{"id":2216,"date":"2008-07-17T13:40:01","date_gmt":"2008-07-17T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/17\/maswali-na-majibu-kwa-kutumia-mbinu-sahihi-tunaweza-kujitosheleza\/"},"modified":"2008-07-17T13:40:01","modified_gmt":"2008-07-17T13:40:01","slug":"maswali-na-majibu-kwa-kutumia-mbinu-sahihi-tunaweza-kujitosheleza","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/17\/maswali-na-majibu-kwa-kutumia-mbinu-sahihi-tunaweza-kujitosheleza\/","title":{"rendered":"MASWALI NA MAJIBU: &#8216;Kwa Kutumia Mbinu Sahihi, Tunaweza Kujitosheleza&#8217;"},"content":{"rendered":"<p>GORE, Julai 12 (IPS) &ndash; Shi&#341;ika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa linasema kuwa katika kipindi cha miaka mitano tangu kuanzishwa kwa makambi ya wakimbizi Kusini mwa Chad kwa ajili ya Wakimbizi wa Af&#341;ika ya Kati, p&#341;og&#341;amu za kilimo zilizopo chini ya Umoja wa Mataifa zimepunguza msaada wa chakula kutoka nje hadi kufikia kiwango cha chini.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Tangu mwaka 2006, Boubaca&#341; Amadou, &#341;aia wa Chad ,mwenye um&#341;i wa miaka 62, amekuwa akiongoza ida&#341;a ya kujitosheleza kwa chakula kwa zaidi ya miaka 20,000 katika makambi ya Af&#341;ika ya Kati huko Go&#341;e. Makambi ya hapa yanakaliwa na miongoni mwa wakimbizi 60,000 waliokimbia vita kutoka Jamhu&#341;i ya Af&#341;ika ya kati kuanzia mwaka 2003. <\/p>\n<p>Lakini wakimbizi wanashindana na wenyeji kupata a&#341;dhi ya kilimo na kuchungia wanyama. <\/p>\n<p>Mwandishi wa IPS David Axe alizungumza na Amadou katika ofisi ya UNHCR mjini Go&#341;e kuhusu kazi yake na mata&#341;ajio yake kwa wakimbizi wa eneo hilo. <\/p>\n<p>IPS: Nini maana ya &#8220;kujitosheleza kwa chakula&#8221; katika makambi ya wakimbizi  <\/p>\n<p>Boubaca&#341; Amadou: Kwa sasa Shi&#341;ika la Mpango wa Chakula Ulimwenguni linawapatia wakimbizi wa Go&#341;e baadhi ya chakula &ndash; wastani wa kilo zipatazo 90 kwa mtu, kwa mwaka. (Kwa ujumla, WFP inatoa nusu ya mahitaji ya chakula cha wakimbizi wa Go&#341;e.) Lakini ni muhimu, kwa mipango ya muda m&#341;efu, kwamba wanazalisha mahitajika yao wenyewe. Hivyo tunafadhili kilimo, ufugaji wa wanyama na shughuli nyingine za kuzalisha kipato, ili waweze kujilisha. Tunataka kuwasaidia. <\/p>\n<p>Tunachokifanya ni kuandaa watu kuweza kuzoea maisha wanayoishi wenyeji katika jamii. Ni ufumbuzi wa kudumu kwa mahitaji yao ya chakula. Hapo awali, ufumbuzi wa ha&#341;aka wa mahitaji ya wakimbizi ni kuwa&#341;ejesha makwao. Lakini suala jingine bo&#341;a zaidi ni kuwaunganisha na jamii wanamoishi. Hii inawezekana katika baadhi ya makambi ya wakimbizi, lakini siyo yote. Wengine wanaugua moyoni mwao kutokana na uzoefu wao katika Jamhu&#341;i ya Af&#341;ika ya Kati. Kuwaunganisha na jamii inawezekana hapa Go&#341;e kwasababu kuna mwingiliano mkubwa wa kuoana kati ya wakimbizi na wenyeji. <\/p>\n<p>Lakini kuwaunganisha kunahitaji a&#341;dhi ya kutosha na pembejeo &ndash; na vitu vyote hivyo ni vya gha&#341;ama kubwa. <\/p>\n<p>IPS: Mna p&#341;og&#341;amu tofauti kwa wakulima na wafugaji, ndivyo  <\/p>\n<p>BA: Ndiyo. Wakulima wanahitaji utafiti. Wana a&#341;dhi chache mno, chini ya hekta 1.5 za a&#341;dhi, hivyo wanahitaji mbinu bo&#341;a zaidi na pembejeo za kilimo. Lakini hazitoshi. Wakimbizi wakulima walikuja hapa bila kitu, hivyo imekuwa muhimu kuwahudumia, hasa wakati wa mwanzoni, na hususani kuhusu suala la mbegu. HCR na mshi&#341;ika wetu Af&#341;ica&#341;e wanawapatia mbegu. <\/p>\n<p>Kila mwaka tunaandaa mpango wa kilimo na kujadili na wakulima. Kwa mfano, tulikuta kwamba kila mfanyakazi katika shamba anahitaji jembe lake. Hivyo tunatengeneza bajeti na kupatia UNHCR. Sasa, UNHCR ina wakimbizi wengi wa kuwahudumia &ndash; 250,000 katika upande wa masha&#341;iki &ndash; hivyo hakuna a&#341;dhi ya kutosha. Lakini michango ya WFP, na Af&#341;ica&#341;e pia inafanya &ndash; wana wahisani wakubwa kutoka Ma&#341;ekani. Tulipata dola zipatazo milioni 1 kutoka kwa UNHCR mwaka jana. Dola elfu moja zinaweza kusaidia kulima hekta 