{"id":2194,"date":"2008-06-25T13:40:01","date_gmt":"2008-06-25T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/25\/uchumi-angola-kushuka-kwa-ukuaji-wa-uchumi-kutajeuhi-washiika-wa-kibiashaa-2\/"},"modified":"2008-06-25T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-25T13:40:01","slug":"uchumi-angola-kushuka-kwa-ukuaji-wa-uchumi-kutajeuhi-washiika-wa-kibiashaa-2","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/25\/uchumi-angola-kushuka-kwa-ukuaji-wa-uchumi-kutajeuhi-washiika-wa-kibiashaa-2\/","title":{"rendered":"UCHUMI&ndash;ANGOLA: Kushuka kwa Ukuaji wa Uchumi Kutaje&#341;uhi Washi&#341;ika wa Kibiasha&#341;a"},"content":{"rendered":"<p>LISBON, Juni 19 (IPS) &ndash; Ukuaji wa polepole wa uchumi wa Angola utaathi&#341;i vibaya washi&#341;ika wa biasha&#341;a za nje wa taifa hilo la kusini magha&#341;ibi mwa Af&#341;ika, hususani U&#341;eno na B&#341;azil.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Tathmini iliyotolewa mwezi Mei na Shi&#341;ika la Ushi&#341;ikiano na Maendeleo ya Kiuchumi (OECD), ambalo linahusika na mataifa yenye viwana vingi duniani,ilikadi&#341;ia kuwa kiwango cha ukuaji wa kiuchumi kwa mwaka nchini Angola kitashuka kwa asilimia 15 ifikapo mwaka 2009. <\/p>\n<p>Hizi ni haba&#341;i mbaya kwa U&#341;eno, koloni la zamani la taifa hilo la Kiaf&#341;ika ambalo ni maskini lakini taji&#341;i wa mafuta ambalo lina ukubwa wa kilimita za m&#341;aba milioni 1.25 na ka&#341;ibu wakazi milioni 18, ambalo mwaka 2007 lilikuwa na ukuaji wa pato la taifa kwa mwaka kwa asilimia 20. <\/p>\n<p>U&#341;eno inakabiliwa na matatizo makubwa ya ukuaji wa kiuchumi, huku ikiwa na kiwango cha ukuaji wa chini zaidi ilivyokadi&#341;iwa, huku &#341;obo ya wakazi wake wakikabiliwa na kupungukiwa na nguvu ya uwezo wa kununua kwa miaka mitano mfululizo, na kuzidi kuongezeka kwa pengo kati ya maskini na mataji&#341;i. <\/p>\n<p>P&#341;ofesa wa uchumi Jo&#341;ge B&#341;aga de Macedo, ambaye aliwahi kuwa wazi&#341;i wa fedha wa U&#341;eno mwaka 1991 hadi 1993, anasema kushuka kwa uchumi wa Angola &#8220;kutakuwa na madha&#341;a yasiyopingika kwa U&#341;eno.&#8221; <\/p>\n<p>Mwezi Mei, OECD na Benki ya Maendeleo ya Af&#341;ika (ADB) waliwasilisha &#341;ipoti iliyopewa jina la &#8220;Mtizamo wa Uchumi wa Af&#341;ika 2008&#8221;, ambapo wanakadi&#341;ia kuwa ukuaji wa uchumi wa Angola utapungua kasi kwa asilimia 11.5 mwaka 2008 na asilimia 5.1 mwaka 2009 &ndash; takwimu ya kawaida ikilinganishwa na miaka iliyopita. <\/p>\n<p>Ripoti ya pamoja na OECD\/ADB inaonyesha mashaka zaidi ikilinganishwa na &#341;ipoti ya Shi&#341;ika la Fedha Duniani na se&#341;ikali ya Luanda, B&#341;aga de Macedo alisema katika taa&#341;ifa kwa shi&#341;ika la haba&#341;i la U&#341;eno la Lusa wiki hii. <\/p>\n<p>Wazi&#341;i huyo wa zamani katika se&#341;ikali ya kihafidhina ya Wazi&#341;i Mkuu An&iacute;bal Cavaco Silva (1985&ndash;1995) alisema kuwa katika miaka miwili iliyopita, Angola ime&#341;ikodi &#8220;ukuaji wa kiuchumi wa ta&#341;akimu mbili, jambo ambalo yote yanaposemwa na kuonekana yamekamilika, ni suala lisilokuwa la kawaida katika kiwango cha kimataifa.