{"id":2195,"date":"2008-06-25T13:40:01","date_gmt":"2008-06-25T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/25\/haki-afrika-kusini-mei-11-naiwe-siku-ya-uvumilivu-zaidi-usalama-na-afika-kusini-yenye-mafanikio\/"},"modified":"2008-06-25T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-25T13:40:01","slug":"haki-afrika-kusini-mei-11-naiwe-siku-ya-uvumilivu-zaidi-usalama-na-afika-kusini-yenye-mafanikio","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/25\/haki-afrika-kusini-mei-11-naiwe-siku-ya-uvumilivu-zaidi-usalama-na-afika-kusini-yenye-mafanikio\/","title":{"rendered":"HAKI&ndash;AFRIKA KUSINI: Mei 11 Naiwe Siku ya Uvumilivu Zaidi, Usalama, na Af&#341;ika Kusini Yenye Mafanikio"},"content":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Juni 20 (IPS) &ndash; Leo ni Siku ya Wakimbizi Duniani. Mapema mwaka huu, Shi&#341;ika la Wakimbizi na Wahamiaji la Af&#341;ika Kusini (CoRMSA) lilizindua &#341;ipoti inayoweka kumbukumbu juu ya ni kwa kiasi gani Af&#341;ika Kusini inapaswa kuchukua hatua katika kulinda haki za wageni.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Shi&#341;ika la Human Rights Watch lilifuatilia siku hiyo baadaye kwa kutoa wito kwa Af&#341;ika Kusini kuwapatia wananchi wa Zimbabwe ulinzi zaidi. Ripoti zote hizo zilielezea jinsi gani ghasia za ka&#341;ibuni mikononi mwa wahuni na maji&#341;ani wa muda m&#341;efu ziliongeza umaskini na kukosekana kwa utu wa wageni katika histo&#341;ia ya kubaguliwa kwa muda m&#341;efu, kunyonywa, na kughusubiwa nchini Af&#341;ika Kusini<\/p>\n<p>Katika uba&#341;idi wa kipindi cha ba&#341;idi, wengi wao sasa wanaishi katika makazi ya pamoja huku wakikosa matumaini ya kupata makazi mapya, ku&#341;ejea katika jumuiya adui, au kuondoka nchini humo. Mioyo yetu ipo pamoja nao na mamia kwa maelfu ya watu katika kanda ambao wanawategemea. <\/p>\n<p>Wimbi la ghasia za hivi ka&#341;ibuni limetusikikitisha sote. Ni wazi, tumeshindwa kuhakikisha kuwa haki za watu wote na maisha hayahata&#341;ishwi na wale wanaotaka kuwatendea mambo mabaya. Wengi wanohisi kukatishwa moyo wakati wengine taya&#341;i wanageuzia hisia zao mahali pengine. Lakini badala ya kuweka silaha zetu chini, ngoja suala hili liwe mwanzo wa mabadiliko. Ni lazima kwa pamoja kutambua na kuvuka ukomo wa u&#341;aia kwa kulinda wale wote wanaoishi nchini Af&#341;ika Kusini. <\/p>\n<p>Katika kuendelea mbele tunapaswa kujifunza kutokana na njia ambayo imetufikisha hapa. Ripoti hiyo inatoa masuala matatu muhimu kama mwongozo kwetu: <\/p>\n<p>Kwanza, ghasia za ka&#341;ibuni ni dalili kubwa ya jinsi gani wageni wanavyofanyiwa kama &#8216;watu wa nje&#8217; na watu mbalimbali katika jamii ya Af&#341;ika Kusini, kuanzia wananchi, hadi wafanyakazi wa umma, watoa huduma, na viongozi wa se&#341;ikali. Ripoti hii inaelezea njia nyingi ambapo watu wasiokuwa &#341;aia &ndash;&ndash; wakimbizi, wale wanaotafuta hifadhi na wahamiaji wengine &ndash; wanaondolewa katika huduma, ustawi wa jamii na utu ambao wanahakikishiwa na she&#341;ia na Katiba ya Af&#341;ika Kusini. <\/p>\n<p>Pili, wakati Af&#341;ika Kusini inapaswa kubo&#341;esha se&#341;a zake na kukuza uvumulivu, inapaswa pia kupitia upya na kwa kiasi kikubwa kupitia jinsi inavyosimamia wahamiaji kutoka katika kanda na mahali pengine ng&#8217;ambo. Tunapaswa kuwa wawazi, kuzuia wahamiaji siyo suala linalowezekana wala ufumbuzi. Tunajiandaa kufuata Ma&#341;ekani na Ulaya katika jitihada zao zisizokuwa na matunda, mbaya, na za kinafiki katika kuzuia wahamiaji  <\/p>\n<p>Taya&#341;i Af&#341;ika Kusini ina&#341;ejesha nyumbani ka&#341;ibu watu 300 000 kwa mwaka. Tutafukuza watu wangapi zaidi  Tunawezaje kuzungumza kwa mhemo mmoja wa kukuza uvumulivu kwa kuweka vizuzini mipakani mwetu  Kufanya hivyo kunathibitisha tu mengi kuhusu uvumi kuwa Waaf&#341;ika Kusini wanadhani wahamiaji ni hata&#341;i kwa jamii yao. Ndiyo, unapaswa kuondokana na maafisa wala &#341;ushwa na wahalifu, lakini tunapaswa kutokuvunja zaidi moyo na kuwafanya maji&#341;ani zetu wahalifu. <\/p>\n<p>Katika hotuba yake ya Mei 25, &#341;ais Mbeki alisema kuwa se&#341;a za nchi hiyo siku zote zimekuwa zikikuza mshikamano wa amani wa wahamiaji miongoni mwetu. Hii siyo kweli. Sasa ni muda