{"id":2192,"date":"2008-06-24T13:40:01","date_gmt":"2008-06-24T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/24\/afya-wanahaakati-wa-ukimwi-wataka-kuwepo-kwa-shinikizo-la-kutolewa-pesa-kutoka-g-8\/"},"modified":"2008-06-24T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-24T13:40:01","slug":"afya-wanahaakati-wa-ukimwi-wataka-kuwepo-kwa-shinikizo-la-kutolewa-pesa-kutoka-g-8","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/24\/afya-wanahaakati-wa-ukimwi-wataka-kuwepo-kwa-shinikizo-la-kutolewa-pesa-kutoka-g-8\/","title":{"rendered":"AFYA: Wanaha&#341;akati wa UKIMWI Wataka Kuwepo Kwa Shinikizo la Kutolewa Pesa Kutoka G&ndash;8"},"content":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Juni 18 (IPS) &ndash; Wanaha&#341;akati wa UKIMWI na afya wanatoa wito kwa uongozi wa Seneti nchini Ma&#341;ekani kupitisha ha&#341;aka muswada wa dola bilioni 50 za kupambana na UKIMWI, mala&#341;ia, na kifua kikuu hususani katika Af&#341;ika ili Rais Geo&#341;ge W. Bush aendoke nao atakapokutana na viongozi wengine wa Kundi la Nchi Nane zenye viwanda vingi Duniani linalojulikana kama G&ndash;8 katika mkutano wao nchini Japan.\n<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wanaha&#341;akati hao wanaamini kupitishwa kwa pesa hizo na ba&#341;aza la Cong&#341;ess kutampatia Bush faida kubwa katika kushawishi wenzake wa Ulaya na Japan kutoa pesa nyingi zaidi katika suala hilo. <\/p>\n<p>Muswada huo, nyongeza ya Mpango wa Rais Bush wa Muswada wa Dha&#341;ula wa UKIMWI (PEPFAR) wa miaka mitano wa thamani ya dola bilioni 15 unaungwa mkono na wengi. Lakini kwa sasa unapingwa na wajumbe wa m&#341;engo wa kulia kutoka chama cha Republican ambao wametaka pendekezo la she&#341;ia hiyo kusitishwa na kudokeza kuwa watalifunga ba&#341;aza la Seneti na ujanja wa kiuta&#341;atibu kama uongozi utapeleka muswada huo. <\/p>\n<p>Kiongozi wa kundi hilo, Seneta wa Oklahoma Tom Cobu&#341;n, amedai muswada huo unahitaji angalau asilimia 55 ya pesa kupelekwa kwa ajili ya matibabu ya wagonjwa wa UKIMWI, madai ambayo wapinzani wa muswada huo wanasisitiza utanyima mamlaka katika nchi husika kuweza kufanya kazi wanazohitaji kuamua mikakati yao, ikiwa ni pamoja na suala la kuzuia, ambalo linafaa zaidi katika kupunguza kuenea kwa ugonjwa huo. <\/p>\n<p>Lakini kundi hilo hilo la maseneta pia lilisema linapinga kiasi kinachotajwa katika muswada huo, kutokana na ukweli kwamba dola bilioni 10 katika jumla hiyo zitaingizwa kwenye Mfuko wa Kimataifa wa Kupambana na VVU\/UKIMWI, Kifua Kikuu na Mala&#341;ia ambao Washington ina udhibiti mdogo, na kwamba kutolewa kwake kutasaidia ku&#341;uhusu &#8220;kazi ambazo zina utata kimaadili&#8221;, kama vile usambazaji wa sindano kwa watumiaji wa madawa ya kulevya. <\/p>\n<p>Muswada unawakilisha &#8220;u&#341;efu wa kukosekana kwa uwajibikaji katikati mwa vita dhidi ya kuongezeka kwa madeni,&#8221; kulingana na Seneta Jim DeMint, mmoja ya watia saini saba wa ba&#341;ua iliyopelekwa mwezi Ap&#341;ili kwa Seneta Kiongozi wa Republican Mitch McConnell kupinga muswada huo. <\/p>\n<p>Hata hivyo, muswada huo unaungwa mkono na Bush mwenyewe na wagombea wawili wa u&#341;ais katika uchaguzi wa Novemba, Seneta wa chama cha Democ&#341;atic Ba&#341;ack Obama, ambaye alishi&#341;iki kufadhili she&#341;ia hiyo, na mpinzani wake wa Republican, Seneta John McCain, ambaye