{"id":2237,"date":"2008-08-04T13:40:01","date_gmt":"2008-08-04T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/08\/04\/biashara-kukimbiza-kwa-epas-kwa-eu-kwafanya-mataifa-ya-afika-kubadili-mawazo\/"},"modified":"2008-08-04T13:40:01","modified_gmt":"2008-08-04T13:40:01","slug":"biashara-kukimbiza-kwa-epas-kwa-eu-kwafanya-mataifa-ya-afika-kubadili-mawazo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/08\/04\/biashara-kukimbiza-kwa-epas-kwa-eu-kwafanya-mataifa-ya-afika-kubadili-mawazo\/","title":{"rendered":"BIASHARA: &#8220;Kukimbiza&#8221; kwa EPAs kwa EU Kwafanya Mataifa ya Af&#341;ika Kubadili Mawazo"},"content":{"rendered":"<p>PARIS, Julai 27 (IPS) &ndash; B&#341;ussels inaja&#341;ibiwa kuacha kutafsi&#341;i mikataba ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi ya muda mfupi (EPAs) katika lugha 23 &#341;asmi za Ulaya kutokana na wasiwasi kuwa baadhi ya mataifa ya Af&#341;ika, Ca&#341;ibbean na Pacific (ACP) yanaweza kubadili mawazo yao kuhusu kutia saini makubaliano ya mwisho.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wa&#341;aka wa ndani wa Tume ya Ulaya Julai 17, 2008, uliopatikana kwa IPS, unabainisha kuwa &#8221;kutafsi&#341;i na kusahihisha kishe&#341;ia lugha za EPAs za muda mfupi kulikoanzishwa mwaka jana kunasababisha mzigo mzito na kutumia muda m&#341;efu kuliko ilivyoonekana hapo awali. <\/p>\n<p>&#8221;Kwa kuwa na mawazo ya kuongeza kasi ya kutiwa saini mikataba yote ya muda mfupi ya mwaka 2008 tunayopendekeza, kwa ajili ya kuondoa njia za jadi za kuja na mikataba halisi kwa lugha zote &#341;asmi wakati wa kutia saini wakati huo huo kukubali kuitumia katika siku zijazo,&#8221; inaongeza. <\/p>\n<p>Kulingana na wa&#341;aka huo, Tume ina wasiwasi zaidi na kutafsi&#341;i nya&#341;aka nyingi za EPAs za muda mfupi katika lugha &#341;asmi 23 zinazotumiwa na Umoja huo kwamba kutasababisha ucheleweshaji. Tume imechukua msimamo kwamba, bila ya kuwa na EPAs, mfumo wa biasha&#341;a unaathi&#341;iwa na nchi za ACP ambazo hazina ukubalifu katika she&#341;ia za Shi&#341;ika la Biasha&#341;a Ulimwenguni (WTO). <\/p>\n<p>&#8216;Tume imekadi&#341;ia kuwa kama tutafuata mfumo unaokubalika kwa ujumla kabla ya kutia saini, mchakato unaweza kutupeleka baada ya Pasaka ya mwaka 2009. Kuchelewa huko kuna madha&#341;a juu ya kutambulisha WTO na usalama wa kishe&#341;ia,&#8221; inasema. <\/p>\n<p>Lakini mbali zaidi ya muda na jitihada zinazohitajika kutafsi&#341;i maelfu ya ku&#341;asa za mikataba kwenye lugha 23, inaonekana Tume ina masuala makubwa zaidi ya kushughulikia. <\/p>\n<p>Kutafsi&#341;i EPAs za muda mfupi &#8221;kunaweza pia kuongeza hata&#341;i za kisiasa ambazo baadhi ya nchi za ACP zinabadili mawazo yao na kuamua kutokutia saini EPAs za muda mfupi&#8221;, unaelezea wa&#341;aka huo. <\/p>\n<p>Kwa kupunguza muda wa nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya (EU) wa kujadili katika lugha zao za kitaifa kama zinaunga mkono EPAs, Tume inata&#341;ajia kuwa mikataba hiyo itatiwa saini na Ba&#341;aza la Ulaya kabla mataifa ya Af&#341;ika, Ca&#341;ibbean na Pacific kuweza kufanyia ma&#341;ekebisho msimamo wao. <\/p>\n<p>Ba&#341;aza la Ulaya linaundwa na wakuu wa nchi au se&#341;ikali za nchi wanachama wa Umoja wa Ulaya na &#341;ais wa Tume. <\/p>\n<p>Kama Tume ya Ulaya inaamua kutia saini EPAs katika hali yake ya sasa, Tume itaweza kutoa taa&#341;ifa juu ya mikataba hii ya muda mfupi kwa WTO. Ma&#341;a tu itakapopewa taa&#341;ifa, EPAs zitakuwa ngumu mno kujadili na mataifa ya ACP. <\/p>\n<p>Kulingana na Jean&ndash;Denis C&#341;ola, ambaye anahusika na kampeni ya haki ya kiuchumi katika shi&#341;ika la Oxfam Ufa&#341;ansa, &#8221;kuanzia siku ya kwanza, Tume imetumia suala la ukubalifu na she&#341;ia za WTO kama njia ya kutokuhusisha sababu halisi inazotaka makubaliano hayo yatiwe saini mapema iwezekanavyo. <\/p>\n<p>&#8221;Hili siyo suala halisi, kwani mahusiano yote ya kibiasha&#341;a kati ya EU na mataifa ya ACP yamekuwa ni kuhusu kukubaliana na WTO tangu Janua&#341;i 1. Hata nchi ambazo hazijatia saini EPAs za mpito ambazo zipo chini ya mpango wa biasha&#341;a wa &#8220;Eve&#341;ything