{"id":2234,"date":"2008-07-30T13:40:01","date_gmt":"2008-07-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/30\/sierra-leone-ulinzi-mkali-kukabiliana-na-biashaa-ya-madawa-ya-kulevya\/"},"modified":"2008-07-30T13:40:01","modified_gmt":"2008-07-30T13:40:01","slug":"sierra-leone-ulinzi-mkali-kukabiliana-na-biashaa-ya-madawa-ya-kulevya","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/30\/sierra-leone-ulinzi-mkali-kukabiliana-na-biashaa-ya-madawa-ya-kulevya\/","title":{"rendered":"SIERRA LEONE: Ulinzi Mkali Kukabiliana na Biasha&#341;a ya Madawa ya Kulevya"},"content":{"rendered":"<p>FREETOWN, Julai 25 (IPS) &ndash; Watuhumiwa kumi na tisa, ikiwa ni pamoja na wanaume nane kutoka Colombia na Venezuela, wamesimamishwa mbele ya Mahakama Kuu ya F&#341;eetown kwa madai ya kufanya biasha&#341;a ha&#341;amu ya kuingiza madawa ya kulevya nchini humo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Kujitokeza mahakamani kunafuatia kupekua ndege ya Venezuela Julai 13, ilipotua kwa dha&#341;ula katika uwanja wa kimataifa wa Sie&#341;&#341;a Leone. Wafanyakazi wa ndege hiyo waliitelekeza na kukimbilia kwenye ga&#341;i ambalo lilivuka kwa kasi uzio. Lakini hata hivyo aska&#341;i waliwakamata baada ya muda mfupi. Jumla ya watuhumiwa 45 watafunguliwa mashitaka ambayo pia yanahusu kumiliki silaha kinyume cha she&#341;ia na kuha&#341;ibu kwa makusudi mali za se&#341;ikali. <\/p>\n<p>Tangu vita vya wenyewe kwa wenyewe vilipoanza mapema miaka ya 1990, Sie&#341;&#341;a Leone imekuwa ikitumiwa kama njia ya kupitishia madawa ya kulevya kama vile cocaine na he&#341;oin kutoka Ame&#341;ika Kusini na Ulaya na Ma&#341;ekani. Katika miezi minane tu iliyopita, watu kadhaa wamekamatwa katika uwanja wa ndege, ikiwa ni pamoja na &#341;aia wa Uinge&#341;eza, Ma&#341;ekani, Nige&#341;ia, Uholanzi na Asia. Wengi zaidi wameweza kuto&#341;oka kwa kushi&#341;ikiana na maafisa wa uwanja wa ndege na vyombo vya usalama. <\/p>\n<p>&#8220;Ni tatizo kubwa mno la kiusalama,&#8221; anasema F&#341;ancis Munu, inspekta mkuu msadizi wa polisi. &#8220;Tumekamata watu kadhaa lakini ukweli ni kwamba, uwanja wa ndege unakosa vifaa vya upelelezi vya kutosha kushughulikia matatizo.&#8221; <\/p>\n<p>Munu anasema uwanja wa ndege unahitaji mbinu za kisasa na mbwa wa kunusa na kwamba vikosi vya usalama ni lazima viwe na vifaa vya kutosha kuweza kukabiliana na mtandao huu wenye u&#341;atibu madhubuti wa biasha&#341;a ya madawa ya kulevya. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika la kufuatilia madawa ya kulevya la Jumuiya ya Kiuchumi ya Af&#341;ika Magha&#341;ibi limeelezea Sie&#341;&#341;a Leone na Guinea Bissau kama njia kuu za kusafi&#341;ishia madawa ya kulevya katika ukanda wa Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a. Katika mataifa yote mawili, vyombo vya usalama vinadhoofishwa na kukosekana kwa &#341;asilimali, &#341;ushwa na umaskini uliokithi&#341;i ambao unafanya kuwa &#341;ahisi kwa wafanyabiasha&#341;a hao kuwaghi&#341;ibu maafisa wa usalama ambao wanalipwa uji&#341;a duni. <\/p>\n<p>&#8220;Guinea Bissau na Sie&#341;&#341;a Leone zina histo&#341;ia inayofanana ya vita na kuwa na taasisi dhaifu, kuenea kwa &#341;ushwa na umaskini,&#8221; anasema mwandishi na mchambuzi wa masuala ya kijamii Richie Olu Go&#341;don, &#8220;jambo linalofanya kuwa &#341;ahisi kwa wafanyabiasha&#341;a wa madawa kufanya biasha&#341;a zao kupitia njia hizi.