aliwaambia wafuasi wake wa Philadelphia wiki iliyopita kuwa angeweza &#8220;kuwa na bahati kusaidia&#8221; katika kukabiliana na upinzani na kundi la Cobu&#341;n. <\/p>\n<p>&#8220;Mazungumzo yako njiani,&#8221; kulingana na Paul Zeitz, ambaye anaongoza shi&#341;ika la Global AIDS Alliance (GAA), ambalo linaunga mkono muswada huo, ambaye aliongeza kuwa McCain angeweza kuwa na jukumu muhimu katika kukabiliana na nguvu hiyo ya upinzani. &#8220;Ni kwa maslahi ya Ma&#341;ekani na wajumbe wa ba&#341;aza la Cong&#341;ess kutoka chama cha Democ&#341;atic kuwa Bush anakwenda kwenye mkutano wa G&ndash;8 na she&#341;ia hiyo mkononi.&#8221; <\/p>\n<p>PEPFAR, ambayo Bush aliitangaza katika usiku wa uvamizi wa I&#341;aq Machi 2003, umetambuliwa zaidi kama mpango wa se&#341;a ya kigeni ambao umekuwa na mafanikio makubwa zaidi na kutokuwa na utata katika u&#341;ais wake, kutokana na kuungwa mkono na wengi kutokana na kiasi kikubwa cha fedha ambacho umetoa katika kupambana na magonjwa ya kuambukiza ambayo yanaendelea kuua mamilioni ya watu kila mwaka, hususani katika ba&#341;a la Af&#341;ika. Mpango huo kwa kiasi kikubwa umelenga Af&#341;ika Kusini mwa Jangwa la Saha&#341;a, lakini fedha hizo pia zimeenda kwa mataifa kadhaa ya Ca&#341;ibbean na Vietnam. <\/p>\n<p>Miongoni mwa mafanikio mengine, mpango huo unakadi&#341;iwa kutoa tiba kwa wastani wa watu milioni mbili, na kuzuia baadhi ya maambukizi mapya kwa watu milioni saba, na matunzo kwa watu wengine milioni 10, ikiwa ni pamoja na yatima milioni kadhaa wa UKIMWI. PEPFAR, pamoja na mpango wa &#341;ais wa kupambana na mala&#341;ia (PMI), m&#341;adi uliobuniwa kupunguza asilimia 50 ya vifo vinavyotokana na mala&#341;ia katika mataifa 15 ya Af&#341;ika ifikapo mwaka 2011, pia umetoa vyanda&#341;ua na vifaa vingine katika ba&#341;a la Af&#341;ika. <\/p>\n<p>Katika hotuba yake ya muungano wa kitaifa ya Janua&#341;i, Bush aliomba Cong&#341;ess kupitisha dola bilioni 30 kupanua wigo wa PEPFAR katika kipindi kingine cha miaka mitano, lakini Ba&#341;aza la Wawakilishi lilipiga ku&#341;a zenye uwiano wa 306 kwa 116 kuhusu kuongeza jumla ya dola bilioni 50 mwezi Ap&#341;ili. Kamati ya masuala ya Kigeni ya Seneti ilipitisha toleo la Ba&#341;aza la Wawakilishi kwa uwiano wa ku&#341;a 18&ndash;3 mwezi uliofuata. <\/p>\n<p>Kama ilivyoandikwa, muswada huo unaleta maelewano kati ya wanachama wa Democ&#341;ats, ambao walihamasisha kuongezwa kwa pesa nyingi, na wanachama wa Republican wanaopinga utoaji wa mimba, ambao walisisitiza kuongezwa kwa baadhi ya vikwazo juu ya jinsi pesa hizo zinavyotumiwa. <\/p>\n<p>Chini ya muswada huo, kwa mfano, hakuna pesa zozote zile zinaweza kutolewa katika kliniki za uzazi wa mpango au vikundi ambavyo vinatoa mimba na hata kuzengea kutaka kupunguzwa kwa makali ya she&#341;ia dhidi ya utoaji wa mimba katika nchi wanakotoka au kukataa kukemea &#8220;ukahaba na biasha&#341;a ya binadamu&#8221;. <\/p>\n<p>Muswada huo pia unataka viongozi kuhakikisha kuwa mikakati ya kutokufanya mapenzi hadi ndoa kuzuia kuenea kwa ugonjwa &ndash; mikakati ambayo watalaam wengi wa afya wanasema kwa ujumla wake haifanyi kazi kama ilivyo ile ya kusambaza kondomu &ndash;&ndash; &#8220;inatekelezwa na kupatiwa pesa kwa njia ya usawa na yenye maana.