&#8221; <\/p>\n<p>Kukosekana kwa uwekezaji katika sekta ya mafuta inaelezea kwa sehemu makadi&#341;io ya OECD\/ADB kwasababu, kulingana na B&#341;aga de Macedo, &#8220;wakati bei ya bidhaa hiyo inapopanda, kiasi kidogo kinawekezwa.&#8221; <\/p>\n<p>Alisema kuwa Angola, taifa la pili kwa uzalishaji wa mafuta katika Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a baada ya Nige&#341;ia, ina shughuli nyingine za kiuchumi chache mno na &#8220;hata kama hizi zitapanuliwa, hazitatosha&#8221; kuongeza ukuaji. <\/p>\n<p>Shi&#341;ika kubwa la mafuta la Ma&#341;ekani la Chev&#341;on lillitangaza kuwa litawekeza dola bilioni tatu katika kuendeleza m&#341;adi wa Tombua&ndash;Landana kandokando mwa pwani ya Cabinda katika Kitalu 14, ambayo ipo kati ya Angola na Jamhu&#341;i ya Kongo (mji mkuu wa B&#341;azzaville) na Jamhu&#341;i ya Kidemok&#341;asi ya Kongo (zamani ikijulikana kama Zai&#341;e). <\/p>\n<p>Jimbo la Cabinda, likiwa na ukubwa wa kilomita za m&#341;aba 10,000 na wakazi 300,000, ni eneo ambalo mafuta mengi yasiyosafishwa nchini humo yanatoka, na pia ni taji&#341;i wa dhahabu. <\/p>\n<p>Eneo hilo limekuwa chanzo cha mapigano tangu mwaka 1975, wakati U&#341;eno ilipokataa kutambua uhu&#341;u wa jimbo hilo kama taifa linalojitegemea, lakini kama sehemu ya Angola. <\/p>\n<p>Agosti 2006, mpango wa amani ulitiwa saini na waasi walioongozwa na Antonio Bento Bembe, ambaye kwa sasa ni wazi&#341;i asiyekuwa na ida&#341;a maalum, lakini mkataba huo wa amani haukutambuliwa na kikundi cha Cabinda Libe&#341;ation F&#341;ont&ndash;Cabindan A&#341;med Fo&#341;ces (FLEC&ndash;FAC), kilichoongozwa na Hen&#341;ique N&#8217;Zita Tiago, ambayo bado iko katika vita ambayo iliipa jina la &#8220;se&#341;ikai ya kikoloni ya Luanda.&#8221; <\/p>\n<p>Katika taa&#341;ifa mapema wiki hii yenye lengo la kutuliza hofu ya wawekezaji wa Chev&#341;on, Jene&#341;ali Jack Raul, kamanda wa mkoa wa pili wa kijeshi wa Angola, ambapo unahusu pia Cabinda, alisema kuwa hali ni &#8220;ya kiutulivu na kiusalama,&#8221; pamoja na &#8220;maja&#341;ibio ya maadui wa amani&#8221; katika mkoa huo. <\/p>\n<p>Uwekezaji ni sehemu ya jumla ya dola bilioni 20 ambazo Chev&#341;on itatumia miaka mitano ijayo kuhamasisha uzalishaji wa mafuta na gesi asilia katika Af&#341;ika, hususani Angola na Nige&#341;ia, makamu wa &#341;ais wa kampuni hiyo Pete&#341; Robe&#341;tson alisema mapema mwezi huu wakati wa zia&#341;a yake nchini Tanzania. <\/p>\n<p>Katika zia&#341;a hiyo, Robe&#341;tson alisema kuwa shamba la Tombua&ndash;Landana linapaswa kuzalisha ka&#341;ibu mapipa 125,000 kwa mwaka katika du&#341;u ya kwanza. Chev&#341;on itawekeza dola bilioni tano nchini Nige&#341;ia, katika kiwanda cha kusafishia mafuta ya dizeli kilichopo katika delta ya mto Nige&#341;. <\/p>\n<p>Kulingana na taa&#341;ifa zilizotolewa Jumatano na Shi&#341;ika la Nchi Zinazouza Mafuta kwa Wingi Nje ya Nchi (OPEC), mwezi Ap&#341;ili Angola ilizalisha zaidi mafuta ghafi kuliko taifa lolote lile ba&#341;ani Af&#341;ika, na kuipita Nige&#341;ia, ambayo iliathi&#341;iwa na mashabulizi katika mitambo ya mafuta. <\/p>\n<p>Mafuta yanachangia asilimia 60 ya pato la taifa nchini Angola, na asilimia 95 ya bidhaa zinazouzwa nje. Kutokana na suala hili, uchumi wa nchi hiyo &#8220;umejikita mno katika bidhaa moja, zaidi ya inavyopendekezwa