{"id":2202,"date":"2008-07-03T13:40:01","date_gmt":"2008-07-03T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/03\/afya-afrika-kusini-mustakabali-mbaya-kwa-huduma-ya-maji-nchini\/"},"modified":"2008-07-03T13:40:01","modified_gmt":"2008-07-03T13:40:01","slug":"afya-afrika-kusini-mustakabali-mbaya-kwa-huduma-ya-maji-nchini","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/07\/03\/afya-afrika-kusini-mustakabali-mbaya-kwa-huduma-ya-maji-nchini\/","title":{"rendered":"AFYA&ndash;AFRIKA KUSINI: Mustakabali Mbaya kwa Huduma ya Maji Nchini"},"content":{"rendered":"<p>GRAHAMSTOWN, Juni 30 (IPS) &ndash; Mapema mwezi huu, &#341;ubani wa kujitegemea ali&#341;ipoti katika kituo cha &#341;edio mjini Johannesbu&#341;g kuwa alipokuwa aki&#341;uka juu katika Mbuga ya Wanyama ya Taifa ya K&#341;uge&#341;, katika masha&#341;iki ya mbali ya nchi hiyo, aliweza kuona mizoga kadhaa ya mamba ikielea katika Mto Olifants. Jambo hili halikuwa la kawaida kutokana na kwamba mamba katika mbuga kubwa kuliko zote nchini humo wanalindwa wasiwindwe.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Walinzi wa hifadhi mapema wali&#341;ipoti kuwa kwa uchache mamba wakubwa 30 walikuwa wamekufa katika mto huo kutokana na ugonjwa unaojulikana kama pansteatitis. Ugonjwa huo unasababisha kuvimba kwa maeneo yenye mafuta katika mwili ambayo baadaye yanakuwa magumu na hivyo kusababisha kifo cha mnyama. <\/p>\n<p>Pansteatitis ma&#341;a nyingi unahusishwa na kula samaki waliooza au kuvunda. Hata hivyo, hakujawa na taa&#341;ifa za ka&#341;ibuni za uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a au utupaji taka ovyo ambao ungeweza kusababisha samaki kuwa na sumu katika mto huo. <\/p>\n<p>Katika wakati wa kuandika haba&#341;i hii, wataalam wa wanyamapo&#341;i wa se&#341;ikali wanachunguza sampo iliyotokana na mizoga ya mamba hao. Wanadhani wanyama hao wakubwa kwa jamii ya &#341;eptilia inawezekana walikula sumu ya moja kwa moja kutoka kwenye maji hayo. <\/p>\n<p>Tukio hili bado halijahusishwa na vifo vyovyote vile vya binadamu; hata hivyo linaonyesha hali mbaya ya maji nchini humo kama wanyamapo&#341;i katika eneo la hifadhi wanaweza kuathi&#341;iwa na uchafuzi wa mazingi&#341;a. <\/p>\n<p>Katika kipindi cha miezi kumi na mbili iliyopita, wakati naandika makala za Maji za Kusini mwa Af&#341;ika kwa ajili ya Mtandao wa IPS, imekuwa wazi kuwa Af&#341;ika Kusini inakabiliwa na mgogo&#341;o mkubwa wa maji. Katika kipindi hiki kifupi, hali ya &#341;asimali za maji za taifa inaonekana kudo&#341;ola kuliko kubo&#341;eka. <\/p>\n<p>Kuna sababu kadhaa za hali hii isiyoleta matumaini, lakini mamlaka ya mitaa na ya kitaifa yanapaswa kulaumiwa kutokana na kushindwa kuka&#341;abati, na ilipokuwa muhimu, kubo&#341;esha miundombinu ya maji. <\/p>\n<p>Kukosekana kwa uka&#341;abati kunaweza kutokana na kukosekana kwa ujuzi katika usimamiaji wa maji. Mamia ya wataalam wa maji wameacha kazi zao katika manisipaa na nafasi zao hawajapewa watu wengine wenye ujuzi kama huo. <\/p>\n<p>Katika nchi nzima mamlaka za