{"id":2197,"date":"2008-06-26T13:40:01","date_gmt":"2008-06-26T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/26\/uswis-hakuna-wa-kuchukua-fedha-za-madikteta-wa-zamani\/"},"modified":"2008-06-26T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-26T13:40:01","slug":"uswis-hakuna-wa-kuchukua-fedha-za-madikteta-wa-zamani","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/26\/uswis-hakuna-wa-kuchukua-fedha-za-madikteta-wa-zamani\/","title":{"rendered":"USWIS: Hakuna wa Kuchukua Fedha za Madikteta wa Zamani"},"content":{"rendered":"<p>BRUSSELS, Juni 24 (IPS) &ndash; Mahakama ya Uswis imetoa am&#341;i ya kufungiwa kwa fa&#341;anga milioni nane za Uswis zilizoachwa kwa ajili ya wa&#341;ithi wa Mobutu Sese Seko, dikteta wa zamani wa iliyokuwa Zai&#341;e. Uswis inaja&#341;ibu kushawishi se&#341;ikali ya Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo kupeleka mjumbe kuchukua fedha hizo kwa jina la watu wa Kongo, lakini Kinshasa haionekani kujali suala hilo.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Alipotembelea Kinshasa mwezi Julai 2007, &#341;ais wa Uswis wakati huo akiwa Micheline Calmy&ndash;Rey alimka&#341;ibisha mwenzake wa Kongo Joseph Kabila kupeleka &#8220;mjumbe&#8221; nchini Uswis kuchukua mali zilizoibwa na dikteta huyo wa zamani. Fa&#341;anga milioni nane za Uswis (dola milioni 7.6) ndizo fedha ambazo zimeweza kupatikana katika akaunti za Uswis mwaka 1997, baada ya Mobutu kuhamishia mali zake nyingi nje ya nchi. <\/p>\n<p>Mobutu alikuwa &#341;ais wa Zai&#341;e (ambayo kwa sasa inajulikana kama Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo) kwa miaka 32 (1965&ndash;1997). <\/p>\n<p>Wakati jumla ya kile ambacho kilionekana kama sehemu ya benki za Mobutu nchini Uswis ilipowasilishwa kwenye mkutano wa wanahaba&#341;i katika kuhitimisha zia&#341;a ya Calmy&ndash;Rey, Kabila alishindwa kabisa kuficha hasi&#341;a zake. &#8220;Kwa bahati mbaya ni fa&#341;anga milioni nane tu za Uswis, siyo makumi kwa mabilioni yaliyota&#341;ajiwa.&#8221; Je, kiongozi wa sasa wa Kongo anadhani mchezo huo haustahili kuwashiwa mshumaa  <\/p>\n<p>&#8220;Hizi ndizo ambazo vyanzo vyetu katika Wiza&#341;a ya Mambo ya Kigeni ya Uswis vimetuambia,&#8221; anasema And&#341;&eacute; Rothenbuehle&#341; kutoka asasi ya Aktion Finanzplatz, shi&#341;ika lisilokuwa la kise&#341;ikali lenye makao yake huko Basel Uswis ambalo linafuatilia fedha zilizoibwa na madikteta. &#8220;Washi&#341;ika wetu wa Kongo, kwa upande mwingine, wanadhani kuwa kutokuchukua hatua kwa Kinshasa kunahusiana na kuwepo kwa washi&#341;ika wa Mobutu katika se&#341;ikali ya sasa,&#8221; aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Afisa mwandamizi wa Wiza&#341;a ya Mambo ya Kigeni ya Uswis, ambaye alitaka asitajwe jina, alisema hataki kubashi&#341;i juu ya hisia za Wakongo. &#8220;Baada ya ombi la Calmy&ndash;Rey,Uswis haikusita kufanya jitihada zozote zile za kufanya mambo kusonga mbele. Tulitoa msaada wa kiufundi wa kimahakama, na tunaendelea kuwataka kumpeleka mwakilishi wao mwandamizi. Lakini hakujawa na majibu hadi sasa kutoka Kinshasa.&#8221; <\/p>\n<p>Mwaka 2006 Mahakama ya Shi&#341;ikisho ya Uswis, chombo cha juu zaidi cha kishe&#341;ia nchini humo, ilitoa uamuzi kuwa Uswis isingeweza kuendelea kuzuia mali za Mobutu milele. &#8220;Kama hatutapata ufumbuzi hadi Desemba 15 2008, itatupasa kufungulia fedha hizo, na wadai watapata kilicho chao,&#8221; anasema afisa huyo mwandamizi wa Uswis. <\/p>\n<p>&#8220;Hata tumeweza kufikia sasa katika hatua ambapo tunaja&#341;ibu kuwasiliana na wa&#341;ithi wa Mobutu kwa ajili ya pendekezo la kuchukua asilimia 60 ya pesa na kuacha nyingine kwa ajili ya Wakongo. Lakini inabakia kimya mno katika kona hiyo pia. Wanatambua muda upo upande wao na kwamba wanapaswa tu kusubi&#341;i kupata pesa zote.