&#8221; <\/p>\n<p>Go&#341;don anasema Nige&#341;ia ilikuwa msta&#341;i wa mbele katika usafi&#341;ishaji ha&#341;amu wa madawa aina ya na&#341;cotics miaka ya 1980 na 1990, lakini kuanguka kwa mamlaka ya kijamii katika nchi kadhaa katika kanda kumejenga fu&#341;sa ya wafanyabiasha&#341;a wa madawa. <\/p>\n<p>She&#341;ia nchini Sie&#341;&#341;a Leone kuhusu madawa ni lege lege mno. Bila kuzingatia wingi wa madawa yanayokamatwa, mtuhumiwa anaweza kuki&#341;i kosa na kuachiliwa hu&#341;u kwa kulipa faini isiyozidi dola 1000 za Kima&#341;ekani, au kifungo cha muda mfupi jela. Hii ime&#341;uhusu mamia kuokoka mtego kwasababu wanaweza kulipa faini kwa u&#341;ahisi mkubwa na hivyo kuachiliwa hu&#341;u. <\/p>\n<p>Kama ilivyokuwa kwa kundi la awali la watuhumiwa ambao walijitokeza mahakamani Julai 24, Mwanashe&#341;ia Mkuu na Wazi&#341;i wa She&#341;ia, Abdul Se&#341;&#341;y Kamal, aliandaa kwa ha&#341;aka mswada wa kukabiliana na madawa ya kulevya bungeni. Mswada huo mpya utaanzisha hukumu jela kwa kesi zote za madawa, na kuanzisha ulinzi mkali katika kiwanja cha ndege cha kimataifa nchini humo. Mswada unata&#341;ajiwa kupitishwa siku chache zijazo, na kuwa na maana kuwa wale wote watakaohukumiwa, kama wakikutwa na hatia, hawataepuka faini, kulingana na ofisi ya mwanashe&#341;ia mkuu. <\/p>\n<p>Kinachotia hofu hapa ni atha&#341;i ambayo inasababishwa na mtandao wa madawa ya kulevya kwa wakazi nchini. Wakati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe, wauzaji wa madawa walihusishwa kwa ka&#341;ibu na wababe wa vita wa waasi wa Revolutiona&#341;y United F&#341;ont (RUF), ambao waliendesha biasha&#341;a iliyojulikana kama &#8220;almasi za damu&#8221; kwa kupewa madawa ya kulevya, silaha na &#341;isasi. Madawa ya kulevya yaliingizwa katika maeneo yaliyoshikiliwa na RUF kutoka nchi ji&#341;ani ya Libe&#341;ia, ambayo &#341;ais wake wa wakati huo Cha&#341;les Taylo&#341; &ndash; ambaye kwa sasa yuko mahakamani mjini the Hague &ndash; aliaminika kuwa mlezi mkuu wa RUF. <\/p>\n<p>Dk. Edwa&#341;d Nahim, mtaalamu wa pekee wa magonjwa ya akili wa Sie&#341;&#341;a Leone, aliiambia IPS kuwa hali ya matumizi ya madawa ya kulevya nchini humo inatisha. &#8220;Asilimia ipatayo 90 ya watu wote wanaolazwa katika hospitali ya wagonjwa wa akili wanahusishwa na madawa ya kulevya. Kuna matatizo makubwa ya kiakili na kijamii miongoni mwa vijana na matukio hayo yanazidi kuongezeka kutokana na kuingia kwa wingi kwa madawa ya kulevya nchini, kutokana na shughuli za wafanyabiasha&#341;a wa madawa hayo.&#8221; <\/p>\n<p>Nahim anasema madawa mengi yanayobakia nyuma yanatokana na washi&#341;ika wa ndani ambao wanapata pesa na madawa kutokana na kuwezesha shughuli za wafanyabiasha&#341;a hao ha&#341;amu: &#8220;Wababe wa madawa siyo ma&#341;a zote wanasafi&#341;i na fedha na hivyo ni &#341;ahisi kwa wao kufanya biasha&#341;a kwa kutumia madawa. Hii ndiyo sababu madawa yanabakia nchini, na hivyo kuzidisha matumizi ya ndani.