maji hazijaweza kuhakikisha kuwa miundombinu ya maji inaka&#341;abatiwa ipasavyo. <\/p>\n<p>Katika jimbo la Mpumalanga, ambapo mamba walikufa, kipindupindu na homa ya matumbo ni magonjwa yanayotishia afya za watu kila ma&#341;a katika miezi ya ka&#341;ibuni. Katika wiki ya kwanza ya mwezi Juni, wachimba madini nane katika eneo la Ba&#341;be&#341;ton waliugua kipindupindu. Wawili kati yao walifa&#341;iki dunia. <\/p>\n<p>Hili halikuwa tukio la kipekee. Katika jimbo hilo hilo, mamia ya watu waliugua kipindupindu, au kuha&#341;isha vibaya ambako kumehusishwa moja kwa moja na vyanzo vya maji katika miji kama ile ya Delmas, Stande&#341;ton na Ziwa Ch&#341;issie. Mtandao wa Maji Kusini mwa Af&#341;ika ume&#341;ipoti kiundani juu ya baadhi ya matukio haya. <\/p>\n<p>Maambukizi ya magonjwa yanayotokana na maji siyo tu kwamba yamejitokeza katika mkoa wa Mpumalanga. Zaidi ya watoto wachanga mia moja wamekufa kutokana na kuha&#341;a katika manisipaa ya Senqu katika Jimbo la Cape ya Masha&#341;iki. Kumepatikana kiasi cha sumu katika vyanzo vya maji katika Jimbo la Gauteng na wanakijiji katika jimbo la Kaskazini Masha&#341;iki wameandamana na kufungia ba&#341;aba&#341;a za kitaifa kutokana na mamlaka ya mitaa kushindwa kukidhi mahitaji yao. <\/p>\n<p>Kuzidi kuhamia kwa wakazi wa Af&#341;ika Kusini kwenda mijini kumezidisha mgogo&#341;o wa maji, kwasababu mamlaka ya mitaa yameshindwa kwenda na kasi ya mahitaji ambayo yanatokana na kuongezeka kwa kasi kwa kukua kwa miji midogo na ile mikubwa. <\/p>\n<p>Katika miji mingi midogo, se&#341;ikali imefanya jitihada kubwa kuondokana na kile kinachojulikana kama &#8216;mfumo wa ndoo&#8217;. Rais Thabo Mbeki alitoa kipaumbele cha juu kuondokana na njia hii inayoshusha utu wa mtu kwa kuweka vinyesi katika ndoo na kuchukuliwa ma&#341;a kwa ma&#341;a na maga&#341;i ya kubeba vinyesi. <\/p>\n<p>Kuondokana na ndoo na kuanzisha mfumo mpya wa vyoo vya maji katika maeneo maskini kumesababisha mzigo mkubwa kwa mfumo wa vyoo katika miji hii. Manisipaa hayana &#341;asilimali au ujuzi wa kutosha kubo&#341;esha mfumo wa vyoo wa mitaa kwenda sanja&#341;i na idadi kubwa ya watumiaji. <\/p>\n<p>Kuzidisha watumiaji kunasababisha makosa na hata kukatika kwa mifumo hiyo. <\/p>\n<p>Mamlaka se&#341;ikalini siyo tu ambayo yanalaumiwa kutokana na mgogo&#341;o wa maji nchini Af&#341;ika Kusini. Makampuni ya madini yamekuwa yakisita kutumia pesa za nyongeza kuzuia uchafuzi wa maji. Pia wamekuwa hawana nia ya kukubaliana na wajibu wao kutokana na uha&#341;ibifu ambao wameufanya katika mifumo ya maji katika maeneo wanayochimba madini. <\/p>\n<p>Mtandao wa Maji umeonyesha matukio kadhaa ambapo Mfumo wa Madini Yenye Kemikali (AMD) umesababisha uba&#341;ibifu mkubwa katika maziwa na mito nchini humo. AMD inasababishwa na mito au maji ya chini ya a&#341;dhi yanapopenyeza katika maeneo ambayo yamechimbwa madini. Maji yanachangamana na kemikali ambazo zimejitokeza juu ya a&#341;dhi kutokana na uchimbaji wa madini na kuzalisha sumu ambayo inaleta uha&#341;ibifu mkubwa