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Mwaka mmoja uliopita tulikuwa mahali pamoja kuhusu aliyekuwa dikteta wa Haiti Jean&ndash;Claude Duvallie&#341;,&#8221; alisema afisa huyo wa Uswis. &#8220;Baada ya maombi ya ma&#341;a kwa ma&#341;a Haiti iliamua kuzindua ombi la msaada wa kishe&#341;ia. Hatimaye, kwa sasa Rais wa Haiti Ren&eacute; P&#341;&eacute;val anataka kuonyesha dalili kali za kisiasa kutaka kuondokana na &#341;ushwa. Jambo kama hilo lingetumika pia kwa Kongo kama itataka kuanza uta&#341;atibu huo. Kwa ufahamu wangu, hadi sasa hakuna mali za Mobutu zilizopo nje ya nchi ambazo zimesha&#341;ejeshwa.&#8221; <\/p>\n<p>&#8220;Hapa kuna msuguano,&#8221; Victo&#341; Nzuzi wa asasi ya kupambana na madeni ya nchini DRC ya Nouvelles Alte&#341;natives pou&#341; le D&eacute;veloppement aliiambia IPS. &#8220;Wanasiasa hapa hawatakuja kuona tawi la mti wanalolikalia. Pesa za Mobutu ni matunda ya &#341;ushwa, lakini siasa hazijabadilika sana. Wakati se&#341;ikali ilipokua ikitoa kanda&#341;asi za kuchimba madini kwa Wachina bila ya kutangaza tenda, ina maana kuwa kamisheni zimetolewa. Kuanza kuchunguza pesa za Mobutu nchini Uswis kunaweza kusababisha kila aina ya maswali magumu.&#8221; <\/p>\n<p>Nzuzi anahofu kuwa uongozi wa Kongo hautaki kuha&#341;ibu mpango wa kugawana mada&#341;aka na wajumbe wa ukoo wa Mobutu. Mtoto wa kiume wa Mobutu Nganza Mobutu ni wazi&#341;i wa kilimo na mmoja wa wazito katika se&#341;ikali ya Wazi&#341;i Mkuu Antoine Gizenga. <\/p>\n<p>Mwezi Machi 25, shi&#341;ika la Nzuzi lilipeleka ba&#341;ua kwa Mwanashe&#341;ia Mkuu wa se&#341;ikali Mushagalusha, kumtaka kufungua upya kesi ya pesa za Mobutu nchini Uswis. &#8220;Hatujapata jibu,&#8221; anasema Nzuzi. &#8220;Mfumo wa kishe&#341;ia hapa unaacha maswali mengi. Jambo ambalo silifahamu ni kwamba Mwanashe&#341;ia Mkuu huyo hivi ka&#341;ibuni aliomba kufungiwa akaunti za kiongozi wa upinzani Jean&ndash;Pie&#341;&#341;e Bemba.&#8221; <\/p>\n<p>Bemba, ambaye aligombea u&#341;ais dhidi ya Kabila katika uchaguzi wa mwaka 2006, alikamatwa ka&#341;ibu na B&#341;ussels mwezi Mei 24, 2008 kutokana na kibali cha kukamatwa kilichotolewa na Mahakama ya Wahalifu ya Kimataifa. Anashitakiwa kwa makosa mawili ya uhalifu dhidi ya ubinadamu na makosa manne ya uhalifu wa kivita.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>BRUSSELS, Juni 24 (IPS) &ndash; Mahakama ya Uswis imetoa am&#341;i ya kufungiwa kwa fa&#341;anga milioni nane za Uswis zilizoachwa kwa ajili ya wa&#341;ithi wa Mobutu Sese Seko, dikteta wa zamani wa iliyokuwa Zai&#341;e. Uswis inaja&#341;ibu kushawishi se&#341;ikali ya Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo kupeleka mjumbe kuchukua fedha hizo kwa jina la watu wa Kongo, lakini&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":278,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2197","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2197","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/278"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2197"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2197\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2197"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2197"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2197"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}