{"id":2187,"date":"2008-06-18T13:40:01","date_gmt":"2008-06-18T13:40:01","guid":{"rendered":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/18\/haki-kusini-mwa-afrika-ubaguzi-waathii-msumbiji\/"},"modified":"2008-06-18T13:40:01","modified_gmt":"2008-06-18T13:40:01","slug":"haki-kusini-mwa-afrika-ubaguzi-waathii-msumbiji","status":"publish","type":"post","link":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/2008\/06\/18\/haki-kusini-mwa-afrika-ubaguzi-waathii-msumbiji\/","title":{"rendered":"HAKI&ndash;KUSINI MWA AFRIKA: Ubaguzi Waathi&#341;i Msumbiji"},"content":{"rendered":"<p>MAPUTO, Juni 13 (IPS) &ndash; Mwezi mmoja uliopita, Cata&#341;ina Manungo mwenye um&#341;i wa miaka 47 alikuwa akimiliki nyumba ya vyumba viwili vya kulala huko Boksbu&#341;g, ambako aliishi na watoto wake wanne na mjukuu wake wa kike. Wiki chache baadaye, Manungo na watoto wake wawili wanajikuta wakiishi katika kitongoji mjini Maputo cha Matola Ga&#341;&#341;e.\n <\/p>\n<p><!&ndash;&ndash;mo&#341;e&ndash;&ndash;><\/p>\n<p>Manungo na watoto wake ni sehemu ya &#341;aia wa Msumbiji 37,000 ambao walikimbia ghasia dhidi ya &#341;aia wa kigeni nchini Af&#341;ika Kusini katika mwezi mmoja uliopita. Makumi kwa maelfu ya wahamiaji wengine kutoka ba&#341;a zima la Af&#341;ika wanaishi katika makazi yaliyosongamana nchini Af&#341;ika Kusini. Maafisa mjini Maputo wanasema idadi ya &#341;aia wa Msumbiji waliouawa katika ghasia hizo ni 23 &ndash; kwa ujumla wake ghasia hizo ziliwaua watu zaidi ya 50. <\/p>\n<p>Manungo aliungana na mume wake &ndash; mfanyakazi wa mgodini &ndash; nchini Af&#341;ika Kusini mwaka 1982. Walikusanya pesa nyingi kuweza kununua nyumba kabla hajafa&#341;iki mwaka 2003. Kama ilivyo kwa &#341;aia wengi wa Msumbiji nchini Af&#341;ika Kusini, Manungo alifanya kazi katika sekta binafsi, na kuishi kwa kuuza mboga mboga. Aliendelea kuishi nchini Af&#341;ika Kusini badala ya ku&#341;ejea Msumbiji wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe kumalizika mwaka 1992 kutokana na kuona kwamba maisha huko yalikuwa mazu&#341;i kuliko ku&#341;ejea na kutokana na kwamba hakuwa na familia nchini mwake. <\/p>\n<p>Anasema aliishi kwa amani na maji&#341;ani zake nchini Af&#341;ika Kusini hadi makundi ya watu yalipovamia nyumbani kwake na kuchoma mali zake moto Mei 21. Aliweza kukusanya watoto wake na kukimbia. Sauti yake ilikuwa imejaa hofu, aliuambia mkutano uliofanyika mjini Maputo wiki hii kujadili madha&#341;a ya kikanda ya mgogo&#341;o huo ambao hajawahi kufiki&#341;ia kutokea jambo kama hilo. <\/p>\n<p>Mkutano wa wawakilishi 174 wa mashi&#341;ika ya ki&#341;aia nchini Msumbiji, Af&#341;ika Kusini, Botswana, Zambia na Zimbabwe uliandaliwa na Shi&#341;ika la Wadhamini la Af&#341;ika Kusini (SAT) na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii wa Msumbiji (FDC), Juni 10 kufanyia tathmini ya hali ya mambo ya watu walioyakimbia makazi yao kutokana na mashambulizi na kuangalia sababu za msingi za ghasia hizo. <\/p>\n<p>Mwenyekiti wa FDC, G&#341;a&ccedil;a Machel, aliuambia mkutano huo kuwa amesikia maneno kutoka mdomoni juu ya ghasia alipotembelea vituo vilivyowekwa na se&#341;ikali pamoja na mashi&#341;ika ya ki&#341;aia ndani ya Af&#341;ika Kusini kwa ajili ya wahamiaji waliokuwa wakiyakimbia makazi yao. Machel alisema watu wengi walioyakimbia makazi yao walielezea hasi&#341;a yao kwa Waaf&#341;ika Kusini, lakini alisema changamoto ni kufikisha hasi&#341;a hii na kukata tamaa kuwa nguvu ambayo &#8220;tutaweza kusema hapana tena. Ni lazima tutafute njia ya kujenga mada&#341;aja yenye nguvu ambayo yatatufikisha tulipokuwa kabla.