&#8221; <\/p>\n<p>Rais E&#341;nest Bai Ko&#341;oma, ambaye alichukua mada&#341;aka Septemba mwaka jana, ameapa kukabiliana na kashfa ya ka&#341;ibuni ya madawa ya kulevya hadi hitimisho lake. &#8220;Sitaacha jiwe lolote lile halijageuzwa katika kushughulikia suala hili. Siwezi ku&#341;uhusu nchi yetu kutumiwa kama njia ya kupitishia mihada&#341;ati na kwenda huko inakoelekea,&#8221; amesema &#341;ais kutokana na kulipuka kwa haba&#341;i za kashfa ya madawa. <\/p>\n<p>Vyanzo vya haba&#341;i katika ofisi ya Usalama wa Taifa hapa mjini F&#341;eetown viliiambia IPS kuwa kuna mipango ya kujenga ushi&#341;ikiano wa pamoja na Guinea Bissau ili kukabiliana kwa pamoja na tatizo hilo. <\/p>\n<p>Mwandishi na mchambuzi Go&#341;don anasema kuna mgawanyimo mkubwa nchini Guinea Bissau katika vikosi vya usalama, suala linalofanya kuwa vigumu kukabiliana na tatizo la mihada&#341;ati: &#8220;Kuna baadhi ya watu katika jeshi la Guinea Bissau ambao wanalinda mitandao mikubwa ya madawa ya kulevya na hivyo kufanya kuwa vigumu kwa polisi kuwakamata wahusika nchini humo.&#8221; <\/p>\n<p>Go&#341;don pia anavishutumu vikosi vya usalama vya Sie&#341;&#341;a Leone kutokana na kushi&#341;ikiana na wauzaji wa madawa. <\/p>\n<p>&#8220;Usafi&#341;ishaji wa cocaine nchini Sie&#341;&#341;a Leone wa hivi ka&#341;ibuni na Guinea Bissau umevuta hisia kutokana na ukweli kwamba Af&#341;ika Magha&#341;ibi kwa sasa ni njia kuu ya kusafi&#341;isha madawa kutoka Ame&#341;ika Kusini ambayo yanaelekea Ulaya na Ma&#341;ekani,&#8221; Go&#341;don anahitimisha. <\/p>\n<p>Hukumu za mahakama mjini F&#341;eetown zinata&#341;ajiwa kuwa na msisimko mkubwa kwasababu ya hamasa ya umma ikiwa ni pamoja na shinikizo kwa se&#341;ikali kutoka kwa nchi washi&#341;ika zake ambao madawa hayo hupelekwa. <\/p>\n<p>Msemaji wa &#341;ais, Alpha Kanu, amesema kuwa se&#341;ikali itachukua hatua ya ha&#341;aka ya kupata pesa kununua vifaa vya kisasa vya upelelezi kwa ajili ya uwanja wa ndege wa kimataifa ikiwa ni pamoja na kupatia uwezo vikosi vya usalama kuchukua hatua ya ha&#341;aka. <\/p>\n<p>&#8220;Kwa sasa tunaliona hilo kama kipaumbele cha kubo&#341;esha uwanja wetu wa ndege wa kimataifa ili wafanyabiasha&#341;a hao ambao wanadhani kuwa hii ni njia &#341;ahisi kukamatwa na kuchukuliwa hatua,&#8221; Kanu alimaliza. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>FREETOWN, Julai 25 (IPS) &ndash; Watuhumiwa kumi na tisa, ikiwa ni pamoja na wanaume nane kutoka Colombia na Venezuela, wamesimamishwa mbele ya Mahakama Kuu ya F&#341;eetown kwa madai ya kufanya biasha&#341;a ha&#341;amu ya kuingiza madawa ya kulevya nchini humo. Kujitokeza mahakamani kunafuatia kupekua ndege ya Venezuela Julai 13, ilipotua kwa dha&#341;ula katika uwanja wa kimataifa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":500,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2234","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2234","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/500"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2234"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2234\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2234"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2234"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2234"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}