{"id":2205,"date":"2008-07-08T13:40:01","date_gmt":"2008-07-08T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/08\/maendeleo-kilimo-cha-afika-kinahitaji-mageuzi-ya-kijani\/"},"modified":"2008-07-08T13:40:01","modified_gmt":"2008-07-08T13:40:01","slug":"maendeleo-kilimo-cha-afika-kinahitaji-mageuzi-ya-kijani","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/08\/maendeleo-kilimo-cha-afika-kinahitaji-mageuzi-ya-kijani\/","title":{"rendered":"MAENDELEO: &#8216;Kilimo cha Af&#341;ika Kinahitaji Mageuzi ya Kijani&#8217;"},"content":{"rendered":"<p>BRUSSELS, Julai 3 (IPS) &ndash; Kunahitaji kutumia tahadha&#341;i katika kuendeleza uzalishaji wa chakula katika Af&#341;ika kuzuia madha&#341;a ya kijamii na kimazingi&#341;a ya muda m&#341;efu, kulingana na wanaikolojia ambao wana sifa ya kupunguza njaa kwa watu wengi katika ba&#341;a la Af&#341;ika.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Hans He&#341;&#341;en, &#341;ais wa Taasisi ya Milenia yenye makao yake nchini Ma&#341;ekani, anasema kuwa baadhi ya njia zilizopendekezwa kuiondosha Af&#341;ika kutoka kwenye mgogo&#341;o wake wa sasa wa bei kubwa za vyakula kunaweza kusababisha uha&#341;ibifu zaidi kuliko kuleta chakula. <\/p>\n<p>Akijulikana zaidi kutokana na kuanzisha mfumo wa kupambana na mdudu aina ya mealybug kwa njia ya kibaolojia ili kuzuia kutishia mmea wa muhogo katika Af&#341;ika katika miaka ya 1980, He&#341;&#341;en alizungumzia suala hilo kulingana na mapendekezo yaliyotolewa na Jeff&#341;ey Sachs, mwanauchumi maa&#341;ufu ambaye ni miongoni mwa washau&#341;i wa juu wa Umoja wa Mataifa katika kupambana na umaskini. <\/p>\n<p>Wakati Sachs amekuwa akitetea kuwa mbolea inapaswa kutolewa kwa wingi kwa wakulima wa Af&#341;ika, He&#341;&#341;en alibainisha kuwa matumizi hu&#341;u ya mbolea za kemikali yanaweza kusababisha uchafuzi wa mazingi&#341;a kwa wingi. <\/p>\n<p>Akielezea mbolea za kemikali kama &#8220;ufumbuzi wa mpito tu&#8221;, He&#341;&#341;en aliongeza: &#8220;Ndiyo, tunahitaji mbolea aina ya phosphates katika baadhi ya maeneo ambayo yamechoka mno lakini kwa matumizi ya mbolea za nit&#341;ogen tunapaswa kuwa waangalifu kwasababu inachafua maji ya mito kiu&#341;ahisi mno. <\/p>\n<p>&#8220;Ninachohofia ni kwamba mgogo&#341;o wote wa chakula na bei za vyakula utaweza kusababisha ufumbuzi wa ha&#341;aka ambao hautahusika moja kwa moja na sababu za tatizo (linalokabili kilimo katika Af&#341;ika),&#8221; He&#341;&#341;en aliiambia IPS. &#8220;Tunatakiwa kushughulikia masuala yote haya kwa pamoja. Huwezi kuchukua suala moja tu.&#8221; <\/p>\n<p>Akizungumzia kuhusu mazungumzo ya Doha kuhusu biasha&#341;a duniani, He&#341;&#341;en alisema kuondokana na ushu&#341;u ambao umebuniwa kuhakikisha kuwa wakulima katika nchi maskini hawazamishwi na bidhaa kutoka nje, hakutakuwa na faida. &#8220;Katika Ulaya tuna vikwazo, ni kwa nini wakulima wa Kenya wasilindwe kutokana na mahindi yanayotoka nje &#8221; aliuliza. <\/p>\n<p>He&#341;&#341;en alizu&#341;u mjini B&#341;ussels Julai 2 kujadili &#341;ipoti iliyochapishwa hivi ka&#341;ibuni ya