{"id":2198,"date":"2008-06-30T13:40:01","date_gmt":"2008-06-30T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/30\/maendeleo-ghana-hakuna-mahali-pa-kulaza-vichwa-vyao\/"},"modified":"2008-06-30T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-30T13:40:01","slug":"maendeleo-ghana-hakuna-mahali-pa-kulaza-vichwa-vyao","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/30\/maendeleo-ghana-hakuna-mahali-pa-kulaza-vichwa-vyao\/","title":{"rendered":"MAENDELEO &ndash; GHANA: Hakuna Mahali Pa Kulaza Vichwa Vyao"},"content":{"rendered":"<p>ACCRA, Juni 25 (IPS) &ndash; Soko la Agbogbloshie ni soko lenye shughuli nyingi katikati mwa Acc&#341;a, ambao ndiyo mji mkuu wa Ghana, ambapo mtu anaweza kununua ka&#341;ibu kila kitu. Lakini soko hilo pia ni jukwaa la haba&#341;i za kusikitisha kwa wengi ambao hawapati chochote kutokana na kuongezeka kwa shughuli za biasha&#341;a: mamia ya wasichana wa um&#341;i mdogo kutoka kaskazini mwa nchi hiyo ambao wanafanya kazi kama makuli katika soko la Acc&#341;a.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Annie Mbawinyi ni miongoni mwa wasichana wa um&#341;i mdogo wa kati ya miaka 15 na 25 ambao wamekuja kusini kutafuta fu&#341;sa za maisha. &#8220;Sikuja mjini Acc&#341;a kuwa mbeba mizigo wa soko. Baadhi ya ma&#341;afiki zangu ambao waliondoka katika mji wa eneo letu la Bawku, wali&#341;ejea na mashine za kushonea baada ya kufanya kazi jijini Acc&#341;a, hivyo niliamua kuja kuja&#341;ibu bahati yangu hapa.&#8221; <\/p>\n<p>Kitu ambacho Mbawinyi hakukijua ni kwamba ma&#341;afiki zake walifanya kazi kama kayayei &ndash;kama ambavyo wabeba mizigo wanajulikana kwa lugha ya Ga. Wamevumilia kwa muda m&#341;efu, masaa magumu ya kubeba magunia kwa ajili ya wanaotumia soko hilo kwa ajili ya kupata tu uji&#341;a mdogo; umaskini wao uliwasababishia kulala mbele ya majengo ya ofisi, ambapo ma&#341;a kadhaa walilazimishwa kulipia na walinzi wa maeneo hayo kwa kutoa ngono ili wa&#341;uhusiwe kulala. <\/p>\n<p>&#8220;Ni wakati ambapo nimewasili Acc&#341;a nilipogundua matatizo ambayo ningeweza kukabiliana nayo. Sijawa na eneo la kulala na wala pesa za kutosha za kuweza kufanya kitu,&#8221; Mbawinyi alisema. <\/p>\n<p>Ma&#341;afiki zake walimweleza kuhusu Soko la Agbogbloshie, hivyo alilitafuta. Hapo, alikutana na baadhi ya wasichana wengine ambao waliongea lugha yake ya Mamp&#341;ussi, halafu wakamweleza juu ya biasha&#341;a hiyo. &#8220;Nilianza kubeba mizigo ya watu kutengeneza pesa kidogo lakini ilikuja kutosha.&#8221; <\/p>\n<p>Alipoulizwa ni kiasi gani cha pesa ameweza kuhifadhi kutokana na miaka yake mitatau ya kuishi Acc&#341;a, Mbawinyi alisema, &#8220;Sawa, nimenunua baadhi ya nguo nzu&#341;i ambazo nimezihifadhi ku&#341;ejea nazo nyumbani. Kuhusu suala la pesa, nimeweza kukusanya Cedi 80 tu za Ghana (sawa na dola 80 za Kima&#341;ekani) lakini naamini mambo yatakuwa mazu&#341;i.&#8221; <\/p>\n<p>Nana Oye Lithu&#341;, M&#341;atibu wa Kanda ya Af&#341;ika wa Mpango wa Haki za Binadamu wa Jumuiya ya Madola, ni mmoja wa waangalizi wengi wa mambo ambao wamefuatilia suala la mazingi&#341;a wanamoishi wasichana hawa. &#8220;Madha&#341;a ya kijamii ya suala hili ndiyo ambayo yanazua wasiwasi zaidi na tangu tulipoanza kuzungumza kuhusu suala hilo, idadi yao imeshuka, wanaendelea kuja,&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Lithu&#341; ana wasiwasi kuwa wanawake hawa wanakabiliwa na udhalilishaji wa kingono au kubakwa. &#8220;Kutokana na kukosa malazi, baadhi yao inawalazimu kuomba walinzi ambao wanalinda ofisi katika jiji hilo wakati wa usiku ili wawapatie nafasi ya kulala na baadhi wanachukulia kwa faida suala hilo.