{"id":2236,"date":"2008-08-04T13:40:01","date_gmt":"2008-08-04T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/08\/04\/mazingira-burkina-faso-kuwapata-watu-katika-kupambana-na-kuenea-kwa-jangwa\/"},"modified":"2008-08-04T13:40:01","modified_gmt":"2008-08-04T13:40:01","slug":"mazingira-burkina-faso-kuwapata-watu-katika-kupambana-na-kuenea-kwa-jangwa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/08\/04\/mazingira-burkina-faso-kuwapata-watu-katika-kupambana-na-kuenea-kwa-jangwa\/","title":{"rendered":"MAZINGIRA&ndash;BURKINA FASO: Kuwapata Watu Katika Kupambana na Kuenea kwa Jangwa"},"content":{"rendered":"<p>OUAGADOUGOU, Julai 26 (IPS) &ndash; Katika taifa la Af&#341;ika Magha&#341;ibi la Bu&#341;kina Faso, mamilioni ya miti yanapandwa kila siku kukabiliana na hali ya jangwa. Hata hivyo, kuendelea kuongezeka kwa mahitaji ya kiuchumi na kijamii kwa wakazi kunatishia jitihada hizo.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Watu wamejenga makazi, masoko, maeneo ya kuabudu, miji mikubwa katika hifadhi zetu za kitaifa,&#8221; alisema Salifou Sawadogo, wazi&#341;i wa mazingi&#341;a wa Bu&#341;kina Faso wakati wa kuhojiana na IPS. <\/p>\n<p>Kulingana na wiza&#341;a, hekta 110,000 za misitu zinapotea kila mwaka, ambapo hekta 75,000 ni za kilimo. <\/p>\n<p>&#8220;Ni vigumu kukusanya mazingi&#341;a halisi ya kusimamia hifadhi hizi kwa kutumia shinikizo kubwa la kibinadamu. Ni vigumu kukusanya pamoja mkakati mkubwa wa maendeleo kulinda u&#341;ithi huu,&#8221; aliongeza Sawadogo. <\/p>\n<p>Kulingana na utafiti wa 2007 uliofanywa na wiza&#341;a ya mazingi&#341;a, asilimia 60 ya hifadhi zimepotea katika kilimo na vijiji vidogo. Vile vile, idadi kadhaa za shughuli zinazoha&#341;ibu mazingi&#341;a kama vile moto, ukataji ha&#341;amu wa mbao, uchungaji mifugo wa kupita kiasi na matumizi ya kemikali zimeongezeka. <\/p>\n<p>Matokeo yake, kumekuwepo na uha&#341;ibifu mkubwa wa mazingi&#341;a, njia kuu za maji zinazibwa na mchanga, maeneo yenye misitu yanapotea na uzalishaji wa mbao na bidhaa zisizokuwa za mbao umepungua. <\/p>\n<p>Ouma&#341; Tiemto&#341;&eacute;, ambaye anasimamia usimamizi endelevu wa &#341;asilimali za misitu kusini magha&#341;ibi na kusini mwa Bu&#341;kina, anatoa mfano wa asili ya machafuko yanayotokana na maendeleo ya ka&#341;ibuni kama tishio kubwa la kuhifadhi mafanikio machache yaliyopatikana. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna uhaba wa uwajibikaji wa mtu mmoja mmoja, kwani wale wanaokuja msituni siyo wale wenye ubia katika kutunza &#341;utuba,&#8221; Tiemto&#341;&eacute; anaelezea. &#8220;Siku zote wanataka kutumia kwa faida mazingi&#341;a yaliyopo, na hivyo kuendelea kuhamia katika mashamba mapya kila ma&#341;a.&#8221; <\/p>\n<p>Hatimaye se&#341;ikali inataka kuhamisha zaidi ya watu 20,000. Lakini inahopfia atha&#341;i za kijamii zinazotokana naa kuhamisha watu hao. <\/p>\n<p>&#8220;Idadi kubwa ya &#341;asilimali inapatikana katika misitu (mashule, masoko, malisho) na hizi zinapaswa kuzingatiwa katika mpango wowote ule wa kuhamisha watu. Kama tutashindwa kutoa njia mbadala, watu wata&#341;ejea,&#8221; alielezea Ib&#341;ahim Lankoand&eacute;, mku&#341;ugenzi wa misitu katika Wiza&#341;a ya Mazingi&#341;a. <\/p>\n<p>Hata hivyo, Moustapha Sa&#341;&#341;, mku&#341;ugenzi mkuu wa Mbuga ya Bang&#341;&eacute;w&eacute;ogo, msitu wa mababu uliowekwa kwenye hifadhi ambao unaonekana kama &#8220;tenki la oxygen&#8221; kwa mji mkuu wa Ouagadougou, anasema kuwa wakazi wa eneo hilo siyo tatizo. <\/p>\n<p>&#8220;Tatizo linatokana na wale ambao walitaka kusimamia maliasili bila ya kuwa na mchango kwa jamii,&#8221; Sa&#341;&#341; aliiambia IPS. &#8220;Wanagonga ukuta wa tofali za kuchoma kwasababu wenyeji wamekuwa wakilinda maeneo haya kwa miaka mingi.