{"id":2207,"date":"2008-07-08T13:40:01","date_gmt":"2008-07-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/08\/mazingira-chad-walinzi-wa-amani-waanza-kukiuka-taatibu-kidogokidogo\/"},"modified":"2008-07-08T13:40:01","modified_gmt":"2008-07-08T13:40:01","slug":"mazingira-chad-walinzi-wa-amani-waanza-kukiuka-taatibu-kidogokidogo","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/08\/mazingira-chad-walinzi-wa-amani-waanza-kukiuka-taatibu-kidogokidogo\/","title":{"rendered":"MAZINGIRA&ndash;CHAD: Walinzi wa Amani Waanza Kukiuka Ta&#341;atibu Kidogokidogo"},"content":{"rendered":"<p>IRIBA, Julai 4 (IPS) &ndash; Luteni Kanali wa jeshi la Poland Ma&#341;c G&#341;yga hakuamini kuwa anaandaa kujenga ngome kubwa ya nchi yake hapa masha&#341;iki mwa Chad juu ya kabu&#341;i. &#8220;Haikuonekana kama makabu&#341;i unayoweza kuyaona ukiwa Ma&#341;ekani au Ulaya,&#8221; anasema, akiwa na maana kukosekana kujengewa kwa makabu&#341;i hayo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lakini viongozi wa mitaa katika mji huu wa mbali ka&#341;ibu na mpaka wa Sudan hawakuwa na aibu kumwambia G&#341;yga angeweza kubanwa &ndash; na hivyo kufanya EUFOR, kikosi cha aska&#341;i 4,000 wa Umoja wa Ulaya waliopelekwa nchini Chad kulinda wakimbizi wa Da&#341;fu&#341; na wafanyakazi wa misaada, ma&#341;a moja kukubali kujenga ngome ya &#8220;Nyota ya Kaskazini&#8221; mahali pengine. Kwa bahati aska&#341;i wa G&#341;yga walikuwa bado hawajaanza kuchimbua mahali hapo, hivyo kugeuza mawazo hakukuwa na hasa&#341;a. <\/p>\n<p>Kukosa kuelewana juu ya ngome ya Poland ni moja tu ya mfululizo wa misuguano midogo kati ya EUFOR na wananchi wa Chad. Kwa kuongeza katika kuchagua mahali pa kujenga ngome, upatikanaji wa maji na uha&#341;ibifu ambao umetokana na maga&#341;i ya jeshi la EUFOR katika ba&#341;aba&#341;a hafifu za nchi hiyo pia kulisababisha msuguano. <\/p>\n<p>Suala moja &ndash;&ndash; maji &ndash; linaweza kuwa na utata mkubwa kwa ahadi isiyokuwa na ukomo. <\/p>\n<p>Eneo kame la masha&#341;iki mwa Chad ma&#341;a zote limekuwa likikabiliwa na uhaba wa maji. Mwaka 2004, wakimbizi &#341;obo milioni kutoka Da&#341;fu&#341; waliweka makazi katika ukanda huo, na hivyo kuongeza matatizo ya maji kwa wenyeji wa eneo hilo. Wafanyakazi wengi kutokana na mashi&#341;ika mengi ya misaada kuwepo katika eneo hilo &ndash; uchimbaji wa visima vipya, ujenzi wa mabwawa kuweza kukusanya maji ya mvua, kufungua mife&#341;eji kuweza kuifanya mvua kuingiza maji kwenye hifadhi za maji chini ya a&#341;dhi &ndash; kumepunguza lakini siyo kuondosha kabisa tatizo. <\/p>\n<p>Kwa sasa EUFOR inapeleka maelfu ya aska&#341;i na tani za vifaa, vyote vikihitaji maelfu ya lita za maji kwa siku &ndash; na uhaba wa maji umekuwa ni mgogo&#341;o. <\/p>\n<p>Ili kuwa na uhakika, EUFOR ilijua maji yangekuwa suala zito. Wakati aska&#341;i 100 wa G&#341;yga walipoingizwa eneo hilo mwezi Ap&#341;ili kujenga Nyota ya Kaskazini, walisheheni ndege ya mizigo iliyotengenezwa nchini Russia &ndash; ndege ya pili kwa ukubwa duniani &ndash; kupeleka maji ya chupa nchini Chad. Lakini maji hayo hayakudumu. Leo hii Wapoland na Wafa&#341;ansa 100, aska&#341;i