{"id":2188,"date":"2008-06-18T13:40:01","date_gmt":"2008-06-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/18\/afrika-wasiwasi-juu-ya-wawekezaji-wa-kichina-na-mazingia-ya-kazi\/"},"modified":"2008-06-18T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-18T13:40:01","slug":"afrika-wasiwasi-juu-ya-wawekezaji-wa-kichina-na-mazingia-ya-kazi","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/18\/afrika-wasiwasi-juu-ya-wawekezaji-wa-kichina-na-mazingia-ya-kazi\/","title":{"rendered":"AFRIKA: Wasiwasi Juu ya Wawekezaji wa Kichina na Mazingi&#341;a ya Kazi"},"content":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Juni 16 (IPS) &ndash; Uwekezaji wa Wachina katika nchi za Af&#341;ika unakuja na vikwazo &ndash; ambavyo ndivyo vinavyotia wasiwasi mashi&#341;ika ya ki&#341;aia.<\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Benki kuhusu Maendeleo ya Kiuchumi (ABCDE) uliofanyika wiki iliyopita wajumbe kadhaa kutoka mashi&#341;ika ya ki&#341;aia katika ba&#341;a la Af&#341;ika walionyesha wasiwasi wao kuhusu kuongezeka kwa shughuli za Wachina katika ba&#341;a. <\/p>\n<p>Mkutano wa Benki ya Dunia, ulioandaliwa na ida&#341;a ya hazina ya Af&#341;ika Kusini, ulianza Juni 9 hadi 11 katika mji wa Cape Town, Af&#341;ika Kusini. <\/p>\n<p>&#8221;Vyama vya ki&#341;aia nchini Zambia vinakubali kuwa mashi&#341;ika ya kifedha ya kimataifa yanahitajika kwa ajili ya maendeleo na bila kujali kama msaada unatoka Ulaya au China,&#8221; alisema Stephen Muyakwa, mwanauchumi wa kilimo nchini Zambia na mwenyekiti wa Mtandao wa Ki&#341;aia wa Biasha&#341;a wa Zambia. <\/p>\n<p>&#8221;Lakini kuna baadhi ya matatizo yanayotokana na mikopo na misaada ya maendeleo kutoka China. Kwanza ya yote, mikopo inayotolewa na China haipo wazi na wala kuja na masha&#341;ti ya jinsi ya kutumia misaada hiyo. Hii inaweza kusababisha &#341;ushwa, kwani se&#341;ikali za Kiaf&#341;ika zinakuwa hu&#341;u kutumia pesa hizo vyovyote zinavyotaka. Hii inaweza kuwa na matokeo chanya.&#8221; <\/p>\n<p>Muyakwa alisema kuwa mikopo au aina zote za fedha za kigeni zinapaswa kutolewa kwa masha&#341;ti makali. &#8221;Huwezi kutoa hundi tupu kwa wazi&#341;i wa fedha na kudhani kila kitu kinafanya kazi vizu&#341;i. Sisi watu tunahitaji kujua jinsi pesa zitakazotumika. Na China, au mfadhili mwingine, anapaswa kuwajibisha mamlaka inayopokea.&#8221; <\/p>\n<p>Kulingana na Muyakwa, se&#341;ikali zinapaswa kuwa macho wakati wa kupokea mikopo na misaada ya maendeleo kutoka China. &#8221;Kunaweza kuwa na madhumuni yaliyojificha. Mikopo hii na maendeleo ya miundombinu ma&#341;a zote inaonekana kuhitaji kuja na masha&#341;ti. <\/p>\n<p>&#8221;Kwa bahati mbaya imejitokeza zaidi ya ma&#341;a moja kwa China kudai kupewa ubia katika mgodi au hifadhi ya msitu. Huwezi kutoa tu, unawafanya watu kudhani hakuna masha&#341;ti halafu unategemea kupata kitu. Aidha tunataka nchi hisani kusema kuwa nataka kununua mgodi, badala ya kuudai kama vile ilikuwa sehemu ya mkopo,&#8221; Muyakwa alisema. <\/p>\n<p>Luis B&#341;ites Pe&#341;ei&#341;a, mku&#341;ugenzi msaidizi wa Kituo cha Utandawazi na Utawala katika Chuo Kikuu cha Nova mjini Lisbon U&#341;eno, aliuambia mkutano kuwa kunaweza kuwa na hata&#341;i katika kukubali mikopo mingi kutoka China. <\/p>\n<p>&#8221;Mikopo ya China inaonekana kuwa mizu&#341;i kutokana na kuwa na &#341;iba ndogo. Hivyo, nafasi ya kukusanya madeni ni kubwa. Nchi zinazopokea zinapaswa kusimamia fedha kwa uangalifu mkubwa.