{"id":2201,"date":"2008-06-30T13:40:01","date_gmt":"2008-06-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/30\/afya-malawi-matatizo-ya-maji-katika-hospitali-ya-mfano\/"},"modified":"2008-06-30T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-30T13:40:01","slug":"afya-malawi-matatizo-ya-maji-katika-hospitali-ya-mfano","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/30\/afya-malawi-matatizo-ya-maji-katika-hospitali-ya-mfano\/","title":{"rendered":"AFYA&ndash;MALAWI: Matatizo ya Maji Katika Hospitali ya Mfano"},"content":{"rendered":"<p>LILONGWE, Juni 27 (IPS) &ndash; Uso wa Gladys Mawe&#341;a unaonyesha maumivu makali&mdash;yeye na kichanga aliyemzaa waliweza kupona uzazi wa shida siku tatu zilizopita &ndash; lakini hakuweza kutumia dawa za kutuliza maumivu na zile za kuulia vimelea alizotakiwa kunywa na dakta&#341;i wake katika Hosiptali ya Wialya ya Chi&#341;adzulu kusini mwa Malawi. Hospitali imekuwa haina maji kwa siku tano.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>&#8220;Nimechoshwa na ha&#341;ufu yangu na ya mtoto wangu,&#8221; anasema Mawe&#341;a, ambaye bado amefungwa taulo lenye damu wakati akimbembeleza mtoto wake. &#8220;Hakuna hata tone la maji hapa,&#8221; anahofia Mawe&#341;a. <\/p>\n<p>Hospitali ya Chi&#341;adzulu ni moja ya hospitali za mfano nchini humo. Hospitali hiyo ilijengwa kwa dola zipatazo milioni 25 kutoka Umoja wa Ulaya (EU) ili kuwa na chumba cha kisasa cha upasuaji, maaba&#341;a ya kisasa ambapo vipimo vya hali ya juu vya damu vinafanyika, ikiwa ni pamoja na kufuatilia kiasi cha vi&#341;usi kwa wagonjwa wa UKIMWI. <\/p>\n<p>Hospitali yenye vitanda 350 ina tiba bo&#341;a zaidi za VVU\/UKIMWI na kutunza wagonjwa nchini Malawi kwa msaada wa shi&#341;ika la kimataifa la kitabibu na kibinadamu la M&eacute;d&eacute;cins Sans F&#341;onti&#038;eg&#341;ave;&#341;es (Madakta&#341;i Wasiokuwa na Mipaka). Huduma hizi za teknolojia za kisasa siyo &#341;ahisi kupatikana katika hospitali nyingi zenye miundombiu duni nchini Malawi. <\/p>\n<p>&#8220;Watu wanakuja hapa kutoka maeneo mbalimbali ya Malawi pamoja na ukweli kwamba hii siyo hospitali ya &#341;ufaa; ma&#341;a nyingi wanakuja kwasababu ya huduma nzu&#341;i za VVU\/UKIMWI ambazo tunatoa,&#8221; anasema naibu mku&#341;ugenzi wa hospitali ya Chi&#341;adzulu Kennedy Kandaya. <\/p>\n<p>Lakini hospitali hiyo ambayo inahudumia eneo la wakazi 300,000, ina tatizo moja kubwa. Tangu kufunguliwa kwa milango yake Juni 2005, mfumo wa ugavi wa maji wa hospitali hiyo umekuwa wa kukatika katika. Kandaya anasema uhaba wa maji katika hospitali hiyo mwaka huu umefikia &#341;ikodi ya juu huku wakati mwingine hospitali hiyo ikiwa haina maji ya bomba hadi wiki nzima. <\/p>\n<p>Maji yanapokatika, wagonjwa na wafanyakazi wanakuwa na bahati sana kupata hata kikombe komoja cha maji ya kunywa. Madakta&#341;i hawawezi kufanya upasuaji wa ma&#341;a kwa ma&#341;a kama vile kuchemsha vifaa kabla na baada ya upasuaji. Hospitali imesitisha upasuaji mkubwa na kwa sasa inawapa watu &#341;ufaa ya kwenda kwenye hospitali nyingine. <\/p>\n<p>Huduma za X&ndash;&#341;ay pia zimesitishwa kwasababu ya matatizo ya maji. Nyumba za wafanyakazi 17 zilizopo katika eneo la hospitali zimekuwa hazina maji kwa mwezi mzima. <\/p>\n<p>&#8220;Madakta&#341;i na manesi hapa wanakwenda kazini bila ya kuoga,&#8221; anasema Kandaya. <\/p>\n<p>Hospitali ipo katika hali ambapo inakosa mablanketi kutokana na kila kitu kuwa kichafu, kulingana na sista wa zamu katika wodi ya wazazi Agnes Mhango. <\/p>\n<p>&#8220;Inasikitisha mno kuona wanawake kwa watoto wanakutwa na ba&#341;idi na kutetemeka katika hospitali kwasababu hatuwezi kuwapatia mablanketi,&#8221; anahofia