kwa wakazi wake,&#8221; B&#341;aga de Macedo alisema. <\/p>\n<p>Makadi&#341;io ya ukuaji wa pato la taifa ya asilimia 5.1 kwa mwaka ujao yanaweza kuwa na madha&#341;a ya kijamii kama mapato yanatumiwa &#8220;kufaidisha maskini, kujenga aji&#341;a na kutoa motisha kwa sekta za kiuchumi za ndani,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>B&#341;aga de Macedo alionya kuwa hatua itakayofuata ni kuufanya ukuaji wa kiuchumi nchini Angola kuendelea katika misingi yake ya jadi. Katika suala la chini zaidi, &#8220;se&#341;a zinapaswa kubadilishwa ili kufanya ukuaji wa kiuchumi kufaidisha wengi,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Tafiti za uchumi zilizofanyika nchini Angola na wataalam wa masuala ya maendeleo zilipendekeza kuwa se&#341;ikali ya Rais Jos&eacute; Edua&#341;do dos Santos kubadili hali ya sasa ya ukuaji wa kiuchumi ambao &#8220;unabagua maskini,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Tangu amani ipatikane nchini Angola kufuatia kifo cha kiongozi wa waasi Jonas Savimbi, &#8220;kikundi kidogo kipya chenye utaji&#341;i mkubwa kimezidi kujiima&#341;isha, wakati wakazi wengi wakiishi katika umaskini mkubwa na njaa katika taifa ambalo lina uwezekano wa kuwa moja ya mataifa taji&#341;i zaidi duniani,&#8221; mfanyabiasha&#341;a wa U&#341;eno Silvio de Paula aliiambia IPS. <\/p>\n<p>Siyo tu kwamba vingozi wa chama cha zamani cha Ma&#341;xist Popula&#341; Movement fo&#341; the Libe&#341;ation of Angola (MPLA) wanapata sehemu kubwa ya utaji&#341;i wa nchi hiyo, lakini pia kiongozi wa zamani wa waasi wa National Union fo&#341; the Total Independence of Angola (UNITA). <\/p>\n<p>Waandishi wa haba&#341;i ambao wana&#341;ipoti hali halisi &#8220;wanafunguliwa mashitaka&#8221; kama ni &#341;aia wa Angola, au &#8220;kutishiwa kufukuzwa nchini humo&#8221; kama ni Wa&#341;eno, aliongeza de Paula. <\/p>\n<p>Suala baya zaidi, kulingana na de Paula, &#8220;ni kwamba taha&#341;i&#341;i katika gazeti la taifa nchini Angola wameelezea vitisho vilivyopo dhidi ya maslahi ya Wa&#341;eno kwa ujumla wakati gazeti jingine linapochapisha haba&#341;i za &#341;ushwa, hata kama zinatokeo katika nafasi ya maoni.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>LISBON, Juni 19 (IPS) &ndash; Ukuaji wa polepole wa uchumi wa Angola utaathi&#341;i vibaya washi&#341;ika wa biasha&#341;a za nje wa taifa hilo la kusini magha&#341;ibi mwa Af&#341;ika, hususani U&#341;eno na B&#341;azil. Tathmini iliyotolewa mwezi Mei na Shi&#341;ika la Ushi&#341;ikiano na Maendeleo ya Kiuchumi (OECD), ambalo linahusika na mataifa yenye viwana vingi duniani,ilikadi&#341;ia kuwa kiwango cha&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":234,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2194","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2194","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/234"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2194"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2194\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2194"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2194"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2194"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}