{"id":2206,"date":"2008-07-08T13:40:01","date_gmt":"2008-07-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/08\/siasa-afrika-maoni-mchanganyiko-kutoka-kwa-vyama-vya-kiaia\/"},"modified":"2008-07-08T13:40:01","modified_gmt":"2008-07-08T13:40:01","slug":"siasa-afrika-maoni-mchanganyiko-kutoka-kwa-vyama-vya-kiaia","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/08\/siasa-afrika-maoni-mchanganyiko-kutoka-kwa-vyama-vya-kiaia\/","title":{"rendered":"SIASA&ndash;AFRIKA: Maoni Mchanganyiko Kutoka kwa Vyama vya Ki&#341;aia"},"content":{"rendered":"<p>CAIRO, Julai 3 (IPS) &ndash; Asasi za ki&#341;aia (CSOs) zina maoni mchanganyiko kuhusu matokeo ya Mkutano wa Kilele wa Af&#341;ika wa hivi ka&#341;ibuni, ambao ulimalizika katika mji wa mapumziko wa Sha&#341;m El Sheikh nchini Mis&#341;i mapema wiki hii. Mkutano wa kilele wa wakuu wa se&#341;ikali za Af&#341;ika na watendaji se&#341;ikalini kwa kiasi kikubwa uligubikwa na mjadala &ndash; au kukosekana kwa &ndash; kuhusu mgogo&#341;o wa Zimbabwe na ushi&#341;iki wa &#341;ais mwenye utata, Robe&#341;t Mugabe.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Lakini baadhi ya mashi&#341;ika ya ki&#341;aia yaliona kuwa mkutano wa kilele wa AU ulikosa uchambuzi wa kina na nia dhahi&#341;i ya kuchukua hatua zilizohitajika kuweza kuingilia katika migogo&#341;o kama ile ya Zimbabwe au katika masuala mengine ya Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Zaidi ya mashi&#341;ika yasiyokuwa ya kise&#341;ikali (NGOs) 100 yalikutana mjini Sha&#341;m El Sheikh kabla ya mkutano huo kujiandaa na mikutano ya wakuu wa AU, lakini kulingana na Ziad Abdel Tawab wa Taasisi ya Haki za Binadamu ya Cai&#341;o, ushi&#341;iki wao ulikuwa na ukomo kutokana na mfumo mgumu kuuelewa wa kutoa vibali. <\/p>\n<p>&#8220;Tunaona mkutano wa kilele wa AU kama jukwaa la mazungumzo, siyo jukwaa la mabadiliko, kwasababu CSOs hazijawa na jukumu halisi katika mkutano huo,&#8221; alisema Abdel Tawab. Alisema kuwa mchakato wa kukubali mash&#341;ika kushi&#341;iki katika mkutano wa kilele kama waangalizi ulikosa uwazi &ndash; mashi&#341;ika hayakujua kama yamekataliwa kutokana na hatua za kiusalama za mis&#341;i au sababu nyingine. Pia alisema kuwa hakukuwa na mfumo wa kukata &#341;ufaa. Matokeo yake ni kwamba mashi&#341;ika mengi yalizuiliwa kushi&#341;iki katika mkutano. <\/p>\n<p>Wajumbe wa jumuiya za NGO walikosoa mkutano wa kilele kutokana na kushindwa kutoa muda wa kutosha kuzungumzia masuala muhimu yanayoendelea katika ba&#341;a la Af&#341;ika kama vile migogo&#341;o ya chakula na afya. Madai mengine makubwa kutoka kwa vyama vya ki&#341;aia yalipuuzwa, kama vile utekelezaji na kuongeza kasi ya kutekeleza ahadi zilizotolewa na se&#341;ikali za Af&#341;ika mjini Abuja miaka saba iliyopita kutumia kwa uchache asilimia 15 ya bajeti zao za kitaifa katika afya. <\/p>\n<p>Abdel Tawab alielezea zaidi kuwa ufanisi wa mkutano huo ulitegemea zaidi ushi&#341;iki wa NGOs. &#8221; CSOs ni njia ya pekee kusikia sauti za watu. Zinaweka mapendekezo ambayo yanaka&#341;ibiana na maoni na sauti za watu na hivyo kama kutakosekana umiliki wa NGO katika mikutano ya kilele kunakuwa na pengo kubwa kati ya mkutano na wananchi.&#8221; <\/p>\n<p>Kwa ulinganifu, Dk. Amany Asfou&#341;, &#341;ais wa Chama cha Wafanyabiasha&#341;a wanawake cha Mis&#341;i na mwenyeji wa mkutano wa kabla ya mkutano wa kilele ambao ulikusanya pamoja mashi&#341;ika kadhaa ya ki&#341;aia &ndash; ikiwa ni pamoja na NGO ya Abdel Tawab &ndash; ali&#341;idhika na ushi&#341;iki wa shi&#341;ika lake. <\/p>\n<p>Dk. Asfou&#341; alielezea kuwa kaulimbiu ya mkutano wa kilele wa AU mwaka huu, &#8220;Kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia ya Maji na Usafi wa Mazingi&#341;a,&#8221; ni suala kubwa katika mahitaji ya wanawake wa Af&#341;ika. Alisema kuzungumzia masuala hayo ni muhimu kwa wanawake wengi katika maeneo ya kijijini ambao wanakosa maji safi na mifumo kamili ya maji taka. <\/p>\n<p>Dk. Asfou&#341; alisema shi&#341;ika lake lilikutana na viongozi wa dunia na wake wa ma&#341;ais kutoka mataifa yote ya Af&#341;ika. Pia walijadili njia za kukabiliana na unyanyasaji dhidi ya wanawake, biasha&#341;a ya binadamu, toha&#341;a kwa wanawake na VVU\/UKIMWI, mala&#341;ia na kifua kikuu. <\/p>\n<p>Alibainisha kuwa wanawake katika Af&#341;ika wanaendelea kuteseka kutokana na kiwango cha juu cha vifo kwa wajawazito. Takwimu kutoka mwaka 2005 zinaonyesha kuwa Af&#341;ika ni ukanda pekee ambapo vifo vya wajawazito vimeongezeka tangu mwaka 1990 na kwamba nusu ya vifo vya wajawazito wote duniani kote vinawapata wanawake wa Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Katika ba&#341;ua kwa viongozi wa AU, NGOs zilitoa wito kwa se&#341;ikali kuheshimu ahadi zao za kuongeza matumizi katika afya. &#8220;Kushindwa kutekeleza ahadi ya asilimia 15 kunaangamiza kwa kasi wakazi wetu na nchi kutokana na vifo vya Waaf&#341;ika wenzetu katika kiwango ambacho vifo kwa mwaka kutokana na magonjwa na masuala yasiyohusiana na afya kwa sasa yanazidi idadi ya wakazi wengi ukichanganya nchi zote za Af&#341;ika.