{"id":2230,"date":"2008-07-29T13:40:01","date_gmt":"2008-07-29T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/29\/mazingira-afrika-kusini-wakulima-wa-cape-ya-maghaibi-wataajia-kisichotaajiwa\/"},"modified":"2008-07-29T13:40:01","modified_gmt":"2008-07-29T13:40:01","slug":"mazingira-afrika-kusini-wakulima-wa-cape-ya-maghaibi-wataajia-kisichotaajiwa","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/29\/mazingira-afrika-kusini-wakulima-wa-cape-ya-maghaibi-wataajia-kisichotaajiwa\/","title":{"rendered":"MAZINGIRA&ndash;AFRIKA KUSINI: Wakulima wa Cape ya Magha&#341;ibi  Wata&#341;ajia Kisichota&#341;ajiwa"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Julai 21 (IPS) &ndash; Jimbo la Cape ya Magha&#341;ibi unavutia mamilioni ya watalii ambao wanakuja katika eneo hili la Af&#341;ika Kusini kufaidi milima yake ya Meza na fukwe zake, na kupata uzoefu wa mvinyo wake mzu&#341;i duniani na matunda yake. Lakini mabadiliko katika hali ya hewa ya jimbo hilo kunaweza kutishia sekta hizi.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Sekta za utalii na kilimo zinaongoza katika kuchangia aji&#341;a nchini humo ambapo kiasi cha uhaba wa aji&#341;a kinafikia asilimia 20 na 40, kwa kutegemea hatua zinazochukuliwa. Kulingana na Takwimu za Af&#341;ika, mashamba Magha&#341;ibi mwa Cape yanaaji&#341;i asilimia 25 ya wafanyakazi wote wa kilimo nchini. <\/p>\n<p>Kulingana na watafiti, hali ya hewa katika Cape ya Magha&#341;ibi taya&#341;i imeshakuwa haitabi&#341;iki. Miaka mitano iliyopita imeshuhudia kupungua kwa kipindi kati ya ukame na mafu&#341;iko. Kuongezeka kwa joto kunasababisha matatizo kwa matunda ya wakulima, na kutabi&#341;i kuwa uhaba wa maji utasababisha matatizo. <\/p>\n<p>Ili kuwapatia wakulima na washika dau wengine katika Af&#341;ika kiasi cha fu&#341;sa kusaidia kuandaa hatma za baadaye, P&#341;og&#341;amu ya Kukabiliana na Mabadiliko ya Hali ya Hewa katika Af&#341;ika imeanzisha timu ya watu wenye fani zote za watafiti kuandaa mifumo mbalimbali na mikakati. Timu hiyo ni pamoja na wanauchumi wa kilimo, wa masuala ya hali ya hewa na wakulima. <\/p>\n<p>M&#341;adi huo unafadhiliwa na Kituo cha Kimataifa cha Utafiti wa Maendeleo chenye makao yake nchini Canada. Washi&#341;ika ni pamoja na vyuo vikuu vya Cape Town, F&#341;ee State na KwaZulu&ndash;Natal, ikiwa ni pamoja na Shi&#341;ika la Mpango wa Mazingi&#341;a la Umoja wa Mataifa na Taasisi ya Utafiti wa Mabadiliko ya Hali ya Hewa na Jamii. <\/p>\n<p>Daan Louw, p&#341;ofesa katika Ida&#341;a ya Uchumi wa Siasa ya Chuo Kikuu cha F&#341;ee State, anatoa maelezo &#341;ahisi: &#8220;Tunajenga mifumo ya kiuchumi kwa kutumia taa&#341;ifa za mvua na hali ya hewa kutoka kwa washi&#341;ika wetu. Kwa kutumia taa&#341;ifa hizi, kwa mfano, tunatabi&#341;i jinsi mvua zinavyonyesha na jinsi gani itakuwa na matokeo kwenye mabwawa, na tunaweza kutabi&#341;i madha&#341;a yake katika mabadiliko ya hali ya hewa na mazao. Tunafanyia kazi mikakati ya kukabiliana na mabadiliko haya ambayo yatakuwa na gha&#341;ama, faida na hata&#341;i zinazohusiana na mabadiliko ya hali ya hewa.&#8221; <\/p>\n<p>Katika awamu za awali za m&#341;adi huo, lengo lilikuwa katika eneo la Chanzo cha Mto Be&#341;g, ambako bwawa linajengwa ili kutatua mahitaji ya maji. Mikakati iliyobuniwa kwa kupitia p&#341;og&#341;amu hii itatekelezwa na Wakala wa Kusimamia Chanzo cha Mto Be&#341;g. <\/p>\n<p>Kuongezeka kwa joto taya&#341;i kumeathi&#341;i baadhi ya mazao. &#8220;Kutokana na hali ya hewa ya joto, tumeshuhudia kudumaa kwa miti ya michungwa kukijitokeza mapema,&#8221; anasema Pete&#341; Johnston, mtafiti wa kundi la Uchambuzi wa Mifumo ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa katika Chuo Kikuu cha Cape Town. <\/p>\n<p>Kudumaa kwa miche kunakojitokeza mapema kunaweza kuwa na atha&#341;i kubwa kama itakumbwa na magonjwa au kama hali ya hewa ya ba&#341;idi au ba&#341;afu inaweza kuipiga na kuha&#341;ibu mazao. <\/p>\n<p>Kulingana na Johnston, mvua katika Cape ya Magha&#341;ibi zimepungua kwa asilimia 10 na 20 katika kipindi cha miaka 30 iliyopita, na hii imesababisha kuongezeka kwa joto. <\/p>\n<p>&#8220;Miti inayopukutika majani inahitaji hali ya hewa ya ba&#341;idi kuweza &#8216;kupumzika&#8217;. Kama hakuna ba&#341;idi ya kutosha, inaweza kusababisha kupungua kwa uzalishaji,&#8221; anasema Louw. <\/p>\n<p>&#8220;Mkakati wa kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa utaangalia ni mazao gani hayaathi&#341;iwi zaidi na hali ya hewa ya joto. Inaweza ikatokea kuwa mazao mengine yanapandwa au kwamba mazao mapya yanapaswa kubuniwa. Taya&#341;i tumeona miti ya mitini. Miti ya mitini ambayo tunayo sasa inaonekana kuwa tofauti na miti ya mitini inayopandwa katika mashamba mengi ya kaya miaka iliyopita.