&#8221; <\/p>\n<p>Malazi ni suala kubwa kwa Mbawinyi na watu wengine kama yeye: &#8220;Wakati wa mvua usiku, ma&#341;a nyingine inatupasa kusimama mbele ya majengo,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Mwezi Janua&#341;i mwaka huu, moto uliozuka katika eneo la Sodoma na Gomo&#341;a, moja ya vitongoji vinavyokua kwa kasi jijini Acc&#341;a, ulichoma baadhi ya malazi ambayo kayayei alikuwa akilala. <\/p>\n<p>Matokeo yake, wakazi walianzisha Shi&#341;ikisho la Maskini wa Mijini (FUP) kusaidia wanawake. Asasi ya &#8220;Dialogue on Human Settlements&#8221;, NGO ya ndani, imechukua changamoto hiyo ya kutoa malazi kwa wanawake. Kulingana na m&#341;atibu wa FUP Ha&#341;una Abu, hosteli mbili zipo katika ujenzi kutoa vyumba vitano kila moja kwa ajili ya malazi ya wanawake 10 hadi 15 katika chumba kimoja. Hosteli hizi zitapewa wasimamiaji ili kutoa ulinzi kwa wanawake. <\/p>\n<p>Maafisa wa se&#341;ikali pia wanasema wanafanya kazi kubo&#341;esha hali ya maisha kwa wasichana hawa jijini Acc&#341;a. <\/p>\n<p>Ma&#341;ilyn Amponsah anasimamia m&#341;adi unaoendeshwa na Wiza&#341;a ya Wanawake na Watoto (MOWAC). &#8220;M&#341;adi huu unawafanya wale wenye um&#341;i wa chini ya miaka 15 ku&#341;ejea shuleni na kutoa mafunzo juu ya biasha&#341;a mbalimbali kwa wale ambao ni zaidi ya um&#341;i wa mika 15,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Mwezi uliopita, Hajia Alima Mahama, wazi&#341;i wa MOWAC, alikuwa katika soko la Malata akihudhu&#341;ia kuhitimu kwa kayayei wapatao 120 ambao walichukua mafunzo ya wiki tatu. <\/p>\n<p>Wakati jitihada zinafanywa kubo&#341;esha maisha yao jijini Acc&#341;a, pia kuna jitihada kukabiliana na kuhamia kusini. <\/p>\n<p>Asasi isiyokuwa ya kise&#341;ikali nchini humo, &#8220;Regional Adviso&#341;y Info&#341;mation and Netwo&#341;k Systems (RAINS)&#8221; imeshaanza p&#341;og&#341;amu kwa msaada wa shi&#341;ika la misaada ya kiutu la Uinge&#341;eza la &#8220;Comic Relief&#8221;, kutoa vifaa vya shule ili kuwezesha wasichana wadogo kuendelea na shule katika wilaya za kaskazini za Savelugu na Mamp&#341;ussi ya Magha&#341;ibi. <\/p>\n<p>Wengi wa wanawake hawa wanaacha shule baada ya elimu ya chini ya sekonda&#341;i aidha kutokana na kupata alama za chini kuweza kuwapeleka shule za juu, au kutokana na kukosa uwezo wa kulipia ada. Huku wakikosa fu&#341;sa za elimu, wanaachwa wakiwa hawana la kuchagua zaidi ya kutafuta fu&#341;sa za kutengeneza maisha yao. <\/p>\n<p>Meneja p&#341;og&#341;amu wa RAINS, Alhassan Musah anasema utoaji wa vifaa kama vile mashine za kushonea kuwafundisha wanawake ni kama motisha ya kubakia mashuleni. <\/p>\n<p>Musah alisema p&#341;og&#341;amu ya miaka mitatu ya shi&#341;ika lake inatoa mafunzo katika ujuzi unaowezekana kutumika kiu&#341;ahisi kwa wasichana ambao utawafanya wapate aji&#341;a katika eneo la kaskazini. Bado haipo wazi juu ya mafanikio ya mafunzo haya ya ujuzi, kutokana na kwamba hakujakuwepo na ufuatiliaji wa wahitimu wa p&#341;og&#341;amu hiyo. <\/p>\n<p>Lakini p&#341;og&#341;amu kama hizi zingemwokoa Annie Mbawinyi &ndash; ambaye bado ana mipango ya siku moja kuwa mtengenezaji nguo &ndash; kutoka kwenye njia ya hata&#341;i na isiyokuwa na uhakika ambayo amekuwa akiitumia. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>ACCRA, Juni 25 (IPS) &ndash; Soko la Agbogbloshie ni soko lenye shughuli nyingi katikati mwa Acc&#341;a, ambao ndiyo mji mkuu wa Ghana, ambapo mtu anaweza kununua ka&#341;ibu kila kitu. Lakini soko hilo pia ni jukwaa la haba&#341;i za kusikitisha kwa wengi ambao hawapati chochote kutokana na kuongezeka kwa shughuli za biasha&#341;a: mamia ya wasichana wa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":423,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2198","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2198","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/423"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2198"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2198\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2198"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2198"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2198"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}