{"id":2228,"date":"2008-07-23T13:40:01","date_gmt":"2008-07-23T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/23\/maendeleo-kusini-mwa-afrika-matumizi-ya-pamoja-na-rasilimali-maji-chanzo-cha-mgogoo-au-ushiikiano\/"},"modified":"2008-07-23T13:40:01","modified_gmt":"2008-07-23T13:40:01","slug":"maendeleo-kusini-mwa-afrika-matumizi-ya-pamoja-na-rasilimali-maji-chanzo-cha-mgogoo-au-ushiikiano","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/23\/maendeleo-kusini-mwa-afrika-matumizi-ya-pamoja-na-rasilimali-maji-chanzo-cha-mgogoo-au-ushiikiano\/","title":{"rendered":"MAENDELEO&ndash;KUSINI MWA AFRIKA: Matumizi ya Pamoja na Rasilimali Maji &ndash; Chanzo cha Mgogo&#341;o au Ushi&#341;ikiano"},"content":{"rendered":"<p>PRETORIA, Julai 19 (IPS) &ndash; mtafit&#341;i katika Ba&#341;aza la Sayansi na Utafiti wa Viwanda nchini Af&#341;ika Kusini Katika muongo uliopita, vyombo mbalimbali vya haba&#341;i na &#341;ipoti za utafiti zimekuwa zikita&#341;ajia kutokea kwa vita vya maji ba&#341;ani Af&#341;ika. Kuanzia mwaka 1998, Taasisi ya Mafunzo ya Usalama iliwasilisha mada yake kuwa maji &#8220;yanatambuliwa kama silaha ya msingi ya kisiasa katika kanda ya Kusini mwa Af&#341;ika. Maji yatazidi kuwa na atha&#341;i katika mahusiano ya kimataifa na mipangilio ya kiusalama Kusini mwa Af&#341;ika.&#8221;\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lakini Anthony Tu&#341;ton wa Ba&#341;aza la Sayansi na Utafiti wa Viwanda (CSIR) nchini Af&#341;ika Kusini &ndash; ambayo inafanya utafiti juu ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi katika Af&#341;ika &ndash; inakanusha wazo kuwa vita vya maji katika Af&#341;ika kwa ujumla na hususani katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC) vitaweza kutokea. <\/p>\n<p>Mwandishi wa haba&#341;i wa IPS Mi&#341;iam Mannak aliongea na Tu&#341;ton kuhusu uwezekano wa kuzuka kwa vita, mipango ya matumizi ya maji kwa ajili ya uzalishaji wa chakula na mazao mengine na ushi&#341;ikiano Kusini mwa Af&#341;ika. <\/p>\n<p>IPS: Unapingana na wazo kuwa kunaweza kuwa na vita vya maji Kusini mwa Af&#341;ika. Unaweza kufafanua hili  <\/p>\n<p>Anthony Tu&#341;ton: Hakuna ushahidi kuwa kutakuwa na vita vya maji katika Af&#341;ika. Ukanda pekee ambapo maji yamepelekea kuibuka kwa vita ni Masha&#341;iki ya Kati, lakini ni hakika jambo hiulki haliwezi kujitokeza katika maeneo mengine ya dunia. <\/p>\n<p>Hivyo, hakutakuwa na vita vya maji juu ya nchi A dhidi ya nchi B. Katika Kusini mwa Af&#341;ika maji yamesababisha ushi&#341;ikiano wa ka&#341;ibu miongoni mwa mataifa tofauti, badala ya kujenga uadui. <\/p>\n<p>Utafiti umeonyesha, hata hivyo, kuwa kiwango cha vita kinaongezeka jinsi unavyokwenda ka&#341;ibu na mtu mmoja mmoja, na jinsi unavyokwenda mbali zaidi na ngazi ya kitaifa. Kwa mfano: mkulima mmoja mmoja ana uwezekano mkubwa wa kufika Kalashnikov &#8220;kutatua&#8221; tatizo lake la maji kuliko se&#341;ikali inavyoweza, kwasababu se&#341;ikali inatumia njia pana za utatuzi wa matatizo. Moja ya kutatua tatizo ni matumizi ya maji katika uzalishaji wa mazao ya chkaula na mengine. <\/p>\n<p>Matumizi ya maji katika uzalishaji wa mazao ya chakula na mengine ni kiasi cha maji yanayohitajika kufanya kazi hiyo. Mfano, uzalishaji wa kilo moja ya ngano unahitaji kiasi cha lita 1,000 za maji. Hiki ni kiasi cha matumizi ya maji katika uzalishaji wa mazao ya chakula na mengine.