&#8221; <\/p>\n<p>Anataka kuwepo na usimamiaji wa wazi zaidi wa maeneo hayo. &#8220;Tunapaswa kuhakikisha kuwa kuna malipo ya kutosha kutokana na matumizi ya maliasili. Je &#341;asilimali zetu zinazalishwa kwa kiwango kile kile tunachozitumia  Kama ilivyo sasa, pengo kati ya kile tunachochukua na uwezo wa misitu wa kuzalisha ni muhimu.&#8221; <\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa iliyotolewa wakati wa hafla ya upandaji wa miti mwezi juni mjini Ouagadougo, wazi&#341;i mkuu wa Bu&#341;kina Faso Te&#341;tius Zongo aliuliza ni nini ambacho wanakijiji maskini wanawaachia watoto wao. &#8220;Mali muhimu zaidi ambayo maskini wanayo ni a&#341;dhi, hivyo tunapaswa kuhakikisha kuwa wanaweza kuilinda na wanaweza kujilisha.&#8221; <\/p>\n<p>Ili kusaidia ku&#341;ejesha &#341;asilimali zilizotumika, wanajamii wanatakiwa kila mwaka kupanda miti milioni tatu. Tangu mwaka 2007, Mwezi wa Miti wa Taifa na Opa&#341;esheni 65\/15 (ya kupanda miti 65,000 kwa dakika 15) umekuja pamoja na kuweka viongozi se&#341;ikalini, wabunge na wanajeshi kufanya kazi wakati wa maji&#341;a ya mvua, kupanda miti katika maeneo ya hifadhi. <\/p>\n<p>Miti milioni tisa inapandwa kila mwaka kwa njia hii. Lankoand&eacute; mwenye mata&#341;ajio anaelezea: &#8220;Mata&#341;ajio yetu ya awali yanakadi&#341;iwa kuwa miche milioni 7, na tulifikia kiwango cha milioni 9. Shauku linaongezeka kila mwaka. Miaka minne iliyopita, tulikuwa tukipanda miti milioni 3.5.&#8221; <\/p>\n<p>Kampeni kubwa ya elimu ya umma ni mkakati wa kwanza uliowekwa kuhamasisha jumuiya kuhifadhi miti. Pia kuna mfumo wa kutoa tuzo kwa wale ambao wameonyesha mipango ya kulinda misitu. Ma&#341;a nyingi tuzo zinatolewa kwa njia ya hali, kama vile kupewa vifaa vya kilimo, lakini ma&#341;a nyingine kupewa pesa taslim. <\/p>\n<p>&#8220;Miti mingi inapandwa, lakini bado kuna kazi ya kufanyika kuweza kuitunza,&#8221; alikubali mku&#341;ugenzi wa misitu. <\/p>\n<p>&#8220;Tumefikia malengo yetu ya idadi, hatua inayofuata ni kufikia pia malengo ya ubo&#341;a. Tutazindua mashindano katika maeneo ya mijini na kijijini, kutoa tuzo kwa mashi&#341;ika ambayo yametoa michango inayotambulika katika kubo&#341;esha mazingi&#341;a yao,&#8221; aliongeza Lankoand&eacute;. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>OUAGADOUGOU, Julai 26 (IPS) &ndash; Katika taifa la Af&#341;ika Magha&#341;ibi la Bu&#341;kina Faso, mamilioni ya miti yanapandwa kila siku kukabiliana na hali ya jangwa. Hata hivyo, kuendelea kuongezeka kwa mahitaji ya kiuchumi na kijamii kwa wakazi kunatishia jitihada hizo. &#8220;Watu wamejenga makazi, masoko, maeneo ya kuabudu, miji mikubwa katika hifadhi zetu za kitaifa,&#8221; alisema Salifou&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":441,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2236","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2236","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/441"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2236"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2236\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2236"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2236"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2236"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}