&#8221; <\/p>\n<p>Muswada huo unatoa jumla ya dola zinazoka&#341;ibia bilioni 31 kwa mipango ya nchi na nchi yenye lengo la kutibu waathi&#341;ika milioni tatu wa UKIMWI, kuzuia maambukizi mapya kwa watu milioni 12, na kutunza waathi&#341;ika wengine milioni 12, ikiwa ni pamoja na yatima milioni tano                                           <\/p>\n<p>Kwa kuongeza, ungeweza kutoa dola bilioni 10 &ndash; au dola bilioni mbili kwa mwaka &ndash; kuingiza pesa katika mfuko wa Global Fund, ambao unafanya katika nchi nyingi zaidi zinazosaidiwa na PEPFAR na kutaka kuwepo kwa vikwazo vikali juu ya jinsi pesa zake zinavyoweza kutumiwa. <\/p>\n<p>Dola bilioni nne zilitumika katika kupambana na kifua kikuu, sababu kubwa ya vifo miongoni mwa watu walioathi&#341;ika na VVU, na dola bilioni tano zaidi kutengwa kwa ajili ya mala&#341;ia. Pesa zinazosalia zitatumika kugawanywa kati ya utafiti wa UKIMWI na kujenga uwezo kwa mifumo ya afya ya wazawa na wafanyakazi katika nchi zinazolengwa. <\/p>\n<p>Mfuno wa kutunga she&#341;ia wa Seneti unawezesha kwa watu wachache kufanya kazi ya kufanya ma&#341;ekebisho. Kutokana na kalenda yake hadi Julai 4 kipini cha mapumiko, uongozi wa chama cha Democ&#341;atic na Republican wana&#341;ipotiwa kuhofia kuingiza muswada wa UKIMWI katika ajenda bila ya kufikia makubaliano na wapinzani kunaweza kusababisha kusitishwa kwa she&#341;ia nyingine kubwa. Hata hivyo, she&#341;ia haiwezi kupita kwa katika kipindi cha mapumziko, hakutakuwa na fu&#341;sa nyingine kupiga ku&#341;a kabla ya mkutano wa kilele wa G&ndash;8. <\/p>\n<p>Matokeo yake, shinikizo linajitokeza katika uongozi wa Seneti na kwa Cobu&#341;n kuweza kutoa ahadi inayokubaliwa, kulingana na wanaha&#341;akati. Maseneta kumi na nne wa chama cha Republican wametoa wito kwa McConnell kuendesha hoja ya she&#341;ia hiyo, wakati wale wa chama cha Democ&#341;at wanashinikiza kiongozi anayeungwa mkono na wengi Ha&#341;&#341;y Reid kufanya hivyo. Siku ya Jumatano, zia&#341;a ya Wazi&#341;i Mkuu wa Kenya Raila Odinga na Askofu Mkuu wa Af&#341;ika Kusini Desmond Tutu wote walitoa wito wa muswada huo kupitishwa. <\/p>\n<p>&#8220;Kupitishwa kwa muswada huu kutakuwa ni isha&#341;a ya nchi za (G&ndash;8) kuwa Ma&#341;ekani inajitolea kikamilifu na kwamba pia wanapaswa kusonga mbele kikamilifu katika kutoa ahadi zao,&#8221; alisema Joanne Ca&#341;te&#341;, mku&#341;ugenzi mtendaji msaidizi wa shi&#341;ika la maendeleo la RESULTS. <\/p><\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>WASHINGTON, Juni 18 (IPS) &ndash; Wanaha&#341;akati wa UKIMWI na afya wanatoa wito kwa uongozi wa Seneti nchini Ma&#341;ekani kupitisha ha&#341;aka muswada wa dola bilioni 50 za kupambana na UKIMWI, mala&#341;ia, na kifua kikuu hususani katika Af&#341;ika ili Rais Geo&#341;ge W. Bush aendoke nao atakapokutana na viongozi wengine wa Kundi la Nchi Nane zenye viwanda vingi&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":484,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2192","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2192","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/484"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2192"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2192\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2192"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2192"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2192"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}