10. <\/p>\n<p>Suala gumu zaidi kwa wakulima ni kujitosheleza katika a&#341;dhi. Hakika, kila familia inahitaji hekta 2.5. Kwa sasa wastani wa Go&#341;e ni hekta 1.3 tu. Hivyo tumeja&#341;ibu kuanzisha mifumo bo&#341;a ya uzalishaji. <\/p>\n<p>Kwa mfano, tunaja&#341;ibu kuwafahamisha wakulima kuhusu &#8220;mazao mengine,&#8221; ili kutumia a&#341;dhi vizu&#341;i. Wakimbizi wengi wanapanda mpunga, lakini wanahitaji mbolea ya chumvichumvi na kupumzisha a&#341;dhi, hivyo unahitaji kupanda mazao ya kupumzisha a&#341;dhi kati ya uvunaji wa mpunga ambayo yanahifadhi a&#341;dhi. Pia, tumeanzisha &#8220;bustani za jikoni&#8221; kwa ajili ya kupanda mbogamboga. Wakimbizi wanapenda mbogamboga. <\/p>\n<p>Kama unaniuliza, siyo juu ya ukubwa wa a&#341;dhi tu. Ni kuhusu mbinu za kilimo. Unaweza kupata mavuno zaidi kutoka kwenye a&#341;dhi kama unaitumia vizu&#341;i. Kwa kutumia mbinu sahihi, unaweza kujitosheleza. <\/p>\n<p>Hata hivyo, tunaendelea kuzungumza na se&#341;ikali ya Chad kwa ajili ya kupata a&#341;dhi zaidi kwa wakimbizi. Hatuachi kujadiliana. <\/p>\n<p>Mwisho, tumeanza kutoa mikopo kwa wakulima na wachuuzi wadogo. Mkimbizi mmoja anatumia mkopo kutoka UNHCR kulima chai. Baadhi ya wakulima wanatumia pembejeo. Wanapaswa ku&#341;ejesha mikopo, lakini wana muda wa kutosha &ndash; zaidi ya mwaka mzima wa kutumia pembejeo. Tunataka wafaidike kwa muda kabla hawajalipia. Na unapaswa kusubi&#341;i hadi mavuno, wakati wa mavuno wakulima wanakuwa na pesa. Na kama huna a&#341;dhi yoyote, unaweza kuanzisha biasha&#341;a, kama chai, na kutengeneza pesa. Kwa kuwa na pesa hizi, unaweza kununua chakula, hivyo aina nyingine ya kujitegemea kwa chakula. <\/p>\n<p>Kwa wafugaji, kipaumbele cha juu zaidi ni huduma ya kimadawa. Huduma hiyo ni pamoja na chanjo. Kuna magonjwa ambayo yanaweza kuzuiliwa kwa kutolewa chanjo ma&#341;a mbili kwa mwaka Julai na Oktoba. Bila ya chanjo, vifo vya wanyama vinafikia asilimia 20 kwa mwaka. Chanjo hizo, ni asilimia 2 hadi 3. Wakimbizi ambao ni wafugaji wanajua kuwa wanahitaji chanjo &ndash; na inatolewa bu&#341;e kabisa. <\/p>\n<p>Tunatoa chanjo kwa wanyama wa wakimbizi na baadhi ya wanyama katika vijiji vinavyozunguka kambi. Lakini mbali na chanjo, kuna matatizo mengine &ndash; matumbo na ma&#341;a nyingine kuje&#341;uhiwa. Hivyo wanyama bado wanahitaji uangalizi zaidi. Lakini kutokana na kwamba ufugaji unaendelea, njia ya kujitegemea itakuwa &#341;ahisi &#8230; na nafuu. Tunaanza kubo&#341;esha chakula cha wanyama pia lakini mpango huo bado haujaanza. <\/p>\n<p>IPS: Kuna hata&#341;i yoyote ambayo wakimbizi, wanapoingizwa kwenye uchumi wa Chad, hawatataka kuondoka  <\/p>\n<p>BA: Hakuna hata&#341;i. Huwezi kupenda nchi nyingine kuliko nchi yako. Kuna baadhi ya wakimbizi ambao wanaweza kubakia &ndash; ambao wanaugulia sana mioyoni mwao, ambao waliona watu wengi wakiuawa. Kwa upande wao Af&#341;ika ya Kati imeshaisha. Lakini wengine wanataka kuondoka. Na wakati wanapoondoka, wataondoka na mbinu zao walizojifunza. Wale wanaosalia, wanaweza kujiunga na wakazi wenyeji. Wengi wao wata&#341;ejea kwao, kwasababu wanavutiwa na nchi yao. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GORE, Julai 12 (IPS) &ndash; Shi&#341;ika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa linasema kuwa katika kipindi cha miaka mitano tangu kuanzishwa kwa makambi ya wakimbizi Kusini mwa Chad kwa ajili ya Wakimbizi wa Af&#341;ika ya Kati, p&#341;og&#341;amu za kilimo zilizopo chini ya Umoja wa Mataifa zimepunguza msaada wa chakula kutoka nje hadi kufikia kiwango&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":0,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2216","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2216","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2216"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2216\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2216"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2216"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2216"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}