341;a ya binadamu liwekwe katika kazi za kawaida za polisi. Polisi wana kazi nyingi sana za kufanya katika kupambana na uhalifu wa hali ya juu kama vile mauaji, wizi wa kutumia silaha, na udanganyifu wa hali ya juu,&quot; alisema.<\/p>\n<p>&quot;Hatutakamata wafayabiasha&#341;a wa binadamu tu, lakini pia kusaidia katika kuwalinda wahanga wa biasha&#341;a hiyo,&quot; alisema Abubaka&#341;.<\/p>\n<p>Biasha&#341;a ya binadamu inawezekana kutokupewa nafasi ya makosa makubwa kama ilivyo kwa madawa ya kulevya. Lakini ni kosa ambalo haliha&#341;ibu tu maisha ya baadaye ya nchi, lakini pia maisha ya waathi&#341;ika.<\/p>\n<p>Ripoti ya Shi&#341;ika la Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) ya mwaka 2001, inakadi&#341;ia kuwa watoto milioni moja duniani kote wanaingia katika biasha&#341;a ya ngono inayoingiza mabilioni ya dola za Ma&#341;ekani kila mwaka. Wengi wa watoto hawa wanaingia katika biasha&#341;a ya utalii wa ngono kwa watoto. <\/p>\n<p>Wengi wa watoto hao wanatoka katika nchi zenye maendeleo madogo kama vile Nige&#341;ia ambao wanachukuliwa hadi katika nchi zilizoendelea kushibisha sekta ya utalii wa ngono huko. Sababu kubwa inayosababisha watoto kunyonywa katika ngono ni umaskini na vita ambavyo vimesababisha idadi ya watu katika biasha&#341;a ya binadamu kuongezeka ikiwa ni pamoja na kusambaa kwa uhalifu huo katika maeneo ambayo awali yalikuwa yameathi&#341;ika kidogo sana, kulingana na UNICEF.<\/p>\n<p>Ikiwa kama sehemu ya jitihada za kimataifa kudhibiti hata&#341;i ya biasha&#341;a hiyo, mkutano kati ya Ulaya na Af&#341;ika ulifanyika mjini B&#341;ussels Oktoba 2001, ambapo nchi zilikubaliana kuandaa Mpango wa Utekelezaji Dhidi ya Biasha&#341;a ya Binadamu. <\/p>\n<p>Sehemu ya jitihada za kupambana na biasha&#341;a ya binadamu mipakani ni kuazishwa kwa timu ya pamoja ya mamlaka za uhamiaji nchini Nige&#341;ia pamoja na zile za nje. Zoezi hili limezaa matunda mazu&#341;i. Mwaka jana lilishuhudiwa na ku&#341;udishwa nyumbani kwa wasichana na wavulana 142 kutoka Italy, 160 kutoka Hispania, 59 kutoka Uholanzi, wanne kutoka Ma&#341;ekani, 13 kutoka Af&#341;ika ya Kusini, sita kutoka kila nchi ya I&#341;eland, Ivo&#341;y Coast na Jamhu&#341;i ya Nige&#341;.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LAGOS, Julai 30 (IPS) &ndash; &ndash;Zaidi ya Wanige&#341;ia 45,000 wanasafi&#341;ishwa kwenda Ulaya kila mwaka na kulazimishwa kufanya kazi katika madangu&#341;o. Waliokuwa na bahati ya kufika salama, ma&#341;a nyingi wanafanikiwa baada ya kukutana na shu&#341;uba nyingi njiani. Wengi wa wasichana wamekuwa wakianikwa katika joto la Saha&#341;a, wakati wanapoja&#341;ibu kuvuka Af&#341;ika ya Kaskazini kwenda Ulaya hivi ka&#341;ibuni,&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":37,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-274","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/274","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/37"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=274"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/274\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=274"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=274"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=274"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}