{"id":2208,"date":"2008-07-10T13:40:01","date_gmt":"2008-07-10T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/10\/kilimo-tanzania-bei-kubwa-za-mazao-hazileti-fuaha-kwa-wakulima\/"},"modified":"2008-07-10T13:40:01","modified_gmt":"2008-07-10T13:40:01","slug":"kilimo-tanzania-bei-kubwa-za-mazao-hazileti-fuaha-kwa-wakulima","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/10\/kilimo-tanzania-bei-kubwa-za-mazao-hazileti-fuaha-kwa-wakulima\/","title":{"rendered":"KILIMO&ndash;TANZANIA: Bei Kubwa za Mazao Hazileti Fu&#341;aha kwa Wakulima"},"content":{"rendered":"<p>ARUSHA, Julai 7 (IPS) &ndash; Ghala za futi sita za kuhifadhia mahindi katika kaya ya Kastul Baha ni kitu cha kuonewa wivu katika kijiji cha wafugaji kaskazini mwa Tanzania. Baha ni mmoja wa wakulima wenye bahati katika msimu huu wa mavuno kwa kuwa na dola 35 za kununulia mbolea ya chumvichumvi kuweza kutumia katika shamba lake la nusu eka&#341;i. Anata&#341;ajia kuongeza mavuno kwa zaidi ya ma&#341;a mbili na kupata magunia 10 ya mahindi ikilinganishwa na magunia manne mwaka jana.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hata hivyo, gha&#341;ama zake &ndash; pembejeo, mafuta na kodi za kilimo &ndash; zinaongezeka. Baha anasema angekuwa na bahati ya kulisha familia yake na kuuza ziada ndogo katika soko la eneo hilo. <\/p>\n<p>&#8220;Hakuna uwezekano wa sisi wakulima kuweza kuendesha maisha yetu,&#8221; Baha alisema, huku akipata pumzi kutokana na kazi yake ya pili kama dakta&#341;i katika kituo cha afya katika kijiji cha Ayalabe, kama kilomita 100 nje kidogo ya Mbuga ya Taifa ya Se&#341;engeti. &#8220;Hapa, sisi ni maskini kutokana na kwamba kuna se&#341;a mbovu za kilimo na hakuna bajeti ya kuwasaidia wakulima.&#8221; <\/p>\n<p>Kuongezeka kwa bei duniani hakujaleta faida ya ma&#341;a moja kwa wakulima wengi wadogo wadogo katika taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki. Kinyume chake, Watanzania wana uwezekano wa kukabiliwa na mizigo zaidi kutokana na kwa kuongezeka gha&#341;ama za bei za bidhaa kutoka nje na hivyo kuongeza bei za bidhaa za msingi za chakula na gha&#341;ama za uzalishaji, kulingana na mfuko wa Common Fund fo&#341; Commodities (CFC), wakala wa Umoja wa Mataifa wenye makao yake nchini Uholanzi. CFC inafanya kazi na mataifa yanayoendelea kuima&#341;isha uzalishaji na biasha&#341;a ya bidhaa. <\/p>\n<p>Tanzania, mzalishaji wa nne wa kahawa ba&#341;ani Af&#341;ika &ndash; na muuzaji nje wa tumbaku, pamba, ko&#341;osho, chai, katani na ka&#341;afuu &ndash; inaweza kupata mapato mengi kutokana na kuuza mazao nje, inasema CFC. Hata hivyo, faida za kiuchumi kwa wakulima wa Kitanzania zinawezekana kukatizwa na kuongezeka kwa bei za uzalishaji wa mazao na usafi&#341;i kuweza kusafi&#341;isha mazoa kwenda kwenye soko, And&#341;ey Kuleshov, meneja m&#341;adi wa CFC, aliandika akijibu maswali yaliyopelekwa na IPS kwa njia ya emaili. <\/p>\n<p>&#8220;Hata kwa mataifa ambayo yanafaidika na kuongezeka kwa bei za mazao, faida zinazotokana na kuongezeka kwa bei za bidhaa hazitoshi kufunika gha&#341;ama za uzalishaji,&#8221; alisema Kuleshov. &#8220;Katika muda mfupi, nina hofu kuwa Tanzania itapaswa kukabiliwa na tatizo jingine la uchumi mkuu.&#8221; <\/p>\n<p>Kilimo kinachangia asilimia 85 ya bidhaa zinazouzwa nje na asilimia zipatazo 30 za pato la taifa la nchi hiyo, kulingana na &#341;ipoti ya Mjadala wa Taifa katika Kutoa Uwezo wa Kiuchumi nchini Tanzania iliyotolewa mwezi Mei. Hadi asilimia 80 ya wakazi milioni 38 nchini Tanzania wanategemea kilimo kuwalisha au kuwa chanzo chao kikuu cha kuendeshea maisha yao, iliongeza &#341;ipoti hiyo. <\/p>\n<p>Kilimo nchini Tanzania kinatumia nguvu kazi kubwa na teknolojia ndogo katika jumuiya za vijijini ambako sehemu kubwa ya a&#341;dhi inalimwa kwa kutumia