&#8221; <\/p>\n<p>Pe&#341;ei&#341;a pia alisema kuwa makampuni makubwa ya Kichina yanayomiliki viwanda kama vile vya nguo yanaondoa wafanyabiasha&#341;a wa Af&#341;ika katika biasha&#341;a. <\/p>\n<p>Suala jingine la kutia shaka mashi&#341;ika ya ki&#341;aia ni kuingia kwa wingi kwa viba&#341;ua kutoka China katika Af&#341;ika, ba&#341;a ambalo mamilioni ya watu hawana aji&#341;a. <\/p>\n<p>&#8221;Siyo siku nyingi zilizopita, se&#341;ikali za Came&#341;oon na China zilitia saini mpango ambapo China ingejenga ba&#341;aba&#341;a na miundombinu kama vile viwanja vya mpi&#341;a,&#8221; kulingana na Ma&#341;ie Tamoifo Nkom, msemaji wa shi&#341;ika la Af&#341;ican Youth Diaspo&#341;a Fo&#341;um (AYDF) nchini Came&#341;oon, ambalo linalenga katika kushi&#341;ikisha vijana wa Af&#341;ika wahamiaji kujenga ba&#341;a lao kijamii, kiuchumi na kisiasa. <\/p>\n<p>&#8221;Kila mmoja alikuwa na fu&#341;aha, kwanza kabisa kwasababu Came&#341;oon inahitaji mno viwanja vya michezo kwa vijana wake. Pili, m&#341;adi huo ungemaanisha kuunda aji&#341;a mpya. Kwa bahati mbaya, suala la aji&#341;a halikujitokeza kwani Wachina walileta viba&#341;ua wao.&#8221; <\/p>\n<p>Muyakwa pia ana wasiwasi kuhusu mazingi&#341;a ya kazi ya makampuni ya Kichina: &#8221;Mwaka jana, shughuli katika mgodi wa makaa ya mawe uliomilikiwa na Wachina kusini mwa Zambia ulisitishwa kutokana na mazingi&#341;a ya kazi yasiyokuwa salama. Viba&#341;ua wengi walikuwa nusu uchi na walikuwa hawana nguo za kulinda usalama wao na maski za kufunika nyuso zao kutokana na vumbi, kofia na viatu.&#8221; <\/p>\n<p>&#8221;Wakati wazi&#341;i alipotembelea mgodi huo, mameneja wa China walizuiwa wasifanye hivyo. Walisema ni &#8216;mgodi wao&#8217;. Mwishoni wazi&#341;i alizunguka katika eneo hilo. Kulingana na &#341;ipoti ya wazi&#341;i, viba&#341;ua walikuwa wakifanyiwa kama wanyama. Mgodi ulifungwa kwa muda lakini uliweza kufunguliwa tena.&#8221; <\/p>\n<p>Muyakwa alikumbuka tukio jingine ambalo lilisabisha mtikisiko nchini Zambia. &#8221;Miaka miwili iliyopita wafanyakazi wa mgodini wapatao 50 nchini Zambia waliuawa katika tukio la mlipuko kiwandani. Suala baya zaidi ni kwamba waaji&#341;iwa katika kampuni za Kichina wanaje&#341;uhiwa au kuuawa. Hii ilisababisha kushnagaa kuhusu kama China inajitolea kuleta mabadiliko katika Af&#341;ika au wako hapa kujinufaisha wenyewe.&#8221; <\/p>\n<p>Kulingana na Shi&#341;ika la Fedha Duniani, bidhaa za Af&#341;ika zinazouzwa China ziliongezeka kwa zaidi ya asilimia 40 kati ya mwaka 2001 na 2006. Bidhaa kutoka China kuingia Af&#341;ika ziliongezeka kwa asilimia 35. Jumla ya biasha&#341;a kutoka China kuja Af&#341;ika zilifikia dola bilioni 55 kwa mwaka na zinata&#341;ajiwa kufikia dola bilioni 100 ifikapo mwaka 2010.<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>CAPE TOWN, Juni 16 (IPS) &ndash; Uwekezaji wa Wachina katika nchi za Af&#341;ika unakuja na vikwazo &ndash; ambavyo ndivyo vinavyotia wasiwasi mashi&#341;ika ya ki&#341;aia. Wakati wa Mkutano wa Mwaka wa Benki kuhusu Maendeleo ya Kiuchumi (ABCDE) uliofanyika wiki iliyopita wajumbe kadhaa kutoka mashi&#341;ika ya ki&#341;aia katika ba&#341;a la Af&#341;ika walionyesha wasiwasi wao kuhusu kuongezeka kwa&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":453,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2188","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2188","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/453"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2188"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2188\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2188"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2188"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2188"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}