&#8221; <\/p>\n<p>Kama sehemu ya m&#341;adi, utafiti wa kina unafanyika kwa ajili ya kuhifadhi maji. Baadhi ya wakulima taya&#341;i wameshaanza kutumia mbinu za kilimo ambazo zinatumia vizu&#341;i &#341;asilimali hii adimu. <\/p>\n<p>&#8220;Wakati ambapo katika siku za zamani wakulima walichoma moto masalio ya mimea mashambani, kwa sasa wanayasambaza katika a&#341;dhi kwa ajili ya kuoza. Hii inabakisha unyevu katika a&#341;dhi. Pia kuna hatua ya kuondokana na kilimo cha kupita kiasi na kuwa na kilimo cha wastani wa chini. Hii inafanya a&#341;dhi kuwa bo&#341;a, na hivyo kuhitaji mbolea ya chumvi kidogo,&#8221; anasema Louw. <\/p>\n<p>Johnston anaongeza kuwa kama mabadiliko ya hali ya hewa yanaleta uhaba wa maji, washika dau wanapaswa kufiki&#341;i kwa umakini ni jinsi gani vyanzo vya &#341;asilimali za maji vilivyopo inaweza kugawanywa na kutumiwa kwa pamoja. <\/p>\n<p>&#8220;Kama, kwa mfano, ni wazi kwamba sekta ya viwanda ina uwezekano mkubwa wa kujenga fu&#341;sa za aji&#341;a kuliko sekta ya kilimo, maamuzi yatapaswa kutolewa kuhusu kugawa maji kwa usawa zaidi,&#8221; anasema. <\/p>\n<p>Kuna wasiwasi kwamba wakulima wapya ambao ni wapokeaji wa a&#341;dhi kwa kupitia mpango wa a&#341;dhi wa Af&#341;ika Kusini &ndash; ambao una lengo la kuhamisha angalau asilimia 30 ya a&#341;dhi inayofaa kwa kilimo kwa watu wasiokuwa na a&#341;dhi ifikapo mwaka 2015 &ndash; inaweza kuathi&#341;iwa kwa kiasi kikubwa na mabadiliko ya hali ya hewa. Kama ilivyo sasa, p&#341;og&#341;amu ya ugawaji a&#341;dhi ma&#341;a kadhaa imeshindwa kutokana na wanaofaidika ma&#341;a nyingi kukosa ujuzi wa kuendesha kilimo kwa mafanikio. Se&#341;ikali ya Af&#341;ika Kusini imekosolewa kutokana na kushindwa kusaidia wakulima wapya kuweza kupata ujuzi wanaouhitaji. Kulingana na Louw utafiti huo pia utasaidia wakulima hawa wapya. <\/p>\n<p>&#8220;Wakulima wapya wanaathi&#341;ika mno. Siyo tu kwamba wanakosa ujuzi ma&#341;a nyingine, hawana mitaji ya kuwekeza. Wanapaswa kuhusishwa na kupewa vitendea kazi na maa&#341;ifa yanayotokana na utafiti ili wawe na vifaa kwa ajili ya mazingi&#341;a yoyote ya siku zijazo. Wanapaswa kuandaa shughuli zao za kilimo kama vile njia ambazo zinaweza kutumika katika mabadiliko yoyote yale ya mabadiliko ya hali ya hewa,&#8221; anasema Louw. <\/p>\n<p>Mkulima katika Swa&#341;tland (eneo la jimbo la Cape ya Magha&#341;ibi), Ab&#341;aham van Santen, aliiambia IPS kuwa ameshuhudia maji&#341;a ya ukame katika miaka michache iliyopita. &#8220;Mwaka huu, bila sababu tumeamua kuliacha wazi shamba langu la michungwa kwa &#341;obo tatu ya hatua za kuliendeleza. Inawezekana ni kutokana na hali ya hewa ya joto ambayo tumeiona.&#8221; <\/p>\n<p>Anaongeza kuwa kumekuwa na ongezeko la vipindi vya hali ya hewa ya joto katika muongo uliopita. &#8220;Katika kipindi cha maji&#341;a ya joto yaliyopita vilivyofuatiwa kwa ha&#341;aka na vipindi vya ba&#341;idi. Hata hivyo, tumeshuhudia vipindi vitatu au vinne vya joto vikifuatana kwa kasi kubwa. Pia kumekuwepo na kupungua kwa mvua katika jimbo la Swa&#341;tland.&#8221; <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Julai 21 (IPS) &ndash; Jimbo la Cape ya Magha&#341;ibi unavutia mamilioni ya watalii ambao wanakuja katika eneo hili la Af&#341;ika Kusini kufaidi milima yake ya Meza na fukwe zake, na kupata uzoefu wa mvinyo wake mzu&#341;i duniani na matunda yake. Lakini mabadiliko katika hali ya hewa ya jimbo hilo kunaweza kutishia sekta hizi&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":396,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2230","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2230","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/396"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2230"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2230\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2230"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2230"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2230"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}