{"id":2196,"date":"2008-06-25T13:40:01","date_gmt":"2008-06-25T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/25\/siasa-mataifa-dhaifu-yamezidi-kuwa-dhaifu-mwaka-2007\/"},"modified":"2008-06-25T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-25T13:40:01","slug":"siasa-mataifa-dhaifu-yamezidi-kuwa-dhaifu-mwaka-2007","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/25\/siasa-mataifa-dhaifu-yamezidi-kuwa-dhaifu-mwaka-2007\/","title":{"rendered":"SIASA: Mataifa Dhaifu Yamezidi Kuwa Dhaifu Mwaka 2007"},"content":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Juni 23 (IPS) &ndash; Mataifa dhaifu ambayo yalika&#341;ibia kuanguka mwishoni mwa mwaka 2006 yalika&#341;ibia kuzimika mwaka jana, hata kabla ya kufumuka kwa bei za chakula na mafuta kulikojitokeza hivi ka&#341;ibuni ambacho kingetumika kulisha mataifa dhaifu, kulingana na toleo la ka&#341;ibuni la &#8220;Ripoti ya Mataifa Yaliyoshindwa&#8221; iliyotolewa hapa Jumatatu na gazeti la Se&#341;a za Kigeni.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Ripoti hiyo, iliyotolewa kwa pamoja na Se&#341;a za Kigeni na Mfuko wa Amani (FFP), ilikuta kuwa Somalia ilichukua nafasi ya Sudan kama taifa ambalo halina utulivu zaidi mwaka 2007 baada ya jeshi la Ethiopia lililosaidiwa na Ma&#341;ekani kupambana na vikosi vya wanamgambo wa Kiislam ambavyo viliweza ku&#341;ejesha kitu kinachofanana na utulivu wa taifa hilo la Af&#341;ika Masha&#341;iki ambalo limekuwa katika vita kwa zaidi ya miaka 15. <\/p>\n<p>Sudan, ambayo imekuwa na nafasi ya juu zaidi ya kukosekana kwa utulivu katika miaka miwili iliyopita, ilishika nafasi ya pili, wakati Zimbabwe, ambapo kampeni iliyofadhiliwa na se&#341;ikali ambayo ilimfanya mgombea u&#341;ais wa upinzani Jumapili kuondoa jina lake katika uchaguzi wa &#341;ais uliopangwa kufanyika baadaye wiki hii, ilipewa nafasi ya tatu kutoka ya nne katika Ripoti ya mwaka 2006. <\/p>\n<p>Ji&#341;ani wa magha&#341;ibi mwa Sudan, Chad, ilipewa nafasi ya nne mwaka 2007, juu kidogo tu ya I&#341;aq inayokaliwa na Ma&#341;ekani, ambayo mwaka jana ilishika nafasi ya pili katika dalili zinazoonyesha kuwa ghasia za madhehebu ya kidini zilikuwa zikiiingiza nchi katika vita kamili vya wenyewe kwa wenyewe ambayo. <\/p>\n<p>Waandishi wa &#341;ipoti hiyo walipongeza &#8220;kuingilia kati&#8221; kwa Ma&#341;ekani &ndash; kwa kuongeza aska&#341;i wake wapatao 30,000 na uvamizi wa kimkakati madhubuti zaidi wa kukabiliana na wapiganaji &ndash; katika kubo&#341;esha sehemu ya jiji la Baghdad jinsi miaka inavyosogea, pamoja na kusisitiza, kama ilivyokuwa kwa makamanda wa Ma&#341;ekani na maafisa wake, kuongezeka kwa hali tete katika nchi hiyo. <\/p>\n<p>&#8220;Mafanikio nchini I&#341;aq mwaka jana yalikuwa madogo na mazu&#341;i lakini &#341;ahisi kusababisha hali tete ku&#341;ejea kama nchi itakabiliwa na aina ya mshtuko &ndash; uhaba wa chakula, kiwango cha juu cha mauaji, mashambulizi yanayoonyesha uadui wa kikabila &ndash; ambayo yamesababisha kukosekana kwa utulivu wa taifa hilo katika miezi ya ka&#341;ibuni,&#8221; kulingana na uchambuzi wa Ripoti uliochapishwa katika Se&#341;a ya Kigeni. <\/p>\n<p>Ripoti hiyo, ambayo imejikita katika viashi&#341;ia kadhaa vya kijamii, kiuchumi na kisiasa, ambapo