Tathmini ya Kimataifa ya Maa&#341;ifa ya Kilimo, Sayansi na Teknolojia kwa ajili ya Maendeleo (IAASTD). IAASTD inaunganishwa na Jopo la Se&#341;ikali za Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya Hali ya Hewa, kundi ambalo linaunganisha kwa pamoja wanasayansi wanaotoa ushau&#341;i kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa. <\/p>\n<p>Kulingana na tathmini ya IAASTD, Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a haijawepo katika maendeleo ya kilimo yaliyoonekana katika maeneo mengi ya dunia tangu miaka ya 1960. Pamoja na kuwa nafaka duniani kote uzalishaji wake umeongezeka ma&#341;a mbili, njaa na utapiamlo vinabakia kuwa juu kusini mwa Asia na sehemu kubwa ya Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Misaada ambayo imelengwa kusaidia kuondokana na kuanguka kwa kilimo ba&#341;ani Af&#341;ika imepungua pia. Hata kama jumla ya kiasi cha misaada ya maendeleo kutoka mataifa taji&#341;i kwenda mataifa maskini kimeongezeka kwa asilimia 250 kati ya mapema miaka ya 1980 na 2005, uwiano wa msaada huo kwa wakulima ulishuka kutoka asilimia 17 hadi asilimia 3. <\/p>\n<p>IAASTD pia inasema kuwa fedha za se&#341;ikali zina uwezekano mdogo wa kusaidia wakulima maskini kuliko uwekezaji katika sekta binafsi, na kwamba jitihada za pamoja zinapaswa kuchukuliwa kuhakikisha uendelevu wa muda m&#341;efu wa kilimo. Kwa sasa, kilimo kinachangia zaidi ya nusu ya uzalishaji wa methane duniani na kemikali za nit&#341;ous oxide ambazo zinatumika katika shughuli za binadamu. Gesi hizi, ambazo zinatokana na matumizi ya kemikali na ufugaji wa mifugo kupita kiasi, zinachangia katika mabadiliko ya hali ya hewa. <\/p>\n<p>Uchambuzi tofauti kidogo ulitolewa na Akin Adesina, makamu wa &#341;ais wa Alliance fo&#341; a G&#341;een Revolution in Af&#341;ica (AGRA) mzaliwa wa Nige&#341;ia. <\/p>\n<p>&#8220;Matumizi ya mbolea za chumvichumvi kwa hekta moja katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a ni wa chini zaidi duniani,&#8221; alisema Adesina. &#8220;Ni ukanda pekee duniani wenye upungufu mkubwa wa mbolea za chumvichumvi. Mbolea za chumvichumvi siyo ufumbuzi pekee lakinio bila ya kuzitumia hakutakuwa na maendeleo ya kilimo.&#8221; <\/p>\n<p>Ikiwa mwenyekiti wake ni katibu mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan, AGRA inafadhiliwa zaidi na Bill and Melinda Gates Foundation, na Rockefelle&#341; Foundation. <\/p>\n<p>Hata hivyo, Adesina alisema kuwa jitihada za kuendeleza kilimo zinahitaji kuangalia masuala ya kiikolojia. &#8220;Af&#341;ika inahitaji &#8216;mapinduzi ya kijani&#8217; ya kipekee kwa ba&#341;a la Af&#341;ika, ambayo yanatambua bayoanuwai na ambayo yanazingatia masuala ya mazingi&#341;a kwa uzito mkubwa,&#8221; alisema, huku akipongeza mchakato uliotumika katika kukuza kilimo nchini Mexico katika miaka ya 1940 kabla ya kuigwa na mataifa mengine maskini kama vile India. <\/p>\n<p>Adesina pia alilaumu kuwa Af&#341;ika imekuwa &#8220;ikivumilia njaa ya kimya kimya kwa muda m&#341;efu&#8221; na kwamba &#8220;sababu pekee tunazungumzia kuhusu njaa leo hii ni kwamba