majembe ya mkono. <\/p>\n<p>Kazi kubwa kwa faida ndogo <\/p>\n<p>Wanawake waliobeba mapanga, zana ya Kiaf&#341;ika, wamesambaa katika Shamba la Kahawa la Ka&#341;atu lenye ukubwa wa eka&#341;i 175 kaskazini mwa Tanzania na kuchuma kahawa kutoka kwenye matawi ya miti. <\/p>\n<p>Kuzidi kuongezeka kwa gha&#341;ama ya mashine za kilimo na vipuli vyake, ushu&#341;u wa se&#341;ikali za mitaa na se&#341;ikali kuu na kulazimishwa kuongeza mishaha&#341;a ya kima cha chini mwaka huu kumesababisha kupunguza gha&#341;ama za uzalishaji, alisema meneja mkuu Sta&#341;son Moote&#341;a. Hata katika shamba hili, moja ya mashamba makubwa kabisa katika mkoa, haliwezi kutumia zaidi pembejeo za kilimo kuweza kuzalisha mavuno mengi zaidi, alisema. <\/p>\n<p>&#8220;Hii ina maana kuwa hakuna ubo&#341;eshaji wa uzalishaji wetu, na kwamba hakuna fu&#341;sa ya kuuza mazao mengi na hivyo kupata faida kubwa,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Katika ba&#341;aba&#341;a, Aziz Yusuf, meneja wa Shamba la Kahwa la Tinga Tinga, aliongeza, &#8220;Gha&#341;ama zetu za kuzalisha zinazidi kuongezeka. Lakini kuhusu kwamba bei za kuuza ni nzu&#341;i katika dunia tunazisikia tu. Nadhani zimepotea mahali fulani katika wafanyabiasha&#341;a wa kati.&#8221; <\/p>\n<p>Wataalam wa kilimo wanasema se&#341;ikali inapaswa kuchukua wajibu na kubo&#341;esha se&#341;a zenye lengo la kusasidia mamilioni ya wakulima. Upatikanaji wa ha&#341;aka wa mikopo nafuu na &#341;uzuku za kilimo unaweza kusaidia, kulingana na Ba&#341;aza la Kilimo Tanzania lenye makao yake mjini Da&#341; es Salaam, ambalo linatetea wakulima, wafugaji, wasindikaji mazao na watafiti. <\/p>\n<p>Ba&#341;aza pia limetoa wito kwa se&#341;ikali kutimiza ahadi zake ilizozitoa pamoja na viongozi wengine wa Af&#341;ika za kutoa asilimia 10 ya bajeti za taifa katika kilimo ifikapo mwaka 2010. Tanzania ilipitisha asilimia 6.4 ya bajeti yake ya mwaka huu katika kilimo mwishoni mwa mwaka wa bajeti Juni 30, 2009. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali pia inapaswa kupunguza kodi na ushu&#341;u kwa wakulima ili kuwaongezea kipato katika maeneo ya kijijini, Abdallah Kigoda, mwenyekiti wa kamati ya bunge ya fedha na uchumi, alisema mwezi uliopita katika bunge. <\/p>\n<p>Kwa mfano, se&#341;ikali za mitaa nchini Tanzania zinatoza wakulima viwango vya kodi vya juu ma&#341;a 17 zaidi kuliko kuliko ambavyo mzalishaji wa kiwandani anaweza kulipa, kulingana na Ba&#341;aza la Kilimo Tanzania. <\/p>\n<p>Baha, anataka se&#341;ikali kupanua wigo wake wa kutoa &#341;uzuku za mbolea za chumvichumvi kabla ya msimu ujao wa kilimo ili aweze kuongeza mavuno. <\/p>\n<p>&#8220;Siwezi kuwa tegemezi katika hali ya hewa na bei katika soko haijatulia,&#8221; alisema. &#8220;Hivyo, angalau nataka kutegemea se&#341;ikali yangu kunipatia msaada mdogo.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ARUSHA, Julai 7 (IPS) &ndash; Ghala za futi sita za kuhifadhia mahindi katika kaya ya Kastul Baha ni kitu cha kuonewa wivu katika kijiji cha wafugaji kaskazini mwa Tanzania. Baha ni mmoja wa wakulima wenye bahati katika msimu huu wa mavuno kwa kuwa na dola 35 za kununulia mbolea ya chumvichumvi kuweza kutumia katika shamba&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":397,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2208","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2208","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/397"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2208"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2208\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2208"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2208"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2208"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}