&#8221; <\/p>\n<p>Viongozi wa Af&#341;ika walikubali, kuweka mikakati ya kitaifa na mipango ya utekelezaji ili kufikia malengo ya Maendeleo ya Milenia ya maji na usafi wa mazingi&#341;a katika kipindi cha miaka mitano ijayo. <\/p>\n<p>Kukatishwa tamaa na Zimbabwe <\/p>\n<p>NGOs nyingi zilikatishwa tamaa kuwa kuonekana kwa Mugabe kulichukua sehemu ya juu ya matangazo ya vyombo vya haba&#341;i katika mkutano wa kilele. <\/p>\n<p>&#8220;Inasikitisha mno kuwa Zimbabwe iliongoza katika vichwa vya haba&#341;i kwasababu bwana Mugabe alikuwa kwenye mkutano. Hakujawa na hatua za kutosha kutoka kwa AU. Bado kuna wasiwasi mkubwa nchini Zimbabwe, Da&#341;fu&#341; na Kenya kuwa AU inashindwa kushughulikia suala hilo kikamilifu,&#8221; alisema Abdel Tawab. <\/p>\n<p>Wakati viongozi nchini Ma&#341;ekani wameyaita mauaji ya Da&#341;fu&#341; ya halaiki na Umoja wa Mataifa unaendelea kutoa taa&#341;ifa za ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu huko, viongozi wa AU katika mkutano huo wa kilele waligeuzia kisogo kulaani waziwazi ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Sudan. <\/p>\n<p>AU imepeleka aska&#341;i wa kulinda amani jimboni Da&#341;fu&#341;, lakini haijatishia kuweka vikwazo dhidi ya viongozi wa Sudan kama ilivyofanywa na Umoja wa Ulaya, aliongeza Abdel Tawab. <\/p>\n<p>Na wakati EU iliuita uchaguzi wa Bwana Mugabe &#8220;zoezi la kupokonya mada&#341;aka,&#8221; AU ilichukua hatua laini. <\/p>\n<p>Katika tamko la pamoja, AU ilisema ilikuwa &#8220;imesikitishwa mno na ghasia na kupotea kwa maisha ya watu nchini Zimbabwe&#8221; na kuhamasisha &#341;ais kuendelea kuunda se&#341;ikali ya umoja wa kitaifa. <\/p>\n<p>Kiongozi wa upinzani Mo&#341;gan Tsvangi&#341;ai alisema Jumatano kuwa asingeweza kujiunga na se&#341;ikali ya umoja kama mshi&#341;ika wa chini wa bwana Mugabe, ambaye amemtuhumu kutokana na kusababisha mauaji akielekea katika uchaguzi wa du&#341;u wa pili wiki iliyopita. Wanaha&#341;akati tisa zaidi wa upinzani wali&#341;ipotiwa kuuawa tangu uchaguzi wa du&#341;u ya pili ulipofanyika siku ya Ijumaa, na kufanya walio&#341;ipotiwa kuuawa kufikia kwa uchache watu 95. <\/p>\n<p>Kwa upande mwingine, asasi za ki&#341;aia zililaani kwa nguvu hali inayoendelea nchini Zimbabwe, na hivyo kuzidisha tofauti kati ya jumuiya ya NGO na viongozi wa Af&#341;ika waliokuwepo katika mkutano wa kilele. <\/p>\n<p>Katibu Mkuu wa shi&#341;ika la haki za binadamu lenye makao yake mjini Daka&#341;&ndash; Rencont&#341;e Af&#341;icaine pou&#341; la D&eacute;fense des D&#341;oits de l&#8217;Homme, Alioune Tine, alisema, &#8220;Hali ya uchaguzi nchini Zimbabwe haiwezi kukubalika. Ni nini maana ya kuwa na chaguzi katika Af&#341;ika, kama ma&#341;a zote zitaishia kwa mfumo wa kugawana mada&#341;aka  Mfano wa Kenya usiwe mfano wa kuigwa katika Af&#341;ika.&#8221; <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAIRO, Julai 3 (IPS) &ndash; Asasi za ki&#341;aia (CSOs) zina maoni mchanganyiko kuhusu matokeo ya Mkutano wa Kilele wa Af&#341;ika wa hivi ka&#341;ibuni, ambao ulimalizika katika mji wa mapumziko wa Sha&#341;m El Sheikh nchini Mis&#341;i mapema wiki hii. Mkutano wa kilele wa wakuu wa se&#341;ikali za Af&#341;ika na watendaji se&#341;ikalini kwa kiasi kikubwa uligubikwa na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":488,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2206","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2206","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/488"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2206"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2206\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2206"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2206"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2206"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}