katika mfumo wa maji ya asili. <\/p>\n<p>Katika baadhi ya maeneo kiasi cha uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a kinaonekana tu baada ya miaka kadhaa ya uchimbaji wa madini kukoma. <\/p>\n<p>Se&#341;ikali imekuwa na uvivu wa kulazimisha makampuni ya madini kuzingatia she&#341;ia zenye lengo la kulinda mazingi&#341;a. <\/p>\n<p>Sehemu ya tatizo la kutekeleza she&#341;ia za mazingi&#341;a zilizopo, ambazo zinaheshimiwa kwa kiasi kikubwa kitaifa na kimataifa, imetokana na ida&#341;a za se&#341;ikali kusita kukubaliana juu ya maeneo ya uwajibikaji. Ma&#341;a nyingine wanapigania kudhibiti eneo fulani la se&#341;ikali na ma&#341;a nyingine wanafu&#341;ahia mno kuhamishia malalamiko kwa ida&#341;a nyingine. <\/p>\n<p>Kuhusu uchimbaji wa madini katika jimbo la Mpumalanga, ida&#341;a ya Nishati na Madini isinge&#341;uhusu ida&#341;a ya Masuala ya Mazingi&#341;a na Utalii kuingilia haki zake za kutoa vibali vya uchimbaji wa madini, hata kama opa&#341;esheni zijazo za madini zinaweza kusababisha uha&#341;ibifu wa mazingi&#341;a katika moja ya maziwa makubwa zaidi nchini humo. <\/p>\n<p>Kuhusu suala la Manisipaa ya Senqu katika Cape ya Masha&#341;iki ambapo matatizo ya mfumo wa maji yalisababisha vifo vya zaidi ya watoto mia moja, Ida&#341;a ya Afya ya Taifa inatupia lawama kwa mfumo wa maji na kusema kuwa Ida&#341;a ya Masuala ya Maji na Misitu (DWAF) lazima itatue tatizo hilo. Kwa upande wake, DWAF inalaumu manisipaa hiyo kutokana na kusema kuwa yenyewe haina mamlaka ya kudhibiti mifumo ya maji ya manisipaa. Maafisa wa se&#341;ikali za mitaa wanasema kuwa watoto hao wanafa&#341;iki dunia kutokana na masuala ya kiafya hivyo Wiza&#341;a ya Afya inapaswa kuwajibika kwa vifo hivyo. <\/p>\n<p>Katika matatizo haya yaliyoanishwa na Mtandao wa Maji wa Kusini mwa Af&#341;ika wa IPS katika kipindi cha miezi kumi na mbili iliyopita, inaweza kuonekana kuwa matatizo ya maji katika Af&#341;ika Kusini yanaweza kuja kuwa mabaya zaidi kabla hayajatafutiwa ufumbuzi. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>GRAHAMSTOWN, Juni 30 (IPS) &ndash; Mapema mwezi huu, &#341;ubani wa kujitegemea ali&#341;ipoti katika kituo cha &#341;edio mjini Johannesbu&#341;g kuwa alipokuwa aki&#341;uka juu katika Mbuga ya Wanyama ya Taifa ya K&#341;uge&#341;, katika masha&#341;iki ya mbali ya nchi hiyo, aliweza kuona mizoga kadhaa ya mamba ikielea katika Mto Olifants. Jambo hili halikuwa la kawaida kutokana na kwamba&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":455,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2202","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2202","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/455"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2202"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2202\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2202"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2202"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2202"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}