kila kimojawapo kimepewa alama ya namba, pia ilikuta kuwa kulikuwa na mabo&#341;esho makubwa mwaka 2007 katika utulivu wa Ivo&#341;y Coast, ambayo imekuwa ya nane mwaka huu; Haiti (14); na Libe&#341;ia (34), miongoni mwa mataifa mengine, ikilinganishwa na mwaka 2006. <\/p>\n<p>Wakati huo huo, nchi kadhaa muhimu zimekosa usalama zaidi mwaka 2007, kulingana na Ripoti, ambayo imezungumzia Bangladesh (12), ambapo hali ya hata&#341;i imedumu kwa ka&#341;ibu miaka miwili; Pakistan (9), ambapo mauaji ya Wazi&#341;i Mkuu wa zamani Benazi&#341; Bhutto yalifunga mwaka; na Is&#341;ael (57), ambapo kukosekana kwa amani katika Ukingo wa Magha&#341;ibi wa Wapalestina, ikiwa ni pamoja na kupungua kwa imani dhidi ya se&#341;ikali kuu na jeshi kufuatia vita vya Lebanon vya mwaka 2006, kulifanya se&#341;ikali ya Kiyahudi kuingia katika mataifa 60 duniani yenye hali ya kukosekana kwa utulivu kwa ma&#341;a ya kwanza. <\/p>\n<p>Ripoti hiyo, kama aina nyingine zinazotumiwa na mashi&#341;ika ya kimataifa na makampuni ya hata&#341;i za kisiasa, imebuniwa kutoa onyo mapema kwa jumuiya ya kimataifa kuhusu mataifa ambayo yako katika hata&#341;i ya kushindwa au kuanguka. <\/p>\n<p>Viashi&#341;ia 12, ambavyo vinapewa alama, ni pamoja na mwenendo wa wakimbizi na watu wanaoishi katika makambi ya wakimbizi ya ndani (IDPs); ushahidi wa shinikizo la wakazi na migogo&#341;o mikubwa ya kidini au kikabila; mapengo kati ya maskini na mataji&#341;i; ukuaji wa kiuchumi au kushuka; huduma za utumishi wa umma; &#341;ushwa; hali ya haki za binadamu na utawala wa she&#341;ia; na mwingiliano na mataifa mengine au asasi zisizokuwa za kise&#341;ikali. Katika kila kiashi&#341;ia, nchi zinapewa alama ya namba kati ya moja (kwa kufanya vizu&#341;i) na 10 (kwa kufanya vibaya sana.) <\/p>\n<p>Hivyo, kati ya nchi ambazo zinawezekana kupata nafasi mbaya ya 120, Somalia, taifa ambalo halina utulivu kabisa, lilipata alama 114.2, wakati No&#341;way, taifa ambalo lina utulivu zaidi kati ya mataifa 177 ambayo yalipata alama hizo lilipewa alama 16.8. <\/p>\n<p>Jambo ambalo limeonekana zaidi katika matokeo ya mwaka 2007 ni kwamba alama za jumla za mataifa 60 ambayo yana hali ya kukosekana kwa utulivu zaidi ni kubwa zaidi ilivyokuwa mwaka jana, jambo linaloonyesha, kwa kiasi kikubwa kwamba pengine, inatokana na madha&#341;a ya bei kubwa za mafuta na chakula ambazo zinaadhibu nchi ambazo zinaweza kuwa na uwezo duni wa kununua. <\/p>\n<p>Kwamba bei za juu zimeendelea kupanda hadi kufikia kiwango cha kihisto&#341;ia au kuka&#341;ibia viwango vya kihisto&#341;ia katika miezi sita iliyopita &ndash; suala ambalo, baada ya utafiti wa Ripoti wa mwaka 2007 kukamilika &ndash; unaonyesha kuwa mataifa mengi yanaweza kuka&#341;ibia kuanguka kuliko yalivyokuwa mwishoni mwa mwaka jana. <\/p>\n<p>Maandamano ambayo ma&#341;a nyingine yamesababisha vu&#341;ugu yameibuka kutokana na kupanda kwa bei za vyakula katika mataifa mengi mwaka huu, na kulazimisha baadhi ya se&#341;ikali kuamua kuchukua hatua ambazo hazina zao zisingeweza kukabiliana nazo. <\/p>\n<p>&#8220;Ni ja&#341;ibio ambalo mataifa kadhaa dhaifu yanalazimishwa kukabiliana nayo mwaka huu, huku kupanda kwa bei kukitishia jitihada za kupambana na kupunguza umaskini zilizodumu