<\/p>\n<p>Katika biasha&#341;a ya bidhaa, kuna kiasi cha matumizi ya maji katika uzalishaji wa mazao ya chakula na mengine. Ni vema kwa nchi yenye uhaba wa maji kuingiza bidhaa kutoka nje kuliko kutumia maji mengi ili kuzalishia bidhaa hizo ndani ya nchi. Hii inaondoa shinikizo katika vyanzo vya maji vya nchi husika. Kwa njia hii, ambayo inaweza kutumiwa kuzalishia bidhaa hizi, sasa inaweza kutumiwa kwa njia nyingine. <\/p>\n<p>IPS: Ni jinsi gani SADC inashughulikia masuala yanayohusiana na usalama wa maji  <\/p>\n<p>AT: Maji na usalama yanaonekana kama vipaumbele katika kanda. Inawezekana isifanyike mahali pengine popote katika Af&#341;ika, lakini katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC), hakika maji ni suala kubwa. <\/p>\n<p>Kusini mwa Af&#341;ika pengine ni ukanda unaoongoza kwa kuwa na mikataba ya kisasa zaidi ya usimamiaji wa maji kati ya taifa na taifa katika dunia. Zaidi ya hapo, ni ukanda pekee katika ba&#341;a ambao umeweza kuingiza baadhi ya masuala muhimu ya Mkataba wa maji wa Umoja wa Mataifa kupitia Itifaki ya SADC ya Kugawana Maji. Wa&#341;aka huu ni msingi wa maendeleo ya u&#341;atibu na muungano wa maji ya nchi na nchi katika kanda. <\/p>\n<p>Mbali na hilo, ka&#341;ibu mabonde yote katika kanda ya ADC yanasimamiwa na mikataba ya kikanda kati ya nchi zinazotumia mabonde hayo. <\/p>\n<p>IPS: Ni tishio gani linakabili vyanzo vya maji katika kanda ya SADC  <\/p>\n<p>AT: Tuna vitisho vya kipekee. Mojawapo ni maeneo ambayo mito inapatikana, jambo ambalo lina maana inapoteza uwezo wake wa kuondokana na uchafuzi. Suala jingine ni uchimbaji wa madini usiodhibitiwa kwa ka&#341;ne na zaidi, ambapo migodi ya zamani sasa inatoa sumu na maji yenye madini ya mionzi katika mifumo ya mito. Jambo jingine ni ukweli kwamba SADC, na vituo vyake vyote vya maendeleo &ndash; haviko katika mito, maziwa au maeneo ya mbele ya baha&#341;i &ndash; lakini vipo katika maeneo yasiyokuwa na maji. Hii inasababisha maji machafu kuingia katika mifumo ya maji ya kunywa na ya viwandani. <\/p>\n<p>IPS: Ni jinsi gani watu wengi Kusini mwa Af&#341;ika wanakabiliwa na uhaba wa maji  <\/p>\n<p>AT: Ukweli ni kwamba kama watu wanaishi ina maana kuwa wanapata maji, kwasababu unapokuwa hupati maji unakufa. Suala siyo kama kuna uhaba wa maji, lakini kama ugavi wa maji una uhakika. Benki ya Dunia inaita suala hili &#8220;adui wa masuala ya maji&#8221;. <\/p>\n<p>Mataifa mengi ya Af&#341;ika yana uhakika mdogo wa ugavi wa maji. Hii ina maana kuwa hayasumbukii tishio la ukame na mafu&#341;iko. Matokeo yake watu wanakunywa maji machafu na yenye vimelea, na kuwa na matatizo ya kiafya. Kwa kuongeza, kutokana na uhakika