wa I&#341;eland na Ubelgiji ambao wanafanya kazi pamoja &ndash; wanapokea msafa&#341;a kila wiki wa maji ya chupa kutoka kituo cha kugawa vifaa cha Kifa&#341;ansa cha Ab&eacute;ch&eacute;. <\/p>\n<p>Maji yanayoletwa na aska&#341;i wa Kifa&#341;ansa hayatokani na vyanzo vya Chad &ndash; yanaingizwa kwa meli kutoka vyanzo vya nje, hivyo hayana madha&#341;a kwa miji ya masha&#341;iki. Lakini maga&#341;i makubwa ni lazima kusafi&#341;i kwa ba&#341;aba&#341;a ambazo hazijajengwa kwa ajili ya maga&#341;i makubwa ambayo yanatumiwa kusafi&#341;isha maji. <\/p>\n<p>Ba&#341;aba&#341;a hizi ni dhaifu pale zinapokatiza katika maelfu ya mito ya nchi hiyo. Wakati wa msimu m&#341;efu wa mvua nchini Chad, kuanzia Juni hadi Oktoba, se&#341;ikali ya Chad inaweka vizuizi vya ba&#341;aba&#341;ani kuzuia maga&#341;i yasikatize mito na kuha&#341;ibu ba&#341;aba&#341;a. Maga&#341;i ambayo ni lazima kukatiza hulipia ada. <\/p>\n<p>Lakini afisa wa jeshi la Kifa&#341;ansa Sajenti Alexand&#341;e Ba&#341;bet, ambaye kazi yake ni kusindikiza misafa&#341;a, anasema Ufa&#341;ansa inaendesha maga&#341;i bila kulipia. &#8220;Watatufanya nini &#8221; anauliza kwa kejeli. EUFOR inaona ada hizo kama ni hongo. <\/p>\n<p>Ujenzi unaoendelea katika kambi ya Nyota ya Kaskazini ni kazi ya kiu, inayohitaji maelfu ya lita za maji kwa ajili ya kusafisha na kuweka uchafu katika mahali pake. Kutokana na jambo hilo, aska&#341;i wa G&#341;yga walichimba kisima chao. Lakini kina cha maji ya chini katika eneo hili la Chad kimekuwa kikishuka kutokana na matumizi makubwa na kupungua kwa mvua, na kisima cha G&#341;yga kimesababisha hasi&#341;a. Kuna chaguo moja limesalia: visima vya wenyeji. <\/p>\n<p>&#8220;Tunaja&#341;ibu kuzuia kutumia maji safi kutoka visima vya wenyeji,&#8221; G&#341;yga anasema. &#8220;Lakini kutokana na vyanzo vya maji hapa kuwa vichache, inatupasa kuchukua maji hapa ma&#341;a kwa ma&#341;a. Tunataka kuzuia hisia kuwa tunatishia wakazi wa eneo hili kutokana na kutumia maji mengi.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Ni lazima kugawana,&#8221; wazi&#341;i wa ulinzi wa Poland Bogdan Kilch alisema wakati wa zia&#341;a yake ya Juni 28 katika eneo la I&#341;iba, akiwa na maana maji ya eneo hilo. <\/p>\n<p>Bakhit Abda&#341;aman, sultani wa I&#341;iba, alikubaliana, lakini alisema kuwa ugavi wa maji hauwezi kukidhi mahitai ya kila mmoja. &#8220;Inatupasa kusaka (vyanzo vipya),&#8221; alisema. Wahandisi wanaofanya kazi katika mashi&#341;ika ya misaada huko I&#341;iba wanasisitiza kuwa inazidi kuwa vigumu na vigumu kuchimba visima vipya kutokana na kuendelea kuwa mbali kwa kina cha maji ya chini kutokana na matumizi makubwa. <\/p>\n<p>Wakati huo huo, EUFOR inaendelea kutegemea zaidi vyanzo vya maji vilivyopo. Katika asubuhi ya Julai 27, timu ya vifaa ya Ufa&#341;ansa kutoka Nyota ya Kaskazini ilitembelea kutoa msaada kwa shi&#341;ika la misaada lenye ofisi zake masha&#341;iki mwa Chad, kuchota maji kutoka kwenye baadhi ya visima vyake. Waliondoka na lita 8,000 &ndash; za kutosha kukidhi mahitaji ya familia 500 za Chad kwa siku moja. Maji hayo, yakiwa yamehifadhiwa kwenye matenki makubwa ya plastiki, yatatumuika