But A&#341;ms&#8221; C&#341;ola anasema. <\/p>\n<p>&#8221;Sababu ya msukumo wa mfumo wa Tume ni kuhofia kuwa baadhi ya nchi zinaweza kubadili msimamo wao na kukataa mkataba wa aina yoyote ile,&#8221; anaongeza. <\/p>\n<p>Kwa kutumia sababu ya kuokoa muda, mkakati unaopendekezwa ni kukimbiza mchakato wa kupitishwa na kuweka jiwe la makubaliano ya mufa mfupi kutoka kwa mataifa ya ACP. <\/p>\n<p>Ili nchi wanachama kupewa taa&#341;ifa za kutosha kuhusu masuala ambayo Tume inayataka kupitishwa, itifaki ya kawaida ya Umoja wa Ulaya ni kutafsi&#341;i mikataba kwenye lugha za nchi wanachama wote. <\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa kwa vyombo vya haba&#341;i ya mwaka 2005, ku&#341;ugenzi ya Tume kufanya tafsi&#341;i inakubali kuwa &#8221;kiwango cha wingi wa lugha [katika EU] kinafanya suala kuwa la kipekee duniani, na kwa baadhi kazi ya ziada inayojengwa kwa taasisi zake inaweza kuonekana kwa upande wa kwanza kuzidi faida.&#8221; <\/p>\n<p>Hata hivyo, ku&#341;ugenzi kuu ya tafsi&#341;i ilitetea se&#341;a hii kama inayofaa kwa mjadala wa demok&#341;asia. <\/p>\n<p>&#8221;Kuna baadhi ya sababu maalum. Umoja unapitisha she&#341;ia ambazo moja kwa moja zinataka wananchi na makampuni, na kama suala la haki ya asili wao na mahakama zao zinapaswa kuwa na aina ya she&#341;ia ambazo zitaendana na lugha ambazo wanaweza kuzielewa,&#8221; inahitimisha. <\/p>\n<p>Wa&#341;aka wa Tume unasema kuwa hii ni kuondoka kwa kipekee kutoka kwenye itifaki, &#8221;ambayo taya&#341;i ilija&#341;ibiwa katika Mkataba wa Passenge&#341; Name Reco&#341;ds uliotiwa saini na EU na Ma&#341;ekani mwaka jana&#8221;. Huu ni mkataba wa kuchukua nafasi ya ule wa passenge&#341; name &#341;eco&#341;ds. <\/p>\n<p>Wa&#341;aka wa mkakati huu unapingana moja kwa moja na mpango wa Ch&#341;istine Taubi&#341;a, Mbunge wa Ufa&#341;ansa anayewakilisha Guyana, hivi ka&#341;ibuni alisema katika &#341;ipoti juu ya EPAs iliyofadhiliwa na Rais wa Ufa&#341;ansa Nicolas Sa&#341;kozy. <\/p>\n<p>Imetoa mapendekezo yenye lengo la ku&#341;ejesha imani katika kujadili mchakato ambao ma&#341;a kadhaa umekuwa umefunikwa na shutuma za imani mbaya kutoka kwa EU na mataifa ya ACP. <\/p>\n<p>Moja ya mapendekezo haya yanataka EU kuondoa utata wote wa lugha ili kuongeza usahihi wa EPAs. Imesisitiza kuwa kupata taa&#341;ifa kwa lugha ya kienyeji ya nchi husika ni kanuni ya msingi kwa she&#341;ia ya kimataifa. <\/p>\n<p>Ufa&#341;ansa, ambayo kwa sasa inashikilia u&#341;ais wa kupokezana wa EU, inaonekana kukubali kuwa pendekezo hili lilikuwa ni hatua muhimu na mchakato wa majadiliano ya usawa. <\/p>\n<p>Hata hivyo, wakati kutupiana maneno kati ya Sa&#341;kozy na Kamishina wa Biasha&#341;a wa EU Pete&#341; Mandelson kukiendelea kama ilivyoonyeshwa, msimamo wa Ulaya juu ya EPAs bado haiwezi kuondolewa. <\/p>\n<p>Sa&#341;kozy alimshambulia Mandelson kutokana na kushinikiza EPAs ambazo zitapelekea kupungua kwa uzalishaji wa kilimo katika nchi wanachama wa EU na kutokana na mazungumzo ya EPA ambayo &#8221;yaliathi&#341;i&#8221; ku&#341;a ya I&#341;eland kupinga mageuzi katika mkataba wa EU.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>PARIS, Julai 27 (IPS) &ndash; B&#341;ussels inaja&#341;ibiwa kuacha kutafsi&#341;i mikataba ya ushi&#341;ikiano wa kiuchumi ya muda mfupi (EPAs) katika lugha 23 &#341;asmi za Ulaya kutokana na wasiwasi kuwa baadhi ya mataifa ya Af&#341;ika, Ca&#341;ibbean na Pacific (ACP) yanaweza kubadili mawazo yao kuhusu kutia saini makubaliano ya mwisho. Wa&#341;aka wa ndani wa Tume ya Ulaya Julai&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":456,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2237","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2237","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/456"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2237"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2237\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2237"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2237"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2237"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}