Mhango. Upigaji wa pasi unafanyika katika hopsitali nyingine, umbali wa kilomita 60; hospitali inaendesha gha&#341;ama zisizokuwa katika bajeti ya vifaa na usafi&#341;i wa kwenda na ku&#341;udi. <\/p>\n<p>Kuiba maji katika giza <\/p>\n<p>Hospitali inahimiza kuwepo kwa walezi wa kuwatunza wagonjwa &ndash; ambao ma&#341;a nyingi wanakuwa ndugu zao ambao wanaweza kusaidia &ndash;hospitali katika kuchota maji kwa ajili ya wagonjwa kutoka visima vya ka&#341;ibuni ambavyo vinatumiwa na wanajamii wanaoishi kuzunguka eneo la hospitali hiyo. <\/p>\n<p>Mhango anasema katika hali nyingi, walezi wanapaswa kusubi&#341;i hadi usiku kuweza kutumia maji ya visima ya jumuiya hiyo. &#8220;Watu wanaostahili kufaidika wanalipia kwa ajili ya matengenezo ya visima na hawafu&#341;ahii kuona wageni wakichota maji yao. Hivyo watu kutoka katika hospitali wanapaswa kusubi&#341;i hadi wamiliki wa visima wameenda kulala ili waweze kuchota maji kwa ajili ya wagonjwa,&#8221; anasema Mhango. <\/p>\n<p>Anasema hata&#341;i hii ya walezi inawafanya kukabiliwa na kitisho cha kuteleza na kuanguka katika giza na kung&#8217;atwa na nyoka na mbwa. <\/p>\n<p>Hata hivyo, Mawe&#341;a, hana mlezi kutokana na kwamba mama yake amefa&#341;iki dunia. Katika jadi ya Malawi ni waanawake ambao wana wajibu wa kuchota maji kwa ajili ya familia zao; hakuna mwanamke mwingine wa kumchotea maji wakati akiugulia katika kitanda chake kinachonuka. <\/p>\n<p>&#8220;Ninaomba maji ya&#341;ejee hivi ka&#341;ibuni ili niwezi kuoga na mtoto wangu,&#8221; anasema Mawe&#341;a. <\/p>\n<p>Mipango mibovu sababu kuu ya tatizo <\/p>\n<p>Mamlakaya ya ndani inalaumu kukatika kwa maji kwa ma&#341;a kwa ma&#341;a kutokana na eneo ambapo hospitali imejengwa. Hospitali imejengwa katika eneo ambalo ni la juu zaidi ya hifadhi ya maji, kulingana na Mku&#341;ugenzi wa Mipango na Maendeleo wa wilaya ya Chi&#341;adzulu, Emmanuel Bulukutu. Anakubali kuwa ida&#341;a ya mipango ilikosea ilipoamua kutumia hifadhi iliyokuwepo hapo kabla ya hospitali. <\/p>\n<p>&#8220;Tulipaswa kujenga hifadhi mpya ya maji kuweza kusaidia hospitali,&#8221; anasema Bulukutu. <\/p>\n<p>Alisema kuna haja ya kubo&#341;esha mfumo mzima wa maji katika wilaya kubo&#341;esha msukumo wa maji kutoka kwenye hifadhi. Bulukutu anasema kuna pendekezo la kujenga bwawa jipya katika eneo la juu ambalo litatumiwa kama hifadhi mpya ya maji ya hospitali hiyo kukidhi mahitaji ya maji. Lakini kutokana na pesa kuwa bado hazijapatikana kwa ajili ya m&#341;adi huo, ufumbuzi huu upo mbali zaidi ya kuwa ka&#341;ibu. <\/p>\n<p>Wakati huo huo EU iliahidi kujenga kisima katika eneo la hospitali kama ufumbuzi wa muda mfupi wa matatizo ya maji. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LILONGWE, Juni 27 (IPS) &ndash; Uso wa Gladys Mawe&#341;a unaonyesha maumivu makali&mdash;yeye na kichanga aliyemzaa waliweza kupona uzazi wa shida siku tatu zilizopita &ndash; lakini hakuweza kutumia dawa za kutuliza maumivu na zile za kuulia vimelea alizotakiwa kunywa na dakta&#341;i wake katika Hosiptali ya Wialya ya Chi&#341;adzulu kusini mwa Malawi. Hospitali imekuwa haina maji kwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":285,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2201","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2201","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/285"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2201"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2201\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2201"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2201"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2201"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}