{"id":2200,"date":"2008-06-30T13:40:01","date_gmt":"2008-06-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/30\/afya-kenya-malaia-yaongezeka-katika-maeneo-ya-miinuko\/"},"modified":"2008-06-30T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-30T13:40:01","slug":"afya-kenya-malaia-yaongezeka-katika-maeneo-ya-miinuko","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/30\/afya-kenya-malaia-yaongezeka-katika-maeneo-ya-miinuko\/","title":{"rendered":"AFYA&ndash;KENYA: Mala&#341;ia Yaongezeka Katika Maeneo ya Miinuko"},"content":{"rendered":"<p>NAIROBI, Juni 26 (IPS) &ndash; Mwishoni mwa Juni ni mwanzo wa msimu wa mala&#341;ia katika Af&#341;ika Masha&#341;iki. Baada ya mvua za muda m&#341;efu, maeneo ya mabondeni na a&#341;dhi oevu ni mazingi&#341;a mazu&#341;i kwa kuzaliana kwa mbu. Lakini katika miaka ya ka&#341;ibuni mala&#341;ia pia yameonekana katika maeneo ya nyanda za juu ambapo hapo awali hayakusikika.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Mala&#341;ia yamekuwa machache mno katika jiji la Nai&#341;obi hadi kwa ma&#341;a chache mno madakta&#341;i wameweza kudhani mgonjwa ana dalili za mala&#341;ia za kuhisi ba&#341;idi na homa kali. &#8220;Wakati &#341;afiki yangu aliposhikwa na homa miezi michache iliyopita, nilimuuliza kwa utani kama amepima mala&#341;ia,&#8221; Dk Rupal Ma&#341;u wa Hospitali ya Rufaa ya Kenyatta jijini Nai&#341;obi anakumbuka. Alishangazwa wakati &#341;afiki yake alipochukulia maanani ushau&#341;i wake na kukutwa na mala&#341;ia. <\/p>\n<p>&#8220;Sasa tunakutana ma&#341;a kwa ma&#341;a na matukio ya mala&#341;ia siyo tu jijini Nai&#341;obi lakini pia maeneo mengine ya miinuko ambayo, tofauti na maeneo mengine ya Kenya, yalionekana kutokuwa na ugonjwa huu,&#8221; Dk Ma&#341;u aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Mabadiliko ya hali ya hewa, wanasema wataalaum, ni sababu kuu inayohusika katika kuwepo kwa gonjwa la mala&#341;ia katika maeneo ya miinuko. Asilimia ipatayo 50 ya wagonjwa wote wanao&#341;ipoti katika hospitali wana mala&#341;ia na asilimia 20&ndash;30 ya waliolazwa katika hospitali wana ugonjwa huo. Ni ugonjwa unaoongoza kwa vifo nchini humo, na kufikia asilimia 20&ndash;25 ya vifo vyote. <\/p>\n<p>Katika nyakati za tofauti kubwa ya joto, asilimia ipatayo 70 ya wakazi inaweza kuwa wagonjwa. <\/p>\n<p>&#8220;Kuna uwiano wa wazi kati ya tofauti za hali ya hewa na gonjwa la mala&#341;ia,&#8221; anasema Dk Willis Akhwale, mkuu wa P&#341;og&#341;amu ya taifa ya Kudhibiti Mala&#341;ia ya Kenya. Alitoa mfano wa uchunguzi wa mwaka 1998 uliofanywa na ida&#341;a yake juu ya kuzuka kwa gonjwa hilo huko Ke&#341;icho, wilaya iliyopo katika nyanda za juu za kusini magha&#341;ibi na inayojulikana kwa uzalishaj wake wa chai na hali ya hewa ya ba&#341;idi. Utafiti ulionyesha kuwa madha&#341;a ya El Nino yaliongeza joto kwa nyuzijoto 2.2 &ndash; 4.5 kati ya Janua&#341;i na Machi 1997 na kwa nyuzijoto 1.8&ndash;3.0 Feb&#341;ua&#341;i&ndash;Ap&#341;ili 1998,na kusababisha kujitokeza kwa gonjwa hilo kwa ghafla. <\/p>\n<p>Sayansi ya jambo hili ni &#341;ahisi: mbu anayeeneza vimelea vya ugonjwa anahitaji joto la kutosha &ndash; ma&#341;a nyingi kiasi cha nyuzijoto zaidi ya 18&ndash;19 &ndash; ambalo linajitokeza katika maeneo ya miinuko wakati wa maji&#341;a ya joto katika mwaka, kama ilivyokuwa mwaka 1997&ndash;98 kutokana na El Nino. Miaka hiyo inazidi kujitokeza ma&#341;a kwa ma&#341;a sasa. <\/p>\n<p>Rikodi za awali katika maeneo ya nyanda za juu katika Af&#341;ika Masha&#341;iki inaonyesha, alisema Akhwale, kwamba &#8220;magonjwa ya miaka ya 1940, kwa mfano, na baadhi mwaka 1905 pia ilikuwa wakati wa joto katika maeneo ya miinuko ndani ya nchi na kimataifa.