katika jiko la Nyota ya Kaskazini, mabafu na eneo la kufulia kwa wiki kadhaa. <\/p>\n<p>Timu hiyo ya Wafa&#341;ansa inajua vizu&#341;i kabisa hisia za EUFOR kwa wakazi wa wa eneo hilo. Wakazi wengi wa Chad ambao wanajua lengo la EUFOR la kulinda wakimbizi na kusaidia wafanyakazi wa misaada wanakubali suala hilo. Lakini linapokuja suala la undani, uwepo wa jeshi la kigeni haupewi kipaumbele. <\/p>\n<p>Julai 26, timu ya Ufa&#341;ansa iliendesha maga&#341;i yake makubwa mawili hadi I&#341;iba ili kununua baadhi ya vinywaji ba&#341;idi na siga&#341;a kwa ajili ya baa ndogo ya timu hiyo ambayo inaendeshwa kwa masaa kadhaa katika Nyota ya Kaskazini. Chifu Mendi Bouland alimka&#341;ibisha mwandishi huyu kwenda, lakini alisisitiza kutokutaja kazi yake: baadhi ya maji&#341;ani wa I&#341;iba hawakutaka kuona wageni, alisema. <\/p>\n<p>Ukweli halisi, katika soko la I&#341;iba, wanaume walipiga makelele na kunyoosha ngumi zao hadi timu hiyo ilipoishia katika kona. Alipokutana na muuza duka katika duka la ndani ya soko hilo ambaye ni mka&#341;imu, Bouland alinunua baadhi ya sabuni, halafu walibadilishana namba za simu na kuahidi ku&#341;ejea tena. <\/p>\n<p>&#8220;Mahusiano ni mazu&#341;i, kama Wafa&#341;ansa wataondoka,&#8221; Bouland anasema, akiongeza kuwa histo&#341;ia ya muda m&#341;efu ya Ufa&#341;ansa na Chad &ndash; kwanza kama mkoloni, sasa kama taifa linalounga mkono se&#341;ikali ya Rais Id&#341;iss Deby &ndash; kumeacha uhusiano mkubwa wa lugha na utamaduni. Lakini watu wa Poland, anasema, ni suala jingine. <\/p>\n<p>G&#341;yga anatambua tatizo la mahusiano ya umma. Anasema anakutana ma&#341;a moja au mbili kwa wiki na se&#341;ikali na viongozi wa kikabila ili kuendelea kuwaambia kuhusu shughuli za EUFOR na kukusanya maoni yao. Na anatoa tawi la mtende kwa ajili ya kulipia kuchota maji na kuha&#341;ibu ba&#341;aba&#341;a. Ma&#341;a tu kikosi kizima cha Poland kitakapowasili mwezi Agosti, G&#341;yga anasema atajenga upya ba&#341;aba&#341;a za wadi na kutoa misaada kwa shule za msingi za eneo hilo. Usalama bado utakuwa lengo lake kuu, anasema, &#8220;lakini usalama siyo kila kitu.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>IRIBA, Julai 4 (IPS) &ndash; Luteni Kanali wa jeshi la Poland Ma&#341;c G&#341;yga hakuamini kuwa anaandaa kujenga ngome kubwa ya nchi yake hapa masha&#341;iki mwa Chad juu ya kabu&#341;i. &#8220;Haikuonekana kama makabu&#341;i unayoweza kuyaona ukiwa Ma&#341;ekani au Ulaya,&#8221; anasema, akiwa na maana kukosekana kujengewa kwa makabu&#341;i hayo. Lakini viongozi wa mitaa katika mji huu wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":489,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2207","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2207","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/489"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2207"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2207\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2207"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2207"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2207"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}