kwa miaka,&#8221; kulingana na uchambuzi wa Ripoti, ambayo pia ilibainisha kuwa matukio mengine yasiyota&#341;ajiwa, kama vile mapigano ya kikabila ambayo yalifuatia baada ya uchaguzi mkuu wa Kenya (26) mwaka jana na kimbunga kilichoikumba Delta ya I&#341;&#341;awaddy huko Bu&#341;ma (12) mapema mwaka huu inasababisha kuwa vigumu zaidi kwa mataifa dhaifu kukabiliana na hali. <\/p>\n<p>Kati ya mataifa 20 ambayo ni dhaifu zaidi, 11 yanatoka Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a. Kwa kuongeza Somalia, Sudan, Chad, na Ivo&#341;y Coast, ikiwa ni pamoja na Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo (6), Jamhu&#341;i ya Af&#341;ika ya Kati (10), Guinea (11), Ethiopia na Uganda (16), na Nige&#341;ia (18). <\/p>\n<p>Wakati I&#341;aq ilibo&#341;esha nafasi yake, alama zake zilibo&#341;eka kwa chini ya alama moja, na kuonyesha hali tete ya mafanikio yaliyopatikana mwaka 2007. <\/p>\n<p>Wakati huo, Afghanistan, ambako idadi inayozidi kuongezeka ya aska&#341;i wa Ma&#341;ekani na magha&#341;ibi wanazidi kupelekwa, imeshuka kwa alama 3.1 katika alama zake, ikiwa ni pamoja na kushuka kwa nafasi yake &ndash; kutoka namba nane mwaka 2006 hadi saba mwaka 2007. <\/p>\n<p>Alama za Pakistan pia ziliongezeka kwa kiasi kikubwa &ndash; kwa alama 3.7 &ndash; kwa mwaka, kama ilivyo kwa Lebanon katika kipindi hicho &ndash; kutoka alama 92.4 hadi 95.7, alama ambazo ziliifikisha nafasi ya 18, pamoja na Nige&#341;ia. Mshi&#341;ika mwingine wa Ma&#341;ekani katika Masha&#341;iki ya Kati, Yemen, pia ilishuhudia alama zake zikiongezeka kwa 2.2, na kupata nafasi ya 21 miongoni mwa mataifa dhaifu. <\/p>\n<p>Nje ya Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a na dunia ya Kiislam, mataifa yaliyoko hata&#341;ini zaidi ni pamoja na S&#341;i Lanka (20) na Ko&#341;ea Kaskazini (15). Wakati alama za S&#341;i Lanka ziliongezeka kwa 2.5, Ko&#341;ea Kaskazini ilibakia palepale. <\/p>\n<p>Mbali na Haiti, Colombia (37) ilionekana kuwa dhaifu zaidi katika Ame&#341;ika, pamoja na kubo&#341;eka zaidi kwa nafasi yake na alama zake ikilinganishwa na mwaka 2006. Bolivia, kwa upande mwingine, ilisogea kutoka 59 hadi 55 katika Ripoti, na kuongeza alama zake kwa 2.2. <\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Juni 23 (IPS) &ndash; Mataifa dhaifu ambayo yalika&#341;ibia kuanguka mwishoni mwa mwaka 2006 yalika&#341;ibia kuzimika mwaka jana, hata kabla ya kufumuka kwa bei za chakula na mafuta kulikojitokeza hivi ka&#341;ibuni ambacho kingetumika kulisha mataifa dhaifu, kulingana na toleo la ka&#341;ibuni la &#8220;Ripoti ya Mataifa Yaliyoshindwa&#8221; iliyotolewa hapa Jumatatu na gazeti la Se&#341;a za Kigeni&#8230;.<\/p>\n","protected":false},"author":68,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2196","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2196","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/68"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2196"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2196\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2196"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2196"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2196"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}