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Lakini kwa ujumla wake, maeneo ya nyanda za juu ni ya ba&#341;idi, kulikuwa na joto la chini na hakukuwa na mala&#341;ia katika siku za nyuma. Hivyo, watu wanaoishi katika maeneo ya nyanda za juu hawana kinga dhidi ya ugonjwa huo,&#8221; Akhwale alisema. <\/p>\n<p>Hii ina maana kuwa ma&#341;a ugonjwa unapoanza katika maeneo ya miinuko, wakazi katika maeneo hayo wanakuwa &#341;ahisi kupatwa na ugonjwa kuliko wakazi wa maeneo ya tamba&#341;a&#341;e ambako mala&#341;ia imekuwa ya kawaida kwa kipindi ki&#341;efu. <\/p>\n<p>Kuwa na kinga chache kunaongeza hali kuwa mbaya. Wakati katika maeneo ya tamba&#341;a&#341;e watoto wana uwezekano mkubwa wa kupata ugonjwa huo kuliko watu wazima ambao wamewahi kuugua, katika maeneo ya miinuko watu wazima na watoto wana uwezekano sawa wa kuugua. <\/p>\n<p>Kutokana na watu wa um&#341;i wote kuwa &#341;ahisi kuugua, ugonjwa huo unaenea kwa kasi na madha&#341;a yake yanasambaa sana. Matokeo yake asilimia 20 ya wakazi wa Kenya &ndash; milioni nane &ndash; wanaoishi katika miinuko sasa wanakabiliwa na kuugua mala&#341;ia, hivyo mipango mipya ya kujiandaa na kukabiliana na gonjwa hilo inahitajika. Hadi sasa, hii imemaanisha kuanzisha zoezi la kupiga dawa nje ya makazi na kuhakikisha miudnombinu ya afya inakuwa na madawa yanayofaa. <\/p>\n<p>Kuongezeka kwa joto, mabadiliko ya hali ya hewa na kukata miti ovyo kwa ajili ya kupisha kilimo vyote vinachangia katika kuenea kwa mala&#341;ia katika maeneo ya miinuko. Lakini kulingana na Dk Akhwale kuondolewa kwa watu katika makazi yao kunakotokana na sababu za kijamii na kiuchumi ni moja ya sababu kubwa ya kuongezeka kwa gonjwa hilo. <\/p>\n<p>Dk Ma&#341;u pia anazungumzia kukimbia makazi kwa watu wakati wa vita, hususani ghasia za baada ya uchaguzi mapema mwaka huu ambazo ziliacha zaidi ya watu 600,000 kukosa makazi, wengi wao wakitoka Mkoa wa Bonde la Ufa na mikoa mingine yenye kilimo. &#8220;Naweza kuelezea kutokana na uzoefu wangu wa kila siku kuwa kumekuwepo na ongezeko la matukio ya mala&#341;ia jijini Nai&#341;obi tangu watu walipoyakimbia makazi yao kutoka mikoa yenye mala&#341;ia. Pamoja nao mbu wa mala&#341;ia wamepata makazi mapya. Pia, kukimbia makazi kunazuia upatikanaji wa huduma za afya na madawa na hivyo ugonjwa kuenea zaidi.&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Akhwale ana imani kuwa itachukua kwa uchache miaka 15 kufanya jitihada zisizokoma, kuanzia jitihada za kijamii hadi opa&#341;esheni za kikanda, kabla mala&#341;ia hayajaweza kudhibitiwa katika Af&#341;ika Masha&#341;iki. Nyanda za juu za kaskazini magha&#341;ibi mwa Tanzania, masha&#341;iki mwa Uganda, Ethiopia, Bu&#341;undi na Rwanda pia zimekuwa na gonjwa hilo katika siku za ka&#341;ibuni. <\/p>\n<p>Pia alitoa mfano wa Ghuba ya Guinea ambako se&#341;ikali iliweza kudhibiti kikamilifu ugonjwa huo katika miaka ya 1980, na kushuhudia ukijitokeza tena kama vimelea ambavyo ni sugu kwa dawa ya chlo&#341;oquine, ambayo ilitumika kudhibiti mala&#341;ia. Kupambana na mala&#341;ia kutahitaji ushujaa na kuwepo kwa p&#341;og&#341;amu za kudhibiti zenye ufanisi. <\/p>\n<p>Ili kudhibiti mala&#341;ia kikamilifu, Akhwale alisema, ilihitaji kuangalia suala la kusimamia mazingi&#341;a. P&#341;og&#341;amu ya ida&#341;a yake ilihusisha hatua za kulinda mazingi&#341;a, lakini siyo kila ma&#341;a inawezekana kuingiza hatua hizi katika se&#341;a ya taifa kwasababu mazingi&#341;a yanaonekana kuwa na kipaumbele cha chini kuliko masuala ya kiuhcumi. Hata hivyo, alibainisha kuwa biasha&#341;a na viwanda nchini Kenya vimezidi kutambua umuhimu wa mazingi&#341;a. <\/p>\n<p>&#8220;Hivyo, ni mwanzo tu wa vita,&#8221; alisema Akhwale. Ana imani kuwa kumekuwa na kupungua kwa jumla kwa matukio ya mala&#341;ia katika kipindi cha miaka miwili iliyopita nchini Kenya; &#8220;Lakini hatupaswi kushangilia kuwa tunaweza kudhibiti mala&#341;ia hivi ka&#341;ibuni.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>NAIROBI, Juni 26 (IPS) &ndash; Mwishoni mwa Juni ni mwanzo wa msimu wa mala&#341;ia katika Af&#341;ika Masha&#341;iki. Baada ya mvua za muda m&#341;efu, maeneo ya mabondeni na a&#341;dhi oevu ni mazingi&#341;a mazu&#341;i kwa kuzaliana kwa mbu. Lakini katika miaka ya ka&#341;ibuni mala&#341;ia pia yameonekana katika maeneo ya nyanda za juu ambapo hapo awali hayakusikika. Mala&#341;ia&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":486,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2200","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2200","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/486"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2200"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2200\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2200"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2200"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2200"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}