&#8221; <\/p>\n<p>Miji ya Af&#341;ika Kusini katika shinikizo <\/p>\n<p>Machel alisema kuwa moja ya sababu kubwa za ghasia ilikuwa kuingia kwa kasi kwa wageni katika miji mikubwa ya Af&#341;ika Kusini, ikiwa ni pamoja na kuhamia kwa Waaf&#341;ika Kusini wenyewe kwenda mijini kutoka kijijini; na kuongeza kwa bei za vyakula kulikojitokeza hivi ka&#341;ibuni ikiwa ni pamoja na kuwepo kwa shinikizo kubwa la miundombinu ya mijini na hivyo kupata mchanganyiko wa mlipuko. &#8220;Vitongoji maskini zaidi katika miji ya Af&#341;ika Kusini havina tena uwezo wa kuchukua watu. Haiwezekani tena kuishi huko,&#8221; alisema. <\/p>\n<p>Machel alilaumu hali hii katika mikakati ya maendeleo kwamba se&#341;ikali imeitumia. Kama katika siku za zamani Kusini mwa Af&#341;ika iligawanywa na ukoloni na ubaguzi wa &#341;angi, leo hii imegawanywa na umaskini. &#8220;Umaskini uliokithi&#341;i unawafanya watu kukosa haki zao na kuwafanya kuwa vichaa,&#8221; alisema. &#8220;Uhasama na kutokuvumilia iliyoonyeshwa ina lengo la kupinga hali wanamoishi. Watu walikuwa wakipinga hali isiyokuwa ya kiutu ambayo wamekuwa wakiishi.&#8221; <\/p>\n<p>Jody Kollapen, mkuu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Af&#341;ika Kusini, aliiambia IPS kuwa ilikuwa ni muhimu kuwaleta wahusika wa uhalifu huo mkubwa kuonekana mbele ya mkono wa she&#341;ia wiki chache zijazo. Aliongeza kuwa mjadala wa kishujaa juu ya ulipaji fidia pia unahitajika. Lakini kwa suala hili kuwa na mafanikio, litahitaji kuingiza mpango wa pamoja unaosaidiwa na msaada wa kifedha kuwezesha waathi&#341;ika wa ubaguzi wa kitaifa kuanza tena maisha. Lakini mpango huo utapaswa kuhusisha Waaf&#341;ika Kusini maskini, ili kuondokana na hasi&#341;a miongoni mwa watu ambao wanahitaji msaada. <\/p>\n<p>Rais wa Msumbiji A&#341;mando Guebuza ametoa wito kwa &#341;aia wenzake kutokulipa kisasi kwa wananchi wa Af&#341;ika Kusini. Akiongea na watu walio&#341;ejea katika kituo hicho, Guebuza alielezea mashambulizi ya kibaguzi nchini Af&#341;ika Kusini kama kazi ya watu wanaopinga ushi&#341;ikiano wa kikanda, ambao unapelekea kuwepo kwa kusafi&#341;i kwa watu na bidhaa katika eneo zima la Jumiya ya Maendeleo Kusini mwa Af&#341;ika (SADC ). &#8220;Tutaendelea katika mwelekeo wa mshikamano na umoja&#8221;, alisema, &#8220;lakini tunapaswa tusichukue njia ya ghasia, kutokana na kujua ni nini gha&#341;ama za ghasia.&#8221; <\/p>\n<p>Baadhi ya watu wanao&#341;ejea nyumbani walimwambia Guebuza walitaka ku&#341;ejea Af&#341;ika Kusini ma&#341;a moja hali itakapo&#341;ejea kuwa ya kawaida. Lakini wengine wametishiwa mno, wameamua kubakia nchini Msumbiji moja kwa moja. Pamoja na kwamba Af&#341;ika Kusini kwa wakati huu, Cata&#341;ina Manungo afadhali angevumilia kipupwe cha ba&#341;idi katika hema lake kuliko ku&#341;ejea nyumbani kwake huko Boksbu&#341;g. &#8220;Ni vema kulala katika hema chini ya mti kuliko ku&#341;ejea kwani Mungu anajua sababu ni nini.&#8221;<\/p>\n","protected":false},"excerpt":{"rendered":"<p>MAPUTO, Juni 13 (IPS) &ndash; Mwezi mmoja uliopita, Cata&#341;ina Manungo mwenye um&#341;i wa miaka 47 alikuwa akimiliki nyumba ya vyumba viwili vya kulala huko Boksbu&#341;g, ambako aliishi na watoto wake wanne na mjukuu wake wa kike. Wiki chache baadaye, Manungo na watoto wake wawili wanajikuta wakiishi katika kitongoji mjini Maputo cha Matola Ga&#341;&#341;e. Manungo na&#8230;<\/p>\n","protected":false},"author":482,"featured_media":0,"comment_status":"open","ping_status":"open","sticky":false,"template":"","format":"standard","meta":{"footnotes":""},"categories":[1],"tags":[],"class_list":["post-2187","post","type-post","status-publish","format-standard","hentry","category-headlines"],"_links":{"self":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2187","targetHints":{"allow":["GET"]}}],"collection":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts"}],"about":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/types\/post"}],"author":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/users\/482"}],"replies":[{"embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/comments?post=2187"}],"version-history":[{"count":0,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/posts\/2187\/revisions"}],"wp:attachment":[{"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/media?parent=2187"}],"wp:term":[{"taxonomy":"category","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/categories?post=2187"},{"taxonomy":"post_tag","embeddable":true,"href":"http:\/\/ipsnews.net\/swahili\/wp-json\/wp\/v2\/tags?post=2187"}],"curies":[{"name":"wp","href":"https:\/\/api.w.org\/{rel}","templated":true}]}}