mdogo wa ugavi wa maji, mazao yanashindwa na viwanda haviwezi kuendelea. <\/p>\n<p>IPS: Je wanajumuiya wanashi&#341;ikishwa katika hatua za kusimamia maji katika SADC  <\/p>\n<p>AT: Ukweli ni kwamba mabonde ya mito ni masuala magumu kuyafanyia kazi. Jinsi linavyokuwa na wakazi wengi ndivyo jinsi linavyokuwa vigumu kulisimamia. Hii ina maana kuwa kwa kukosekana taasisi ima&#341;a, inadhoofisha uwezo wa kusimamia mabonde haya kwa kuachia utoaji wa maamuzi kwa wanajumuiya. <\/p>\n<p>Hii haina maana kuwa wanajumuiya siyo muhimu. Ni muhimu mno. Mbinu nzu&#341;i ni kuwashi&#341;ikisha kwa njia inayofaa na wakati muafaka. CSIR imeanzisha kitu kinachojulikana kama &#8220;T&#341;ialogue Model of Gove&#341;nance&#8221; kutatua mtanziko huu. <\/p>\n<p>IPS: Ni bonde gani la mto katika Af&#341;ika linafanya kazi nzu&#341;i linapokuja suala la usimamiaji wa maji, na ambalo linahitaji kubo&#341;eshwa  <\/p>\n<p>AT: Bonde la mto linalosimamiwa vizu&#341;i katika SADC pengine ni lile la O&#341;ange au Senqu, huku la Okavango likika&#341;ibia nafasi ya pili kwa ubo&#341;a. Mabonde yote haya yana mikataba ima&#341;a na michakato ya kitaasisi. Yote ni vyanzo muhimu vya maji kwa mataifa yenye maendeleo makubwa katika kila bonde. <\/p>\n<p>Mabonde yanayosimamiwa vibaya zaidi ni sehemu ya bonde nchini Zimbabwe na sehemu ya bonde nchini Msumbiji. Kwa mfano katika bonde la mto Pungue. <\/p>\n<p>Sababu ya jambo hili ni kwamba nchi zote mbili zina usimamiaji duni katika wa maji. Kwa suala la Zimbabwe, taifa ambalo lina matatizo ina maana kuwa uwezo wa kusimamia masuala ya maji haupo. <\/p>\n<p>IPS: Tunaweza kuchukua uzoefu kutokana na mafanikio ya usimamiaji wa maji yaliyopatikana katika bonde A na kuyatumia katika bonde B  <\/p>\n<p>AT: Kila bonde la mto ni la kipekee, hivyo hatuwezi kuchukua ufumbuzi wa bonde moja, mfano katika ba&#341;a la Ulaya, na kulitumia katika bonde ba&#341;ani Af&#341;ika. Ufumbuzi unaotokana na nchi yenyewe ni mzu&#341;i zaidi.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>PRETORIA, Julai 19 (IPS) &ndash; mtafit&#341;i katika Ba&#341;aza la Sayansi na Utafiti wa Viwanda nchini Af&#341;ika Kusini Katika muongo uliopita, vyombo mbalimbali vya haba&#341;i na &#341;ipoti za utafiti zimekuwa zikita&#341;ajia kutokea kwa vita vya maji ba&#341;ani Af&#341;ika. Kuanzia mwaka 1998, Taasisi ya Mafunzo ya Usalama iliwasilisha mada yake kuwa maji &#8220;yanatambuliwa kama silaha ya msingi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":498,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2228","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2228","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/498"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2228"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2228\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2228"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2228"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2228"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}