imejipenyeza kutoka maeneo ya kijijini hadi mijini&#8221; ambako maandamano yamejitokeza kutokana na hasi&#341;a ya wananchi kuhusu kuongezeka kwa bei za vyakula. Alipendekeza kuwa uingizwaji wa chakula kwa wingi katika Af&#341;ika &ndash; ambao uliongezeka kutoka dola bilioni 88 hadi dola bilioni 119 kati ya mwaka 2006 na mwaka jana &ndash; kumeathi&#341;i maendeleo ya kilimo katika ba&#341;a. &#8220;Ni kwa nini Af&#341;ika iwe ni ba&#341;a pekee katika dunia ambalo linaomba chakula &#8221; aliuliza. &#8220;Hili ni suala ambalo halikubaliki kabisa.&#8221; <\/p>\n<p>Adesina alikuwa akihudhu&#341;ia katika semina ambayo iliangalia majukumu yaliyofanywa na mifuko inayofadhiliwa na makampuni makubwa katika Af&#341;ika. Semina hiyo iliandaliwa na Kituo cha Kiufundi cha Kilimo na Ushi&#341;ikiano Vijijini (CTA), shi&#341;ika linaloshughulika na mahusiano kati ya Ulaya na baadhi mataifa 80 ya Af&#341;ika, Ca&#341;ibbean na Pacific (ACP). <\/p>\n<p>Olga Sulla, mwanauchumi katika Benki ya Dunia, alibainisha jinsi gani asilimia zipatazo 5 za mali zinazoshikiliwa na mabilionea 700 wa saya&#341;i hii zinakwenda kwenye uhisani. Wakati mifuko mingi inayofadhiliwa na mashi&#341;ika katika Ma&#341;ekani imekuwa ikifadhili mi&#341;adi katika nchi hiyo na kwa kile kinachojulikana kama nchi zenye uchumi unaokua kwa kasi kama vile B&#341;azil na India, ni machache mno yanaonyesha nia ya kusaidia kilimo katika Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Rudolf Buntzel, mtaalam wa maendeleo vijijini kutoka asasi ya Chu&#341;ch Development Se&#341;vice nchini Uje&#341;umani, alionyesha wasiwasi wake kuwa mifuko yenye uhusiano na makampuni makubwa inaweza isilinde maslahi ya maskini kikamilifu kama ambavyo mashi&#341;ika ya ha&#341;akati yanavyofanya. &#8220;Hakuwezi kuwa na upunguzaji wa umaskini bila kuwa katika msuguano ya ma&#341;a kwa ma&#341;a na maslahi ya wenye nguvu,&#8221; alisema. &#8220;Swali langu kwa wafadhili hawa wapya ni: je mnajitolea kushi&#341;iki katika migogo&#341;o &#8220;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BRUSSELS, Julai 3 (IPS) &ndash; Kunahitaji kutumia tahadha&#341;i katika kuendeleza uzalishaji wa chakula katika Af&#341;ika kuzuia madha&#341;a ya kijamii na kimazingi&#341;a ya muda m&#341;efu, kulingana na wanaikolojia ambao wana sifa ya kupunguza njaa kwa watu wengi katika ba&#341;a la Af&#341;ika. Hans He&#341;&#341;en, &#341;ais wa Taasisi ya Milenia yenye makao yake nchini Ma&#341;ekani, anasema kuwa baadhi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":387,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2205","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2205","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/387"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2205"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2205\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2205"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2205"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2205"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}