wa kulifanya liwe kweli. <\/p>\n<p>Tatu, kulinda haki za wageni ni wajibu wetu. Miaka kumi na mbili iliyopita, Af&#341;ika Kusini ilipitisha moja ya katiba bo&#341;a zaidi duniani. Siyo tu kwamba wa&#341;aka huu unaapa kusahau unyanyasaji wa zamani, lakini pia kulinda maisha na utu wa watu wote wanaoishi hapa. Lakini ahadi hizi hazitakuwa na maana kama hatutazifanya kuwa kweli. <\/p>\n<p>Hii ina maana kupambana na ubaguzi wa kila aina na aina yoyote ile ya kutohusishwa, pengine kutokana na &#341;angi, jinsia, tabaka na utaifa. Kama ilivyoonyeshwa katika tukio la wiki chache, ku&#341;uhusu mtu yoyote yule katika jamii kuondolewa kutoka katika uchumi na haki za kisiasa ambazo tunazitoa kwa Waaf&#341;ika Kusini wote &ndash; ikiwa ni pamoja na haki ya kuishi &ndash; kunamtishia kila mmoja. <\/p>\n<p>Bila ya kuwa na wahamiaji &ndash; watu wanaokimbia umaskini na ghasia au wanaotafuta maisha bo&#341;a &ndash; Af&#341;ika Kusini itakuwa eneo maskini zaidi. Katika histo&#341;ia ya nchi, uchimbaji wa dhahabu kutoka Witwate&#341;s&#341;and umetokana na kazi ya wafanyakazi kutoka katika kanda nzima. <\/p>\n<p>Kukosekana kwa ujuzi leo hii kuna maana kwamba kilimo, viwanda na elimu itastawi tu kama itachukua nguvu na ujuzi kutoka kwa wale wanaotoka nje ya mipaka yetu. Na wakati viwanda hivi vikikikua, ndivyo fu&#341;sa za &#341;aia wa Af&#341;ika Kusini zitaongezeka. Wataendelea zaidi kutokana na kwamba fedha zinazotumwa na watu wanaofanya kazi nchini Af&#341;ika Kusini zitaenea katika kanda nzima kwa njia ambazo zinastawisha masoko na kukuza utulivu wa kisiasa. <\/p>\n<p>Af&#341;ika Kusini inategemea &ndash; kama ambavyo imekuwa ikitegemea &ndash; maji&#341;ani zake na watu wa kutoka mbali. Kwa kuwatelekeza na kuwaondoa wageni wanaoishi hapa, tunaondoa mshikamano wa wale watakaotufanya tuwe endelevu. <\/p>\n<p>Jukumu letu la kusaidia ni zaidi ya jukumu la kuondokana na ghasia dhidi ya wakimbizi, ukandamizaji, na kuwafungulia mashitaka mahali pengine duniani. Tusiwakubali wageni kwa kulipia kile ambacho wametusaidia kupambana na ubaguzi wa &#341;angi. Madeni yetu ni ya hakika, lakini hata kama wanatoka Zimbabwe, Tanzania, Somalia, China, au India wasionekane ni tofauti. Kama wapo hapa, wako taya&#341;i kuheshimu she&#341;ia zetu, na taya&#341;i kuchangia hatuna sababu ya kuwatakia mabaya. <\/p>\n<p>Siku ya leo ina lengo la kuangalia changamoto zinazokabili wakimbizi na wahamiaji kutoka duniani kote. Lakini kampeni yetu haiwezi kuwa tu kwa ajili ya haki za wakimbizi, wanaotafuta hifadhi na wahamiaji wengine. Ni kuhusu kujenga Af&#341;ika Kusini ambayo kila mmoja ana ulinzi wa haki yake na ustawi wake. Ni wakati tu mashi&#341;ika ya kimataifa, se&#341;ikali, na &#341;aia wa Af&#341;ika Kusini watakapofanya kazi kwa pamoja tutaweza kuwa na haki na ustawi ambao kila mmoja anastahili nchini Af&#341;ika Kusini na ambao kwa miaka mingi umekosekana. <\/p>\n<p>*P&#341;ofesa Lo&#341;en B. Landau ni Mku&#341;ugenzi wa P&#341;og&#341;amu ya Mafunzo ya Wahamiaji wa Kulazimishwa katika Chuo Kikuu cha Witwate&#341;s&#341;and na Mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Shi&#341;ika la Wakimbizi na Wahamiaji Af&#341;ika Kusini.<\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>JOHANNESBURG, Juni 20 (IPS) &ndash; Leo ni Siku ya Wakimbizi Duniani. Mapema mwaka huu, Shi&#341;ika la Wakimbizi na Wahamiaji la Af&#341;ika Kusini (CoRMSA) lilizindua &#341;ipoti inayoweka kumbukumbu juu ya ni kwa kiasi gani Af&#341;ika Kusini inapaswa kuchukua hatua katika kulinda haki za wageni. Shi&#341;ika la Human Rights Watch lilifuatilia siku hiyo baadaye kwa kutoa wito&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":485,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2195","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2195","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/485"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2195"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2195\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2195"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2195"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2195"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}